AHMED ALLY Afunguka CHAMA, KIBU/TUTAWATOA SANDAKALAWE/Kama HATUMTAKI mchezaji Yeyote

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 05. 2024
  • Afisa Habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amefunguka kuhusu tetesi za Wachezaji Kibu Denis na Chama kutaka kuondoka klabuni hapo. Kwa mujibu wa Ahmed amesema kuwa mchezaji yeyote kama simba haimtaki itamuacha lakini kama wanamtaka atabaki SIMBA
    _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe CZcams channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
    #KibuDenis #Chama #Simba
  • Zábava

Komentáře • 19

  • @StephenPauloPaulo
    @StephenPauloPaulo Před měsícem +2

    Ongea point ,hiyo mikono inachoma mwandishi wa habar

  • @IsackJamesmabara
    @IsackJamesmabara Před měsícem

    Mungu hachez

  • @Suleimanalysoud
    @Suleimanalysoud Před 16 dny

    Makom be ya mchongo hayo

  • @pastormwanjatv1000
    @pastormwanjatv1000 Před měsícem

    Aachwe kocha mgunda tumeteseka sana na makocha wa kigeni hivi karibu

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l Před měsícem

    TUNATAKA VIONGOZI WANAOJUA MPIRA ,MANGUNGU NA TRAY AGEN siyo watu wa mpira ,wale ni wanasiasa 😢😢😢

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Před měsícem

    Wala hatuna ubaridi wowote ukae ukikua hilo

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 Před měsícem

    Edwin bukayo baluwa saka

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z Před měsícem

    Et saiv amekuwa mkali kwa kipi sasa😂😂😂 hahah kwl wakali wa kutukana viongoz hapo sawa😂

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 Před měsícem

    😂😂😂zungusha camera tuone ayo makombe yamejangwapangwaje na kwann usikae kwa office ako unakaa office ya makombe

  • @emmanuelshashanija-ge3eq
    @emmanuelshashanija-ge3eq Před měsícem

    Acha uongo wa wazi tumeshakuzoea

  • @JumaJuma-nn6fv
    @JumaJuma-nn6fv Před měsícem

    Unauhakika kweli hao chama nakibu hawandoki?

  • @sospeterchallo3005
    @sospeterchallo3005 Před měsícem

    Edwin Barua ndiye mbadala sahihi wa Chama

    • @PiusDaniel-vz6lp
      @PiusDaniel-vz6lp Před měsícem

      Uwakika broo kumbe nawe umeona barua nibora azime no yachana

  • @HassaniNdundu
    @HassaniNdundu Před měsícem +1

    🎉

  • @aunyisameena374
    @aunyisameena374 Před měsícem

    Uzembe na ufinyu wa maarifa ya mpira kwa viongozi wa Simba unatusababisha Simba kutoshiriki mechi za Kimataifa mwaka kesho. Ni wazi Simba haina uwezo wa kumtoa Azam kwenye nafasi ya pili. Sasa hawa viongozi huwa wanajifikiria?

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 Před měsícem

    Msimu mmoja makocha kibao hilo lirekebishwe

    • @danielchamoto9376
      @danielchamoto9376 Před měsícem

      Na haikuhusu wew maku

    • @SulemanSukeu-dp2dn
      @SulemanSukeu-dp2dn Před měsícem

      Makochamengi nikywapotezawachezaji Hutu Licha Alina asemalukenijuu hayu Alina pigenimsamba mwingine akijapigenikichula mwaachenimgunda aendeshetimu naedwun baruwa nabaazi yawachezaji hamywapi nafasi yakucheza Kimberly wachezaji tunao wazuri wamewekwa benchi