GULF SAGA:,WHAT I SAW IN THAT PRIVATE ROOM IS BEYOND BELIEF

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 05. 2024

Komentáře • 653

  • @mwangi_kriss
    @mwangi_kriss  Před 20 dny +63

    Hi family ,Incase you can reach or support Elizabeth +254713300639

    • @Teresa-255
      @Teresa-255 Před 20 dny +12

      Mwangi niko na story nipe number yako

    • @valeshiavershakivarymosiny6059
    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 18 dny +6

      @mwangikriss, ume conclude na sala nzuri na maneno very natural. Amen.

    • @mwangi_kriss
      @mwangi_kriss  Před 18 dny +1

      0700484190 wwlcome to our channel ​@@Teresa-255

    • @user-pl3tz9pi8c
      @user-pl3tz9pi8c Před 11 dny +1

      Tell her to report there someone in the freezer maybe a kenyan mum somewhr is looking for her daughter 😢

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Před 19 dny +56

    Dada Mshukuru Mungu ata amekupa wazazi ambao walikubali kukushikia watoto na usiseme eti mama yako hajawahi kukusaidia na chochote hyo kukaa na wanao tu ni msaada tosha wapo wengine wanakataliwa na wazazi wao na bado wanahitaji msaada so usiseme hakuna kitu wamewahi kukusaidia😭😭😭Jifunze kuwa na moyo wa shukurani hata kama unapitya magumu kiasi gani lakini usikufuru

    • @LizNjoki-vf6gf
      @LizNjoki-vf6gf Před 18 dny +9

      Pole sikutaka kusema hivyo nlikua namaanisha hawangenisaidia kifedha coz hawakua nazo in fact wangekua nazo zingekosa kusoma. Ninawapenda sana, na pia wanapenda watoi wangu zaidi

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 18 dny +1

      Kuna comment hapa hapa nime comment the same.
      I hope she take heed. Naatubu kwa kusema au kufikiri hivyo.

    • @sharonhr.86
      @sharonhr.86 Před 16 dny

      ​@@LizNjoki-vf6gfPia Mimi nilikua nimeshangaa but nimekuelewa. May God see you through.

    • @wangarelucythepopular5886
      @wangarelucythepopular5886 Před 9 dny

      Lakini hakusema kwa ubaya is like alikuwa anamaanisha aliamua kujitegemea kwa kutafuta pesa than kuitisha wazazi pesa

    • @wambuinyaga9106
      @wambuinyaga9106 Před 5 dny

      Ukweli aki

  • @tabbycatekinyua2903
    @tabbycatekinyua2903 Před 17 dny +25

    Alafu utaona ngombe ingine hapa ikisema madame wanakuanga na mangaa na tabia mbaya.shindwe kabisa.good girl you safe your self

    • @ChumanaSusi
      @ChumanaSusi Před 14 dny

      Huko..imi nanua heri tu nilime na iendelee na mupuka mandazi lakini maisha yangu yasitolewe na mwaarabu

  • @monienjeri3042
    @monienjeri3042 Před 14 dny +14

    Hii story inaogfya 😮😮....
    Najua mwarabu ni vinyonga, I had a madam wenye walinikujia, kuangaliana na huyu madam dhamira zangu zilikataa, nikasema labda mm namchukia, wakati bwana yake alifariki huyo mwanamke alichange food n etc..after one month nilikataa kazi nikamsho nataka kurudi office, to cut the story short nilipata nyumba ingine kwanza nyumba yenye ilikuwa na amani....
    Mtu akipata bosses wazuri ashukuru Mungu

  • @TeresahKingangi
    @TeresahKingangi Před 14 dny +11

    Naomba justice to be done and your brother aachiliwe from jail naomba Mungu aingilie kati.yeye ni mtetezi wa wanyonge,

  • @charleskatuse4674
    @charleskatuse4674 Před 13 dny +52

    mimi na support hawa kadamas wakitoka saudi wapewe kazi kwa armed forces zote trust me watasafisha inchi yetu,kadamas are God sent Angels❤wakirudi kwa inchi zao

  • @janesherry7053
    @janesherry7053 Před 18 dny +26

    God answered your prayers dea , huyo mungu alikuokoa usiwahi muacha alikupea ujanja ingine Kali Sana.... May God open another door for you

    • @elizabethkawino3963
      @elizabethkawino3963 Před dnem

      To God be the glory for bringing you back alive, and save the rest who’re there! And their ppl to be there for you!

