Aina Saba za Nguo za Kuacha Kuvaa Ili Kupata Muonekano 'Elegant'

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 03. 2024
  • Ili kupata mafunzo ya Namna ya Kupata Muonekano Elegant (muonekano maridadi, makini na usio na mambo mengi)
    Bonyeza hapa: selar.co/7m784o
    Ni muhimu sana uwe na sifa za ziada mbali na elimu uliyonayo au bidhaa/huduma unayouza. Ukweli ni kwamba kwenye soko la ajira wako watu wengi wenye elimu kama yetu au hata kutuzidi. Na kwenye biashara wenye bidhaa au huduma kama yetu si sisi peke yetu. Soko tunalolilenga likiwa lile lile.
    Utawezaje kujitofautisha?
    Utaweza kuwa wa tofauti kwa kuonesha ubora kwenye kila unachokifanya. Kuanzia kwenye namna unavyowasiliana, unavyojiamini, uwezo wako wa kutengeneza "connections", namna unavyojiweka (muonekano wa nje) na muhimu zaidi, kwa kuonesha miiko ya kazi uliyonayo (Professionalism). Ukiweza kuboresha maeneo haya, utakuwa kinara kwenye uwanja uliopo kitaaluma na kibiashara na hilo ndio lengo kuu la mafunzo tunayotoa kupitia ukurasa huu.
    Kuweza kupata mafunzo kamili katika maeneo tajwa, tafadhali tembelea link husika na fuata maelezo ili uweze kushiriki mafunzo hayo.
    Mafunzo haya yapo mtandaoni na hivyo utaweza kushiriki kutokea kokote utakapokuwa kwa kutumia simu au laptop.
    Somo: Namna ya kujijengea kujiamini
    Bonyeza hapa: selar.co/5z6o63
    Somo: Namna ya kuwasiliana kama mtu makini anayeweza kuaminiwa na mikoba ya fursa
    Bonyeza hapa: selar.co/z4f7
    Somo: Namna ya kuboresha uzungumzaji wako wa Kiingereza (English language Fluency technics)
    Bonyeza hapa: selar.co/o449aw
    Somo: Namna ya kutumia mitandao ya kijamii kukuza jina, na kupata fursa za kazi na biashara
    Bonyeza hapa: selar.co/678698
    Somo: Namna ya kuvaa kuendana na kazi na malengo uliyonayo
    Bonyeza hapa: selar.co/cr3868
    Somo: Namna ya Kupata Muonekano Elegant (muonekano maridadi, makini na usio na mambo mengi)
    Bonyeza hapa: selar.co/7m784o
    Tunapendekeza utumie mtandao wa Vodacom, (M-Pesa) unapofanya malipo ya mafunzo haya.
    Tafadhali vilevile tumia email ambayo una password yake, kwani link ya kujiunga na mafunzo itatumwa kwenye email hiyo.
    Kwa changamoto yoyote baada ya kulipia darasa tafadhali wasiliana nasi kupitia whatsapp no: +255755640633 (Mirror Etiquette)
    Tafadhali 'follow' kurasa zetu ili kuendelea kupata magumu mbalimbali tunayotoa:
    Instagram: mirroretiqu...
    Facebook: share/wCc7i3...
    Tiktok: www.tiktok.com/@mirroretiquet...
    X: x.com/mirroretiquette?s=21&t=...
    LinkedIn: www.linkedin.com/in/miriam-kw...
    Shukrani!
    #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #Congo #swahili #Somo #elimu #Maarifa #fursa #kazi #biashara
  • Zábava

Komentáře • 49