Sasa aunti yangu niiyozeshe huyo uliyomzaa 1999.Mungu akubariki na mchumba wangu piiya mungu ambariki ,asome apate kazi nzuri maisha yake yawe mazuri na apate mume mwema katika maisha yake atakae juwa thamani yake na kumjali .Amin amin amin🤲🤲🤲.Nisalimiwe mchumba wangu ❤❤❤.FROM JAMAICAN 🤟🤟🤟
Hahahahahahaaa Asha boko umenifurahisha kweli yaani umemzaa msimu wa mvuwa Hahahahahaaaa umenikumbusha wazee wetu zamani wanasema nimezaliwa mwaka wa kunde mwaka wa.nzige na jina anapewa nzige mwaka wa mvuwa nyingi anapewa jina mwamvuwa duu mungu akuweke miaka 100.
@@yasintasamson9178 tangawizi utaifunda kipande kidogo na kukamulia ndimu nusu na maji ya moto kikombe cha chai kisha utakunywa kila asubuhi, upunguze kutumia sukari na mafuta kwenye chakula.
@@khamiskiuta6824 Tangawizi mbichi utakata kipande kidogo utakiblend kisha utakamulia nusu ya ndimu kwenye maji ya moto kisha utakunywa asubuhi baada ya chai ya asubuhi
Asha na kupenda kwa ugizaj wko nzuri. Allah akupe maisha yenye kheri na ww Ameen
Nampenda sana aise nilikuwa namfatilia toka niko vududu mbk ss uhuu umri wangu Allah azidi kukupa afya
Asha boko nakupenda sana hali yako unanipendeza sana na hali yako
Nampenda sana huyu mama anajiheshimu cyo mtu wa mitandao.
Viazi jamani najikuta nacheka hadi namsha watu wallahi mungu akupe miaka mia mbeleni ilove u so much😘😘😘
da asha katuliaaa walllahi , anajuwa nafasi yakeee ktk jamnii na hapendi mitandao, lkn mwenye kipajii wallah, anawezaaa da asha
Asha Boko♥️♥️♥️
Mashaailaah kazi mamaasha
Sasa aunti yangu niiyozeshe huyo uliyomzaa 1999.Mungu akubariki na mchumba wangu piiya mungu ambariki ,asome apate kazi nzuri maisha yake yawe mazuri na apate mume mwema katika maisha yake atakae juwa thamani yake na kumjali .Amin amin amin🤲🤲🤲.Nisalimiwe mchumba wangu ❤❤❤.FROM JAMAICAN 🤟🤟🤟
Nampenda asha boko yaani anajiheshimu ma shaa allah
Love her
Love you Mom
duh asha mtoto wako wa mwisho wa 1999mm niko darasa la pili maashaallah watoto wawili bac
Uko vizuri dada Asha😘
Huy mtangaz simuelewag kabx
Nakupenda sana asha wangu
Nampenda atar
ASHA. KAJARIWA SURA NI NZURI SANA. ANAONYESHA NA MOYO WAKE PIA NI SAFIII
Asante
Maskini asha boko unapenda asley mungu amuinuwe asley
Dadaangu Asha boko big up sana nakuhusudu naomba namba zako
Sijui anaingeaje mh
We mtangazaj mbeya sasa kajala anampost binti yake sasa simkubwa mbona anawauma sn nanyie simuwapost bc
Haaaaaaaa ,asha eti nilimzaa wakati wa mvua
❤️❤️❤️❤️❤️
Nakupenda mama angu, mwaaaaa😚😚
Asha bw usichekeshe watu eti wakati wa mvua😁😁😁👍👍
asha buana
Wajina 😅😅😅😅eti ninakilo za Ng'ombe hahh
❤❤❤💕
Nakubali huyu mama anajituma na kujiheshimu
Mtangazaji akili finyoo😩😩
Still bado......
