JuaCali - Mwoto Sana (Official Video)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 10. 2016
  • Artist: JuaCali
    Song Title: Mwoto Sana
    Audio Produced By: Babz On The Track
    Video Directed By: Johnson Kyalo
    MWOTO SANA LYRICS.
    Verse 1
    Hii ni ya wale wote waliDoubt tukianza
    Miaka kumi zimepita na bado tuko hapa
    Niliambiwa kitambo sana watakupenda
    Wakuchukie halafu wakupende tena
    Hii ndio kitu siupitia kwa hii biashara
    Biashara ngumu biashara noma sana
    Lakini tunafanya hii maneno ka mavijana
    Na hii ni ingine Mwoto sana
    Chorus :
    (Calif records) Scratches(Records)
    Mwoto sana
    Scratches(Babz on the Track oh!!!)
    Hii ni ingine Mwoto sana
    Scratches(JuaCali….Cali)
    Mwoto sana
    Scratches(Babz on the Track oh!!!)
    Hii ni ingine……..
    Verse 2
    Ah! Hii ni ya ma fans wamekua na sisi mpaka wa leo
    Na wale wameongezeka leo
    Imekua inatubamba mumekua hii time yote
    Na mko wengi mumekua wapi nyi wote
    Pewa kitu sahau shida za maisha
    Kitu inakustress unaiwachilia
    Wacha ikurarukie vibaya sana
    Na hii ingine Mwoto sana
    Chorus :
    (Calif records) Scratches(Records)
    Mwoto sana
    Scratches(Babz on the Track oh!!!)
    Hii ni ingine Mwoto sana
    Scratches(JuaCali….Cali)
    Mwoto sana
    Scratches(Babz on the Track oh!!!)
    Hii ni ingine Mwoto sana
    Verse 3
    Niko juu ya timboots jeans Tshirt
    Cologne kwa mwili imeitika
    Weekend imefika lazima leo kadunda
    Napigia Alpha anakuja kunichukua
    Na watoto wanne wawili wangu wawili wake
    Roundi hii nikutimbua mpaka che
    Dj anaachilia hii ngoma ajab sana
    Akiambia watu hii ni Mwoto sana
    Chorus :
    (Calif records) Scratches(Records)
    Mwoto sana
    Scratches(Babz on the Track oh!!!)
    Hii ni ingine Mwoto sana
    Scratches(JuaCali….Cali)
    Mwoto sana
    Scratches(Babz on the Track oh!!!)
    Hii ni ingine……..*2 #JuaCali
  • Hudba

Komentáře • 285

  • @DJKrowbarKE
    @DJKrowbarKE Před 7 lety +61

    The more I study Jua Cali.... The more you respect him... I have known him since I was a teen now I am all grown and the dude still got it...

    • @mathewmwaniki6451
      @mathewmwaniki6451 Před 6 lety +2

      DJ Krowbar that so true I have been listen to him since I was a teen and he keeps on bring the heat

    • @mathewmwaniki6451
      @mathewmwaniki6451 Před 2 lety

      Legend are forged with time. Juacali is one of the them respect to his hustle and staying true to the game

  • @janemwanje4628
    @janemwanje4628 Před 9 měsíci +1

    Fathermoh FT Shekina Karen Dai Dai
    Fathermoh FT Ssaru Kaskie Vibaya

  • @sandramusongenawegulo2982
    @sandramusongenawegulo2982 Před 7 lety +46

    That beat is genius, giving me an old school vibe

  • @stephenwambugu1192
    @stephenwambugu1192 Před 5 lety +1

    Noma sana..Biashara ngumu..biashara noma sana..

  • @stevenjohn4188
    @stevenjohn4188 Před 7 lety

    haivikishi 1m kwa Kenya but bongo tz inagongesha bila shida tatizo Kenya hamna sapoti kwa wasanii

  • @paulndete6516
    @paulndete6516 Před rokem +5

    That beat was world class. Jua Cali is a Legend.

  • @dekideki9486
    @dekideki9486 Před 3 lety +1

    Big up bro hii job hua mwoto sana.