  • @ShanizGalgal
    @ShanizGalgal Před 19 dny +19

    Akii ma dada zetu tukumbukane kwa maombi juu hii Gulf bila Mungu atuwezi toboa, always keep God first in every thing u do❤❤🙏🙏🙏

    • @De-Mutui
      @De-Mutui Před 5 dny

      Kwanza bona muende huko in the first place.....si mkae kenya tu

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift Před 17 dny +60

    I thank God nimekaa gulf for 8 yrs ,same house , same family ...Wananichukua as part of the family ...we share same food , we go out together ....Ni God's favour...pole sana dada ...Surrender your life to Jesus ..

    • @veronicahnjoki7638
      @veronicahnjoki7638 Před 16 dny +4

      Huyu Anadanganya ni beshte yangu Wa Church Naivasha,

    • @petermacharia7171
      @petermacharia7171 Před 16 dny

      ​@veronicahnjoki7638 how do you know?

    • @stewartsabwami9626
      @stewartsabwami9626 Před 16 dny

      😂😂😂😂ATI anadanganya​@@veronicahnjoki7638

    • @daisyeunice8772
      @daisyeunice8772 Před 16 dny

      ​@@veronicahnjoki7638Really 🥺?

    • @monienjeri3042
      @monienjeri3042 Před 14 dny +11

      ​@@veronicahnjoki7638were you the one who faced those challenges... ikiwa hujui warabu ni vigeu geu shut up...

  • @shiksjustin
    @shiksjustin Před 20 dny +23

    Hii Saudi stori iko na mambo only God can protect team strong

    • @softymoha5484
      @softymoha5484 Před 15 dny +1

      hata kenya...dunia kote,,,ukitembea ndio utaona mengi

    • @felistanjogu2144
      @felistanjogu2144 Před 13 dny

      Sio Saudi pekee ata inchi zingine za gulf so maombi tu ndio suluhisho

  • @user-mf5ze5oi9k
    @user-mf5ze5oi9k Před 20 dny +65

    People go through alot in gulf countries am here in saudi for 5 yrs no regrets May God protect us

  • @CarlbaniceShiro
    @CarlbaniceShiro Před 3 dny +2

    I thanks God nko saudi arabia en cjawai mistritiwa..i thank God ata watakangi niumwe na kichwa i really appreciate my boss feel loved wherever you are.

  • @user-yb1ld4dp6e
    @user-yb1ld4dp6e Před 18 dny +8

    Huu ni mikono WA Bwana aki.....To God be the glory 🫂

  • @MitchelleOkongo
    @MitchelleOkongo Před 15 dny +7

    This is what happened to me in lebanon 6 years ago,..God is a God of miracles..vile nilihepa hiyo nyumba nikajipata police station ni Mungu guys...i will narrate my story one day

  • @alicemumbi7585
    @alicemumbi7585 Před 18 dny +10

    May God remember every kadama and hide our lives in Jesus Name Amen
    May God open a door for Eliza and her family 🙏 🙏🙏

  • @user-bi2cu4qu6m
    @user-bi2cu4qu6m Před 19 dny +28

    Kwenda ughaibuni na kurudi ukiwa salama shukuru mungu

  • @PatriciaMukere
    @PatriciaMukere Před 10 dny +5

    Elizabeth is my neighbor uko ushago,we are also friends vile alirudi home aliniambia hiyo story but hapo kwa maiti hakuniambia nimeshangaa aki my neighbor ulipitia hivo but God is in control of everything.eliza tumepitia mengi but God is in control

  • @emilykoe410
    @emilykoe410 Před 11 dny +4

    God is gd,,never leave him,vile alikuokoa,,,hatawahi kukuacha kwa chochote kile..wa!mungu wetu ni wa ajabu

  • @Yuve-dq1vj
    @Yuve-dq1vj Před 14 dny +6

    Asante Mungu,Mungu akufungilie njia ingine pole sana dada

  • @mercygicharu8180
    @mercygicharu8180 Před 20 dny +8

    She is so fluent in her story pole sana.

  • @savannacollection5205
    @savannacollection5205 Před 20 dny +13

    pole sana siz Mungu akupatie nguvu. Pia tumrudishie Mungu shukrani umerudi salama. niliwahi kuona documentary kuhusu warabu ma boss especially oman , kuweit na bahrain wakichoka mschana wa kazi una pigwa picha kumbe wanakuuza kwengine hata wako na apps kabisa waschana wamekua displayed without their knowledge eventually unapotelea huko either dead or working as slave . God is good umerudi salama na In Sha Allah atakufungulia njia ingine. AMEEN.

