KISUGU AKINUKISHA ENG.HERSI SAID KUUBWAGA URAIS | JUMA MWAMBA ASHIKWA NA UKAKASI SAKATA LA WAZEE !!!
Vložit
- čas přidán 26. 08. 2024
- JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Alikuwa. Mwizi wazee wamemgundua mapema wazee ongereni sana wazee
Yaani wazee wako vizuri sana tena mnashindwa kuongea mambo yenu mnabaki kufatilia wachezaji wa simba tu wazee wamepiga panapo uma thank you hersi said tafuta usajili 😅😃😀😃
😂😂😂😂 thank you ya engineer hers 😂😂🎉🎉🎉
Kwahio unataka useme eng hers kapewa thank u na wazee 😀😀😀😀😀😀😀😀
Big thank you.wezi wakubwa
Ni hatariiii na huyo engineer😅😅😅😅😅😂🎉❤
Kumbe uto bhana 😂😂😂😂
😂😂Yanga mnapenda kufuatilia Kambi ya Simba lakini kesi za wazee wenu aaaah🐸🐸🐸
Nssf kitanzini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kITANZI MASHUZI PWIIIIII PWIIIIII 😂😂😂 NA BADO
Ubaya Ubwela ndio inaanzia hapo 😂
NA WEWE KAZI YA ALI KOMO UPEWE WEWE 😂😂😂 KWANI WEWE JUMA UNAPEWA MSHAHARA????
Sisi Simba tunamuamini Mungu tu ndio msaada wetu
Sikia hayo maswali mabayo hayana maana kama alikua anaendelea kukusanya upelelezi baada ya upelelezi kukamilisha ndio kaenda mahakamani na kashinda kesi
Kisugu uko njema sanaa pasuka tu usiogope hao wazee wametumwa kutuvuruga Kwa karne hii wameshindwa na watalegea
YULE MOMO WA ZANDAAAAAANI KWANI ANASEMAJE??? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂UBAYA UBWELA
Wazee oyeee
ALBADIRI ISHAANZA KAZI YAKE WANGA WACHAWI WAKUBWA NYIE 😂😂😂😂😂😂 NA BADO MACHOGOOOOOOOOO
Katiba jamani
KWELI KISUGU ANAFAA KUWA MSEMAJI WA SIMBA .
Mtalijua jiji
Kisugu pamoja sana
MWANDISHI NENDA KWENYE MKUTANO WA MACHOGO WAKITIANA BAKORA RECODI UTULETEE 😂😂😂😂😂😂 NG'OMBE WA MAZIWA OYEEEEEE 😂😂😂😂😂
Na ww ndio muhusika mkuu jinga mkubwa
Ubaya ubwela
figisungu zimeanza
Mahakama iheshimiwe
BABRA WA SIMBA KAITWA CAF NA NDIE ALIEMPIGIA DEBE HUYO HERIS WENO HAMNA LOLOTE MATOPOLO MACHOGO FC MACHOGOOOOOOOOO 😂😂😂😂😂
Hao vijana watuachie timu yetu wazee yaani ata mzee pili walimuaxha na gari
Mahakama kuu ni chombo cha juu ktk sheria.Hao viongozi watoke wakabidhi ofisi
Uto walikurupuka wanapenda kuiga manake baada ya simba kumtangaza mo awe rais wa heshima na wao wakaiga
mishabiki ya yanga ni mimbumbu hayaelewi ha kiswahili
Sasa wewe mbona hauongelei Yanga yako mpaka hapo bado Simba mbovu Shabalala mala Kapombe sema sisi siyo people tutakutana.🎉
Hiyo kofia ya mzee unatsha ni noma
Wazee wa Yanga wamesahaurika sana na ndo walezi vijana wanawabeza wazee wao hapi utulivu haupo tena Mzee Juma Magoma komaa mchuzi wa moto moto Eng hapo alipofanya inatoshaaa
KISUGU UNACHOPIGIA KELELE TUTAKIONA TAREHE NANE KWANZA WEWE NI POROJO TU UNALUPWA NA VIONGOZI WA SIMBA KUSIFIA UJINGA WA VINGOZI WAO IVYO WEWE UJUI MPIRA ILA KIPAJI CHAKO NI KUPIGA KELELE TUU UJUI MPIRA UJUI MPIRA NARUDIA TENA UJUI MPIRA WENGE NI NYINGI SANA
Kila tatizo la yanga wanayanga wanakuambia limetoka simba huu niupungufu wa mawazo wabadilike
Leo ndo nimengundua baadhi ya watazania ni watyu wa hovyo kabisa
Mm niko pamoja na wazee mpaka kieleweke litang'oka jitu😂😂
HATA MIMI WAZEE WAHESHIMIWE
Kisugu anatumia Matako kufikiria
Siyo mahakama unayo isema siyo ya michezo kumbuka kenye ilio fanyiwa
huyo mzee nyuma ya kisugu anaonekana nae alikuwepo na wazee wa yanga mahakamani
Hahahahahahahaha duuuuuuuh hako kazeee kanaonekanaaa
😂😂
😂😂
Na nyie nguvu moja,kazi kuiga uto
Kwamafanikio walionao yanga si rahisi kumtowa hersi mana kawafikisha yanga kwenye nchi Yao ya ahadi
Injinia hawezi pinga mamuzi ya mahakama, lazima atii usicheze mahakama
Simba inahusikaje hapo
Mzee huyo mchawi😅😅😅
Kolo furahieni lakini mjue yule kolo mwenzenu hafui dafu
Kwani Mo alipokua anapangua watu taharuki ilitoka wpi si kwenu mvurugane tu😂
Na hizo bajeti za matumizi mengineyo zilizokuwa zikipitishwa wazee hawazitambui.mmmh hapo Sasa.!
