Gerald Mathias Mdamu amwaga chozi, inahitajika operesheni nyingine, awataja Manula, Mayay, Dodi

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 05. 2024
  • Nyota wa mpira wa miguu aliyewahi kuitumikia Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu amedondosha chozi ndani ya studio za Azam TV, akielezea hali yake ya kiafya ilivyo kwa sasa huku akibainisha bado inahitajika operesheni nyingine.
    Mdamu anasema vipimo vya X-Rays vinaonesha bado inahitajika kwenda kufanya operseheni nyingine.
  • Sport

Komentáře • 17

  • @user-pt9ed2yf9u
    @user-pt9ed2yf9u Před 9 dny

    Mungu amsaidie apone inshallah

  • @DespinaKindole
    @DespinaKindole Před 8 dny

    Mungu mponyee kijana wakooo

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 Před 26 dny +4

    Dah natamani kumsaidia huyu jamaa lkn nipo Kenya nitawezaje

    • @africatanzaniatours5980
      @africatanzaniatours5980 Před 25 dny +1

      Unamtumia pesa kwa mpesa ambayo kenya ni Safar com, au unaweza ukampigia then akutumie details zake then unamtumia pea kwa njia ya West union

    • @yassinsaid1119
      @yassinsaid1119 Před 24 dny

      U can send to him through his number

  • @user-zm5co2rf6z
    @user-zm5co2rf6z Před 24 dny

    Dah mm nimetoa machoz inauma sana

  • @LovelyClownfish-ib3kq
    @LovelyClownfish-ib3kq Před 26 dny +1

    Kwakweli nchi inawatu wagum sana halafu mtu akifa pambe nyingi galama yoyote ile itatumika kwenye msiba wake sifa nyingi Leo mtu anaomba msaada et akasome ukocha haà! Hiyo familia yake itakuaje? Jamani mungu yupo madam ndugu yangu pole sana mungu anakusudi zake upo kwenye mtihani unapendwa ukiwa mzima

  • @HusnaRashidi-ox7zk
    @HusnaRashidi-ox7zk Před 24 dny

    Mungu mponye anateseka inatoshaa

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 Před 25 dny

    Pole

  • @Answar.
    @Answar. Před 25 dny

    Hakika insha'Allah 🙏🏾 utapona ila nchi hii ngumu Sana yaan mchezaji kaumia katika majukumu ya timu ya taasisi ya jeshi la police na wanashindwa kumsaidia mungu anawaona malipo hapa hapa

  • @ElizaYanga
    @ElizaYanga Před 26 dny

    Kijana bado mdg jmn angekua anaendelea kucheza mwenyewe Mungu wetu muweza wa yote mtete kijana wako

  • @mwajumaabdallah3254
    @mwajumaabdallah3254 Před 26 dny

    So sad

  • @mliwakhatib9457
    @mliwakhatib9457 Před 24 dny

    Alivyopata ajali wakamuongezea mkataba kumbe ilikua njia ya kumuangamiza mazima skutegemea kama timu ya polisi inaweza kufanya hivi

  • @yassinsaid1119
    @yassinsaid1119 Před 24 dny

    Daahhh siamin kma viongozi wa vilabu nchini kushindwa kumshika mkono huyu kijana mwenzetu mwenye ndo ya mafanikio pamoja na familia yake

  • @byabatotv3283
    @byabatotv3283 Před 25 dny

    Alikuwa anachezea team ya jeshi la polisi....IGP uko wapi???? hii ni aibu Kwa jeshi

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Před 24 dny

    Sasa jamani mfani hizi hela watu wanazonunu magoli Tena goli Moja milioni Tano mpaka ishilini kwanini huyu kijana asipewe imsaidie katika maisha yake au mpaka mtu ajinyonge ndo watalizika