Wakaazi wa Mukuru kwa Rueben waachwa bila makao baada ya serikali kubomoa nyumba zao

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 05. 2024
  • Ubomoaji wa maeneo yaliyoko karibu na mto umeanza.

Komentáře • 255

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 Před měsícem +19

    Poleni jamani.. Baridi hiyo mukale nje na watoto,.. "" Eeh Mungu, remove this poverty in our country.. I feel pity for those Children.. 😮😮

  • @user-ih4ps5po9o
    @user-ih4ps5po9o Před měsícem +16

    Kuna nyumba iko ukitoka jogoo road rikana kuelekea eastlegh ni kubwa na iko kwa mto walisema 2yrs ago ibomolewe but cos ni ya mtu ako na pesa wapi bado iko

  • @mudakimmboga6024
    @mudakimmboga6024 Před měsícem +29

    After kutakuja a huge building, maybe a big hotel or apartments.... Umasikini haki😢

    • @andrewuser1381
      @andrewuser1381 Před měsícem +2

      True

    • @user-ok7rn2np5o
      @user-ok7rn2np5o Před měsícem

      Sasa. Ruto. Alazimishwaa. Kutumia. TAX. Ambayo. Anayakuws. Kutoka. Kwa. Wa. Kenya. You. Reap. What. You. Sow.

  • @joycepeter1284
    @joycepeter1284 Před měsícem +8

    Government demolish process was okay for safety of people during this flood season but unfortunately they failed to consider their inhabitants new shelters in advance....Psalm 41:1 says
    " Blessed are those who have regard for the weak; the LORD delivers them in times of trouble"

    • @bonnymatheka352
      @bonnymatheka352 Před měsícem

      Who are these people,where did they come from,ama ni wajukuu wa prodigal son

  • @tacticbookkeeping
    @tacticbookkeeping Před měsícem +9

    I thought the government said that no more demolitions during the rainy seasons. At least they should have been relocated to safer grounds

  • @abelsimiyu7390
    @abelsimiyu7390 Před měsícem +40

    Alijenga nyumba ya kuishi na biashara in 2014, swali ni kwa shamba ya nani,?

    • @shikukuobungs7097
      @shikukuobungs7097 Před měsícem

      a very stupid questions indeed, so youre happy shes going to spend night in the cold?

    • @Travelwithfred
      @Travelwithfred Před měsícem

      SHAMBA ni ya serikali bro. Na watu wanauza ni chief wa hiyo area

  • @user-kv9cq9hl6t
    @user-kv9cq9hl6t Před měsícem +15

    Watu warudi ushago 😅

  • @RISINGFARM
    @RISINGFARM Před měsícem +44

    Sasa serikali ijenge hizo affordable houses ipee hawa

  • @marthawangondu2950
    @marthawangondu2950 Před měsícem +5

    Where did wale wa kariobangi go,,,its better to save you're life.

  • @gilbertsanya9561
    @gilbertsanya9561 Před měsícem +8

    Walicheka uhuru😂😂😂

  • @JoyceAntony-gm1rs
    @JoyceAntony-gm1rs Před měsícem +23

    They build nearby rivers move now

    • @ashfordnyaga8503
      @ashfordnyaga8503 Před měsícem +2

      When you fill your stomach, remember some people do not have food and thank God.

    • @jojothepolyglot1866
      @jojothepolyglot1866 Před měsícem

      @@ashfordnyaga8503 Moi used to say panga uzazi....Go to these ghettos you see women with 9 children and no husband and first born is 14 years old...Illiteracy and ignorance to blame so don't tell us about stomach.

  • @johnonkoba740
    @johnonkoba740 Před měsícem +13

    Waondoke wote, kwani si kuna mahali walitokea. People need to follow the law, people can not place buildings even kwa barabara, no wonder maji wamekosa mahali pake

    • @shikukuobungs7097
      @shikukuobungs7097 Před měsícem +2

      ongea tu ivo because your relative is not a victim,

    • @collinsogalloh8357
      @collinsogalloh8357 Před měsícem +1

      Una ongea mbaya hivo kwa nini..?