  • @08waziri
    @08waziri Před 7 lety +5

    waah jua cali uko juu, msanii ni ka wewe hakuna kuchagua beat hata ka ni hip hop unachafua....walai hiyo trak ni moto sana

  • @kamakazi8243
    @kamakazi8243 Před 2 lety +1

    That indian lady clip is makin the beat coooler

  • @Chief40400
    @Chief40400 Před 10 měsíci +1

    We Need More Of This G,Its Time You Gave Us A HipHop Ep

  • @victor80016
    @victor80016 Před 7 lety +1

    NI MWOTO SANA!!!!!!

  • @WHIZZY
    @WHIZZY Před 7 lety +17

    Real HIP HOP! #Salute100

  • @josephonyango8267
    @josephonyango8267 Před rokem

    Kitu yote calif Iko kuishi...nothing come close

  • @alexmukora6943
    @alexmukora6943 Před 7 lety

    kweli in mwoto sana........calif records..

  • @danielmihanjo5472
    @danielmihanjo5472 Před 11 měsíci

    Moto sana hii ngoma,beat kali sana hii

  • @aimarmacaveli
    @aimarmacaveli Před 3 měsíci

    It's 2024 nd this vibe still hit me smooth...
    Nakumbuka 2005 nilitoka Gilgil hati ushago kuanza life huko, nilipata wasee ushago hawajui sheng, na yangu ilikuwa kali ya Nonini na Jua Kali combined....
    Jua...hadi mimi nimekuwa msaani nilianza 2022, and ni hizi ngoma zilinitunza nikigrow

  • @dreskallbanner2955
    @dreskallbanner2955 Před 2 lety

    The jua cale..chiqichichiq...kale.. part ni Moto sana🔥🥵🥵

  • @Aj-ex7pf
    @Aj-ex7pf Před 7 lety

    Bollywood song in the background... dang boy😋😋😋😋

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 Před 3 lety +1

    Babz alimada hii beat 2020 bado 💥

  • @GkvKenya
    @GkvKenya Před 7 lety +11

    Dope Video Na A Crazy Beat Jua ,Ambia Babz Hiyo Beat Ni Mwoto Sana

  • @weskym938
    @weskym938 Před 7 lety

    real kenyan hiphop mwoto sanaa

  • @ngugi-
    @ngugi- Před 7 lety +1

    Kabisa Juacali! Kabisa Babz!!

  • @UrbanCraftTv
    @UrbanCraftTv Před 2 lety +6

    2021 and this sounds so 2089.
    Kenyan Talents Rock!!!

  • @MrVinnnne
    @MrVinnnne Před 7 lety

    big up jua cali... hii ni mwoto sana...

  • @valuvalu7716
    @valuvalu7716 Před 7 lety

    mwoto sana dapper tune on the street

  • @swatmgengetru3727
    @swatmgengetru3727 Před 7 lety

    mwoto zaidi ata....big up jua cali

  • @kagambimuturi5971
    @kagambimuturi5971 Před 7 lety

    moto sana, cali sana, fyn tu sana

  • @Kochw221
    @Kochw221 Před 4 měsíci

    This is JUA CALI legendary vibes💯💥🇰🇪

  • @kiharasamuel
    @kiharasamuel Před 7 lety +20

    Music on another level. that indian sample was genious and the beat and the scratches are amazing. Guess its time the legends showed this young MCs how this music is done

  • @mainakaranja3295
    @mainakaranja3295 Před 11 měsíci +1

    I just love this track, beat, scratch and spitting is just on another level, I just find banging my head juu ii ni ingine 🔥 sana

  • @danielmihanjo5472
    @danielmihanjo5472 Před rokem

    Beat ,rylics and flow moto sana

  • @ahmekfatal2864
    @ahmekfatal2864 Před 7 lety

    lazma wakubali uji wa ukwaju.........big up

  • @robertetemesi4092
    @robertetemesi4092 Před 9 měsíci

    Jua Cali ni mkali

  • @Danamdone254
    @Danamdone254 Před 7 lety

    Iko Sawa babayao. Mwoto sana

  • @austineochieng8117
    @austineochieng8117 Před 3 lety

    Mwoto sana💪🏿💪🏿💪🏿🇰🇪

  • @allanomondi6961
    @allanomondi6961 Před 7 lety

    a dop dop hit mwoto mwoto sana

  • @STOMODYTV
    @STOMODYTV Před 6 lety +7

    This beat has some ghost elements that intrude into the soul.

