Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Great trees 🌳 and beautification mandhari safi na hewa nzuri....mashallah Allah awatunzie mazingara yenu.
Ameen
Kisiwa chenye madili bora mpka cc Mungu akiongoze
Nipo omani alhamdulillah nimefurahi kuona nyumbani
Ahsante na karibu sana
Napatikana KSA Kingdom of Saudi Arabia lkn mefurahi sn kuona mji wa nyumbani Love you my beautiful island PEMBA
Tuko pamoja kaka
Naipenda Pemba na ndo home ..Alhamdulillah shukraan sana video shuter
Asante kwa kutukumbusha nyumbani
Sweet hom❤❤❤
Nimemiss kuiyona Pemba ila Napenda Sana Kuiyona Pandani ❤
Usijali Pandani utaiona kwenye channel yetu.
Nakupenda nyumbani pemba
Home sweet🎉
Shukran kwa video
Shukran na wewe kwa support
Chake imebadlika sana kwakweli Maashaallah..shukraan kwa kutuonyesha mji wa Pemba
Karibu sana kaka
Kunapendeza
Marach ya PBA naipenda hom
Asante sana kaka
Karibu sana kaka.
Dah home nna miaka 20 sijafika hapo
😂
🏠🏠🏠
Shukraan Kwa tuonyesha Pemba yetu
Karibu sana
Nipo daresalam Sinza nafurah kuona miji yetu ya pba natokea piki wete pemba
Karibu sana na ahsante kwa kutembelea channel yetu.
Tunafurahika kwa hiki ulicho tufanyaje na unatukumbusha nyumbani Dha nimependa
Karibu sana na ahsante kwa comment