Nakuhurumia sana PM. Hawa watu sijui utawatokomezaje maana wametapakaa nchi nzima. Nchi ilivyokua kubwa hivi. Nakuombea Mungu akupe wepesi katika hili.
Mhe waziri mkuu akika ni mchapa kzi sana mungu akurinde mhe waziri mkuu wtuu akika tunaona kzi zako na matunda yako na ni mfano tosha wa kuigwa na viongizi wengine lakin mmebaki wachache sana wazarondo, wtu awna uhruma,
Tunashukuru mheshimiwa Ila Mimi Kama mzalendo napendekeza pia huyo mkuu wa chuo Kama mwenyekiti wa kamati za ujenzi awajibishwe vikali maana anajua Kila kitu kilichokuwa kinaendelea katika chuo chake
ILA hii nchi ukiwa mkweli unakuwa mbaya. Majaliwa mungu akupe nguvu usimame kwenye haki tu na mungu karim atakunyanyua inshallah utashika uraia nambari moja utetee nchi yako.
Yaan wazir mkuu nakuonea huruma sana pole sana ndgu, hawa watu ni hovyo sana, yaan wakikuta barabarani na migari yao mikubwa wewe na ki passo chako weweee utapigiwa hon 😂
Bilioni 7? Kweli nchi ina mambo mengi kwakweli! Ila PM MAJALIWA ulitakiwa wewe ndio uwe rais wa nchi hii, lkn chakushangaza 2025 hutokua Waziri mkuu tena,
Hii nchi watu wajipigia pesa za walipa kodi wa nchi hii kama za familia zao tu. Tatizo mfumo mbovu wa uongozi kuanzia ngazi za juu vigogo wanachota pesa bila hata soni tuoneeni huruma jamani ss walipa kodi wenu tumechoka ipo siku tutakinukisha bora mtuue tu wote mbaki na nchi yenu mtumbue vizuri
@@yassinshamte4172 wewe pimbi unadhani huyo Samia kazi hio anaweza yaani ni mtu wa kukaa ofisi na kusubiria mshahara mwisho wa mwezi na ndizo Kodi zetu😂😂 ila mwaka 2025 wajipigie wenyewe kura ila wananchi wa Tz hawatopiga kura labda akigombea majaliwa hapo sawa
Hawezi kuwamaliza kwani wanawekwa na watu ambao hana mamlaka ya kuwafukuza. Njia pekee ya kutokomeza hao ni kufukuza viongozi wao. Kwa kifupi kuwajibisha kuanzia na mawaziri, wakuu wa mikoa nk. Kuwafukuza hawa ni sawa . MUNGU AZIDI KUKUBARIKI MH. MAJALIWA
Imefika wakati Takukuru nayo ichunguzwe na ifumuliwe upya na kuangalia mwenendo mzima wa utendaji wake na uwezo au uweledi wa watendaji wake!Cheo ni dhamana na inaonesha elimu zao hazitusaidii tena,tunahitaji"people of integrated,Responsible,seriously and willingness to do the job"I started to doubt even their religion faith isn't an issue anymore....we should think differently now
Hawa n wahuni wamechoma makusudi ili kuzipoteza nyaraka ili serikali ikidai hakuna kitu hii nchi bila ujanja kwan haiwezekani tukijenga nchi zetu kama wachina tukiwa wazalendo tuifikishe nchi sehemu ya uchumi wa juu mbona inawezekana tu kuliko ujanjaujanja mwingi embu tubadilike
Majaliwa wew ni mfano jaman ifike hatua tumuogope Mungu tukienda tukimuona tutamjibu majibu gani?Ikiwa shetani anamuogooa Mungu sisi ni akina nani wizi umejaa watu hawana huruma Mungu anawaona
Safi san mkuu madudu yote na majipu usaha mafisadi waso uchungu na uzalendo na wenye tamaa wanaorudusha nyuma maendeleo yetu na kuwakosesha haki wengn wote wapasue mh. Majaliwa bila hurum maan wao wenyew hawana imani
Nakuhurumia sana PM. Hawa watu sijui utawatokomezaje maana wametapakaa nchi nzima. Nchi ilivyokua kubwa hivi.