Hahahha asha da ww viazi tena 😄😄
Nakupenda sana wajina wangu ❤️❤️❤️
Mm nakipaji mnisaidiye
K Mziwanda anasauti nzuri ya kutangaza tuache utani
Duh ndo munavyoboaga picha ya nyumbo tofauti na ya mmiliki
Kuigiza pia anajua sana
Nimecheka waallh
Wote kamuona Kajala 😜🥺🥺
Aisha boko kumbe umenizaa adi mimi jaman mbona baby fec
Mnatuzingua iyo ndo nyumba ya asha Boko kama mnataka views sio kiivyoo wasenge nyinyi
Yaani uigizaji wa asha boko na mwene nawapenda Sana nyie akina dada
viaziiii😀😀😀😀
Yupo sawa na mwanangu wa kwanza
Still bado ,,ndio nn sasa
Huyu mtangazaji simkubaligi kbs na anavyojiweka ndo kabisaaaaa
Eti viaaziii😂😂😂😂😂😂😂
Ilove yuu may dada❤️❤️❤️❤️❤️❤️
😂😂😂😂kupatwa kwa viaaazi
Asha boko bhana hataki kupima uzito!😂😂😂😂😂😂😂
Piga kereeeeee kwa wahaaaa vipaji vyote huko
Huyu mtangazaji vepe Tom boy nini
Jo Asha Boko mwenyemunasemaka
Hiv hiki kishabiki chasimba ni kimwanamke kumbe😆😆😆
Hahahahahahaaa Asha boko umenifurahisha kweli yaani umemzaa msimu wa mvuwa Hahahahahaaaa umenikumbusha wazee wetu zamani wanasema nimezaliwa mwaka wa kunde mwaka wa.nzige na jina anapewa nzige mwaka wa mvuwa nyingi anapewa jina mwamvuwa duu mungu akuweke miaka 100.
🤣🤣🤣🤣
MUNGU AKUBALIKI
Ahahahaha nimecheka hapo kwenye kilo za n'gombe
Mziwanda upo moyoni mwangu sana tu
😂😂😂😂 daaaah eti nilimzaa wakati wamvua
🤣🤣🤣
Asha unaweza sana
Sasa mbona hajamuelezea suala la viazii
Asha boko tunakupenda na isitoshe waambie suna ya mtume
Mimi nampendaga da asha sana kwanza akiyachezea mabubu yake
Hapo kwenye vias sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 VIAZI
Eti kilo za ngombe😃😃😃😃
Hhhhhh
Asha nigaiye namba yako nikurushie japo elfu 50 kwa vile nnavo kupenda
huyu mama namupend san
acheni uwongo wenu nyinyi
😂😂😂😂😂😂😂viaazi🤔🤔🤔🤔🤔
Nak penda sana Asha boko
Nice mom
Nakupenda sana k mziwanda mwanangu
Viaziiiiii😂😂😂😂😂😂
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Mnafafa ni mamayakonn??
Mtangazaji anavuta bagi au vp
Asha Dada tumia tangawizi na ndimu lipungue hilo tumbo tu utajipata ni mwepesi
My Matumizi yakoje?
@@yasintasamson9178 tangawizi utaifunda kipande kidogo na kukamulia ndimu nusu na maji ya moto kikombe cha chai kisha utakunywa kila asubuhi, upunguze kutumia sukari na mafuta kwenye chakula.
Iyoo tangawiz nandimu inakuajee nielekeze bidada fatmaa
@@khamiskiuta6824 Tangawizi mbichi utakata kipande kidogo utakiblend kisha utakamulia nusu ya ndimu kwenye maji ya moto kisha utakunywa asubuhi baada ya chai ya asubuhi
Asha boko safi
😂😂😂😂😂
K mziwanda we ni dume au jike unajitahidi kutafuta kazi nsimba
Shikamoo viazi
Magumegume mutangazaji
🤣🤣🤣🤣Viazi
😂😂😂mbavu zangu
😂😂😂😂viazi
😂😂😂
@@khadijahomankweliyamjahaya7421 nasisi ndio tuko
@@wemaomarywema6852 😂😂😂😂hatariii sana
Dada Asha wache waseme mume mdogo kwa mama ake mradi mashine ifanye kazi tu
Mradi inaingia na inamkuna vizuri anakunika
Mmanyema huyu.na sio muha
Dd
Viazi 😂😂😂😂😂
Viazi!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Mschana mzir mama mzur lakn muonekana ma mavaz yako hayafanani unakuwa kama kichaa
Dah
😲😲😲😲watching from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪👊poa sana huyu mother ila tizama hii nayo
czcams.com/video/Rd_SAS3WLcs/video.html
Viazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 nasisi ndio tuko
Your content is different with your video it's scam
Nampenda Sana Asha boko
Viazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ashaboko nakuku bali sana
Kipindi cha mvua🤣🤣🤣🤣
Haaaaaaaa ,asha eti nilimzaa wakati wa mvua