    • @alicewangui2208
      @alicewangui2208 Před měsícem +1

      This people don't pay water, electricity, or houses. Its high time the Government be serious with this issue..

    • @stellahokworo3947
      @stellahokworo3947 Před měsícem +1

      Kaka watu hawataki ukweli kama huu hapa utapokea matusi lkn ukweli ndio huo

    • @brighton1168
      @brighton1168 Před měsícem

      ​@@stellahokworo3947.chakula cha nguruwe

  • @anthonyochieng1446
    @anthonyochieng1446 Před měsícem +2

    Naona 2 watu wakirudi ushago.Aina aja uteseke Nairobi.

  • @United-Bantu-People
    @United-Bantu-People Před měsícem +7

    The Bulldozer is more devastating that the rain

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 Před měsícem +26

    Atleast sasa government iko serious surely watu walikua wamejenga mpaka kwa mto

    • @jabezjedidiah1429
      @jabezjedidiah1429 Před měsícem +4

      Get serious ,the damage has happened, people are dead and the gov has plan to rescue the remainings. What's the point in demolishing houses and don't show them where to go???.

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 Před měsícem +2

      @@jabezjedidiah1429 kwani walikua wametoka wapi

    • @djwaltz1769
      @djwaltz1769 Před měsícem +3

      Keep this space. Mtaona zile ghorofa sitajengwa hpo. That's land graping in waiting

    • @ryankoech
      @ryankoech Před měsícem

      ​@@djwaltz1769hapo sa ndo Kuna shida

    • @user-ul6do9nc5o
      @user-ul6do9nc5o Před měsícem +1

      ​@@jamesgathaiya6450It doesn't matter, the Govt should move them somewhere for at least a month and then help them resettle otherwise insecurity will increase from thieves and prostitution.

  • @priscillamakena3884
    @priscillamakena3884 Před měsícem +9

    Wahame tu! Life is so precious....we don't want to lose them

  • @priscillawambua325
    @priscillawambua325 Před měsícem +9

    😢😢its painful hawajui pa kwenda lakini ni kwa faida yao...uhai ni wenye thamani kuliko mali...this will also reduce river overflow

    • @user-ul6do9nc5o
      @user-ul6do9nc5o Před měsícem

      Serikali ingeshungulikia

    • @Pekuka08
      @Pekuka08 Před měsícem

      They had survived the rains so far.

    • @jojothepolyglot1866
      @jojothepolyglot1866 Před měsícem

      @@user-ul6do9nc5o We are not a communist country last i checked. Serikari is not there to give you houses and then feed you while you don't panga uzazi and have 9 children first born akiwa 14 years...Mtashangaa

    • @user-ul6do9nc5o
      @user-ul6do9nc5o Před měsícem

      @@jojothepolyglot1866 you talk like an ignorant person so I will not bother explaining

  • @viviannthambi8390
    @viviannthambi8390 Před měsícem +2

    If the gova demolishes those houses,then they should offer a solution before they even start to demolish!!. You can't tell people to move without offering them a safe place. This is so mean.

  • @klasniysafaris5963
    @klasniysafaris5963 Před měsícem +3

    I am hosting 5 of my relatives right now from thika. 14 falls is starting to spill. Utangoja kifo?

  • @lilianmutinda7569
    @lilianmutinda7569 Před měsícem +3

    Affordable housing is coming.....masikini hana chake

  • @stephenthinguri3414
    @stephenthinguri3414 Před měsícem +4

    yani kunafloods na bado....yesu sadia wakenya aki...

