Tanzanians who DON'T KNOW Kenya..Must Watch (Swahili vlogg)2023

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 07. 2023
  • Hey guys,hope you enjoyed this video, please remember to like, subscribe for more
    #tanzania #kenya #Dar es salaam#Nairobi#East Africa#streets #people #African cities #travels #johanesburg #millardayo #wcb #diamondplutnumz #harmonize #zuchu#bongo

Komentáře • 352

  • @swts4k
    @swts4k Před 10 měsíci +26

    I am from Kenya and worked in TZ. Tanzanians are one of the most generous people and funny too. They love to share and would never eat alone, always made sure that I had something to eat. Loved the country and food. Beautiful islands too. I miss mtori, bajaji rides, Dar es salaam nights, Mwanza fish and Zanzibari pweza. Kenya can learn a thing or two from them about keeping our towns clean and caring for the environment.

    • @Niq_afrikano
      @Niq_afrikano  Před 10 měsíci +2

      Very true, Tanzanians are kind people! You'll simply realize when you get to Dar es salaam

    • @almanjeri2083
      @almanjeri2083 Před 10 měsíci +2

      That's true...I love Tanzania so much as a Kenyan

    • @mbwizax87
      @mbwizax87 Před 10 měsíci

      @@almanjeri2083we love u guys, when a Kenyan come to Dar you won’t feel nothing but home

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Před 10 měsíci

      ​@@almanjeri2083We love u too

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Před 10 měsíci +2

      Ur right watanzania si wachoyo

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 Před 22 hodinami

    Sisi kwetu we know everything about tanzania. From politics to business to social life. Tuko vizuri mkuu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Před 11 měsíci +14

    Hongera Kaka , karibu saana TZ, Binafsi nawajua marais wote tokea uhuru, Daniel arap moi, kibaki na lucy kibaki, Uhuru, Raila, W. Ruto, na wasanii-Erick omondi, mwala , mzee ojwang, mbunge Asha Juwa, Prezoo. tunawakubali majirani Karibuni saana tena saaana

    • @bantuvoicemuchaik.k.7715
      @bantuvoicemuchaik.k.7715 Před 10 měsíci +1

      Safi bro bro.wakenya wengi watakwambia sio mikoa tu ila mitaa kama mikocheni,n.k..
      Rais…mwalimu nyerere ,sijui nani kamfuata ,alafu mkapa,kitwete magufuli ..
      Waimbaji wengi tu…wafafi records n.k…
      Miji..arusha, dodoma,iringa,
      Wapo pia wasukuma,wakuria n.k..
      Pamoja afrika mashariki

    • @babalad983
      @babalad983 Před 10 měsíci +3

      tunajua ili inabidi kubalance story ukisema tanzania hawajui si kweli lengo la content ni kuonyesha tanzania hawajui kihusu tanzania

    • @stansiyomana1239
      @stansiyomana1239 Před 10 měsíci +1

      Zamani nilipo kuwa shule ya sekondari huko Ngozi inchi ya Burundi myaka ya 1960 niliskia wimbo wa John Mwale ``Shirikisho la Afrika`...`Tuwaheshimu VIONGOZI wetu w'Afrika"na nikafikirya wanasema via Ngozi (kwa kupitia Ngozi), sikujua kiswahili wakati ule. Kama mwaka 1986 nilinunua tape ya wimbo huo kwenye souvenir shop ya Museum of African American history huko Washington D.C. (labda kwasasa tape ilisha haribika and I don't have a tape player anymore).

    • @b.truthful
      @b.truthful Před 10 měsíci +1

      Umetisha kaka hongera 😊

    • @stansiyomana1239
      @stansiyomana1239 Před 10 měsíci

      @@b.truthful Asante sana, nimepata bahati tu. Naijuwa Tanzania kuliko Burundi (Burundi nilikua tu mtoto wa shule). Nimekaa Tanzania 1977-1982 na 1984/1985 (Nilikuwa mkimbizi lakini nilikuwa na kazi nzuri). Sasa hivi nilikuwa naangalia picha za waziri mkuu Kasim Majaliwa huko St. Petersburg, Urusi. Myaka kama miwili iliopita nilikutana dukani na mtanzania mmoja, nilipozungumuza naye kwa kiswahili alifikiriya kwamba na mimi ni mtanzania.
      TANZANIA OYEE!!!