Wewe nimpumbavu katiba inasemaje
Ww ndo mjinga katiba ya yanga inakuhusu nn ww Debora
@@EliaMkumbo-wn7bm🤣🤣 unajizima data sio et Debora umesahau kuwa kuna joys upande wenu
@@EliaMkumbo-wn7bm😂😂😂😂😂 jamon joyce😂😂😂😂
Uyu jamaa j na upaa wote atajui kuongea
Piga churahao
Eti combination ataipata wapi,no logic.mmepatwa na wazee.
Watu wa simba ni mafala sana leo ndo nimejua hilo wanahangaika na mambo yasowahusu
Mpiraa usipokuwa na imani unaweza piga mtuu mpira unakelaa
Watu wampige magoma
Hapo mwishoni nimerudia na kucheka
Kisugu mwaga sumu ubaya ubwela
Bundi huyoooooooo hakuna lugha moja tena yapoooo!
Nywere kichwani huna Akili huna, mbona umeshindwa kesi yanga?
Ndiogongowazi
Tatizo vijana wa yanga hamjui katiba yenu
7:34 ppo 7:36 7:37
mtangazaji kafanana na Kicheche wa komediani...
Kisugu umecheka kama mbuzi
Kisugu kasuguwe meno yoko machafu
kwani simba ndyo mahakamam
Mimi ni mpenzi wa Yanga niwaulize hawa wazee akitoka injinia halafu iweje??? Hawa wazee wametumwa
Wametumwa lkn hawataweza,hvi kwa mafanikio haya wanataka kuipeleka yanga kumbe wenyewe hawakufurahishwa na haya mafanikio
Dr MSHINDO aliondolewa Kwa MAPINDUZI BARDI....hii HAINA BUSARA utaratibu UGUATWE....
Sasa wewe mwandishi kagoma ni nani
Fatilieni SIMBA yenu YANGA itawasaidia nini Nyie MAKOLO Kwanza nyie SAIVI ni WAFAMAJI TU
Ukimfanyia ubaya MTU Tena kwamakusudi,tambuaaa mabaya yoteeee yatakuludia
Mbona mkiyaoji majitu ya yanga nyie waandishi mnawasapoti hadi maneno wakishindwa waacheni washindwe tu
case mahakamani ya yanga haituhusu sisi simba
Kisugu sura mbaya sana na roho
Wale wazee wametumwa na Mangungu na Try again full stop
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂,, jamani mbona mnaionea Simba ,,,ubaya ubwela
🤣🤣🤣🤣🤣👉🐸🐸🐸🐸🔥🔥🔥🔥🔥
Eee yamekua hayo zamu yenu tulieni 6 zinakuja 4:35
@@user-pf6yw7vh1p yanga hawafahamu club yao imeingizwa hasara bilion moja ushehe
Y
KISUGU FUATA YA TIMU YAKO MBOVU
S
Aende zake huyo mzeeee asitulundishe kule
Yaan wameshindwa kupambana uwanjan wanaanza siasa zao
Waropokaji wengi Akina Kisugu
Kagoma amesema Hajui aliye peleka Kesi Mahakama
Kagoma Sio Mzee ni Shida zake hawezi kufanikiwa Kiumbe Magoma
Huyo ajui mpira ji jinga tuuu
Mambo ya Michezo hayaendi Mahakamani
MORISON mlimpeleka mahakamani alikuwa mwanasiasa au🤣
Ndio lishafika
Hii hukumu umetoka mahakama ya kisutu sio mahakama kuu
Ao wazee wana2mika na waasilika kuivuluga yanga kwann wasiendemahakmani kipindi yangainafanyavibaya waende wakatiinafanya vzr?ha2waelewi
Tatizo Kisugu hajielewi kabisa. Halafu waandishi hawajielewi kabisa
huyo mzee ni mbwa
Baba yako ndo mbwa
We nae kuma lamam yako
Acheni Matusi iwaingie sawasawa
@@ErcksonjohnMishoorimama yako ana nini???
Kikubwa ni utulivu tu sio kingine
Kwani yeye huyo shabiki wa Simba anataka haya yazungumziwe wapi kama sio kuita watu comfrence ni muhimu weee umetumwaaa sio wewe
Wazee wengine wachawi tu