  • @Gorgeousij
    @Gorgeousij Před měsícem +26

    Watoke wote ata mathare Wako na kwao

    • @andrewuser1381
      @andrewuser1381 Před měsícem +4

      Mbona uko na makasiriko wenzako wakifurushwa ama uliaidiwa sehemu

    • @marieheiss6560
      @marieheiss6560 Před měsícem +4

      Asio kwa ubaya ama chuki, maeneo haya ni mali ya uma so anytime watu kuna matarajio ya kuvurushwa, nyie squaters mnafaa mfunguke akili mkipewa mahala pa kuishi na serikali aacheni kutegemea mahala hapo, always have a second thought, hustlers zako ambazo zinakuletea mapato kidogo kidogo ficha nusu iwe kama savings ndiposa hata uweza nunuwa a prime plot somewhere ujenge nyumba ya maana, kwa upande mwingine umaskini ni mtu kujitakia kulingana na vile umeiweka mindset yako binafsi, si mtu ukiona hali ambayo upo ama hali unayoishi si uwache kuzaa zaa ovyo ovyo watoto wengi, sikatai watoto ni baraka kulea ngori!

    • @ashfordnyaga8503
      @ashfordnyaga8503 Před měsícem

      Pride comes before a fall.

  • @annekariuki4734
    @annekariuki4734 Před měsícem +1

    God has a good plan for them,,we dont know how but God remember this our brothers and sisters

  • @Paul.957
    @Paul.957 Před měsícem +3

    I thought the government had promised never to do this,they called Uhuru a demon for displacing people who had built on road reserves,... at least people are learning not to trust sweet words.

  • @reginawambui7158
    @reginawambui7158 Před měsícem +4

    kukosa kusikia ni kitu mbaya sana tuliona waathiliwa wamaimahiu wenye wako hospitali wakisema walikuwa wameshaa ambio wakitoe lakini wapi mwishoe hasara ikaingia so nivizuri serikali iwatoe wote walio karibu na mto haraka iwezekanavio

  • @nickboy3340
    @nickboy3340 Před měsícem

    Kenya kwisha kwa kweli Ruto hauna huruma😥😥😥😭😭😭😭😭😭

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 Před měsícem +13

    Watu wako na macho lkn hawataki kutumia maji imesomba watu ili hali wengine wanakaa karibu kwa mito hongera president wetu tumechoka na maafa wakulahumu wasikilahumu wewe umewaokoa hiyo area ni risk kabisa ndio watu wakisombwa na maji watu wanalalamika eti Ruto au sakaja wamesahau mungu ndiye anasimamia mvua sio president au governer

    • @bornifacekayo2409
      @bornifacekayo2409 Před měsícem

      Your stupid

    • @Paul.957
      @Paul.957 Před měsícem

      You don't know what you are saying, Russia is flooding more than Kenya, they have not lost lives governments are equally responsible for disaster management and response. It is a shame and lack of good governance is perennial in Kenya,si Ruto peke yake, shida yake ni kwamba he spoke though he was a Messiah during campaigns.

    • @leewythaka8309
      @leewythaka8309 Před měsícem +2

      ​@@Paul.957the government is trying with building drainages but civilians are notorious for littering. That also plays a big part in blocking of the drainages. Stop being quick in blaming the government when you're part of the problem. It begins with us, we need to do better.

    • @stellahokworo3947
      @stellahokworo3947 Před měsícem

      @@leewythaka8309 ukweli usemwe ongeza volume watu ndio wanatupa takataka kila mahali hadi inafunga njia ya maji baadaye watu wanaanza eti governer sakaja na Ruto as if ndio walitupa takataka

    • @stellahokworo3947
      @stellahokworo3947 Před měsícem

      @@Paul.957 ok I don’t know what I’m saying because you know why can’t you apply your knowledge and help the government with your knowledge stop blaming our president all the time

  • @melvinkanje
    @melvinkanje Před měsícem +1

    Hii ndio Hustler nationa lazima Mnyooke

  • @matts6894
    @matts6894 Před měsícem +18

    Why can Govt make sure they don't return and enforce it?

