Nakumbuka huu wimbo miaka ya mwanzon mwa 2000/2001ulipotoka Kipindi hicho nna miaka 6 au 7 hivi Nlkuwa nausikia wakat nachezea vigari vyangu vya kitoto Ilikuaga club moja wanaupiga balaa miaka hiyo So naukubali sana kazi ilifanyika hasa kocha wa dunia🔥🔥🔥🔥
Kipindi hichooooo nlikua natoka nyumbani naredio yangu Naenda kuchunga mbuzi mlimani nakuna msichana nlikua nampenda sana nikifika hapo naiweka hii nyimbo.leo tarehe 25,7,2020 nakusikiliza hapa gonga like zakutosha
Leo trh 13 December 2019 naisikiliza hii nyimbo na ndo nafunga nayo mwaka nakumbuka nilikua drsa la 5 kila nyumba ilikua inapigwa hii nyimbo daah kweli nimeshakua muhenga
14/06/2022 bado nasikiliza muziki mzuri kutoka kwa Mwinjuma Muumini. Nakumbuka miaka hiyo ya 2000 na 2001 ndio ilitoka hii. Kama na wewe pia ni mkongwe tujuane.
Old is Gold...Congratulation Mwijuma Muumin Mwana Bagamoyo...Enzi hizo kuna ushindani halisi wa African Revolution a.k.a Wana Tamutamu ....Apa Muumin..Badi Bakule..Halima Ngaluma na wengine...Dar ilikua Dar
nilikua mdogo sanaa kipindi icho,,,, nilikuwa siamini akisema mapenzi yanauwa nilikuwa nacheka sanaaaa siamini kama kuna kitu kama icho,,,,, ila sasa nimekuwa nayaona mwenyewe kwa macho Respect bro Mwinjuma 2018
hapo nikiwa darasa la kwanzaaa yani nategea baba ametoka naiba kaseti naeka kanda naizungusha na biki inarudi nyumaaa hahahahaaa daaaaaa watoto wasikuizii shololo nyingiiiiii
I was primary when I used to watch this song to some shop when i was going to school sometimes I used to be late asa yule kilema alivyo kuwa anacheza wa twangapepeta uwiii so gud memory guys I mic those days back
Hizi ni nyimbo nazikumbuka sana wakati nko mtoto mwaka 2003 zilipigwa sana kipindi hicho nna miaka tisa.. mpaka sasa bado nazikumbuka nikiwa na miaka 28…
duu , ni shidaaaaaaa xna nakumbuka mbari xnaaa mwanzo wa mahusiano katika maisha yanga kuna MTU nilitokea kumpenda xna ila arikua bizee xna na masomo nje ya mji huu mwimbo ndiyo ulikuwa faraja yangu
Daaah iyi nyimbo naikumbuka kipindi nasoma drs 4 iyi nyimbo daah leo tr 23 mwez wa 8 ,2021 nimekuwa mtu wa Kujitafuti kwaiyo nampongeza sana amenikumbusha mda sana nimefalajika sana
Lala salama babaangu hiz nyimbo ulikuwa unazipiga jumapil huend kazin utazunguka nyumbani,utafanya USAF wote hiz nyimbo zitapigwa asbh had jion duuuh 😭 baba bs tu kifo hich mim mwenzenu simsahaug babaangu ❤️
13 _4_2024 nasikiliza enzi hizo Kama tuko pamoja gonga like
Nzembo yaba kulutu 🇨🇩
❤
Hii mpaka miaka 100
Nani tena kama huyu
Kipindi hicho wangapi tupo pamoja kwenye ngoma hii 2024 kuskiliza gonga like tuendelee kupata burudani
Kma bado unasikiliza Ngoma hi 2020 gonga like
Mdaa huuuu
Dah mumin kweli nyimbo zilikua zamani
Bonge la nyimbo
👍🤜💯
Nani yupo nami 2024
2024 wapi
Nani yuko nami hapa mwaka huu 2020 weka like tufurahie nyimbo nzuri
4/4/2020 pamoja sana
pamoja sana
Pamoja sn
@@alicenielsen2896 nakumbuka niko Chuo alikuwepo binti mmoja nilitokea kumpenda sanaa lakini yeye hakuwa ananipenda jamani
I'm here
1/3/2024 ni kwenye hii hali nifanyeje
Pole sana
Pole
Jamani pole sn utakuwa sawa
23/04/2019 kama bado waxkilza weka like za kutoxha hapa
2:36pm 25/12/2019 wend
2020 nipo hapa
Nakumbuka huu wimbo miaka ya mwanzon mwa 2000/2001ulipotoka Kipindi hicho nna miaka 6 au 7 hivi
Nlkuwa nausikia wakat nachezea vigari vyangu vya kitoto
Ilikuaga club moja wanaupiga balaa miaka hiyo
So naukubali sana kazi ilifanyika hasa kocha wa dunia🔥🔥🔥🔥
Sio kwmba umetoka 2002
@@albinusnyaiyo2614 Hapana Kabla Ya 2002
Nakumbuka 2001 nilikuwa Nausikia Unapigwa
Tarehe 03/03/2019. Naangali old music km ww umeangalia baada yangu gonga like tujuane
BIPARI LA KIYAO niko hapa leo 21/3/2019
22/3/2019
13/10/2019
@@youngassaidy7845 mwamposa
2024 from marekani Florida, ilike this song from Tanzania 😊😊
22/3/2019 nipeni like 100 tu jamani kwani hii nyimbo kipindi niko mtoto nilikua naicheza wana nipa sh tano duu kitambo sana.
