Mchezaji huyo ni wa Simba ila , coastal itashinda kutokana na viongozi wa TFF wengi wana vina saba na Coastal union …. Msisahau ata kadi nyekundu dhidi ya Yanga tena kwa huyo mchezaji ilifutwa …..!!!
Nyie nao kasomeni, suala la Dube na Azam nitofauti na suala la Coastal na Simba kama kiongozi kwenye meza ya maamuzi ana vinasaba na mmoja wao hapo kuna ngongano wa kimaslahi ni sahihi mwenyekiti kutolewa
SIMBA HATUJAWAI KUSHINDWA
Kila upande umekosea kwenye nafasi yake, kwann Simba SC hakuomba au kutoa taarifa ya delay ya payment...
nasema mpaka Sasa lawi nichezaji wasimba naviongozi wakosti nisawa wanajitekenya wenyewe alafu wanacheka wenyewe Simba nguvu moja
Simba nguvu mojaaaaa waoo karb lawi simbazi
Unaweza kuona ndowa imeshafungwa lakini mzazi anaweza akarenguwa iyondowa vilevile
Hii kesi hata Simba wakishindwa waipeleke CAF ni lazima watashinda
viongozi wakosti wameleta huuni yatamaa tuu Yani mpaka Sasa Simba himekwenda sahii
Mchezaji huyo ni wa Simba ila , coastal itashinda kutokana na viongozi wa TFF wengi wana vina saba na Coastal union …. Msisahau ata kadi nyekundu dhidi ya Yanga tena kwa huyo mchezaji ilifutwa …..!!!
mchezaji tarehe 6/5/24 pamoja na viongozi WA coastal na lawyer WA simba
Mm nimewasoma kostol lengo lao kufanya mitandao iwazungumzie hii kiki yao
coastal wamegongwa lawi ni wetu simba
SIMBA MUSIMUACHE
huyu kiongozi WA coastal ni ignorance of law; huyu mchezaji ni WA simba
Ubaya ubwela hatuna ndogo Hilo ni Jambo la mda
kurudisha pesa haina justification ya kuvunja mkataba
Nyie nao kasomeni, suala la Dube na Azam nitofauti na suala la Coastal na Simba kama kiongozi kwenye meza ya maamuzi ana vinasaba na mmoja wao hapo kuna ngongano wa kimaslahi ni sahihi mwenyekiti kutolewa
Kweli anacheo ktk timu ya coast
Viongozi wa coastal union msilinganishe mambo yenu ya ndoa za Tanga na masuala ya mikataba ya soka tunarudisha pesa biharusi bado anasoma
Hahaha! Wajinga sana hawa jamaa, uswahili mwingi saba mpka wanakuwaga mashamba
Yaani hamjui kuwa mtu mwenye maslahi ya upande mmoja. Haikibaliki kuwa sehemu ya maamuzi
hadi iPhone 15😂 kijana anajisnap tuu , cost tamaa mbaya