    • @abelsimiyu7390
      @abelsimiyu7390 Před měsícem +1

      Politics

    • @jabezjedidiah1429
      @jabezjedidiah1429 Před měsícem +7

      Yu are so detached from the reality of the matter. Can the same government show them where to go ama itawaacha nje kama wananyama.

    • @gladysmuthoni8700
      @gladysmuthoni8700 Před měsícem +2

      ​@@jabezjedidiah1429didn't they came from somewhere

    • @alextercisio
      @alextercisio Před měsícem +1

      @@jabezjedidiah1429 nani aliwapea hapo wakajenga?

    • @irenenjeri1233
      @irenenjeri1233 Před měsícem +1

      ​@@jabezjedidiah1429serikali ndio ilikuwa imewaleta hapo?

  • @charleskaranja2962
    @charleskaranja2962 Před měsícem +1

    President ruto watu walisima na yeye bt swali ni maji haikubomoa makazi mengi now our president mbona atoe mwito wa kubomolea watu we had Moi mzee alipenda watu kukiwa na hali kaa hii alisaidia watu alisikia mawaidha ya watu whywhywhy are you doing this to the poor

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Před měsícem

    Huu ni Umaskini ndio maana watu wananyanyaswa. Hapa Pangekuwa na majengo ya Ghorofa kama Apatments Buildings au Hotel pasingebomolewa. Hii yote ni kwasababu ya kujenga nyumba za kimaskini.

  • @user-vz7ey7ey9i
    @user-vz7ey7ey9i Před měsícem +15

    Kazi nzuri serikali watu watolewe the rains are so dangerous kwani watu hawaoni

    • @billoswago2163
      @billoswago2163 Před měsícem +2

      Waende wapi

    • @mercynyaga2053
      @mercynyaga2053 Před měsícem

      So its better kusombwa na maji ama unamaanisha nini?​@billoswago2163

    • @ryankoech
      @ryankoech Před měsícem

      ​@@mercynyaga2053then wakisombwa na maji they will blame the government

    • @user-lw3ne4zu3k
      @user-lw3ne4zu3k Před měsícem +2

      Kazi zuri nisawa kwako kwa sababu uko kwa nyumba nahiii mvua wataenda wapi

    • @irenenjeri1233
      @irenenjeri1233 Před měsícem +1

      ​@@billoswago2163kwa hivyo wakae hapo wangojee mafuriko???

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Před měsícem

    Haki watu wawache kunjenga karibu na Mito jameni. Please tokeni tu roho safi.

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 Před měsícem +1

    Jamani Mungu yupo

  • @kenyazuela7233
    @kenyazuela7233 Před měsícem

    I DON'T SEE ANY RIVER THERE. Anyway Nabii needs sweet land to build affordable houses for his tribesmen.😢😢

  • @user-kn5bv3qj8p
    @user-kn5bv3qj8p Před měsícem

    Kweli wamangaribi Wana ichukuwa inchi yetu kwa mufumo ambao wakenya hajatambua,,,tukidanganywa tunajengewa makaazi ya bei nafuu.

  • @zaiokari1698
    @zaiokari1698 Před měsícem +14

    Watoke wote pomoa hizo slums waende nyumba kazi mashinani Nonsense all towns shld demolish illegal vibandas

  • @user-cb9ct4bt4h
    @user-cb9ct4bt4h Před měsícem

    Pengine wamepewa zile nyumba tunaambiwa zinanjengewa watu wakikatwa ushuru juu kwa juu, mna akili haifanyi, macho hayaoni, masikio hayasikii mutafuna mlichopanda.

  • @marthawangondu2950
    @marthawangondu2950 Před měsícem +1

    Nema had warned them,but wakaedelea kujenga.

  • @tsumaanthonyndewa9696
    @tsumaanthonyndewa9696 Před měsícem

    Sad and very sad indeed. 2 days to move and this happens . Help us God.