Daaa hiii kitu inanikumbusha mbali sana
Acha 2
Hongera ulikuwa na makomfidensi yoote
😁😁😁😁😁😁😁😁😁acha tu mzee tena wakinipa mi fasta kwenye mihogo
a tip : watch series at flixzone. Been using them for watching a lot of movies lately.
Kipindi hichooooo nlikua natoka nyumbani naredio yangu Naenda kuchunga mbuzi mlimani nakuna msichana nlikua nampenda sana nikifika hapo naiweka hii nyimbo.leo tarehe 25,7,2020 nakusikiliza hapa gonga like zakutosha
Kipindi hicho nikiogopa wanawake nikisikia ukimwi unauwa alafu nikitamani lakini nikiskiliza nyimbo hii nikichanganikiwa sana
Childhood song ❤ here in 2024.. Nostalgia brought me here
Kama na wew ni kijana wa nyimbo hizi gonga like yako tujuane
Nilkuwa cli ukpigwà huu wimbo maana nilkwa na Dada mmoja nilimelewa sana
Nakumbuka mbari xana cna la kusema wapendwa marafiki ndugu na Miata yote ubungo mpaka kimara uko wapi muumini,❤
Kuna wimbo wake, ameimba kiu ya mapenzi( Naomi) natafuta siuoni hata. Kama Kuna mtu anajua vile naeza kuupata, aniambie. Tafurahi Sana kuusilia Tena.
2024 nani yuko hapa kwa kocha wa dunia
Kwa wale wanao appreciate good music, kali sana
13/12/2019 majira ya 18:17 nipo naangalia kama naww like twende pamoja
Jamaan baby nampenda kulikoni wote !4/11/2019@gonga like kama umeguswa 😚😚
Leo trh 13 December 2019 naisikiliza hii nyimbo na ndo nafunga nayo mwaka nakumbuka nilikua drsa la 5 kila nyumba ilikua inapigwa hii nyimbo daah kweli nimeshakua muhenga
10/11/2019 Baada ya kukumbuka wakati huo nasoma ilikuwa hatari sana. Gonga like tujuane
i was in class 7 when i listened first time 2000
I was in class 7 in 1998 when I enjoyed the song for the first time
Dah mwanamuziki mwenye nidhamu ya kiwango Cha hali ya juu muumini mwinjuma na anajua kuimba sanaa
January 2020 kama nawe unasikiliza tungo tamu za Muumin Mwinyuma weka like yako hapo
I wish lavalava afanye cover ya hii song, naona sauti zao kama zinaendana afu pia lavava yuko vizuri kwenye style hizi za kulalamika
Umeona kitu
Old is Gold 2024 !!! Still rocking 🔥 🔥
12/02/2020 nipo nakula good music weka like zangu jamani
Bonge la song nakumbuka hii nyingi nmetoroka nymbn xana kwendaa kuicheza disco daaaah👏
Wangwe Mrongoti 19 10 2019
Nan jaman anakumbukia enzi 2019 gonga likes apa
Kama unagapia 5.5.2019 19;52 goga like
Hii tareee 04-10-2019 nimelikumbuka hili
Mkulima kala mbegu hatari 12/04/ 2020/ hatari kubwa Leo pasaka nakula tunda spisho
Tarehe 3/7/2019 twendee pamoja like kma zote
Bro hii nyimbo ilikuzidi umri ulifikiria zaidi ya uwezo wako,,
Kweli kabisa yaani aliitunga na ikamzidi uwezo na umli wake maana ujumbe mkali sana duuuuh! Pamoja MM
Kabisa
Muumini nyimbo hii siku iripotoka nilikuwa nimeaingiziwa mwanafunZi nimemtorosha acha inanikumbuaha mbali heshima kwako kaka
@@eliamalima1718 duuuh,una Mambo ww,Ila yote maisha best....
naangalia tar 16/12/2019😭😭mapenz jamani yanitesa naweza kufa kwaajil ya mapenz 😭😭😭😭😭😭
Mume wangu ulikuwa ukiniimbia huu wimbo sikujua unamaanisha nini ila sasahivi ndo najua nini ulimaanisha rip kipenz changu
pole dada
2020 Vibe lile lile kama ndio imetoka leo😁😁
Nakumbuka mbali huyu mwamba Mungu amjali maisha marefu🙏
Leo Tar 02.07.2019 Nasikiliza Vitu vyenye maana na kunirudisha hadi Raha.
