Shukran sheikh Allah akuzidishie kila la kheri na akupe umri mrefu uzidi kutukumbusha. Kwa wale ambao wanapendana na vitabu, dua hizi alizoelezea Sheikh ziko kwenye kitabu HISNUL MUSLIM chapatikana madukani.
Allah aendelee kukujazia kila lilo la kheri Inshaallah.Darsa kubwa mashallah, tumche na kumwogopa Allah kwani siku hiyo hakika ni siri kubwa, lakini hatuna jinsi ya kuikwepa, tumwombe Allah atujaalie mwisho mwema.
Mawaidha kuntu!!!!! Allah akujaalie husnu haatima na kila jamii islaam 🇸🇸🇸🇸
My Allah s.w protect our sheikh. One of the favourites sheikh among the kiswahili speakers Muslims
Allah azidi kukupa kheri Sheikh na umri mrefu wenye manufaa ya dunia na Akhera
Ameen ya rabb🙏
Mashaallah mashaallah allah akujaliye umri mrefu na afya
Amin
Allah akujaalie kheri zaidi duniani na akhera
Ma Sha Allah Sheik Othman Maalim kwa mawaidha nzuri
Shukran sheikh wetu Allah akujalie umri na afya na pia Allah atujalie na sisi tuwe wepesi wa kuyatmiza yote inshaAllah 🙏
Mashallah mawaidha mazr mungu akupe umri uzidi kutufungua macho kwa mawaida wako mzr
Shukran sheikh Allah akuzidishie kila la kheri na akupe umri mrefu uzidi kutukumbusha. Kwa wale ambao wanapendana na vitabu, dua hizi alizoelezea Sheikh ziko kwenye kitabu HISNUL MUSLIM chapatikana madukani.
Mashaallah
Mashallah shkuru mungu akupe umuri murefu Ishaallah
Ameen thuma ameen 🙏
Mashallaah ALLAAH akupe umri uzidi kutuelimisha
Amin
Mashàallah sheikh othaman maalum
Ameen rabbi ameen 🙏🙏
Amiin shukran mungu atuwezeshe tukamilishe inshaallah
Jazzakallahu khairan
Mashallah allh akutunze shekh
Subhana Allah 😢😢😢
La Illah Ila Allah
- Amiin
Allah tujaalie mwisho mwema na utujaalie pepo🤲🏾😢
Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri
Mashallah Sheikh wetu yaarab umri mrefu afya kamil jazakallah kheri Frm Kenya
ALLAH TUJALIE MWISHO MWEMA PAMOJA NA WAZAZI WETU
Allah aendelee kukujazia kila lilo la kheri Inshaallah.Darsa kubwa mashallah, tumche na kumwogopa Allah kwani siku hiyo hakika ni siri kubwa, lakini hatuna jinsi ya kuikwepa, tumwombe Allah atujaalie mwisho mwema.
Masha Allah
Acha niendelee kukupenda seik wangu, muenhezimugu akujalie uwende pepeni pamoja nasisi. allahuma aminy yarabbi
Asante.nashukulu ostazi.endelea.kutupa.elimu
Mashallah, Allah akutunze 🙏🏾
Shukran Sana
Allha akujaalie kilalakher shekh wangu
Mashalla
Allah Allah tumcheni mungu
JazakaAllah kheir ustadh
Allahakbalu
Be blessed
Acha niendelee kukupenda tu, Allah anitunzie wewe mwalimu wngu
MashaAllah Allah akujaz khery♥️
Maa shaa Allah
MweziMungu akujaalie kila la kheri InshaAllah katika Safari yako yote ya utoaji daawa
Amiin yarab amiin
mashaahlaah
Mashaallah
❤
Asalaam aleykm shekh wangu naomba namba yako
🤲🙏
Maneno makubwa kabisa. Ni ukweli wenye maonyo na ukumbusho.
L
L
L
La pop
L
@@rachidabdulalidissa9966
Rachid sijaelewa maana ya la pop.
Manshallah shekhee wangu mungu azidi kukulinda na atujalie mwisho mwema inshallah
🥲🥲