  • @kladmedia
    @kladmedia Před 10 měsíci +5

    Mji msafi...Love from Kenya.

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga Před 10 měsíci +6

    Dar is making good progress and clean kudos

  • @mightlybeloved6763
    @mightlybeloved6763 Před 10 měsíci +8

    Wakishidwa kujibu sahihi unafaa kuwaeleza jibu sahihi. Usiwe ukiwaacha Katika Hali ya kutofahamu.

  • @billian1914
    @billian1914 Před 5 měsíci

    Kaka asante sana mungu akuon'goze kwa kazi yako, video nzuri saalams nyingi kutoka nchi / UJeremani.

  • @shimronnetia
    @shimronnetia Před 2 měsíci

    Love from Kenya. we love Tanzania...super clean Dar es salaam

  • @petermakaumutuku9150
    @petermakaumutuku9150 Před 10 měsíci

    Kazi nzuri sana.Usichoke..

  • @gideon546
    @gideon546 Před 10 měsíci

    👍 Good Job Bro.✔️

  • @salimpeacetv_africa1686
    @salimpeacetv_africa1686 Před 10 měsíci +5

    Nairobi my city my town the financial hurb of East African...the only city with a nationa park and a direct flight to New York ❤

  • @thomasduke4402
    @thomasduke4402 Před 10 měsíci +8

    Hey Tanzanians are not interested about what goes on in Kenya, they are so busy minding their own business...which i find very good!!

    • @Jossy-qk8vw
      @Jossy-qk8vw Před 10 měsíci

      wako busy kwa uchawi na ujinga. nchi ya misukule. shame on you tanzanians

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin Před 10 měsíci

      @@Jossy-qk8vw Have you ever been to Tanzania?

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin Před 10 měsíci +2

      @@Jossy-qk8vw Huna tofauti na hao aliowauliza ...Nawe hujui lolote kuhusu Tz unassume vitu tu na wakenya ndo mlivyo you pretend you know while you dont know..

    • @Jossy-qk8vw
      @Jossy-qk8vw Před 10 měsíci

      @@explorewithbertin pfh !

    • @stellastl6168
      @stellastl6168 Před 10 měsíci +1

      Kenyans don't care if you know about us... Im unbothered, do not think that knowing about Kenya is doing Kenyans any favour.. alaaar!

  • @almanjeri2083
    @almanjeri2083 Před 10 měsíci +6

    As a Kenya that loves Tanzania and travels a lot there i would urge citizens of both countries to travel more to stop assuming a lot about each other😊😊both countries are beautiful in their capacity. There is also some rivalry that exists that shouldn't be there.

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 Před 22 hodinami

    Nairobi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @alexkipkorir1598
    @alexkipkorir1598 Před 10 měsíci

    ❤❤❤❤❤

  • @IanMusamba
    @IanMusamba Před 11 měsíci

    Unaitwa Nicky.....Tunakujua,,,,this time umeweza bro👊

  • @DiorKenneth-oy6ut
    @DiorKenneth-oy6ut Před 9 měsíci

    ❤❤❤

  • @lonelion8098
    @lonelion8098 Před 11 měsíci +5

    One thing that Kenyans and Tanzanians have in common is that both are very sensitive people hakuna lolote mbaya unaweza sema kwa wote wawili ama wata kubomoa

  • @damagemziki5623
    @damagemziki5623 Před 4 měsíci

    There uptown looks like our down town....tz will need like 10yrs to get to our level 😅

  • @gilbertwerema9870
    @gilbertwerema9870 Před 11 měsíci

    Keep it up bro

  • @humphreyallan3342
    @humphreyallan3342 Před 5 měsíci +2

    Dar es salaam inamuonekano sawa na Mombasa

  • @samwelmlwanda8789
    @samwelmlwanda8789 Před 10 měsíci +4

    Kuwaelewa wtz ni kazi!!!!
    Maswali hayoo utapata majibu sahihi!!!!!!
    Wao wanajuwaa kwann, hawakupi majibu sahihi!!!!

    • @ngoyaboy1590
      @ngoyaboy1590 Před 2 měsíci

      Hahahah unajuaa ni kwann yaan apoo kwanza kiswahili chake hatumuelewii

    • @user-nt4mw7zm7d
      @user-nt4mw7zm7d Před dnem

      Wanajua sana kuhusu Kenya .. wanafahamu mnawaona wajinga ndo maana..

