KARIBU TUTAONA JIJI TULILOAHIDIWA, MSIFADHAIKE MIOYONI MWENU BY KURASINI SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH CHOIR - DAR ES SALAAM. VIDEO RELEASE 11 NOVEMBER 2023.
Mmenikumbusha wakati tukiimba wote 2010 to 2012 !!! Mmenibariki Sana .Nawaombea Sana Mungu awatimie vyema kwenye kazi yake,hata atakapokuja kutuchukua kwenda mbinguni.Itakuwa jubillee ,Amina.Sabato njema
Hongereni sana kwa kazi nzuri, naomba tu kama itawezekana maandishi ya jina la wimbo hapo mwanzoni mwa wimbo yarekebishwe KALIBU??? Nafikiri KARIBU ndio nasihihi. Nisieleweke tu vibaya kama wenye chuki ambao hawataingia ktk jiji😄😄
Mbarikiwe sana, nafurahi kila mara na kubarikiwa nikisikia kwaya hii, Mungu awabariki na hasa jinsi jinsi ambavyo mmekuwa na uimbaji hali halisi wa kanisa, hakika ni Mungu asingekuwa YEYE msinge dumu kama mlivyo dumu miaka na miaka.
Amina
Amen
Amen 🙏
Thanks to my choir
Aminaaaaaa
Mbiu sda
This is a masterpiece I can't stop playing it
Msifadhaike mioyoni mwenu yesu alitamka...God bless the church ❤
Waoooooh nimepata tena ladha ya kurasini ambayo ilipotea hapa katikati,,,,,,mbarikiwe sana wapendwa
Mbarikiwe na Bwana,
My favorite choir❤
Amen.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Aminaaa🎉🎉🎉
Barikiweni kwa utumishi
Nice song
❤❤❤
ameeen
Mmenikumbusha wakati tukiimba wote 2010 to 2012 !!! Mmenibariki Sana .Nawaombea Sana Mungu awatimie vyema kwenye kazi yake,hata atakapokuja kutuchukua kwenda mbinguni.Itakuwa jubillee ,Amina.Sabato njema
Nawapenda
Kaza mwendo tuingie Kwenye Jiji ambalo Yesu mwenyewe ndie atakaekua Mgeni Rasmi.
Barikiwa..
Mbarikiweee sanaaaaaa
Nawapenda
Kazi ya bwana iendelee
Mm napendaga zile non stop
Mbarikiwe sanaa
Nimebarikiwaa na huu wimboo..mungu azidi kuwatia nguvu..❤❤
Kwaya yangu pendwa
Aiseeeeee mbarikiwe sana
❤🔥
Amin
amen kurasini. feel loved people. all glory to God
So nice 🎉🎉
volume 36...mbarikiwe sana. Safari isonge mbele
Im blessed by the song .greetings from Nairobi.
Pamoja
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen and Amen Amen
Amen 🙏🏾! How i long for that day🙏🏾
To God be thy glory
Barikiwa sana........ Kurasini......ni kunyata nyata mwendo wa pole mwendo wa maarusi .....itakuwa jubilee
Hongereni sana kwa kazi nzuri, naomba tu kama itawezekana maandishi ya jina la wimbo hapo mwanzoni mwa wimbo yarekebishwe KALIBU??? Nafikiri KARIBU ndio nasihihi. Nisieleweke tu vibaya kama wenye chuki ambao hawataingia ktk jiji😄😄
Amen Amen❤
Amen 🙏 🙏
Mbarikiwe sana, nafurahi kila mara na kubarikiwa nikisikia kwaya hii, Mungu awabariki na hasa jinsi jinsi ambavyo mmekuwa na uimbaji hali halisi wa kanisa, hakika ni Mungu asingekuwa YEYE msinge dumu kama mlivyo dumu miaka na miaka.
Bwana awabariki Sana kwa wimbo huu nimebarikiwa Sana
Praise the Living God. Amen.
A blessing song for the sabbath
And for all days
AMEN AMEN 💯❤❤❤❤❤❤
I like this
Happy Sabbath
Blessings all
Amen. Mungu azidi kuwabariki
Ndiyo tukaze mwendo😢
Nawapenda hadi Yesu arudi leteni hata zile za zamani kabisa
Amina, utukufu kwa Mungu juu
I love the singing. I am so much blessed with the song. Thanks be to God
Amen. Karibuni sio kuona tu bali tutaingia jijini. Thanks for giving the feeling and the life to this song.
Wimbo mzuri sana, Mungu awabariki ✅
What a blessings song! Amina
Mbarikiwe sana Kurasini sda choir kwa kazi mzuri
Amen, barikiweni kwaya yetu ya nchi
❤Amina
Amen 🙌
My favorite choir,mbarikiwe sana
Bwana ni mwema Sana...
Na Awabariki.....
Mungu azidi kuwatumia mnatubariki sanaaaa
Hongeren sana mfike mbali Mungu azidi kuwainua 🙏🙏
Barikiweni sana, wimbo mzuri kwa wakati muafaka kabisa
Nuru yake yaongoza kuingia kwenye Jiji, hakika itakuaa ni shangwe Juu Mbinguni Bwana awabariki sana Kurasini SDA Choir..
Amen!Amen! Glory to God!
Ameen kurasini Choir
So nice.Full of hope and blessings.Keep it up.All the best.
Am blessed with your song
My favourite choir inspiring me so much with their songs.Blessings🙏🙏
Mungu awabariki kwa kumuinua kupitia sauti zenu
From Kenya 🇰🇪🇰🇪napenda sana
Namuona Mr Seba hapo, Barikiweni sana
Asante kwa wimbo
Mibaraka mingiii iwafikie ninyi na family zenu
Mungu awqbariki
kurasini anytime..... you never disappoint
Hongera sana kwa wimbo mzurii
Amen wajoli
Barikiweni Sana Kurasini choir
Hakika nimebarikiwa sana na wimbo huu
Greatest of all time.. Very consistent.
Wonderful and powerful song
Nabarikiwa na huu wimbo. Be blessed Kurasini
Amen 🙏 Mbarikiwe sana
Mungu awabariki 👏👏
safiiii kurasini mpo juu
Wakubwa kazini,Bwana awabariki sana.
Amen.Mubarikiwe sana.
Amina, Your standard is always exceptional. God bless you Abundantly. Greetings from Senegal ❤
Mzidi kubarikiwa
Nawapenda sana kwaya yangu hii yamoyo
Radha halisi ya kurasini choir bn, nabarikiwa
Kaz nzuri ❤
Mbarikiwe Sana kwa kazi mzuri ❤❤❤
Haleluya; mbarikiwe sana
❤Thanks So Much For The Good Work, Love You So Much From Nairobi, Be Blessed.
First heard of this when audio 36 came out in 2011 or thereabout and the message therein looses not its power even unto this time. Mbarikiwe kurasini.
❤❤🔥🔥🔥🔥
be blessed❤❤
Nakubali...❤❤❤