  • @angelamukirae2254
    @angelamukirae2254 Před 20 dny +21

    Power in the name of Jesus! Psalm 91(Whoever dwells in the shelter of the Most High will rest in the shadow of the Almighty. I will say of the LORD, “He is my refuge and my fortress,)! Elizabeth god has a plan for you. Your testimony and what you have gone through will help many. May God protect our fellow brethren in Saudi . Life is spiritual !

  • @bethanathahabu
    @bethanathahabu Před 20 dny +46

    “The name of the Lord is a strong tower: the righteous runneth into it and is safe.” prov 18:10

  • @wonder_graceglobal
    @wonder_graceglobal Před 15 dny +6

    she is eloquent and a good story teller..thank you Lord for saving her life

  • @augustfive5279
    @augustfive5279 Před 13 dny +4

    Nachoweza kukushauri,Mualike Yesu kristo kwenye familia yenu nakuhakikishia atabadilisha maisha ya familia yenu.

  • @CarolineWaturi-hk8jj
    @CarolineWaturi-hk8jj Před 18 dny +17

    This stories are very scaring but also they are much teaching us alot.

  • @nitahfavour1886
    @nitahfavour1886 Před 17 dny +13

    After listening to this lady,,,aki for sure,,she's Gods masterpiece,,grace is all over her,,May it go well with u Liz

  • @wanjiku28
    @wanjiku28 Před 20 dny +31

    I thank God for Germany, they give us an opportunity to train in whichever course of our choice. Am A Trained nurse and working for years now. God bless Deutschland and help all those suffering in other countries. May God bless Each one suffering in foreign countries in Jesus Almighty Name.🙏🏿. God pave a way for the thse ladies who want to go back home in Jesus Almighty Name 🙏.

    • @peninarkamau6993
      @peninarkamau6993 Před 19 dny +6

      Now that she has shared her contacts, you need to reach our to her and if possible you connect her to the agent that helped you get there instead of her going back to the gulf.

    • @MarthaMary-ho3vx
      @MarthaMary-ho3vx Před 19 dny +1

      Can get job there please

    • @vionahandrew1428
      @vionahandrew1428 Před 18 dny +1

      Connection pls Niko Arabia hustling

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 18 dny

      ​@@peninarkamau6993
      Wewe mpe connection. Mnathani watu huenda ng'ambo kufanya kazi ya kuwa connect *Ma Kupe mentality km zako?

    • @lydiaogoya9606
      @lydiaogoya9606 Před 2 dny +1

      AMEN

  • @ajellicaihugo8268
    @ajellicaihugo8268 Před 17 dny +5

    Njoki you are a beautiful and very courageous lady, God be with you always 🙏🙏🙏

  • @user-wb8mw5sr3x
    @user-wb8mw5sr3x Před 9 dny +2

    May God keep strengthening you...i was almost to be killed in lebanon,they locked me in a car for a whole day without a/c or opening the windows..i was taken back to the airport without a penny after faithfully working for them in a year and some months...funny of it all it was a house of chief general and madam lawyer....warabu tunawaombea sana mmjue Mungu...General Saab and Madam Mireille Chekar niliwasameha na hizo pesa walichukua na simu yangu nilawachia Mungu😢...but am happy i went back in saudi and i got a good madam

  • @princessvivian6652
    @princessvivian6652 Před 18 dny +6

    MUNGU ni mkuu team strong tuombe Mungu kabisa tumalize hii mwendo salama 🙏🙏🙏

  • @hamisamadimpozi5923
    @hamisamadimpozi5923 Před 20 dny +9

    Pole sanaa dada waarabu sio wakuamini ata kidogo

  • @GGHH-fu5vs
    @GGHH-fu5vs Před 17 dny +4

    A m here in Saudia God is our protector.Aliving testimony of God s Power

  • @GraceNyoike-tb7wx
    @GraceNyoike-tb7wx Před 13 dny +4

    Mimi ni kemboi but l have a good family to God be the glory for all madam May God bless with you!

  • @evalynekapoloni9886
    @evalynekapoloni9886 Před 20 dny +7

    Na ujue hao watu wataitisha Tena mfanyikazi mwingine

  • @christinebaluti196
    @christinebaluti196 Před 17 dny +16

    I admire you, your very brave woman. I would like to support you Elizabeth your one in a million.