  • @MrNeversweat
    @MrNeversweat Před 10 měsíci +7

    He mentioned Lubumbashi, that's a town in CD Congo not Kenya. Thanks my man for acknowledging us.

    • @stansiyomana1239
      @stansiyomana1239 Před 10 měsíci

      I am Burundian and have lived in Tanzania as a refugee from 1977 to 1982 and 1984/1985. I didn't suffer in a refugee camp, I got a good job when I arrived from Patrice Lumumba University in Moscow (now People's Friendship University of Russia). After I learned Swahili, only my coworkers knew that I was a foreigner. I had a wonderful life in Kahama, Dodoma, Nzega, Kahama and Kyerwa.
      I recently saw an intriging picture of a huge amount of black stuff (ore or tailings?) at a plant processing copper and cobalt in Lubumbashi.
      Could anyone tell me the name of that place?
      Merci d'avance/Merci mingi bandeko.

    • @thomasduke4402
      @thomasduke4402 Před 10 měsíci

      There is another Lubumbashi in Zambia too!

    • @MrNeversweat
      @MrNeversweat Před 5 měsíci

      @@thomasduke4402 ok, I've never heard of it

  • @wilfredemayot6969
    @wilfredemayot6969 Před 11 měsíci +2

    Kwa usafi wapo vizuri sana kenya kidogo sehemu zingine balaaa

  • @ngowibeatrice1701
    @ngowibeatrice1701 Před 4 měsíci

    Atuwajui

  • @user-io7on7it3v
    @user-io7on7it3v Před 6 měsíci +3

    thats why kenyans go to school to study other countries kenyans know tanzanians so well

  • @chosenfilms8915
    @chosenfilms8915 Před 10 měsíci

    Masamiati😂😅

  • @KwehuMedia
    @KwehuMedia Před 11 měsíci +2

    nimemiss kiti moto za dar ,beautiful ladies pia everywhere 😅😅

    • @AnalystTosh
      @AnalystTosh Před 10 měsíci

      Kiti moto uwa ni nini?

    • @KwehuMedia
      @KwehuMedia Před 10 měsíci

      @@AnalystTosh mixture of pork,fried matoke ,kachumbari & spices

    • @AnalystTosh
      @AnalystTosh Před 10 měsíci

      @@KwehuMedia went to Dar but didn’t know about it… a TZ collegue later asked me if I ate it… mimi nikasema yes but in my mind sijui what that was… that was 2019 and I finally know what it is

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před 10 měsíci

      ​@@KwehuMediakitimoto is just pork, all those you accompanied with aren't kitimoto but can be taken with kitimoto

  • @hamisimramba6738
    @hamisimramba6738 Před 10 měsíci +1

    Next time Ask Them Nimsanii mgani wa Kenya Wanamjua.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Před 4 měsíci

    👊✌️👍*

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Před 10 měsíci +1

    Wat a shame😂..Rais wa Kenya sasa hivi simfahamu big up😂

  • @bonnybonny8403
    @bonnybonny8403 Před 8 měsíci +1

    As a Kenyan niulize chochote kuhusu Tanzania nitakujibu. And I have never even been there. Miji ya tanzania nakutajia zaidi ya tano. Team za mpira za TZ nakutajia karibu zote 🤣🤣. I hope to visit Dar one day. Wow tanzanians are so polite

  • @eplisbackchannel2358
    @eplisbackchannel2358 Před 10 měsíci

    TZ acha neno na jokes 😂.. As in hujui kibera at all

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga Před 10 měsíci +6

    The interviewer is one bad clout chaser😅😅😅😅😅😅
    Analazimisha watu wajue kenya 😅😅😅😅😅😅

  • @bonifacelangat-lh1fv
    @bonifacelangat-lh1fv Před 6 měsíci +2

    I think kenyan education system is the best,, because in primary level we are taught of other African countries

    • @Niq_afrikano
      @Niq_afrikano  Před 6 měsíci

      absolutely

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 Před 4 měsíci +1

      Most Tanzania know Kenya very well, and very rare a Tanzanian doesn't know Nairobi. I think the interviewer wanted certain answers to his questions.