  • @user-wd1ft1zb6n
    @user-wd1ft1zb6n Před měsícem

    Wah.kwani kunaenda ji??

  • @lincolntamim3544
    @lincolntamim3544 Před měsícem

    Awesome team Qatar

  • @alextercisio
    @alextercisio Před měsícem +1

    Shamba ulijenga nyumba ni ya nani ?? Poleni sana lakini tuachage mchezo plz

  • @josephwairimu6222
    @josephwairimu6222 Před měsícem

    Utaona wakiblame Uhuru

  • @user-bw8wq8si3c
    @user-bw8wq8si3c Před měsícem +3

    Sasa ivi nikuwasaidia kweli hata hawana mahali pa kuenda

  • @monicahjoseph1476
    @monicahjoseph1476 Před měsícem

    We are both obliged to do what is right,as citizens to keep the law and as the government,to look to the lives of its people

  • @abdulazizkilai7285
    @abdulazizkilai7285 Před měsícem

    Serikali inaruhusu hizi nyumba kujenga in the first place WHY ..?zibomolewe zote.

  • @raelturungi682
    @raelturungi682 Před měsícem +1

    At this time of the rain surely what kind of demons are people

  • @sarrgodanaguyo3892
    @sarrgodanaguyo3892 Před měsícem

    Ruto ni kua rais ya kenya ni hatari kwa maskini ya kenya
    Hana huruma na binadamu
    Haki bomoa makazi ya maskini watoto wazee wakomge kwa hii mvua kali wata enda wapi mungu amhone 😭😭😭😭😭😭

  • @user-ok7rn2np5o
    @user-ok7rn2np5o Před měsícem +1

    Mzee. Wa. WheelBarrow. Bwana. Ruto. HAJAWASAHU. HUSTLERS

  • @derrickcharagu536
    @derrickcharagu536 Před měsícem +1

    Hapa ata floods hiwezi fiika pipeline is valley where the river is deep and far from.flooding!?? Ps Kiprono!! Next tugoje Gikomba !!! Hii ni upuzi tuu hizo sku ingine akuna floods leo ndio kina floods ??? Upuzi tu Serikali ya Kibabi !!! Mungu tu ataawastaki King Nebuchadnezzar!!!

  • @nyandikamoses
    @nyandikamoses Před měsícem

    Affordable houses uzuri zingine ziko reedy wapelekwe uko.

  • @elizabethpflug1304
    @elizabethpflug1304 Před měsícem

    Hii ni usuni ni mvua nikumbomolewa chakula wanapewa wapikie wapi poleni sana plot kununua kujenga mpaka mtu ajue kama niya serikali au nani imeleta shida sana plus mvua

  • @juliusmacharia4329
    @juliusmacharia4329 Před měsícem

    May the Most high bring justice forcefull in his land.😢

  • @briantusu.8938
    @briantusu.8938 Před měsícem +1

    😊😊

  • @Karenkandia
    @Karenkandia Před měsícem

    Haiya mwikali alikuwa my neighbor 🤔

  • @aplokimo405
    @aplokimo405 Před měsícem +1

    Bona haedi kwa mafriko??

  • @martinmacharia7058
    @martinmacharia7058 Před měsícem

    I hope wamewapataia kwa kuhamia.. otherwise hii ni equivalent na floods to

  • @staceymayar4606
    @staceymayar4606 Před měsícem

    Bomoa hizo nyumba zote watu warudi mashambani kama vile nilifanya. Sasa niko Sawa na farming

  • @Kamal00684
    @Kamal00684 Před měsícem

    Mtu arudi kwao cz 1940 nairobi haikua na mtu ilikua forest and rivers thas why is called Nairobi meaning a place of many 🌊💦

  • @mainakamau3807
    @mainakamau3807 Před měsícem +2

    What kind of madness is this!!!! THIS GOVERNMENT IS JUST INCOMPETENT!!!! KUBOMOA NYUMBA!!!!

