MAUAJI MORO: WAFUGAJI WAWILI WAUAWA KIKATILI na WAKULIMA, DC MSANDO ATOA MAAGIZO MAZITO...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 11. 2022
  • MAUAJI MORO: WAFUGAJI WAWILI WAUAWA KIKATILI na WAKULIMA, DC MSANDO ATOA MAAGIZO MAZITO...
    WATU wawili ambao ni wafugaji wa jamii ya kimasai katika Kata ya Kolero Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika vurugu zilizohusisha wakulima na wafugaji na kusababisha wakulima kukamata ng'ombe zaidi ya 800 wilayani humo.
    Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo la vurugu, wamasai walivamiwa na wakulima na kusababisha vifo vya watu hao wawili huku mwili wa marehemu mmoja hadi sasa ukiwa haujulikani ulipo.
    Akitoa maelekezo ya Serikali baada ya kufikia eneo la tukio, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, DC Albert Msando amesema kutokana na vifo hivyo sasa ni lazima ng'ombe wote waondolewe katika kata hiyo ili kuwawezesha wakulima kuendekea na shughuli zao za kilimo bila hofu.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 25

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před rokem +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @sofi_1940
    @sofi_1940 Před rokem +2

    Jamanii,,haya mauaji Sasa bas mbona kila Mara ee mwenyezi mungu tusaidie 😢

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Před rokem

    Inalillahi wainailahi rajuun poleni sana Hao ni wezi hao

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Před rokem

    Ila hawa wafugaji ni wakorof sana ,mjifunze kupitia wenzenu waliikufa innah lilah wainnah ilah rajiun

  • @gaspermatee3970
    @gaspermatee3970 Před rokem

    Nyie wamasai mna shida sana mnathamani mifugo kuliko mazao ya kuliko wakulima

  • @kobelochande6669
    @kobelochande6669 Před rokem +3

    Na nyie wafugaji ndio tatizo punguzeni mifugo

  • @simonkipondo1453
    @simonkipondo1453 Před rokem

    Hapo mkuu kaegemea upande mmoja kama vile hao wafugajj ni WA kutoka inche ya Tanzania. Wahalifu wote wapatikane lazivyo kitanuka

  • @papaadialoo
    @papaadialoo Před rokem

    Tatizo serikali inaleta siasa kulinda wafugaji na ndo wanaoleta jangwa

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 Před rokem

    Siyo wamasai tu hata wasukuma hivyo hivyo. Wafugaji ni shida tupu

  • @pialashayo4519
    @pialashayo4519 Před rokem

    Hii shida wanaitengeneza viongozinashindwa nini kutenga maeneo ya wafugaji na kuweka sheria Kali kuwa hakuna wa kuingia kwa mwenzake

  • @ramadhanimkude5744
    @ramadhanimkude5744 Před rokem

    Wamasai si wakorofi ni waelewa tatizo ni la Wamang'ati ndio shida,fukuzia mbali.

  • @officiallcoolest_khid3223

    Saiv Tz kila siku watu wanachinjw why

  • @hassanabdillah3325
    @hassanabdillah3325 Před rokem

    Tuwe makini migogoro hii iishe

  • @gaspermatee3970
    @gaspermatee3970 Před rokem

    Baba wafugaji ni shida hawaelewi kitu

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 Před rokem

    Jamani wafugaji kwa Nini hawapewi maeneo yao ya kudumu?????????

  • @officialmaasai4602
    @officialmaasai4602 Před rokem

    Wengi wetu comments mnalaumu wafugaji Ila embu tulia fikilia vizur alafu ulete pia maoni ya upande wa pili kiukweri

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Před rokem

    Hao ngo.mbe wanavyolia

  • @hassanabdillah3325
    @hassanabdillah3325 Před rokem

    Mifugo mingi malisho hakuna tubadilike

  • @00P288
    @00P288 Před rokem

    Apandishwe cheo awe wa mkoa

  • @hassanabdillah3325
    @hassanabdillah3325 Před rokem

    Hili nitatizo kubwa

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Před rokem

    Wafugaji munavibuli nyingi. Acheni tu

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Před rokem

    Wamasai wabadilike na kufuga kisasa

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Před rokem

    Wafugaji kimeumana,mkome.

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 Před rokem

    RAIS Samia hebu lingilie hili swala kila siku Hawa wanagombana na kuwana morogoro, wafugaji na wakulima

    • @afrahoman2844
      @afrahoman2844 Před rokem

      Yan amekaa kimya atakuliongelea yan toka afe magu tz ovyo222