Nakuombea Mungu akupe wepesi katika hili.
Kweli PM Mungu akulinde hayo unayoyaona ni machache sana
Mama Samia Rais wetu, jembe unalo. Kazi iendelee mheshimiwa Waziri Mkuu, Mungu akupe maisha marefu tunakutegemea boss wetu
Asante sana Waziri mkuu kassimu majaliwa MWENYENZI MUNGU akupe afya NJEMA. ✍🇹🇿
Mungu akubariki kwa kazi njema nakuombea kwa Mungu uwe rais wetu
Safi sana mheshimiwa wazir mkuu kwa kazi kubwa unayofanya kwenye taifa hili,mungu akusimamie popote unapopita inshaallah
N mpambanaji saana huyu kiongozi
Uyu mwamba namkubali sana mungu akupe maisha marefu waziri
Unyamaa mwingi waziri
Majaaliwa Baba etu Waziri wetu mungu akulinde, ukiwa Rais ao mafisadi watanyooka
Waziri mkuu wewe ndio kiongozi. Mungu akubariki ufike mbali
Mhe waziri mkuu akika ni mchapa kzi sana mungu akurinde mhe waziri mkuu wtuu akika tunaona kzi zako na matunda yako na ni mfano tosha wa kuigwa na viongizi wengine lakin mmebaki wachache sana wazarondo, wtu awna uhruma,
Asante sana Mungu kwa kutupa huyu mtu, hakika hii ndiyo maana ya Waziri Mkuu naamini Kuna baraka zote Toka kwa Mungu na kwa Rais
thanks for dat
Kama mzee magu kabisa mungu angurinde unachapakazi.
Da haki ya mungu kunawatu sijui vipi hao takukuru ..mapolisi wote wamekula hela...da mungu akuongoze mkuu ..miss pombe magufuli
Hongera kwa utendaji Mhe. Waziri Mkuu.
Waziri mkuu Mungu yupo pamoja na wewe fanya kazi kwaajili ya watanzania Mungu atakusimamia hongera kwa kusimalia lasilimali na pesa za nchi
Hivyo ndivyo tunavyotaka
Mu
majaliwa ndo magufuli watakiona moto
Ee Mungu cjui niseme nini kuhusu huyu PM Mungu ambariki
Mungu ameingiza roho ya Dr. Magufuli kwake
Mhw.waziri mkuu saluuti kwako
Ww ni msaidizi sahihi wa raisi nakupenda sana mkuu wangu
Nchi imeoza hii.... Karibu kila halmashauri imeoza kwa ufisadi
Hao takukuru ni hovyo kabisa
@@robertgallus85gallus52 takukulu nao wapigaji tuu
Fanya kazi mh waziri mkuu, tupo nyuma yake
You are doing very well Hon. Prime Minister. God bless you!!
Weka ndani wote mkuu
Mungu akulinde mzee wangu
Hongera waziri mkuu
Vizuri sana mh waziri mkuu.
Sikuizi wana zarau wanajuwa makufuli hayopo allah amrehm president wetu kazi kaz I love u Kasim 💖😢😢👏👏👏👏👏
Mh.waziri mkuu wewe ni wapekee.hata mungu anavutiwa na utumishi wako.futa wapuuzi hao.
Jamaa ameingia kwenye mkutano akiwa mheshimiwa...ndani ya dakika chache anarudi akiwa mtuhumiwa,duuuh maisha haya jamani hayana formula
Waziri wa Mkuu katika ubora wake.