    • @susanahwambui9853
      @susanahwambui9853 Před měsícem

      unatakaje wewe? wabaki wasombwe na maji ama????

    • @mainakamau3807
      @mainakamau3807 Před měsícem

      @susanahwambui9853 apana peana notice apparently in the presidents own words the notice was to expire @ 1830hrs today... communicate with the citizens clearly.... sasa mtu anatoka kuenda soko surely you get everything destroyed

    • @leewythaka8309
      @leewythaka8309 Před měsícem

      ​@@mainakamau3807this is an urgent matter, there's no time for notice. Don't be ignorant.

    • @TiredKenyan
      @TiredKenyan Před měsícem

      You’re the one who is mad! More rain is coming and you want them to stay there for how long?

    • @mainakamau3807
      @mainakamau3807 Před měsícem

      @leewythaka8309 I'm not trying to belittle the urgency of the situation or the danger they face... but no offence it sounds like both of you don't know life in the slums.....all they have ALL their possessions which takes years of hawking or mjengo work to accumulate is gone...... many will literally starve not because water swept their houses but the government destroyed it

  • @maximillahmakokha3783
    @maximillahmakokha3783 Před měsícem

    Mbona wajenge kwa mto 😂😂😂

  • @user-be9dy2sx7v
    @user-be9dy2sx7v Před měsícem

    Finya hao kabisa naona bado wanapumua. Wanajenga kwa water catchment areas alafu wanalia wakibebwa.

  • @user-qm7qu8jr2r
    @user-qm7qu8jr2r Před měsícem

    How is demolishing their houses helping the residents? What is the thought process behind this decision? Someone educate me please.

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 Před měsícem

    Mungu wangu,na hii mvua,familia zitaenda wapi?yaani serikali haina huruma kabisa

  • @vivianawuor5185
    @vivianawuor5185 Před měsícem

    Ruto the 5th. Shangilieni

  • @jacobmwaniamuendo8626
    @jacobmwaniamuendo8626 Před měsícem +1

    This is not fair,aki jameni lets be neutral,sasa wataeda wapi hawa watu

  • @babewajeff
    @babewajeff Před měsícem

    Govt ya kwatiwa ni walola... affordable housing plan pap

  • @susankaburu4527
    @susankaburu4527 Před měsícem

    Bona wasipewa notice

  • @hassancharo1496
    @hassancharo1496 Před měsícem

    Order from above 😊

  • @NyamburaMburu-oq4pc
    @NyamburaMburu-oq4pc Před měsícem

    Na hii mafuriko wataenda wapy aky

  • @puritdana
    @puritdana Před měsícem

    ,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nasikia kuchoka notice Leo na kesho watu watahamia wapi nkt

  • @jackmwangi8395
    @jackmwangi8395 Před měsícem

    Why wait for people to settle down in riparian areas and come to destroy their homes?

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro Před měsícem +3

    Bomoa zote

  • @marymungai4429
    @marymungai4429 Před měsícem

    very unfortunate.

  • @MosesOuma-lk2bo
    @MosesOuma-lk2bo Před měsícem

    Serkali ya hustlers they are doing good walisema hatupanguwi sasa wakule maobi ya zakayo. 😅

  • @ThankGod2024
    @ThankGod2024 Před měsícem

    transition is painful 😢😢😢😭😭😭

  • @NaomiOmi-cq3nh
    @NaomiOmi-cq3nh Před měsícem

    Wacha nikae ushago sasa😢😢

  • @MAINAELIZABETH-qt9jo
    @MAINAELIZABETH-qt9jo Před měsícem

    Hasola tawala😂😂😂😂😂

  • @tomondiek2839
    @tomondiek2839 Před měsícem

    kumii tena! toa term limits

  • @josekanyina8001
    @josekanyina8001 Před měsícem

    tutajenga afforderble houses juu hapa tumewona hakuna maji

  • @markmekenye9119
    @markmekenye9119 Před měsícem

    Wapewe hizo nyumba zinajengwa

  • @opamarobert
    @opamarobert Před měsícem

    Nairobi haitaki maskini

  • @alicewangui2208
    @alicewangui2208 Před měsícem

    Its better they move out, its dangerous, kua next to the river, can they see Maimahiu, let's stop playing politics with people's life..

