Me thinking had Fena and wangeshi been in this beat, would have been a bad naniiii. Musiki. They should think of doing the tune again including those girls.
Tamu tamu tena na tena..guys l really like yu guyz en hizo ndo kindah of songs we wannah....ngoma poa lakini u guys need to add swag kiasi kwa fashion.....yaani chapeni looks different venye a person from another country akiwaona will wannah dress like u....but kwa song's mwahhhhh....big up
red acapela muje kuishow TZ kuwa mnatoboa kwa icon yule musanii Alikiba Joh akifanyanga icon ya BoNgo wanaita waki eti anachochora na street wanaelewa icon ya Niger iko Ina doo diamond.
Notification gang tuko hapa tukifinya player TENA NA TENA ....TENA NA TENAAAA!
Mko huku pia nyinyi
rasta si gangstar, napasha, nawasha,shikisha tamasha navusha mipaka.........i like the part
Song hits different in lockdown!!!
Another one 🔥🔥🔥 Great music, awesome video, amazing energies! Love this one brothers can listen and watch #TenaNaTena 👑
On replay mode tena na tena...
These are my fellow Kenyans...Proud of you men
Sauti za Kinanda
🔥 🔥 🔥 🔥 Kuskiza tena na tena 💯 💯 💯 💯 dance cover 🌩
TENA NA TENA FIRE TENAAAAAAA
🔄Tena na tena
Hiyo moshii tutaichoma tena na tena 🎷🎷🇰🇪🇰🇪🇰🇪 world tune pung peng 💣💥💣🌍🌎🌏
Tangu niwaskie kwa kiss nimekua always on repeat button
VERY DOPE NOMA SANAAA
Hatwariii sana 🔥 🔥 🔥.
Noma wasee.
Really nice song.
rasta si gangasta na pasha na washa .................tena na tena na tenaaa🔥🔥
tunaishi tena na tena
itsa hiiit!
Hit like ka ii ngoma iko ligi ya short and sweet ama ata juu zaidi🙆
Z❤️❤️❤️Kama kawa 🔥🔥
Nimeskia hii ngoma saahii na nimeamua kuicheza TENA NA TENA Na...
A BIG TUNE TUNE TUNE TUNE TUNE
TENA NA TENA....TENA NA TENAAAA🔥🔥🔥
If you still come to this song you are a legend, love this song
Wow! Very groovy..
I need to attend a H_art the band concert soon😧😧😧
Club banger 100
Watu wanguuuu🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Ninaiskiza teeena🎶 na teeena🎵 na teeena🎸 nomareee🔥🔥🔥
Nitaicheza tena na tena na tena🔥
Wewe bana @H_art the band, weka hii ngoma Spotify
Hii ngoma nimeirudia TENA NA TENA NA TENA NA TENA na bado sijatosheka. WOLAN!!!!!
Hart the band has got lyrics.All your songs are liit
This video is fire and as always so is the word play!!
Now I know Red Acappela ☺☺.
Tena na tena .
Sitachoka kurewind tena na tena
moto #Sleekformation!!!!!
Sasawa you win!!…..Nimerudi tena!! 4/02/24 ❤
Mimi Rasta sii gangsta........i think this b. E. T Award love you hart the band
Tuuune 🔥🔥 nimeipenda sana
Rasta si gangster 💥
kazi ni kufinya Tena na Tena, mpaka machine inachoka kuimba
yessssssss my pple ......fireeeeeeee
Noma sana
mziki imeenda shule... tena na tena
Tumefika, wanaulizaaaa, tuko freshi, bila kuuliza. tunawapa tu, wanakatika tu.... Massive tune. GREAT JOB
TENA NA TENA
Nimebaki Ku rudia hi song Tena na tena
Mi na feel kulike hii Vida tena na tena.....you bring the beat back tena na tena
An anthem like this deserves millions and millions of views..
Me thinking had Fena and wangeshi been in this beat, would have been a bad naniiii. Musiki. They should think of doing the tune again including those girls.
Mordecai’s verse is 🔥
Tena na tena..... Hii ni moto
This is a HAPPY song. Big up Hart the Band alongside Red Acapella.
hii ni nomaaaaaaaaaaaaaaaa
Who is enjoying this hit still😍💯💥
Mistari zangu niite sniper...🔥🔥🔥
mnanikumbusha xyz , buda mmeeza mbaya 🔥🔥
on replay na tena na tena
kanyita nyita mwaki mwaki
You always bring great hits its my song of the year n more
Respect From Morocco ♥
Waaah me nimejam vile me hukua nyuma!! 3yrs later ndio naskia hii ngoma kali hivi🔥🔥🔥🔥
Nice piece
Mordecai definitely killed this!!!💟🔥🔥
Who is mordecai
Mrema Lenin the guy who sang verse two😊
YEEH
Wah! Mordecai alifanya ile kitu
Tena na Tena 🔥🔥🔥
🎹🎹🎹🎼🎼🎧🎧🎤🎤nice music brothers
Lyrics 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mad respect...tena na tena
Swafi Sana🔥
I underrated this song at first sai ninaicheza Tena tena na Tena
Tena tena.. 🙌🙌🙌
ayayaya fanyeni tena na tena, fire deh!
Tamu tamu tena na tena..guys l really like yu guyz en hizo ndo kindah of songs we wannah....ngoma poa lakini u guys need to add swag kiasi kwa fashion.....yaani chapeni looks different venye a person from another country akiwaona will wannah dress like u....but kwa song's mwahhhhh....big up
❤ love from TZ👏👏👏👏✌
Wakali wa hizi kazi.
hii ngoma ni kali...
Biiiig TUNE waa niku moto mbaya...ngoma ime weza mbaya Certified #SleekFormation
#SleekFormation !!!
kazi safi.
nimeicheza tena na tena na tena!
Wazito hamjawai dissapoint... Congratz
Yeeeeeeeeaah... tena na tena, tunaifanya
Rasta si gangsta 🤓 , your originality nails everything🔗. 🇰🇪
Fanyeni hivo tena na tena 🙌
Iko fete braze
Mordecai snapped, singer man's had no business having a rap verse that good. Red acapella is bad news
Ngoma kali sana na sana na sana na sanaaaaa
Nzuri sana
#WozzahApproved
Fanya tena na tena you guys never disappoint at all....wakali wao
Nauliza tena na tena mbona hii ngoma haijafika milli.......
Tena na tena lit
ngai!....E-sir angekuwa hai walai angetokea kwa hii track.....again &again!!!!!!!!
2022 I'm still enjoying this masterpiece.
red acapela muje kuishow TZ kuwa mnatoboa kwa icon yule musanii Alikiba Joh akifanyanga icon ya BoNgo wanaita waki eti anachochora na street wanaelewa icon ya Niger iko Ina doo diamond.
Baaaaasssss
Mjaribu mpotee tena.. Nitawatafuta mimi mwenyewe
Chira brother mahn🔥🔥🔥🔥🔥
#Kemusictotheworld 🔥🔥🔥
Hii ni moto sana
Hata sauti sol wakigoma tuna H_art the band