FULL MATCH HIGHLIGHTS : ZAMBIA 1-1 TANZANIA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 01. 2024
  • Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
    ►JOIN OUR WhatsApp Group: chat.whatsapp.com/Go7uQgGCzSI...
    ►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
    ►Instagram / tv3tz
    ►TikTok / tv3tz
    ►Facebook / tv3tanzania
    ►Twitter / tv3tanzania
    #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
  • Sport

Komentáře • 46

  • @kenchanda8592
    @kenchanda8592 Před 4 měsíci +5

    What a powerful header from Patson Daka!!! Classic!!! Indeed, such a wonderful header could only come from someone from the EPL... 🎉❤😍😘🥰💪💪🥰

  • @user-ez9lj3ye1u
    @user-ez9lj3ye1u Před měsícem

    Félicitations wa Tanzanie

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před 4 měsíci +1

    Kibu denis n bonge la player❤❤

  • @aikaM74
    @aikaM74 Před 4 měsíci

    Refa hakutenda haki kabisa kwa kadi nyekundu

  • @user-bl7ex4ld6x
    @user-bl7ex4ld6x Před 4 měsíci +5

    Tunaenda kumchapa Congo mungu hawez kututupa mara zote nitarudia comment hi baada ya mchezo na congo

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 Před 4 měsíci +2

    Timu imeshinda goli moja tuna relax tunacheza pasi za nyuma badala ya kupiga pasi ndefu halafu pasi za nyuma zenyewe tunatoa maboko dah bora kushabikia tumu za wana wake katima mashindano makubwa kama haya maana wana tuwakilisha vyema

  • @YoungsterMasaleni
    @YoungsterMasaleni Před 4 měsíci

    Taifa star Bado Sana

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 Před 4 měsíci

    mmepambana sana ,, mtafanya vizuri zaid mchezo ujao

  • @HuliloDonard-gu9bp
    @HuliloDonard-gu9bp Před 4 měsíci

    Kazitumeio mmepambana mungu atuvushe mechi ijayo huenda tukafurahi mwisho hata hiki sihaba

  • @shantungamaumba7159
    @shantungamaumba7159 Před 4 měsíci

    Mchezo ulikuwa wetu tushinde lakini wachezaji hawajitambui na sijui kwa nini makocha waliwacha watoe back passes nyingi bila kushambulia kwa nguvu. . Timu ilicheza kama wameongoza goli 4-0.
    Walizinduka baada ya Zambia kusawazisha.
    What a mess🙈🙈

  • @NANGATV123
    @NANGATV123 Před 4 měsíci

    Taifa star nikichwa cha mwenda wazimu mimi ni mshabiki wa yanga na senegal

  • @abrahmannassor4259
    @abrahmannassor4259 Před 4 měsíci

    Tumecheza vzur sana first half

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 Před 4 měsíci +1

    Sisi kweli kichwa cha mwendawazimu.Licha ya jamaa kuwa pungufu uwanjani lakini tumeshindwa kuwafunga.

  • @FanuelChilale
    @FanuelChilale Před 4 měsíci

    Hizi substitution, bench liwe makini ,ukimtoa Kibu ni kama umeloga timu, acha akomae mpaka mwisho anabahati huyoo.

  • @jebace
    @jebace Před 4 měsíci +1

    tumejitahidi sio mbaya sana

  • @HalimaSuleiman-kt5wi
    @HalimaSuleiman-kt5wi Před 4 měsíci

    Tanzania waooo

  • @user-eh5lr4dk6l
    @user-eh5lr4dk6l Před 4 měsíci

    Very good wa Tanzania

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Před 4 měsíci +3

    Sisi ni VIGODORO na VIDUKU, lkn MPIRA hatuwezi....!..ujinga mwingi..!

