Napatwa majonzi sana nikiickia kauli hii. Wawakilishi hawakuelewa dhamira ya wana Mtwara. Wana Mtwara walikua wanataka gesi ichakatwe Mtwara ili viwanda vinavyotumia makapi yatokanayo na gesi kutengeneza plastic na vinginevyo vijengwe Mtwara. Sangara wa Mwanza wanasindikwa mwanza, Zabibu ya Dodoma inatengenezwa vinywaji Dodoma, Madima yaliko uchenjuaji unafanyika huko huko, na nakadhalika. Shida ilikua kwa nn gesi isichakatwe Mtwara?.
Nakiona Kichwa Mzee Magu Enzi Zake.
Mzee wa Msoga tutakukumbuka kwa mengi ila umeondoka madarakani umeacha jembe JPM
Nimekiona Chuma kipo pembeni hapo. 😁
Hahahahahahaaaaaaaa
Kwel kabsa mzee
Mzee wa ukiambiwa changanya za kwako, mawazo hayapigwi rungu, tumezimis busara zako
Mzee pumzika uliko mungu akuongezee siku
Good mzee
Tanzania ni wamoja, tusibaguane jamani. Kikwete tutakukumbuka kwa maneno yako ya busara.
Nimekumic Sana
Akili kubwa
Mhhh wa ukweli
Napatwa majonzi sana nikiickia kauli hii. Wawakilishi hawakuelewa dhamira ya wana Mtwara. Wana Mtwara walikua wanataka gesi ichakatwe Mtwara ili viwanda vinavyotumia makapi yatokanayo na gesi kutengeneza plastic na vinginevyo vijengwe Mtwara. Sangara wa Mwanza wanasindikwa mwanza, Zabibu ya Dodoma inatengenezwa vinywaji Dodoma, Madima yaliko uchenjuaji unafanyika huko huko, na nakadhalika. Shida ilikua kwa nn gesi isichakatwe Mtwara?.
Millardayo nitumieni namba zenu za mawasiliano.
Duuh mzee
Hoja haipigwi rungu
Tanzania ni moja, watuwao ni wamoja, tusianze kubaguana jamani.
iyi nch naishangaa reo mzuri wakati yupo madarakani mnamponda
Tatizo mikataba ya hovyo
Hizi hotoba tumezimis cana
Waandamane na sasa waone,😳😲😳😲😳
Huyu hakua Rais Bali alikua mpiga madili
Sasa ni ubabe tu
Ulikula batasa sana mzeee ,MAGUFULI JEMBE LAKAZI.
@@bashiraally6459 si akalime huko chato kama jembe
@@@waynealex2491 Akili huna na wewe lol
Mzee pumzika uliko mungu akuongezee siku