  • @tonito328
    @tonito328 Před měsícem

    Fear the rain 🌧️ and its path

  • @MargaretWanjiku-dy7ic
    @MargaretWanjiku-dy7ic Před měsícem

    They should be moved we don't want to hear mambo ya kupelekwa na maji any more.

  • @user-of8sm3xk3l
    @user-of8sm3xk3l Před měsícem

    Kube mlipewa notice wah amkutii

  • @jimmyevans012
    @jimmyevans012 Před měsícem

    Should the government consider priority especially during this winter full of floods.

    • @mosesnjenga2767
      @mosesnjenga2767 Před měsícem

      You mean we have winter in Africa? Never heard about it before!

  • @user-jb6ej1hj4p
    @user-jb6ej1hj4p Před měsícem

    Kubomoa na Kuna mvua oiii

  • @user-ok7rn2np5o
    @user-ok7rn2np5o Před měsícem

    Ruto. Ndio. Jenga. Affordable. House. Kwa. Hao. Wa. Kenya. Serekali. Ya. BOTTOM. UP

  • @noramumo
    @noramumo Před měsícem

    Mhame tu...

  • @samuelkamau1777
    @samuelkamau1777 Před měsícem +1

    Are this the same government who complained when uhuru bomoad some houses

    • @NancyNjeri-hx2qy
      @NancyNjeri-hx2qy Před měsícem

      We nyamaza kama Huna kitu ya kucomment.wakipoteza uhai ndio utajua kama ni mzuri.

    • @janewambui4090
      @janewambui4090 Před měsícem

      Nakumbuka 😢

    • @ryankoech
      @ryankoech Před měsícem

      Life is so precious

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga Před měsícem

    We told you from the beginning that all this slam dwellers got no tittle deeds on where they are seated nobody listened haya let God continue proving the critics right
    Mtaukula huu na hasara juu
    Na Bado
    😂😂😂😂😂

  • @user-lw3ne4zu3k
    @user-lw3ne4zu3k Před měsícem

    Sasa nahiii mvua ubomee mtu nyumba unataka aende wapi na vile mvua inanyesha nairobi very sad

    • @ryankoech
      @ryankoech Před měsícem

      What about flooding na watu kukufa?

  • @oliviabarrack231
    @oliviabarrack231 Před měsícem

    C uchawi ni maombi eeeeish nonsense 😮

  • @user-ok7rn2np5o
    @user-ok7rn2np5o Před měsícem

    Sasa. Ndiyo. Wakati. Wa. Ruto. Kuwajengea. Wakazi. Wa. Kwa. Ruben. Mukuru. AFFORDABLE. HOUSEING. Na. Kuwapatia. Chakula. Nguo. Na. Makaji.

  • @JoyzMichelles-eh8vs
    @JoyzMichelles-eh8vs Před měsícem

    Why demolish now during rain season this is inhumane ata kama nikwa wenyewe but shualy why not extend the notice GOD is watching

    • @greezygaza3707
      @greezygaza3707 Před měsícem

      😂😂😂😂😂alafu wabebwe na maji then ???

  • @mourinemwaka4426
    @mourinemwaka4426 Před měsícem +3

    Kwani hawana ushangoo mpaka wanasema hawana kwa kwenda

    • @khamalawilcost9079
      @khamalawilcost9079 Před měsícem

      Some of this people left there rural homes due to criminal activities, Nairobi slums have been there hideouts. Others sold where they could call a home

  • @Pekuka08
    @Pekuka08 Před měsícem

    uda had promised no evictions, worse still during rains

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Před měsícem

    POLENI SAANA.POLENIII