  • @mcback4384
    @mcback4384 Před 10 měsíci +1

    Kaka million 700 sio pesa ndogo, hiyo ni pesa nyingi sana, international school fees minimum ni million 1.5 (food, accommodation, stationeries included) million 700 ni pesa ya kujenga several schools

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 Před 11 měsíci

    Nimependa unacho kifanya ❤

  • @gift7233
    @gift7233 Před 5 měsíci

    Bora elimu.

  • @IBENGM
    @IBENGM Před 18 dny

    @4:23 Lubumbashi haipo Tanzania...ipo Congo

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 Před 10 měsíci

    Nasisi tunakupenda sana

  • @tysonmwiwa7341
    @tysonmwiwa7341 Před 11 měsíci +5

    Watanzania wamenishangaza sana kua hawatambui lolote kuhusu Kenya (closest East African member)

    • @babalad983
      @babalad983 Před 10 měsíci +2

      si kweli tunajua ila hii chanel imeamua kuweka content ili kuchonganiasha

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před 10 měsíci +2

      ​@@babalad983sio kuchonganisha, ni kweli wengine hawajui kama walivyoonekana, kwani ni hatia? Hakuna mtu ambae anajua kila kitu

    • @jambo3751
      @jambo3751 Před 10 měsíci +3

      Wachache ndio wasiojua kuhusu Kenya lakini waTanzania wengi wanajua kuhusu Kenya .

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Před 10 měsíci

      Wato wako busy na kazi zao

    • @Frazztraveller
      @Frazztraveller Před 9 měsíci +1

      Tanzanians know more about south Africa than Kenya, I don't know why

  • @EuniceW.Muriuki
    @EuniceW.Muriuki Před 7 měsíci

    I live in Gachie

  • @calibinturab0984
    @calibinturab0984 Před 10 měsíci

    Mimi kwa maoni yangu watanzania hawataki.hii soko bandia ya East Africa community.hania faida kwa wakezaji igeka Kwanza sarafu ya nchi hizi iwe moja ndio faida ingekwa.bila hio.haina Teja.

  • @wanjiruwachira2777
    @wanjiruwachira2777 Před 10 měsíci +5

    but wewe Nicki mbona huongei kama mkenya,?

    • @blonr
      @blonr Před 10 měsíci

      Bana mi nilidhani ni mtz

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga Před 10 měsíci

    Hahahahaaa ati unajua nini kuhusu kenya
    Najua tu kofi ya umeme 😅😅😅😅😅😅😅ooh my God😅😅😅😮

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 Před 10 měsíci

    Tunaijua bongo yetu sisi

  • @lillianm.munyao7793
    @lillianm.munyao7793 Před 11 měsíci

    🤔🤔🤔🤔🤔

  • @georgewabwire824
    @georgewabwire824 Před 10 měsíci +4

    You should have told Juma about Nairobi. People take our education for granted but an average Kenyan is more educated than most people on this planet. I heard that some Nigerians have never heard of Burundi.

    • @Allpro007
      @Allpro007 Před 10 měsíci

      Depends on how you define educations, what has Kenya contributed to the planet In innovation, only mpesa

    • @georgewabwire824
      @georgewabwire824 Před 10 měsíci +2

      @@Allpro007 . A Kenyan who has high school education knows a lot about other countries. As you could tell there are Tanzanians who don’t know any city outside their country.

    • @narecykt5690
      @narecykt5690 Před 5 měsíci

      I can bet you from a Luo tribe, childish thinking as usual@@georgewabwire824

  • @stellastl6168
    @stellastl6168 Před 10 měsíci

    Si lazima wajue kutuhusu. Kila mtu na nchi yake. Na mungu wake.

  • @StevoGitz
    @StevoGitz Před 10 měsíci

    Mwendo kasi wa umeme 😂 wueh! 🤣

    • @Niq_afrikano
      @Niq_afrikano  Před 10 měsíci +1

      Swahili ilinipita hapo!