Wasanii walikua hawa leo 7.1.2020 naskiliz nyimbo ambayo mama zang ndo wameskiliz haichuji kamwe
Leo 1...11...2019...10:02pm naipiga hii ngoma naikubal hatar sana jmn like zenu wapendwa ...peoples power 4rever
Twenty twenty gonga like twende
Ivyo vitu vya kale si mchezo Hawa vijana wa Leo wasubir sana
moja kati ya sauti tamu isiyochosha masikio asante kwa kukuona live
Sangoma Moricee siomchezo
14/06/2022 bado nasikiliza muziki mzuri kutoka kwa Mwinjuma Muumini. Nakumbuka miaka hiyo ya 2000 na 2001 ndio ilitoka hii. Kama na wewe pia ni mkongwe tujuane.
Wakongwe tupo 😅
2018...siku hizi hakuna nyimbo Kuna vituko..
Nimecheza sana hii nyimbo goody song
Now 2023 but I'm listening this song
Nimenunua smartphone jaman nyimbo ya kwanza kusikiliza ni hii coz kitambo sana mpaka leo 2021
huu wimbo japo nilikuwa mdogo sana lakini nilikuwa nimeukariri na kuuimba kila muda japo nilikuwa sijui lolote kuhusu mapenzi
Sasa hivi unayajua!!?
Daah nakumbuka mbali sana still listening this song in 31/09/2019
Gonga like kama naww uko kwenye jahazi hili
Old is Gold...Congratulation Mwijuma Muumin Mwana Bagamoyo...Enzi hizo kuna ushindani halisi wa African Revolution a.k.a Wana Tamutamu ....Apa Muumin..Badi Bakule..Halima Ngaluma na wengine...Dar ilikua Dar
iko sana yani inanikumbusha mbali sana
Today Saturday 22/1/2022 at 7:05 am,
Nairobi, Kenya. I have woken up listening to this timeless hit. A song I adored in 1998...nalia sana....
2022 m hereeee baada ya kuachwaa 😂😂😂😂😂
Wahenga ndio tunaelewa hii mambo good sana
Chaz Koillah LSA lslb
Hatar San
@@tatakalimu7196 noma mzee hii ngoma
Kweli kabisa
Kitu htr sna iki ase apo Yaan nikukata mauno kinouma jasho linatoka mpka linakaukia mwilini aloo hii ngoma Jmn Daah
Duuuuhhhh siku zinaenda miaka inakwenda ili nyimbo hii imekuwa bora muda wote bdo inaishi mpka kesho nakumbuka mbali Sana yaaan kipindi kilee
ilikuwaga nyimbo ya taifa hii ngoma
2023 like kama mapenzi yanauwa😍😍
8-10-2019 naangalia enzi izo baba zetu walivyokuwa wakienjoy na tamtam
Huyu jamaa anayo sauti bana, Kama angezipiga leo Angelia tajiri
4-4-2019 tuko wengi ndani la jahazi
Sept 2020 like zangu jamn
naumbuka enzi hzo niko primary school ...naona kama watoto wa siku hizi hawafaidi muzik wa kitanzania
Me too, ckuizi ni fully vichupi bro, mziki hamna sasaivi.
Kitambo sana ,miss you muumini
Dah zaman raha bwana
kabisa kaka mziki assahivi hamna then niwizi mtupu
frank lucas kbs
Jamaani weeeee daaa Kama unasikiliza hiii nyimbo 2019 gongo like kwa wingi🕵🏾👰👍👍
07032020 bado naangaliaaa,,,twende na liked
Ni 2023 na bado naisikiliza hii ngoma.
