Dr. Chris Mauki: AINA 3 ZA WATU. Je, wewe ni nani katika hawa?

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 10. 2020
  • Katika maisha ya kila siku inawezekana akajishangaa kwanini mambo hayaendi unavyotaka au unavyotamani kumbe shida iko kwenye namna unavyofanya mambo. Je umeshawahi kujiuliza ni kwa kiasi gani tabia yako inachangia kwenye kukufanikisha au kukufelisha? Hizi hapa aina za watu na tabia zao. Jitazame, jijue ili ubadilike.

Komentáře • 112