    • @Smartaleky
      @Smartaleky Před 10 měsíci

      Alimaanisha treni za mwendokasi zinazotumia umeme. Ila bado ni za dizeli,

  • @kennedysuwa5910
    @kennedysuwa5910 Před 6 měsíci

    Mm nachojua kenya kuna chokoraa wengi kila county

  • @pendael02
    @pendael02 Před 10 měsíci

    Watajuaje kuvuka boda tuu ni kazi ngumu sana. Tufute mipaka ya kikoloni

  • @florencenuru4687
    @florencenuru4687 Před 10 měsíci

    Ajabu watanzania wajui Kenya wee

  • @stevestephen2122
    @stevestephen2122 Před 10 měsíci

    Huyu mzee akija Kenya ataingia shule ya chekechea 😂😂😂

  • @joakimkiamba7357
    @joakimkiamba7357 Před 11 měsíci

    Ni madugu zetu wa east africa wana heshima zao

  • @jeremikaringu7855
    @jeremikaringu7855 Před 10 měsíci

    Very saad😢...

    • @edwinandere
      @edwinandere Před 5 měsíci

      Kama mkenya na hisi vizuri kujua kua kuna wale watanzania ambao hawatujui😂.

  • @shuwebmohamed
    @shuwebmohamed Před 10 měsíci

    Shuweb Mohamed subscription

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 Před 4 měsíci

    hahaha😁😁😁wabongo tunatia aibu. Lubumbashi ni Congo🤭

  • @rexmajoong5145
    @rexmajoong5145 Před 11 měsíci

    How's vlogging experience in dar

  • @adentohyare7586
    @adentohyare7586 Před 10 měsíci +1

    Sishangai, kwani watanzania wanajibea shughuli zao. Hawani kimbelele kama sisi wakenya

  • @phikietitherumourmonger1220
    @phikietitherumourmonger1220 Před 10 měsíci +2

    Mi sio mtanzania but najua Arusha haiko mpakani na capital city yao si Dar ni Dodoma. Kwani Tanzania hakuna shule. Kutoolewa kuhusu Kenya ni sawa but jueni nchi yenu pia.

    • @Frazztraveller
      @Frazztraveller Před 9 měsíci

      Tanzania is much larger, unlike Kenya which is very little

  • @evidencemaimu1883
    @evidencemaimu1883 Před 25 dny

    Kumbe arusha n border😄😄😄

  • @kukuzambawazambanga
    @kukuzambawazambanga Před 10 měsíci

    Mwafrika yeyote akitaka kuomoka bila the west destination ni kenya 😅😅😅😅
    Kenya is the bread basket of Africa
    Deny madoo mafreedom ziko kwa wingi😅😅😅😅😅

  • @RaymondAlex-uy3ed
    @RaymondAlex-uy3ed Před 3 měsíci

    Wote hamjui Lubumbashi iko wapi😂😂

  • @AbuMuhammad
    @AbuMuhammad Před 10 měsíci +1

    Ulimdanganya juma ww...ungemsuport ndo wajue wakenya si waongo😂😂😂...i can do that on your behalf

    • @b.truthful
      @b.truthful Před 10 měsíci +1

      Kweli hapo alikosea kiasi

  • @flourishing_wilderness6072

    Tanzanians minding our own business na hapo capital ukiingia ndanindani. Ni sisi tunaokaa mipakani kama Kilimanjaro na arusha tunaointeract na wakenya ndio mtuulize kuhusu kenya ila hao waachane jamani mwawachosha. Nitafikiria maisha yangu (my everyday struggles) au nifikirie nchi ya jirani?

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Před 11 měsíci

    Watu hujitoa data

  • @3pensink
    @3pensink Před 10 měsíci +2

    What's so important in Kenya,ndipo mtu ajue kenya.ask the most corrupt country in the world.

    • @b.truthful
      @b.truthful Před 10 měsíci

      Hilo nalo neno 😊😂

    • @almanjeri2083
      @almanjeri2083 Před 10 měsíci

      It's his content that's why he chose that topic it's not about how special it is...relax

  • @zayhimid
    @zayhimid Před 10 měsíci

    Hujui kuuliza maswali ungeuliza unajua mkoa gani kwenye nchi ya kenya

  • @tillyahono3723
    @tillyahono3723 Před 10 měsíci +1

    Acha kudharae helya Tanzanian, Tanzania hakuna Shule ya Milioni mia 7😮

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Před 5 měsíci

    Tz ime pakana na ma Taifa mengi mzee habari za Kenya ka ulize mikoa mliyo pakana nayo

  • @oneflash5034
    @oneflash5034 Před 10 měsíci +1

    City center na wauza samaki, ama mimi ndio nimeskia vibaya?.

