🔴MITAALA MIPYA KUANZA MARA MOJA PROF MKENDA AFAFANUA MITAALA MIPYA(necta) mtaala mpya wa elimu 2023

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 08. 2023
  • mtaala mpya wa elimu 2023
    necta,necta online,nectar,necta 2023,nectar gang,necta results,necta (butterfly),necta form six 2023,necta results 2023/24,baraza la mitihani necta,necta 2023- matokeo kidato cha sita 2023,rais samia ateua katibu mtendaji mpya wa necta,néctar,🔴#live breaking: necta wanatangaza matokeo ya form 4,electronic,sita,electronicmusic,tanzania,suéltame,tamisemi,ecscoffee,suavecito,botellita,cafe crime,form five selection 2023 matokeo ya darasa la saba 2022,matokeo ya darasa la nne 2022/23,matokeo ya darasa la saba 2022/23,matokeo ya kidato cha nne 2022,matokeo ya kidato cha nne 2022/23,matokeo ya darasa la 2022,matokeo ya darasa la saba 2023,matokeo ya darasa la saba 2022/2023,matokeo ya darasa la saba,matokeo ya darasa la saba 2022 mock,matokeo ya darasa la saba 2022 dodoma,matokeo ya darasa la saba 2023 morogoro,matokeo ya darasa la saba 2023 mkoa wa mara matokeo ya darasa la saba,matokeo ya darasa la saba 2023, matokeo ya darasa la saba 2022/23,matokeo ya darasa la nne 2024,matokeo ya darasa la nne,matokeo ya darasa la nne 2022/23,matokeo ya darasa la saba 2020/2023,matokeo ya darasa la saba 2023,matokeo ya darasa la saba 2023,matokeo ya darasa la saba 2022-2023,matokeo ya darasa la saba 2023-2024,matokeo ya darasa la saba 2023/24 mock,matokeo ya darasa la saba 2023 dodoma,matokeo ya darasa la saba 2023-2024 yametoka?

Komentáře • 47

  • @user-dj4kz3bt7j
    @user-dj4kz3bt7j Před 11 měsíci +1

    Mkenda hongera Sana,uko vizuri kwa uwazi wako na umakini na ushawishi wako.Mwenyezi Mungu akutangulie akuongeze hekima na maarifa ktk harakati za kuliendeleza taifa letu kwa Kila nyanja.Amen!

  • @honestkweka9501
    @honestkweka9501 Před 11 měsíci

    Ok

  • @user-dj4kz3bt7j
    @user-dj4kz3bt7j Před 11 měsíci

    Hongera Sana Mkenda uko vizuri,uwazi wako na ushawishi wako.Taifa linakutegemea/linakutumaini Sana Sana.Watanzania mnasemaje?

  • @user-im9dx7xr6i
    @user-im9dx7xr6i Před 6 měsíci

    Waziri hongera sana unaangalia mbali sana katka suala la elimu ila Ninaomba niulize Kwa Sasa katka Karne ya 21 tunatumia competence based assessment skills Ili wanafunzi kuwapima walichoelewa je? Walimu mumewabadilisha katka mfumo huo? Maana Kwa Sasa ufaulu ni mdogo? Kwa kivipi mnadahili wanafunzi kufta mfumo wa competence wakati Bado elimu ya Juu Kuna mitihani! Ya content? Jamani uko plan kitu weka implications kwanye jamani,Vilevile wakuu kumbka Kuna walimu mtaaani wako kwenye mfumo wa zamani wa content hamuoni mnaandaa kazi kuwa ngumu jamani

  • @user-kf6tz1px6f
    @user-kf6tz1px6f Před 11 měsíci +1

    Huyu bwana anafaa kuwa rais wa nchi hii kwanza anathubutu,watu wa system Muwe macho,huyu ni kiongozi

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 Před 11 měsíci +1

    Kwa mdomo nakiri tumejaaliwa lkn hakuna kitu.