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 Před 20 dny +7

    May God protect team strong always me nko 10yrs n same boss n same house but foreigner

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 Před 14 dny +3

    Pole sana Liz 'your a strong lady may God comfort you.Thanks for sharing.

  • @AndyOjok
    @AndyOjok Před 6 dny +1

    Traumatizing story! Kriss your line and timing of the questions is absolutely brilliant. Many of our problems in the diaspora we consider unbearable until we hear of events like this. That fridge eh!.... Mungu ameona, atulinde.

  • @mercynjoki544
    @mercynjoki544 Před 17 dny +5

    Njoro my home town...salimia watu wa njoro

  • @susansuna6450
    @susansuna6450 Před 14 dny +4

    OMG protect us in this gulf lizz ur strong woman

  • @JasminesWanjiru
    @JasminesWanjiru Před 17 dny +3

    Aki God have mercy on us all kadama no weapon formed against us will prosper.

  • @Nanah18
    @Nanah18 Před 19 dny +7

    Mungu anakupenda sana, one day kaa na your second born, muombe msamaha kwa vile ulivyotaka kumdhuru akiwa mdogo na then umpe baraka maishani mwake/uwape baraka watoto wote

    • @LizNjoki-vf6gf
      @LizNjoki-vf6gf Před 18 dny +1

      Nooh, siwezi mwambia hayo yaliisha nlipoomba msamaha kutoka kwa Mungu, so hata siwezi taka kumwambia hivyo she is my best friend nawapenda zaidi ad that's y nlikua naenda kuwatafutia life poa saudi

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar Před 18 dny +1

      ​​@@LizNjoki-vf6gf
      Ulikua labda bado wa suffer PPD. Ni ugonjwa wanake wengine hu suffer baada ya kuzaa (within 1 year).
      PPD stands for Postpartum Depression.

  • @EdwinahBuyu-cf7fe
    @EdwinahBuyu-cf7fe Před 22 hodinami

    I hope one day nikirudi Kenya ill give my positive story about my bosses .i thank God 6 yrs same house so far so good 🙏🙏🙏

  • @user-pe8ho4bs6f
    @user-pe8ho4bs6f Před 19 dny +3

    Pole dada,shukuru Mungu alikuokoa

  • @vugutzatheblackqueen
    @vugutzatheblackqueen Před 19 dny +1

    Always inspired by the stories ❤

  • @evelynesabina8168
    @evelynesabina8168 Před 18 dny +7

    I thank God I'm living like I'm home. What they eat is what I eat. Sleeping like home. God I thank you for my bosses

  • @MaryNgigs
    @MaryNgigs Před 20 dny +3

    Ngai Elizabeth woiye pole mummy be strong

  • @Teresajelagat
    @Teresajelagat Před 15 dny +2

    You are a strong woman.Remember there is always tomorrow na Mungu yupo

  • @norahmatheka8592
    @norahmatheka8592 Před 15 dny +3

    What a story. Thank you Eliza for sharing your story. Very shocking indeed, you truly are a brave woman. God surely has a plan for you and your family. May God deal with those evil Arabs. I am sure they font end up well unless God has mercy on them.

  • @simonm.2002
    @simonm.2002 Před 17 dny +3

    Don't try to go back there , even tho you have problems here just love what you get ata kama kidogo

  • @beatricesisterskeeper3201

    Aty unapewa sahani yako? I'm glad kwenye niko we share everything, including snacks. What I'd say is that this woman is brave because ingekuwa ni mimi niliona mwili kwa freezer that would be the end of me there. Afadhali nijirushe nivunjike miguu but siwezi imagine nikichinjwa. I'm glad God came through for you 🙏

  • @0sengoshikondi.junior451
    @0sengoshikondi.junior451 Před 13 dny +1

    Wuehhhh..huyu dada alipata shida kweli..pole dada tena sana Mungu akulinde

  • @Estherm309
    @Estherm309 Před 19 dny +8

    You are hero give God all the Glory

  • @Ngwata-wangari
    @Ngwata-wangari Před 6 dny +1

    Watching this while in saudi😢😢
    Nimeshkndwa adi kula😢
    I'm humbled im safe almost 3 years now woi Mungu for the sake of my siblings keep me safe and all kadamas😢😢🙏🙏

  • @lillianwambui9836
    @lillianwambui9836 Před 9 dny +1

    Our Lord hears us when we cry unto him… even in a the time of wilderness you are Jehovah Yahweh!!!!

