SHABIKI WA SIMBA-VIONGOZI WA SIMBA WAKAJIFUNZE KWA ENG.HERSI,AANZA NA MANGUNGU NA MO DEWJI

Sdílet
Vložit

Komentáře • 8

  • @briantafari9224
    @briantafari9224 Před měsícem

    Mzee Mwenda tumesubiri sana...

  • @mtekelechapemba5501
    @mtekelechapemba5501 Před měsícem

    Upon sahihi sana Mwenda, Matola arudi Simba B, na Mgunda achague msaidizi wake

  • @hassanntankwa4156
    @hassanntankwa4156 Před měsícem

    Unacho sema upo sahihi yanga ATA Mimi naona hivoo kua yanga msimu ujaoo anaweza let's kombe la afrika

  • @mtekelechapemba5501
    @mtekelechapemba5501 Před měsícem

    Viongozi wetu wa ajabu sana. Kelele zoooooote hizi wanachama na mashabiki wamejitahidi kupiga, lakini sikio la kufa limekufa. Viongozi wapo kimyaaaa, wala hata hawajitokezi hadharani kujibu kero na tuhuma hizi.

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Před měsícem

    Simba kama gari la shamba tripu shamba tripu gereji

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 Před měsícem

    Me naombea wabaki ivyo ivyo ili sisi tuendelee kushika hatamu

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 Před měsícem

    Tatizo si wachezaji tatizo ni mwamko wa wachezaji. Simba wanacheza wakiwa chini sana ukilinganisha na yanga. Kocha na viongozi wasimamie nidhamu wachezaji wawe kitu kimoja hasa uwanjani. Wachezaji wanapaswa kuwa kitu kimoja wanapotafuta ushindi. Ukiwaangalia wachezaji wa simba kuna wale wanaojiona ni bora kuliko wengine. Ndio maana hata mpira wanacheza kila moja na mpira wake. Wachezaji wanatakiwa kuwa wa moja na kuwa na kiu ya ushindi wanapokuwa uwanjani. Mfano ni yanga haina wachezaji wazuri ukilinganisha na simba. Lakini wana nidhamu ya mpira. Wanacheza kwa umoja na kujituma kama timu ndio maana wanapata ushindi kirahisi. Simba ubishoo mwingi sana.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Před měsícem

    UPO SAHIHI SANA VIONGOZI WA SIMBA MJIFUNZE KWA UONGOZI WA YANGA ENJINIA HENSI NI BORA SANA CY UONGOZI WA SIMBA NI UPIGAJI WA HELA TUU. MNAPIGA HELA ZA USAJILI. IGENI KWA UONGOZI WA YANGA.