MSHIKEMSHIKE VIWANJANI 26/06/2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 06. 2024
  • Tazama kipindi cha Mshikemshike Viwanjani kikiwa na habari kemkem za michezo ikiwemo mjadala wa idadi ya wachezaji wa kigeni katika ligi ya Tanzania kama ina athari kwa Taifa Stars.
  • Sport

Komentáře • 11

  • @b.barakakajigili9297
    @b.barakakajigili9297 Před 3 dny +1

    Kumbuka Toka wameludu usajili walivyo ogeza timu yetu yataifa imepanda sana kwakuwa wanaiga

  • @jililiwajilili7186
    @jililiwajilili7186 Před 3 dny +1

    Sawa

  • @ZonemohammedMohammed
    @ZonemohammedMohammed Před 3 dny

    Kwel kbs wachezaj wa kigeni nd wanaoleta chachu ya ubora wa lg yetu

  • @mohamedkashindi7689
    @mohamedkashindi7689 Před 3 dny

    Tatizo wachezaji wetu uwaga wanalewaga sifa haraka sana na kuanza kujinyanyuwa sana hona yaliyo fanywa na feitoto alivyo pata kasifa kadogo tu akahanza kunyanyuwa mabega kwakweli wazawa siwema niwasumbufu sana

  • @SamsonJuma-ct1ef
    @SamsonJuma-ct1ef Před 2 dny

    Si kama wazawa nawao wao c wakacheze nchi zingnee ili wasaminiwe

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing Před 2 dny

    Acheni Unafki Wabongo Yan Uchezesh Ambay Ajitumi Kisa Ni Mzawa

  • @jacksonmashaury
    @jacksonmashaury Před 3 dny

    Nenden nje nanyie muache ujing hamjitum pumbavu zen

  • @YudaNkinda
    @YudaNkinda Před 3 dny

    Wachezaji wa kigeni wa Ndio wanawapa chalechi ya wachezaji ndan

  • @user-oi8ml4vb3o
    @user-oi8ml4vb3o Před 3 dny

    Acheni unafiki wazawa hawajitumi

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 Před 3 dny

    Na Watanzania muende nje na nyie pumbavu an tukose raha kisa eti wenyeji wanataka nafasi kwenye timu ya taifa hawajitumi ujinga tuache sisi😂😂

  • @PaulDotto-o6z
    @PaulDotto-o6z Před 3 dny

    acha umama