  • @DISHONOIGARA
    @DISHONOIGARA Před 2 dny +1

    Why they said eti nowadays saudia ni kwema, alafu mbona ladies wengi hawatoi Siri ya maisha yao huku saudia wanaporejea Kenya? Anyway pole sana Elizabeth

  • @faywangari7627
    @faywangari7627 Před 13 dny +15

    Prayers prayers prayers that's our only weapon in gulf countries. You can't survive without prayers

  • @princessjoe4068
    @princessjoe4068 Před 17 dny +3

    Only those who have ever been to Gulf knows these scenes behind the camera...mi huwa nasema ata nikikosa kazi kwetu ata ka inalipa kidogo aje heri niishi masikini lakini huko swz kanyanga tena

  • @SharonNyatichi
    @SharonNyatichi Před 15 dny +3

    😢😢😢you're a star Mungu anakupenda

  • @user-zk5cg6cl9m
    @user-zk5cg6cl9m Před 11 dny +1

    May God guide you sister na Mungu aendelee kukuongoza.
    God please protect us all in gulf and change our situations permanently in Jesus name 🙏

  • @liliannduku1675
    @liliannduku1675 Před dnem

    Your God is alive my dear mungu anakujali aki

  • @EuniceShibanda-vc1hq

    Elizabeth ,eh,God really loves you, barikiwe sana na usimusahau hata sikumoja . He actually saved your life with a reason behind .

  • @aduutustella676
    @aduutustella676 Před 13 dny +2

    Watching frm Uganda, Kampala 🇺🇬💕💕💕, Krissy nakupenda hahaha, anyway I love u put in God Almighty in all thank u

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift Před 17 dny +6

    May God protect all that are working in the middle East ...l will share my testimony one day

  • @FlorenceFlorence-qf8ec

    Pole dada mungu ni mwema mutuombee tuko uko

  • @Francisca.1126
    @Francisca.1126 Před 14 dny +8

    Let's all agree tha she's intelligent 👌 🎉congratulations mamaa,may God open doors for🙏

  • @user-fi6zc7vv6p
    @user-fi6zc7vv6p Před 18 dny

    Pole sana daa mungu anakupenda sana

  • @rosenight272
    @rosenight272 Před 13 dny +1

    Mimi nlizaa watoto 3 kwa nyumba, na hakuna shida yoyote.
    Coz ushago na huna pesa na mume pia anakwambia wanawake huzaa wewe si wa kwanza.
    Even today my 14 yrs old aliza 2022 kwa na juzi hii may pia at 17 ameza second born kwa nyumba.
    Ni Nehema, Rehema na Huruma wa Mungu

  • @rakivrakiv3023
    @rakivrakiv3023 Před 19 dny +3

    Elizabeth may God see you through,,gulf kila mtu yuko n story yake ,,I thank God 3yrs and I'm safe

  • @queensyshiks
    @queensyshiks Před 13 dny +2

    Kulingana na vile huyu dame amepeana story yake inaonesha she is very wise,God fearing & humble

  • @paulinekariuki-ny9jw
    @paulinekariuki-ny9jw Před 19 dny +2

    Wah
    Guys nipitieni niwapitiye back❤

  • @damarisnjerichege100
    @damarisnjerichege100 Před 20 dny +7

    Hata kuenda another country just involve God na atakusaidia

    • @Flower-ck2bs
      @Flower-ck2bs Před 18 dny

      If God help Why so many suffer and die? Stop this Nonsense with your white god!!!

  • @ironlady254theone2
    @ironlady254theone2 Před 17 dny +4

    26 months in Saudi Arabia,ni kwa neema
    #teamstrong

    • @veronicahnjoki7638
      @veronicahnjoki7638 Před 16 dny +1

      😂😂huyu anadanganya ni beshte yangu tumekua nayeye Church Naivasha 😂😂😂ohh my

  • @dorcusngota8715
    @dorcusngota8715 Před 15 dny +3

    What if uangukie the same house?;cz the boss vile Ana leta wasichana kila saa you should be careful

  • @edwinamboyi9138
    @edwinamboyi9138 Před 14 dny +2

    Kwa gas hakuna mwarabu atawacha kama iko open 😊... secondly learn to keep on your line.... penye umeambiwa uziende keep distance ❤🫂

  • @gideonkirui2598
    @gideonkirui2598 Před 14 dny +1

    You're strong.Be blessed.

  • @kalalatoniez8777
    @kalalatoniez8777 Před 6 dny +1

    siezi support mtu kwenda uarabuni nikiskia haya.