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 Před 4 měsíci

    Wachezaji badala ya kukimbiza mpira mbele kushambulia,eti wanapiga passes nyuma,,kwa kweli ni kichwa cha mwenda wazimu😢😢😢

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 Před 4 měsíci

    Kocha anahojiwa anasema tulijua mchezo utakuwa mgumu baada ya zambia kuwa pungufu c'mon coach what are you talking about?😮😮

  • @lusekelohaonga5263
    @lusekelohaonga5263 Před 4 měsíci +1

    Piga hawoooo

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před 4 měsíci

    kona ya chama imetuua waTz😢😢😢

  • @rickymwamba9681
    @rickymwamba9681 Před 4 měsíci +1

    DRC must beat Tanzania in order to stay!

    • @hassanbulla8262
      @hassanbulla8262 Před 4 měsíci

      If beating is just easy as you think, then people coudn't have been loosing bet

  • @kevinchavatusti2016
    @kevinchavatusti2016 Před 4 měsíci

    good

  • @PascalJames-my2oe
    @PascalJames-my2oe Před 4 měsíci

    Hamijapigwa, munsubiri kupigwa

  • @user-jn8cr8ei1u
    @user-jn8cr8ei1u Před 4 měsíci +2

    Mbola na lesa

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 Před 4 měsíci

    Mgunda kocha wa Boli

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 Před 4 měsíci

    Sasa hawa pungufu tumewashindwa tuta waweza drc hawa hapa ndipo tulipo takiwa kumaliza game mapema tu

  • @shabankibinda6445
    @shabankibinda6445 Před 4 měsíci

    NCHI HII TIMU YA TAIFA INATUKANISHA KWAKUA HAWAJUI MAANA YA KUFUNGWA NI MATUSI 1.NCHI IMEJAA MAMBUMBUMBU 2.WAVIVU 3.TUNAKULA KWA KUBANGAIZA

  • @rgouz2056
    @rgouz2056 Před 4 měsíci

    Amazing to see Countries like Tanzania Qualify for CAF na Kenya Siasa tu nyingi na maendeleo hakuna.😢

  • @allyabdallah4641
    @allyabdallah4641 Před 4 měsíci +1

    Ss watanzania tunajifanya na. Ss walabu oasi zanyuma kuliko mbele nakicha anaona yupi kimya tu

  • @ignatiusmwape4647
    @ignatiusmwape4647 Před 4 měsíci

    Mwali shuka ba mwachiusa, muletola nobwapona.

  • @user-df6ke7rh9i
    @user-df6ke7rh9i Před 4 měsíci

    Congo 6-0

  • @prorwega
    @prorwega Před 4 měsíci

    hii tabia ya kuwa tunawakilishwa na watu wasiyo na uwezo tunaaibika wote si sawa. Wachezaji wanachezea jikoni tuuuuuu!!!! inamaana hawaoni wenzao? wapimwe akili

  • @user-tq1jz3wm3f
    @user-tq1jz3wm3f Před 4 měsíci

    Umakini tu ulikuwa haupo gemu ilikuwa yetu Tanzania

  • @davidpaulbernard
    @davidpaulbernard Před 4 měsíci

    Mfumo wa taifa staa bado saana tena saana mchezo wakurudisha nyuma mpra unapo utumia hakikisha wachezaji wawe nauwezo wa kupiga mipra ya pasi ndefu na pili wachezaji wawe na uwezo mkubwa mipira ya mbio 7bu unapocheza mpira wa kujilinda basi tambua unampa adui nafasi ya kukushambulia hivyo basi ni wazi kabisa mfumo wa mchezo huo hatuna uwezo nao na baado hatubadiliki

  • @user-qw5ke5co5b
    @user-qw5ke5co5b Před 4 měsíci

    Unawaita wachezaji kutoka nje alafu unapanga walewale wakila siku xaxa tumewaitia nini. Inatakiwa mahamuzi magumu ili tufanikiwe

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 Před 4 měsíci

    Kiukweli nimeamini hapa hatuna timu watu pungufu lakini wametufunga sisi ni ndugu wasindikizaji tu miaka yote