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 Před 4 lety +6

    jua this is dope,kindly do us another track of this version,the beat and lyrics are really nice and compatible

  • @kelvinndungi6678
    @kelvinndungi6678 Před 7 lety

    That beat noi mwoto sana

  • @filipoinzagy5808
    @filipoinzagy5808 Před 7 lety

    baba yao huwa udissapoint kwa mafan tumekua na wewe ukianza na wale wameongezeka leo

  • @kevinatsiaya9800
    @kevinatsiaya9800 Před 7 lety

    Moto baba.. mwoto sana

  • @VincentKeith100
    @VincentKeith100 Před 7 lety

    watakupenda, wakuchikie alafu wakupende tena. baba yao na bang hi track for motivation asubuhi

  • @thomasmetta6479
    @thomasmetta6479 Před 7 lety

    Hapana i ngoma ni shikamoo

  • @constantinekatosa2390
    @constantinekatosa2390 Před 7 lety +11

    When the worst comes to worst Juacali comes first...mwoto saaana!!

  • @swaashgang5943
    @swaashgang5943 Před 7 lety

    jua cali hii ni ingine mwoto sana...

  • @sallykenya2881
    @sallykenya2881 Před 7 lety +10

    Your humility is everything ligit❤

  • @trendingnews7184
    @trendingnews7184 Před 7 lety

    Nlikuwa nmeingoja sana jo #gengelove #safsana

  • @maaimani413
    @maaimani413 Před 7 lety

    🙌🙌🙌 hii track!!wololo! mwoto!

  • @thegreenliving
    @thegreenliving Před 4 lety +4

    Man! the old school vybe is top class, all elements of real hip hop in one track. Kudos Jua Cali, absolutely a legend

  • @msaniikenya712
    @msaniikenya712 Před 7 lety

    Mwoto sana Jua cali.

  • @Terramoss
    @Terramoss Před 7 lety +24

    Juu hizi ngoma zako zinaisha na Sanaa... Bado unjaribu kumwingiza box after kwaheri??? Dope Mwoto sana

  • @trendingnews7184
    @trendingnews7184 Před 7 lety

    Brathe hii ni mwoto saaaaaaana!!!!

  • @ErikiihKE
    @ErikiihKE Před 3 lety

    Jua Cali wewe Ni legend bana

  • @VictorMumo
    @VictorMumo Před 7 lety

    Kwa kweli hii ni ingine mwoto sana!

  • @yahyanani8028
    @yahyanani8028 Před 7 lety

    engine motoooo sannaaaaaaa

  • @neshavelli
    @neshavelli Před 3 měsíci

    Still a banger..Babz on the track killed it and Jua spiced it with his authentic style..

  • @alexmwangi6878
    @alexmwangi6878 Před 7 lety

    jua ni cali hapa ni mwoto sanaaaa!

  • @jamesminjire3702
    @jamesminjire3702 Před 3 lety

    Bass heads kujeni hapa.. Anyone here who has got subs doing 30Hz and below? The air bass on this track!!!!! Damn... Team Sayona na Ampex you dont know what you are missing..

  • @johnthiga2509
    @johnthiga2509 Před 7 lety

    ih! izo beats, kweri ni mwoto saana tena sana! Jua kari u did it

  • @shbush4023
    @shbush4023 Před 7 lety

    kweli ni mwoto sana

  • @kondetuva7501
    @kondetuva7501 Před 7 lety

    Big up mgenge baada ya kiasi hii sasa ndio moto sana .safsana brother hii iko leo kesho keshokutwa mtondo.big up pure hip hop

  • @victorcheywe8155
    @victorcheywe8155 Před 7 lety

    Saf sana,hapo sawa

  • @xxxyz326
    @xxxyz326 Před 10 měsíci

    Still a fan! Holiday down under no question ✌🏾🇰🇪

  • @wordup6659
    @wordup6659 Před 7 lety

    hii ni ingine moto sana

  • @shawn-the-first.1643
    @shawn-the-first.1643 Před 2 lety

    Mwoto saaana

  • @normanmondoh5516
    @normanmondoh5516 Před 7 lety

    MWOTO SANA UUUUUUIIIIIII

  • @kennedysimiyu3632
    @kennedysimiyu3632 Před 7 lety

    mwoto sana baba yao

  • @normanmondoh5516
    @normanmondoh5516 Před 7 lety

    IKIBAMBA SANA WAPI NDURU!!!