  • @user-bo2ok5sb5t
    @user-bo2ok5sb5t Před 11 měsíci

    Hongereni sana

  • @veonicaanthony-pn9nu
    @veonicaanthony-pn9nu Před 11 měsíci

    Mmmmh cjui, ngoja tuone itakavyokuwa, maana Mimi naona itakuwa ni changamoto,na watoto watamaliza shule ya msingi bado wadogo na watakuwa bado hawana uelewa vizuri,akili za watoto zitakuwa bado hazijakomaa

  • @kassimjigge4727
    @kassimjigge4727 Před 5 měsíci

    mitaala mipya itakuwa na maana kama ni total overhaul of our education system we need a competitive education an education that can withstand international competitions we need to be able engage in labour exports officially like some of our african countries, ondoa kabisa siasa mashuleni

  • @DanielMollel-nu5yq
    @DanielMollel-nu5yq Před 11 měsíci

    Mmh

  • @magretkijanga6038
    @magretkijanga6038 Před 11 měsíci

    Hongereni😊

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula Před 11 měsíci

    Unastaafu lini..

  • @andambikeandambike4968
    @andambikeandambike4968 Před 11 měsíci

    Toeni hata maswali ya kuchagua kwa shule za msingi au yapunguzwe ila kwa hisabati yatolewe yote

  • @giftprosper2355
    @giftprosper2355 Před 11 měsíci

    Na lugha iwe kiswahili au kiingereza kuanzia darasa la kwanza

  • @gwandumaqway2010
    @gwandumaqway2010 Před 11 měsíci

    Lugha moja ya kufundishia itamkwe

  • @user-qb8fv6mf2b
    @user-qb8fv6mf2b Před 8 měsíci

    Haina haja ya mitihani

  • @calveenykevoo5399
    @calveenykevoo5399 Před 11 měsíci

    Uongezewe ata miaka 20 kwenye hii sekta aisee

  • @jumastima-su8dc
    @jumastima-su8dc Před 11 měsíci

    Lugha Gani ya kufundishia nataka iwe kingereza iwe lugha kufundishia

  • @shijahlaurent3100
    @shijahlaurent3100 Před 8 měsíci

    kwa hili siongei chochote.

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v Před 11 měsíci

    Bila kuondoa hwa mawaziri wenye umri mkubwa ondoa kabisa

  • @user-sw1dv1iq6h
    @user-sw1dv1iq6h Před 11 měsíci

    Kiingereza mkuu. Hili likitu la 😂😂

  • @andambikeandambike4968
    @andambikeandambike4968 Před 11 měsíci

    Lugha waziri nalo n tatizo 1:32

  • @DanielMollel-nu5yq
    @DanielMollel-nu5yq Před 11 měsíci

    Iwe kingereza mwanzo mwisho

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo Před 11 měsíci

    Prigozin ameshaingia Africa
    Tutayarudisha ya mwalimu nyerere siyo ya watumwa kuwatumikia wakoloni na ukuu wa miongozo yao

    • @NOORMOHAMED-sg9lo
      @NOORMOHAMED-sg9lo Před 11 měsíci +1

      Rest in peace prigozin
      Aluta continuwa
      Russia 🇷🇺 still in
      God bless Putin and Russians
      Russia 🇷🇺 Africa

  • @user-sw1dv1iq6h
    @user-sw1dv1iq6h Před 11 měsíci

    Kwa lugha gani?😅

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd Před 11 měsíci +1

    Elimu ya msingi ifanyiwe mabadiliko, lugha ya ufundishaji kwa shule za umma iwe kiingereza ili tujenge taifa la vijana wanaojiamini katika kujieleza, watanzania wengi hatuwezi kushindana na wenzetu kwenye fursa nje ya nchi. hii ni kutokana na misingi duni ya lugha za kigeni,

    • @Gracemima
      @Gracemima Před 11 měsíci

      Waalimu wenyewe hawajui kiingereza watafundishaje. Mageuzi ya elimu lazima ianzie na waalimu. Waalimu wengi wamemaliza darasa la saba ama la nane zaidi form four Tena walio feli NDIYO wanaenda kufanya course ya ualimu. Hii NDIYO maana elimu yetu ni duni sana.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Před 11 měsíci

      @@Gracemima sasa hivi four ualimu hawaendi.

