'SIJAWAHI ONA MKALI KAMA NGWEA/ALI FREESTYLE WIMBO WA MSELA/NLIDHANIWA MWIZI SABABU YA MUZIKI' - KR
Vložit
- čas přidán 28. 09. 2022
- K R ni moja ya wasanii wakongwe kwenye game ambae ameshuhudia mengi na kufanya mengi,hii ni story ya maisha yake kupitia kipindi cha The Classic na Jabir Saleh ..subscibe hi channel kwa more interview.
Ngwear will always be undefeated.
Kaka jabir mualike na pfunk atupe ladha zaidi
Dah Safi sana KR real hip hop bongo rap we miss u Shibe shibe
Mangweah untouchable
Hatatokea kama ngware,Ila p mawenge my best
Jifunze mziki
😢😢6yyy😢to 6y😢g😢y😢😢😢😢😢ft@@richardcastromzena5136
Ngwair the best.....ahahaha balaaaa
Ngwear alikuwa noma sana
Alafu wakazi alijaribu kubisha wakati kumbe yy ajawahi kukaa na ngwer
Dah nachooka xana eti hawa hawa ndo wezi wa madumu
duuh hiyo ya ngwair balaa
wale wa leo 2024🎉😂Beat kidondaa ha ha#R.I.P Albert Bado upo juu hakuna Replacement yko#
KR uko sawa, cow bama ngwea, Zilla, chid benzino, Nikki mbishi na P mawenge kutoka kikosi kazi
Noma sana jabir
Mbunifu sana
Ngwea daah
KR mura, hip culture kitambo, lile Ngoma lenu mliua sn
aka kakitu kanatwangaaaa
hata mimi nilikuwa najua anaitwa KR MURA kumbe ni mulla
Kr mtu mbadi
Interview bora (classic) 🙌🏾
Kbs kbs kaka......hii kali mnoooo
Mziki hapo mwanzo ulikuwa mzuri hakuna kujiskia no fitna
Dope
CLASSIC INTERVIEW 2022
💥💥💥💥💥
Ngwair the Goat
Nye noma kaka mupita magumu
Heshma sn kwako
Rest peace king zilla
Maamaaaaaaaaaaaaaaaa ICHO KIDONDAAAAAAAA" By KR MULLAH😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Daaaaaaah nimecheka sn leo aiseeeeeee
mdundo wa P.funk sio kdg
😅😅😅😅😅😅kr mullah
R.i.p ma cowboy
Ili kr mullah iyo minywele uko kichwani si angeinyoa tu jamani
Oya kuvi...ujue humu kuna minerals
ᴿ.ⁱ.ᵖ ᶜᵒʷᵇᵃᵐᵃ