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b Před 20 dny +10

    Saudi Arabia ni kama encyclopedia kila kitu kiko uko,bt mimi 5years no regrets no complains niko in one house

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Před 20 dny

      Ata kenya kila kitu kitu sio saudi pekee sijui kwa nn watu wanaona nikama saudi ata kenya devil worshippers wapo ni mungu tu

    • @viviankagendo3383
      @viviankagendo3383 Před 20 dny +2

      Same here 🙏

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b Před 20 dny +1

      @@viviankagendo3383 brovo mungu akulinde tusaidie jamii zetu ,huku ikija na akili ya kukemboi walaai utakemboi juu Mimi wote tulikuwa nao walikemboi na walipanga tukiwa training,githurai so sometimes NI watu Tu wenyewe

    • @irineadisa7289
      @irineadisa7289 Před 20 dny

      Kuko aje Saudi please,watu husema ni kubaya

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b Před 20 dny

      @@irineadisa7289 my sister ukika huku na ujue ni Kwa nini uliwacha jamii yako ukaja huku ,walaai utatoboa ,cha msingi NI heshima na uwe na principal zako na ufanyf KAZI yako Kwa utulivu Yani tambua matunda ya KAZI yako

  • @Philly-fb4fh
    @Philly-fb4fh Před 9 dny

    Waaaaah Elizabeth Njoki am totally sorry what happened can you come to Lebanon please mmi ni fei tulikua na wwe kwa sunachi

  • @peterboli9431
    @peterboli9431 Před 2 dny

    Eeeh iyo stori ni intriguing.....God alikuokolea from the shadow of the valley of death. Usiwaimuacha.

  • @AnneKenya
    @AnneKenya Před 15 dny +5

    Indeed God is faithful to those who warship him in truth.

  • @gracewamboi4478
    @gracewamboi4478 Před 19 dny

    Pole sana may God come through for you

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 Před 2 dny

    This is story is heartbreaking.... We thank God for your life. AMEN

  • @aduutustella676
    @aduutustella676 Před 13 dny

    Watching frm Uganda, Kampala 🇺🇬💕💕

  • @RoseMtiva
    @RoseMtiva Před 17 dny +1

    Mungu tupiganie turudi kwetu salama

  • @GEORGEAMBIHILA
    @GEORGEAMBIHILA Před 6 dny

    Pole Sana dada mungu yuko

  • @RebeccaNamono
    @RebeccaNamono Před 4 dny +1

    Welcome back my dear from saudi

  • @Margaret-jg1uo
    @Margaret-jg1uo Před 17 dny

    Asante kwa mungu kwa sababu huyu mama hakumuua huyo mtoto

  • @felixkandagor4157
    @felixkandagor4157 Před 20 dny +3

    Very cauragius and wise, really God Has done alot

  • @susanwakiyu9497
    @susanwakiyu9497 Před 18 dny +1

    Pole sana

  • @pastormarionkariuki
    @pastormarionkariuki Před 16 dny

    God is merciful na anajali wanyonge

  • @mercynyambura6986
    @mercynyambura6986 Před 13 dny +1

    Ukiabiwa don't open or touch something please listen mmi Kuna room niliabiwa sifai kueda and imagine sijawai enda

  • @naomimorwabe8820
    @naomimorwabe8820 Před 12 dny +1

    Mungu atuonekania kwa izi nyumba za warabu haki zile room unambiwanga usiingie ujue kuna kitu mungu atuonekanie 😢😢😢😢

  • @swaglive4856
    @swaglive4856 Před 15 dny +2

    Si angeweka ID na pesa kwaa mfuko ama kwapa.

  • @lucywangechi2470
    @lucywangechi2470 Před 17 dny +3

    Iyo paka inakaa binadamu anaeza explain zaidi

  • @ShanizzLeeeshan-zu9cl

    Mungu yupo.Na kupitia huyu Dada wasioamini nawaamini sasa.Mungu azidi kukulinda dear gal

  • @marrieimmaculate
    @marrieimmaculate Před 11 dny

    😢Heeeeee... 🤔😮🙀 Wamama na wasichana hupitia hell on earth!!! Wacheni tu! 😯😲😕

  • @annaitumbi5572
    @annaitumbi5572 Před 19 dny

    Thank God for everything and aspacialy saving your life ask God to help you and give you job in Kenya

  • @user-bk3fk6os5m
    @user-bk3fk6os5m Před 2 dny

    Hpo ss uliona miujiza y Mungu.