Ufatiliaji ndio utendaji kazi
Hahahahahaha
Uyo kamanda Sura nzuri sana
Mungu akulinde sana mh waziri mkuu
Kazi nzuri sana Mr Kassim Mungu akuzidishie utendaji kazi huo
Safi sana mkuu tunakipenda mnooo
Mamdogo😂
Wazili mungu akulinde kwa kazi unazofanya
Unaeleweka waziri mkuu
Sawa big kazi iendeleeeee
Asante Mkuuuuuu
Hapa tunarudi nyuma tena kaulimbiu yetu hapa kazi tu😋🙏
✊️🖐👏👏👊
Mh Majariwa Hongera sana kwa kazi kubwa tunaombwa mchi nzima. Wafutwe kazi na kurudisha pesa. Mkuu wa Mkoa na Mkurungeze wote walipe
Asa baba unajua kazi mungu akurinde
Safi mkuu wetu
Wanyoshe sana. Namukumbuka JPM🇧🇮
Tunashukuru mheshimiwa Ila Mimi Kama mzalendo napendekeza pia huyo mkuu wa chuo Kama mwenyekiti wa kamati za ujenzi awajibishwe vikali maana anajua Kila kitu kilichokuwa kinaendelea katika chuo chake
Nakupnd Sana kipenzi Cha roho yangu majaliwa ♥️♥️♥️♥️♥️
Tumechelewa sana kuendelea kwasababu kama hizi nchi ni maskini kila siku kumbe watu wanapiga tu
ILA hii nchi ukiwa mkweli unakuwa mbaya. Majaliwa mungu akupe nguvu usimame kwenye haki tu na mungu karim atakunyanyua inshallah utashika uraia nambari moja utetee nchi yako.
Tia ndanii,,,, soma iyooo... tutajuwa mbelee
Majaliwa my lovely PM nakupenda mnooooo
Ee mungu mlinde huyu baba ndiye aliebaki tumaini la watanzania
Nchi haiongozwi na mwanamke ikawa salama
Anaongoza sahivi ni nani ,na umeskia wapi kumevamiwa,acha ushamba
@@hubimogela9167 Sasa hivi anaongoza baba ako au
Dini zote zinajua hilo,lakini mapadre na masheikh kwa ajili ya njaa zao,wanafumbia macho vitabu vya Mungu,kwa mwenendo huu,nchi haitakuwa salama.
@@aminimushi6945 ww mwnyw haupo salama 😆😆😆😆
Bravo muheshiwa majaliwa🙏🙏🙏
Honngela munguakubaliki akupeuwepesi afya njema amin
Yaan wazir mkuu nakuonea huruma sana pole sana ndgu, hawa watu ni hovyo sana, yaan wakikuta barabarani na migari yao mikubwa wewe na ki passo chako weweee utapigiwa hon 😂
Duuuuh we baba nakuombea maisha mengi mbali ufike pia uje uwe rais wa nchi yetyu
Asntee wazirii mkuu bt naona kama unawachelewesha hao duuh sisi tnasumbuka na kodi jaman kwa jpm hao walikuwa na kipengele jamaaaaa jpm 🙏🙏🙏👈
Nakubali muheshimiwa 👏🏽
Ukiwa kiongozi Tanzania ni pasua kichwa ofisi imeungua nyaraka tu hii ndiyo bongo
Amini usiamini akiwa kiongozi atakua busy na yangine, hata Suluh alkua hivo
Magufuli si huyu hapa
Bilioni 7? Kweli nchi ina mambo mengi kwakweli!
Ila PM MAJALIWA ulitakiwa wewe ndio uwe rais wa nchi hii, lkn chakushangaza 2025 hutokua Waziri mkuu tena,
Hii nchi watu wajipigia pesa za walipa kodi wa nchi hii kama za familia zao tu. Tatizo mfumo mbovu wa uongozi kuanzia ngazi za juu vigogo wanachota pesa bila hata soni tuoneeni huruma jamani ss walipa kodi wenu tumechoka ipo siku tutakinukisha bora mtuue tu wote mbaki na nchi yenu mtumbue vizuri
Ase nchi hii ngumu sana,usikute huyu jamaa hawamtaki halafu wakamazunguka.
Rais wetu ndio huyuu
We unadhani anafanya kwa maelekezo ya nani....