  • @duboizdaprocessor
    @duboizdaprocessor Před 7 lety

    yo mwoto sana. justice is done on the beat by Babz pia jua hakuniangusha. Babz beat ni club banger like fiddy's in da club.good work

  • @briankipkoech254
    @briankipkoech254 Před 3 lety

    Babz on the track oooh

  • @Jay-jd5qp
    @Jay-jd5qp Před 7 lety +1

    Noma Sanaa!!!!

  • @joshuasindiga1788
    @joshuasindiga1788 Před 6 lety

    moto sana..... track ya PAWA,

  • @jamesnjau1545
    @jamesnjau1545 Před 4 lety

    Mwoto Sana......

  • @georgeanthony1547
    @georgeanthony1547 Před 7 lety

    michano yakipekee sana kaka, karibu tena Bongo kaka toka fiesta ileee hatujakuona tena. come back and move the cloud like moses as usual. Beste dam toka Bongoo

  • @georgefothi8617
    @georgefothi8617 Před 4 lety

    beat ni moto sana....

  • @WycyB
    @WycyB Před 7 lety

    Safi sana,big up Babz Na Kyalo pia

  • @timonchirchir5753
    @timonchirchir5753 Před 7 lety

    Mwotoest sanaa!!!!!!!!

  • @yakeenramadhan4840
    @yakeenramadhan4840 Před 10 měsíci

    King Caliiii

  • @viraxofficial
    @viraxofficial Před 7 lety

    noma sana hommie

  • @lordopiyo6232
    @lordopiyo6232 Před 7 lety

    mwooot sana,juacareeeeeeeeeeeeee

  • @blaqstdj2545
    @blaqstdj2545 Před 3 lety

    Moto Sana💯💯💯

  • @emanuelkibila578
    @emanuelkibila578 Před 3 lety

    noma sana juakali

  • @danielnjoroge613
    @danielnjoroge613 Před 7 lety

    mwoto sanaaaaah

  • @jonahjohn3937
    @jonahjohn3937 Před 4 lety

    Moto kama pasi.

  • @mcuteprincess5937
    @mcuteprincess5937 Před 7 lety

    Dpest sana🔥🔥🔥🔥👍

  • @haroldradido
    @haroldradido Před 7 lety +8

    DAMN! All my homies on this banger! Babz..Kyalo...I need a moment! #TOOGOOD

  • @kayvokforcetv
    @kayvokforcetv Před 7 lety

    mwoto sana. 💣💥

  • @Weddingdaycaptain
    @Weddingdaycaptain Před 7 lety

    Na mko wengi Leo mmekuwa wapi io time yote

  • @davyndungu400
    @davyndungu400 Před 7 lety

    homage to hip hop....kali sana

  • @naretruly
    @naretruly Před 5 lety

    Moto sana

  • @elvismanbo9585
    @elvismanbo9585 Před 7 lety

    Noma sana..jua

  • @kibetchirchir4565
    @kibetchirchir4565 Před 5 lety +4

    Still a track for ages. Big up for a timeless sound.

  • @tdpoetsome6258
    @tdpoetsome6258 Před 7 lety

    Mwoto Sana

  • @kadamaabubakar3692
    @kadamaabubakar3692 Před 3 lety

    One love from tanzania

  • @kinyuakariithi
    @kinyuakariithi Před 7 lety +7

    BAbz on the track,fucking dope beat...

  • @wilsonmwangi2326
    @wilsonmwangi2326 Před rokem

    Wicked beat ever,hard punches

  • @georgemuigai2216
    @georgemuigai2216 Před 7 lety

    moto sana

  • @NASIRJONEZ
    @NASIRJONEZ Před 2 lety

    BARBZ ON THE TRACK

  • @SOGCOMEDYTV
    @SOGCOMEDYTV Před 3 lety

    Kutoka nikiwa highschool na primo bado tuko pamoja. California ndio mtaa

  • @Katabwa
    @Katabwa Před 7 lety

    JUaaaaaaaaaaa kaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!! Big up!!