    • @user-ev9ps4vo4p
      @user-ev9ps4vo4p Před 11 měsíci

      Nakupinga kuhusu walimu wengi ni form four failed never tupo wenye division 3 zetu combination hazikumeet kwenda five wengine tumesoma miaka ya 80 failed ni miaka ya 90_2000 tutake radhi dogo

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Před 11 měsíci

      ​@@Gracemimaeeeeh ckuhz ualim wanaenda mwsho wenye three had one wanapelekwa sio kwel

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Před 11 měsíci +2

      Kwann tuabud lugha ya watu kiswahl ndio lugha yetu

  • @johnviperviper4778
    @johnviperviper4778 Před 11 měsíci

    Kiongoz ni sifa zipi mwanafunzi ana takiwa awenazo ili kupata mkopo wa chuo kikuu

  • @petermashalay4280
    @petermashalay4280 Před 11 měsíci +2

    Mitihani inayotolewa wasiweke maswali ya kchagua kwenye hisabati wakokotoe wenyewe kuliko kuwa na maswali mengi yakuchagua watoto watakuwa wanafaulu na wasio jua

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 Před 11 měsíci

    Muda wa kutoka shule rudisheni saa 8 mchana. Sasa hvi mnawatoa saa 12:30 jioni.

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Před 11 měsíci +1

      Cjakuelewa maana watoto sasahv wanatoka saa 8 na nusu

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 Před 11 měsíci

      @@faithmapondo7370 kwenye mawilaya watoto wanatoka saa 12:30.jioni.haitoshi na jumamosi wanaenda shule.wanaotoka saa 8 nimikoani.

  • @sesicasi1364
    @sesicasi1364 Před 11 měsíci +1

    Kama mnapeleka darasa la nane ndo tutaona mna akili. Lakini kama ni darasa la sita mnazidi kuizika Tanzania. Hivi mtoto wa kijijini amechujwa na akaachwa. Ee Mungu huyu binti wa miaka 11 au 12 ataenda wapi? Wenzetu watoto wao wanaishia la nane. Sisi la sita! Kweli? Acheni huu ni wendawazimu. Hawa watoto watacompete wapi na nani? Kuna nchi ipi inafanya mambo kama haya? Kabla hatujashangilia tujikumbushe tu jindi UPE ilivyoiharibu elimu ya Tanzania. Elimu na siasa wapi na wapi? Angalieni Kenya su Uganda. Hawachezei mifumo yao ya Elimu na wametuacha mbali ktk mengi. Elimu ya mdingi ni kila kitu. Ukivuruga msingi wa nyumba huna nyumba. Vivyo hivyo na Elimu ya msingi Tanzania.

    • @magretkijanga6038
      @magretkijanga6038 Před 11 měsíci +1

      Wewe ndo mwenda wazimu,toa maon sio kukejeli😊

    • @ladislausriwa7768
      @ladislausriwa7768 Před 11 měsíci +1

      Hadi darasa form four lazima. Sikiliza kwa makini

    • @geniusplus8586
      @geniusplus8586 Před 11 měsíci

      Kuishia darasa la nne, sita au nane hakuna tatizo. Si lazima tuige majirani. Kinachozingatiwa hapo ni maudhui. Kama nchi, tunapaswa kuwa na mitaala yenye maudhui yanayomwezesha mtoto kuyakabili mazingira yetu katika kutambua fursa na kuzisimamia.

    • @gwandumaqway2010
      @gwandumaqway2010 Před 11 měsíci

      English itamkwe kama lugha ya kufundishia kuepuka ubaguzi

    • @hamzamwaya463
      @hamzamwaya463 Před 11 měsíci +2

      Mi sijuwi tu wakat mwingne, yaan suala la kuanza kukejeli au kutukana tumelifanya kuwa suala jepesi sana halafu bila kujali huyo unaemfanyia hivyo ni baba au mama ktk familia yake. Yaan badala ya kushaur jambo kwanza unaanza kushusha matusi, hii vip ndugu zangu.TOA MAONI YAKO

  • @petermashalay4280
    @petermashalay4280 Před 11 měsíci

    Tkitaka kjua elimu ya vjana imeshuka hasa drs 7wajewafanyiwemajaribiosekondar
    Wananapofika tu shule wardie mtihani uleule walio fanya drs7na
    Wasiwekewe maswali mengi ya kchagua mana wanabahatishatu ilauwezo wa kielimu shida