@@yassinshamte4172 wewe pimbi unadhani huyo Samia kazi hio anaweza yaani ni mtu wa kukaa ofisi na kusubiria mshahara mwisho wa mwezi na ndizo Kodi zetu😂😂 ila mwaka 2025 wajipigie wenyewe kura ila wananchi wa Tz hawatopiga kura labda akigombea majaliwa hapo sawa
Inamaana hujui kuwa huyu ni Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Wampe kijiti 20225 anatufaa kabisaa
Hawezi kuwamaliza kwani wanawekwa na watu ambao hana mamlaka ya kuwafukuza. Njia pekee ya kutokomeza hao ni kufukuza viongozi wao. Kwa kifupi kuwajibisha kuanzia na mawaziri, wakuu wa mikoa nk. Kuwafukuza hawa ni sawa . MUNGU AZIDI KUKUBARIKI MH. MAJALIWA
Waziri Mkuu✅
Ameni ameni
Ndio👏
inawezekana nao ni washiriki wa hilo kosa ndio maana hawajaona kosa
Wazili piga kazi wametapakaa sana hao
Baba Asante kwakututia moyo
Piga chini Rc Rs Dc na vikolombeezo vyote hawafai wote
Waziri mkuu wetu namkumbuka baba jamani enzi zake
Tatizo kubwa tena liko Kwa hao takukuru
Wew nijembe safi sana.
Ashkuru Sana maana ingekuwa ni raisi mwenyewe basi angemfukuza kazi hapo hapo na pesa angezitoa
Powa
Imefika wakati Takukuru nayo ichunguzwe na ifumuliwe upya na kuangalia mwenendo mzima wa utendaji wake na uwezo au uweledi wa watendaji wake!Cheo ni dhamana na inaonesha elimu zao hazitusaidii tena,tunahitaji"people of integrated,Responsible,seriously and willingness to do the job"I started to doubt even their religion faith isn't an issue anymore....we should think differently now
Kosa lipo lakini ni kinyume na utaratibu kiongozi yoyote kuipa amri Polisi kumkamata mhalifu,
Mama samia ikikupendeza nenda navmajaliwa miaka5 tena
Samia anatoka katiba ya ccm Rais anatoka bara samia alipata zari la mentaly tu, majariwa ndo Rais wa 25
Waziri mkuu mafia 0:59
MH. WAZIRI MKUU WW. ALIE KUA WAZIRI MKUU. AMBA SASA NI MREHEMU NI BABA MMOJA KATIKA. KUCHAPA. KAZI
Eeeeeeh, hapo sawa chuma
Tatizo kizuri hakidumu....😢😢😢
Inatia uchungu watu wanavyopiga hela,wako kitu kimoja hao mkuuu
Mheshimiwa waziri mkuu wote hao ni wahusika hata hao takukuru kwa nini hawaku chukua hatua na wao ndio chombo cha sheria
Raisi Hana pesa waziri mkuu pesa niza wanachii walipa Kodi zimeibwa pesa za wananchi zinaibwa Kodi zetu
Hawa n wahuni wamechoma makusudi ili kuzipoteza nyaraka ili serikali ikidai hakuna kitu hii nchi bila ujanja kwan haiwezekani tukijenga nchi zetu kama wachina tukiwa wazalendo tuifikishe nchi sehemu ya uchumi wa juu mbona inawezekana tu kuliko ujanjaujanja mwingi embu tubadilike
Tengeneza Hiyooo!!!!!!
Majaliwa wew ni mfano jaman ifike hatua tumuogope Mungu tukienda tukimuona tutamjibu majibu gani?Ikiwa shetani anamuogooa Mungu sisi ni akina nani wizi umejaa watu hawana huruma Mungu anawaona
Wwe ndo tegemez la wa Tanzania tunakuombea Mkuu
Mmm! Hiyo takukuru hiyo daaah! Hizo kazi si mgetupa sisi vijana ? Hao wezi piga chini hawapendi nchi yao
Upebari wa Hali ya juu kwa Bw.Majaliwa...Udiktetaa
Majaliwa Qassim majaliwa mwenyez MUNGU akujaalie Baba uje kuwa mkuu wa nchi yetu ifikapo 2030
Kwani Waziri Mkuu Haluhusiwi Kugombea Uraisi?
Maana........
Piga kazi comrade
Wakalimejeera mpaka magodaun watujazie wananchi
sweka ndani
Njoo korogwe mkuu
JPM part 2 kazi nzuri
Nakuombea sana waziri
Waliohusika wote MUNGU AWANYOSHEE HUKU URAIANI KUGIMU SANA WENYEWE HUKO MWALA HELA NA KUFICHA HELA AAAA MUNGU. AWAFICHUE WOTE

Mazito