KISA CHA MAMA KUZAA WATOTO WENYE VICHWA VYA NYANI | SHETANI KATIKA UZAO WA WANADAMU | ASKOFU GWAJIMA
Vložit
- čas přidán 16. 03. 2024
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Askofu.gwajima mm nakupenda tena uzunguke tena Tanzania mm nilianza kufundishwa na wewe 2015.mpaka nikagundua Kuwa nimerogwa.nikakufuata..manyoni nikakukosa nilikufuata.tabora nikakukosa nikiwa narudi kwenye gari nililia sana nikaomba.Mungu jamani Mungu.si.asumani akanifunulia.jinsi.freemason.walichonifanyia nikamuomba.Mungu anifanye nihubiri sana nahubiri.hatari Mungu akuongezee akili.ziwe nyinginyingi mwe.nyingi mwe.ziwe nyingi
Amen amen
Yaani ww askofu Josephat Gwajima huwa nakusikiliza hadi nalia. Amen, umenibariki sana. Nashukuru sana!! Yesu asifiwe milele na milele.
Dah Huyu baba huyu ana madini ya ajabu sana anagusa maisha ya mtu moja kwa moja Mungu akutunze baba sema natamani kukaa meza moja na ww nahis umebeba maisha fran kwangu lkn pia hebu ktk bungee endelea na nondo zile za mwanz watanzania wanakutegemea baba
Mimi natoka kasulu kigoma, binafsi namkubali sana Askofu gwajima ananifundisha vitu vingi kwenye maisha yangu, yaani sina swali kwake Mungu amsaidie sana,....❤
Gwajima asante sana kwa jina la Yesu Kristu Amina
Asante bishop Baba gwajima KWA injiri yenye uponyaji
Amen umeni tabili hilo tatizo langu 🇰🇪.
Hakika ukweli Mungu azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU Josephat Gwajima wewe ni mgodi unaotembea Natamani sana kukuona ukienda nafasi ya juu sana serikalini
Baba nakupenda sanaaa mnooo❤
Amina🙏
Wow that's great preaching Papa
Baba yetu Mungu akubariki sana manyara tunasubiri mkutano wako karibu sana baba
Baba Askofu gwajima Mungu aendeley kukulinda ili siku 1 uje Burundi ili na sisi tufunguliwe na inchi yetu
Amen kubwa dady j.g
Tunakuitaji uku Moçambique 🇲🇿 mkoo wa mueda
Hakika mungu aendelee kukupa maarifa ili tuendelee kuyajua mengi zaidi
Baba asante mungu akuongezee miaka mingi utusaidie wanyonge❤
20:07 20:39
Ziara yako ya kuzunguka nchi nzima inaanza Tena lini maana unatusaidiaga Sana sisi w huku vijijini fanya ziara mtumishi mungu kakupa hizo rasilimali ulizonazo ili utudaidie
Amen amen amen MUNGU akubariki
Asante Baba,
Kweli.baba.mungu.Kubariki.sana.nakukubali.sana.baba
nakupenda baba
Mtumishi ni robo tatu ya tunaoishi nao,tunafanya kazi nao,tunasali nao na wengine tulidhani tumezaa nao watoto kumbe waume zao wako kuzimu.Unalala na mtu anaingiza wanaume kichawi,unawaona ndotoni na baadaye unakuja kuthibitisha ana mahusiano na watu hao kimwili hata mchana kweupe!Mungu anatisha sana.
❤❤❤ baba yangu wakiroho
Ameeen
Mtumishi wa Mungu mimi kila nikianza kuombaa au kuombew huwa napiga miayoo 😢 shida inakuwa ni nin?
Jasusi la mbinguni💪🏾💪🏾
Aaaamen
Amina baba 🙏🙏🙏🙏
Amina
Hallelujah hallelujah hallelujah
Amen and amen.
Nafundishika sana mafunzo haya
Amen
ameni
Come Zambia
🎉
Muendelezo
Baba nisamehe naitwa Erasto Niko mwanza nasoma chuo cha Bible kinacho itwa Grass intranational Bible University ( GIBU) ila nimepungukiwa ada ya masomo naomba Kama inawezekana unisaidie tu Mungu akubariki baba
Kaka ungemtafuta baba askof private ivi siyo rahisi Kuna ombi lako mpaka apitie comment
@@EdesiaKatamba-wv7bu dah shida ni kwamba Niko mbali Niko mwanza yeye yupo dar
Ada shi ngapi na ukimaliza chuo unampango gani
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mchumba huyo😂😂😂😂❤❤
Nilipanda dala dala wiki iliopita, kumbe mtu niliokaanae alikuwa uchi, konda alimwambia gari lilivyo simama akakimbia
Unafraid.kuwa.Raisi.wa.Tanzania
😂😂😂🙏🙏
Story nyingi hakuna injiri hapo
Pia kupitia shuhuda ni injili pia
Kwani umelazimishwa kusikiliza
Ww ulitaka injili gan, si kila kitu utakacho sikia lazima kiwe kama unavyo taka.
Wewe unatak injil gn ndg
III ndo injili tuliyoizoea Wana ufufuo atujazoea kuhubiriwa utajiri tu ila tunapata chakula halisi Cha mbinguni yesu mwenyew alifundisha kwa kutumia mifano
Amen