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin Před 10 měsíci

      that is not the city centre...that is mnazi mmoja

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před 10 měsíci +1

      Nairobi CBD mpaka githeri ipo on the roadside

    • @oneflash5034
      @oneflash5034 Před 10 měsíci

      @@mcback4384 Yes, but not in the CBD.

    • @oneflash5034
      @oneflash5034 Před 10 měsíci

      @@explorewithbertin Oh I see!.

  • @sinanoma
    @sinanoma Před 10 měsíci +1

    Shida ni wivu ati ni wakarimu Hamna

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 4 měsíci

      wivu wa nini sasa na wao hawataki kupoteza muda nakujuajua miji ya watu😂😂😂😂

  • @shedadiabdul654
    @shedadiabdul654 Před 8 měsíci +1

    Humu kuna Wakenya Wanatukana Watanzania kisa eti Watanzania hawaijui Kenya?😁😁😁Kwani Kenya wote Wanajua Tanzania 🇹🇿😅?Afu kitu kingine Watanzania Wanapenda Nchi yao kuliko kitu chochote.Nyerere alitujenga tuhangaike na yetu kwanza yanatuzidi

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 Před 4 měsíci

    Ulirudi nyuma kumpa sapoti Juma? Anaongea kama mtu anayetoka kijijini maeneo ya lake Tanganyika na hakupata hata primary education.

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 Před 10 měsíci

    Mabongolala bongo zao hazifanyi job

  • @sabeelns3598
    @sabeelns3598 Před 7 dny

    Its not hard coz some of tanzanians doesn't even know their own President

  • @pendael02
    @pendael02 Před 10 měsíci

    Usilazimishe watu kuongea

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme Před 10 měsíci +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hao ndio wabongo hawapendagi kufuatilia habari za nchi zingine wao wame focus na bongo fleva, hapo waulize kuhusu south africa watakuambia kila kitu lakini si kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes Před 10 měsíci

      Asa ulishatangulia kusema hawafuatilii nchi za watu, inakuaje unasema tuwaulizw kuhusu S Africa ?

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 Před 10 měsíci

      Sio wote bana

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 10 měsíci

      @@MrNoNonsenseYes Oh kwasababu vijana wengi mtaani walikuwa wakimbilia huko pia wengi ndugu zao wapo huko wakitafuta jinsi yakujikwamua na maisha na ndio maana yakusema wao waulize South Africa , nafikiri umepata kufahamu nini maana ya msemo huo

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes Před 10 měsíci

      @@Mpakauseme Kwahiyo Tanzania njaa kali inabidi watu wakimbilie sauzi kujiokoa kimaisha

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Před 10 měsíci

      hahhaha hatunaga shobo

  • @victormutai1592
    @victormutai1592 Před 10 měsíci

    you mean Exim bank iko TZ??The Chinese have stuck root there

    • @Niq_afrikano
      @Niq_afrikano  Před 10 měsíci

      Yeah Chinese are in small markets like kariakor selling stuff like indians

  • @user-pp2ib7lm9k
    @user-pp2ib7lm9k Před 10 měsíci +1

    Mbona ni kama watanzania wamezubaa kiaina hivi..., duh, wengi wapo wapo tu, sio jambo jema kabisa!.. the need exposure and good education.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 10 měsíci +1

      Education yakuijua kenya 🤣🤣🤣

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 Před 10 měsíci

      Nenda Arusha ujionee

    • @josephstephen1079
      @josephstephen1079 Před 10 měsíci +2

      So good education ni kuijua Kenya sio, vipi kuhusu wachina, warusi, waukraine kawaulize kuhusu Kenya au Africa kwa ujumla utaona km watakwambia wanaijua, nawasihi wakenya mjifunze kumaind nambo yenu umbea hausaidii

    • @edwinandere
      @edwinandere Před 5 měsíci

      ​@@josephstephen1079 kujua ukanda unako ishi na hata dunia nzima ni jambo nzuri. Ndo maana wakenya tunawashinda kwa mengi sabab twajua yote ya kisasa yanayo endelea ulimwenguni na hata yale ya kitambo.

  • @jannyanzi.1263
    @jannyanzi.1263 Před 11 měsíci +3

    This is sad to watch...ata Nairobi hawajui.

