UVUNAJI ASALI MCHANA KWA URAHISI / UFUGAJI WA NYUKI KISASA/JIFUNZE NA STAFFORD E. NKUBHAGANA/MIZINGA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024
  • #asali #honey #honestreview #ufugaji #beekeepers
    Uvunaji asali mchana kisasa bila kuwauwa nyuki (kulina asali kisasa bila kuwauwa nyuki)
    Hii itakusaidia kijifunza namna ya kuvuna asali bila kuwauwa nyuki maana uvunaji wa zamani nyuki walikua wakiuawa sana, walikuwa wakichomwa moto ili wapate asali bila kung'atwa na nyuki, ila hapa tunavuna kisasa na kuwaacha nyuki kuendelea kuzalisha asali tena katika mzinga ule ule uliopakua asali, hii husaidia ili uwe unavuna asali mara kwa mara.
    Tunatoa darasa la kutengeneza mizinga ya kisasa na kuuza mavazi ya kuvunia asali na kukagua mizinga +255 766 635 126
    Ufugaji nyuki kisasa
    Fuga nyuki kisasa
    Kulina asali
    Ukaguzi wa mizinga

Komentáře • 9