Tuliofanikiwa kung'oa chuchu miaka hiyo kupitia wimbo huu njoo tujuane. Leo 12. 6. 2023 lakini wimbo utafikiri umerekodiwa jana
Nami nipo leo 31/3/2019 nasikiliza nyimbo tamu kama hizi
Jamani tujuane 2024❤❤🔥🔥
Duh huo wimbo wa tunda special unanikumbusha mbali,kazi nzuri onyango
Mapenzi ni sheeeeedah jamani
Pole sana kwani usilo lijua sawa na usiku ŵa kiza
nilikua mdogo sanaa kipindi icho,,,, nilikuwa siamini akisema mapenzi yanauwa nilikuwa nacheka sanaaaa siamini kama kuna kitu kama icho,,,,, ila sasa nimekuwa nayaona mwenyewe kwa macho Respect bro Mwinjuma 2018
11/09/2019 bado tupo p1 gonga like yko kama na ww ni miongoni mwao
hapo nikiwa darasa la kwanzaaa yani nategea baba ametoka naiba kaseti naeka kanda naizungusha na biki inarudi nyumaaa hahahahaaa daaaaaa watoto wasikuizii shololo nyingiiiiii
Dah atali
Wakati huo nikiwa na umri wa miaka 10 saivi nishakuwa shangazi kweli ya kale ni dhahabu
Jamani huyu jama alimba vizuli sana mshauli aziludishie atoe video
Tupo pamoja kaka omy kutoka Mombasa steji ya Tanga kule bagamoyo Kuna madege meupe
Kitamboo rahaa sanaaa sio sasa wap mwinjumaa duuuuh
JACOB SHAURI hijsooiiiiosisooioososooauu
Nice mziki wa siku hizi wizi ,skia Base,rthym,solo,tumba,vocal
Nzur kitambo sana
👍👍👍
Kama 2020 ni hatar iyo ngoma
Nyiee old is gold walahii
Legendary wa hz kaz Prince M/muumin Respect 2020 bado nyimbo inauhai
ni buruda ambayo itadumu milele
Hii nyimbo nzuri saaaaaanaaaa
I was primary when I used to watch this song to some shop when i was going to school sometimes I used to be late asa yule kilema alivyo kuwa anacheza wa twangapepeta uwiii so gud memory guys I mic those days back
26 March 2020 Kama bado goma ipo moyon kinoma SANA
October 2020 nani anaangalia????
Mbona kimya muumini nyimbo zako tamu
Hizi ni nyimbo nazikumbuka sana wakati nko mtoto mwaka 2003 zilipigwa sana kipindi hicho nna miaka tisa.. mpaka sasa bado nazikumbuka nikiwa na miaka 28…
2020 mpo?
R.I.P babu yangu.. allipenda sana hii nyimbo nami nikiwa mdogo sijui hili wala lile lakini sasa ni mkubwa najua nini maana yake...
15.09.2019 naskiliza hatar hiii mapenzi jamanii yataniua
Yn unanikumbusha mbali sn hii nyimbo ikipigwa nakumbuka daa
inakumbusha mbali kaka weka na wimbo wa chande
Jaman mapenz hayana mfano yanafuraixha xaxa na kuhuzunixha xana unapotendwa na umpendae
20.03.2021, hizi ndizo nyimbo zidumuzo, sio za anachukua anaweka
duu , ni shidaaaaaaa xna nakumbuka mbari xnaaa mwanzo wa mahusiano katika maisha yanga kuna MTU nilitokea kumpenda xna ila arikua bizee xna na masomo nje ya mji huu mwimbo ndiyo ulikuwa faraja yangu
Duuh long tyme ago, nw tumekuwa wadada wakubwa.... Yasikitisha mnoooo
Mwamini Said ls
Gonga like hapa km unasikiliza leo hii Sept 12,2023😅❤
Daaah iyi nyimbo naikumbuka kipindi nasoma drs 4 iyi nyimbo daah leo tr 23 mwez wa 8 ,2021 nimekuwa mtu wa Kujitafuti kwaiyo nampongeza sana amenikumbusha mda sana nimefalajika sana
Tangu nakuwa nasikliza wimbo huu daaah mapenzi yanauwa 😥 14/6/2019 najikuta nalia tuuu mwenyewe masikin
LEO 30/09/2022 nimepata wasaa wa kusikiliza, ila pia ninazo IYO album nzima ya prince muumini.. Mtoto wa TANGA CHUMBA GENI
Hii nyimbo ilipotoka ndo nilikuwa nimependwa na mume wangu wa Sasa,Sasa nikikasirika ananiimbia huu wimbo nabaki kucheka tuu 2024
sauti ya dhahabu uwezo mkubwa hubahatishi kuimba asante baba mungu akuone
Lala salama babaangu hiz nyimbo ulikuwa unazipiga jumapil huend kazin utazunguka nyumbani,utafanya USAF wote hiz nyimbo zitapigwa asbh had jion duuuh 😭 baba bs tu kifo hich mim mwenzenu simsahaug babaangu ❤️
Listening from Nakuru
Nani anasikiliza huu wimbo like zenu twende sawa