    • @Niq_afrikano
      @Niq_afrikano  Před 11 měsíci +2

      Our tanzanian brothers are Amazing

    • @pamelanyakoa6304
      @pamelanyakoa6304 Před 11 měsíci

      Nimeshangaa😢

    • @mosesjacksonkarashani2642
      @mosesjacksonkarashani2642 Před 10 měsíci +1

      What’s special about Nairobi?😢

    • @pantheraprowess
      @pantheraprowess Před 10 měsíci +1

      @@mosesjacksonkarashani2642 100 times better than Dar

    • @berylotieno276
      @berylotieno276 Před 10 měsíci +2

      @@mosesjacksonkarashani2642 really? Maybe nothing special about it but you people should have common knowledge of your neighbours and the world at large... it's not always about competition. Your education system is wanting....

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 Před 9 měsíci

    W atanzanian wanafahamu Kiswahili vizuri saana . Wakenya wapwani Kiswahili chao ni ki Tanzania. Wakenya wa upcountry Kiswahili chao ni broken wakati mwingine!

    • @elviskiilu3977
      @elviskiilu3977 Před 4 měsíci

      Wouldn't call it broken,maybe,somewhat diluted,juu wengi wetu after tushamaliza high school tunawacha kuongea kiswahili sanifu, i would even argue, maybe ni after primary .After shule unaongea vile unataka, nobody is going to test you

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 Před 2 měsíci

    Tanzania hakna shule hiyoo ya million 700 ndugu yangu mkenya hapoo waweza shangaa adaa yake ni million 2

  • @williambenedict6074
    @williambenedict6074 Před 10 měsíci

    Wtf.. That's their CBD lmao💔😭😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @HANDOLOH
      @HANDOLOH Před 10 měsíci

      Stop being childish you don't eat a well organised City.

    • @benedictmafusa131
      @benedictmafusa131 Před 10 měsíci

      Hahahaaa bana broo
      I hope hii ni downtown cause it look pathetic

    • @ostinlamar704
      @ostinlamar704 Před 6 měsíci

      Looks like Ngara estate kenya😂😂

  • @user-pp2ib7lm9k
    @user-pp2ib7lm9k Před 10 měsíci

    Muonekano wa Mombasa kabisaaa..., yani Dar ni kama Mombasa sana!...,

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin Před 10 měsíci

      hapo ni mnazi mmoja 3km from dar city centre....

    • @hanschuma7734
      @hanschuma7734 Před 10 měsíci

      Kwan hujui Dar nipwani ndio maana wakenya hua wanakubagueni wamombasa mnaitwa watz

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 Před 10 měsíci

      Pwani baba!

    • @blonr
      @blonr Před 10 měsíci

      ​@@hanschuma7734sielewi mbona una machungu mji wa Mombasa ni mji wa bahari kama daa hiyo ndio ana maanisha aaaah!

    • @ValesJohn-uq5vr
      @ValesJohn-uq5vr Před měsícem

      Wakenya Msi fananishe Dar na Mombasa ,Mombasa ifanisheni na mwanza

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Před 4 měsíci

    This is so sad that Tanzanians do not anything about Kenya and the geography! Tanzania tumekwisha ki-elimu, je utashindanaje na wenzetu kama hata hujui wako je na nini kinaendelea nchini kwao! huu ni wendawazimu wa hali ya juu, we have failed our education system!

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 Před 11 měsíci

    MBNA uwo mji unakaa Kam kijiji

    • @ngeno360
      @ngeno360 Před 11 měsíci

      Kuwa mpole 😂😅

  • @user-qc8gk5bf3u
    @user-qc8gk5bf3u Před 5 měsíci

    Sio kupenda kwao nivile masomo pia husaidia jameni.ndio maaana napenda wakenya na wa nigeria very exposed people

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 Před 10 měsíci

    Shida yako We NIC ni Kiswahili fasaha cha Tanzania hujui. Unaweza kuwa Unajua Kiswahili Lakini ni cha Giriama Au Kisii. Yaani hujui tofauti ya “Kufahami” na “Kujua. Unawailiza Watanzania kama wa nafahamu mji wowote wa Kenya Au Nji mkuu wa Kenya . Wanakujibu hawafahamu kwasababu kufahamu ni Kwamba walishaqahi kufika wakati hawajawahi kufika Kenya.ungeuluza kama wanajua mji Kenya na sio kufahamu.

    • @Niq_afrikano
      @Niq_afrikano  Před 10 měsíci

      Asanti saana,Swahili la Tz gumu kweli

    • @samwelmlwanda8789
      @samwelmlwanda8789 Před 10 měsíci

      Wataz ni wajanja sana!!!!
      Hawawezi kujibu!!! Maswali hayo!!!!!
      Hawataki kueleza mambo ya nje!!!

  • @stevestephen2122
    @stevestephen2122 Před 10 měsíci

    Mzee mjinga sana

  • @kikalarashid9003
    @kikalarashid9003 Před 10 měsíci +2

    Kama na wewe uko hapa kusoma comment tu, karibu 😂

    • @zayhimid
      @zayhimid Před 10 měsíci

      Mm ni MTanzania na nasoma comments zenu wakenya nacheka tu

  • @arthuroduor7253
    @arthuroduor7253 Před 10 měsíci

    Exim Bank in tz

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před 10 měsíci +1

      What's the problem with that?

    • @dictarchelsea
      @dictarchelsea Před 10 měsíci

      Even Standard Chartered is in Tz so many branches nothing is special

    • @dictarchelsea
      @dictarchelsea Před 10 měsíci

      @@mcback4384 😄😄😂even Barclays too

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 Před 11 měsíci +4

    Tz ordinary people hawajui mambo ya nchi za nje

    • @kateciku1229
      @kateciku1229 Před 11 měsíci +2

      Same for Kenyans

    • @BS-kl9yf
      @BS-kl9yf Před 10 měsíci

      ​@@kateciku1229correct

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 10 měsíci

      kabisa

    • @stansiyomana1239
      @stansiyomana1239 Před 10 měsíci

      Lakini jameni kwenye 4:12 mtu amekubali kwamba hakusoma.

    • @BS-kl9yf
      @BS-kl9yf Před 10 měsíci

      @@stansiyomana1239 hata wakenya nao kunao wengi hawajasoma hawawezikujua mambo za Tanzania.

  • @totodavis1949
    @totodavis1949 Před 10 měsíci

    I don't understand you now shows the city acha mishene live alone school

  • @teejoee993
    @teejoee993 Před 6 měsíci

    Siku nikikutana na hawa youtubers ntawafurahisha😂😂😂😂 kwambaaa???

  • @betts6591
    @betts6591 Před 22 dny

    Mombasa is kenya

  • @rahimsworld.
    @rahimsworld. Před 10 měsíci

    Dar ess salaam inaka town ndogo uku kenya😂😂😂

    • @HANDOLOH
      @HANDOLOH Před 10 měsíci +2

      You need to be there before you make such comments. Don't rely on video clips go there yourself. I am sure you will see it differently.

    • @almanjeri2083
      @almanjeri2083 Před 10 měsíci +5

      Lies...enda so that you can experience it...I'm a Kenyan and I truly hate this assumption

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 Před 10 měsíci

      😳😳😳look at this clown

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 Před 10 měsíci +1

      @@almanjeri2083thank u!

  • @paulwanjohi5357
    @paulwanjohi5357 Před 10 měsíci

    They must be very ignorant.Ama ni masomo sisi hapa Kenya ask anybody about Tanzania

    • @domin842
      @domin842 Před 10 měsíci

      Ati hawajui any town from Kenya imenishangaza

    • @kanoleausi4204
      @kanoleausi4204 Před 10 měsíci

      The master of everything is the master of none!

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před 10 měsíci

      ​@@domin842hahaha Mbona ni jambo la kawaida tu

    • @domin842
      @domin842 Před 10 měsíci

      @@mcback4384 ,yaani mi najua,mbeya,tabora,shinyanga,the great costal city of Daresaalam,Arusha,Moshi,na singida japo sijui km ni mji ama kajiji kadogo,

    • @almanjeri2083
      @almanjeri2083 Před 10 měsíci

      You will be surprised even many Kenyans assume a lot about Tanzania

  • @erickmoenga1206
    @erickmoenga1206 Před 10 měsíci +2

    Lubumbashi is in congo not tanzania

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 Před 10 měsíci

      😂

    • @mcback4384
      @mcback4384 Před 10 měsíci

      Na interviewer kamwambia Lubumbashi ni Tanzania 😂😂😂