EXCLUSIVE MANGUNGU: KUJIUZULU..HIZO AKILI ZAO..TATIZO SIMBA SIO MIMI..TIMU IKIFANYA VIZURI SILAUMIWI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 28. 05. 2024
  • Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu akizungumza na Khalid Msabaha kuhusu Simba
  • Sport

Komentáře • 187

  • @MachondaMtoto
    @MachondaMtoto Před 28 dny +2

    Safi sana mangungu uko saw kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🤔🤔🤔

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Před 27 dny +2

    Mimi nikiwa mtu niliyeanza kushabikia Simba mwaka 1968 na nimekuwa mwanachama wa Simba kuanzia mwaka 1995 ,maneno anayosema huyo mtu aliyechaguliwa na wanachama na wanachama sasa hawamtaki baada ya kugundua aidha hana uwezo wa kuiongoza Simba au anafanya kusudi kuizamisha Simba au vyote viwili kwa inasikitisha.

  • @zakayomosha13
    @zakayomosha13 Před 28 dny +3

    Hatukutaki Simba Huna uwezo WA uongozi umeivuruga Timu ya Simba

  • @user-xl5sv7lz4g
    @user-xl5sv7lz4g Před 28 dny +1

    Kumaaaaaaaaaaaaaaaaa nina zako wew tokaaaa Apooo iyo simba ya mamako

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje Před 28 dny +1

    Wew ngungut tokaaaaaa

  • @user-xl5sv7lz4g
    @user-xl5sv7lz4g Před 28 dny

    Kalime ukooo toka umeingia wew simba makombe yote yote yamesepaaa tatzo lako wew

  • @user-tu8tl2lg4b
    @user-tu8tl2lg4b Před 26 dny

    Tunaomba nama za simu za mangungu

  • @MachondaMtoto
    @MachondaMtoto Před 28 dny

    Tunakupenda mangungu wetu chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kasongoIDDi-mx7gz
    @kasongoIDDi-mx7gz Před 28 dny +1

    Kama kocha akifanya vibaya mnawai kumtoa Sasa nyie timu kinafanya vibaya mnanyanyania nini simtoke muache wengine

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Před 15 dny

    Wewe mzee hatuku taki

  • @nehemafredy5066
    @nehemafredy5066 Před 28 dny +1

    Yaani mangungu ndo kirusi aswaaaa

  • @macheramuhabe5503
    @macheramuhabe5503 Před 28 dny +1

    Wewe mangungu sepa hao simba huna jipya

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Před 28 dny

    We Mangungu mzee mwenzangu ng'atuka usisubiri aibu

  • @nikasmkud7332
    @nikasmkud7332 Před 27 dny

    Kaka Mangungu ni kweli mlifanya uzembe ktk kufuatilia mwenendo wa timu. kocha mzuri akikiwepo mkachelewa kumkabidhi timu mpaka jahazi linazama si wewe peke Yako ila hukuwa chachu ya kuamsha mora wa wachezali rekebisha tatizo. Kama sayansi ya mpira imewashinda kiuongozi waachie wengine.

  • @MichaelMagawa-xn2ht
    @MichaelMagawa-xn2ht Před 27 dny +1

    Kwan mbona jama mbishi sana shd nn c utokeeeee mzeeee

  • @shidaedimond
    @shidaedimond Před 27 dny

    Wewe ndio sababu simba sport club kuferi mpaka sasa sajiri wachezaji mwambie boss wa atoe pessa ya usajiri mkuu

  • @user-ox3ij7ki3t
    @user-ox3ij7ki3t Před 28 dny +1

    MANGUNGU Kaa hapo hata miaka 20 wasikubabaishe bhana walikuchagua wenyewe kisha wakakufunga miguu mdomo na mikono kwa kuiptisha katiba ya MOO bila kujali kuwa kwa kuikubali ile katiba walikuondolea mamlaka sasa wamekufanya uwe mtumwa wa try again kwenye bod unaingia kama mjumbe hayo yote ni makosa ya wanachama endelea kuwanyoosha hivyo hivyo mpka watubie makosa yao waambie huna meno tena walikutia kitanzini wenyewe

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn Před 27 dny

    Kwnn unang'ang'ania madaraka baba jiheshim bac

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Před 28 dny +1

    Wewe ni kiongozi ovyo jiuzuru.

  • @NikomediLukas
    @NikomediLukas Před 28 dny

    Yeye kama mwenye kit mpaka ss timu iko nafasi ya tatu anaona iko sawa au

  • @innocentramadhani
    @innocentramadhani Před 28 dny +1

    jihuzulu tu mshafeli tu

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje Před 28 dny

    Sawa hauna bahati wewe tuachie Tim yetu tokaaaaaaaaa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Před 28 dny +1

    Utajiuzu tu msenge Kuma lamamaako

  • @mariamabdallah9847
    @mariamabdallah9847 Před 28 dny

    King,ang a kwenda atukutaki

  • @ambakisyemwanjemba5787

    Lakini timu haifanyi vizuri toka umeingia na uzuri muda utafika na utaondoka tu

  • @chrizostomchristian1884

    Mzeee hafai ameficha siri nyingi za kuhujum simba

  • @user-dt5wf8rx4k
    @user-dt5wf8rx4k Před 28 dny

    Huyo mangungu ajielewi ila anapoelekea atakalo atalipata ogopa kitu cha wengi katika dunia kila mmoja na mawazo yake haya tuombe uzima tu.

  • @MubibuHassani
    @MubibuHassani Před 28 dny +1

    Huyu Mzee ni makalio

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u Před 28 dny

    Huyu mangungu jeuri sana na kiongozi gani hata kujibu vizuri ajui hanategemes Nini kweli

  • @user-nl6wu6cq1i
    @user-nl6wu6cq1i Před 28 dny +1

    Wewe msenge mbona mbishi mbishi utapigwa kijiee chaaa kichwaa

  • @AishaMshaka
    @AishaMshaka Před 24 dny

    Huyu masikini ndomana anaingwangwania smba aondoke

  • @user-ff1it9og8y
    @user-ff1it9og8y Před 27 dny

    Mangungu hafai atoke na wenzake Try again Imani kajula na huyo mwana mke wapo simba kuiiba tu wa shenzi.hao wapiga dili wanajari matumbo yao anajifanya hajui napungufu kwanza wao ni mapungufu watoke

  • @ip_header
    @ip_header Před 27 dny

    Inaonekama Mangungu ni lidude likuubwa 😊

  • @stephanomwanijembe9708
    @stephanomwanijembe9708 Před 28 dny +1

    Hata anavyoongea anaonekana kukosa point ya kuzungumza hata uelewa wa mpira Hanamwenyekiti mvunja kuni

  • @user-yq7dm4gw6j
    @user-yq7dm4gw6j Před 27 dny

    Uondokee we mangungu na wenzio

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 Před 26 dny

    Ngungu usitokeeee mzeee komaaa TU tatizo hapo ni katiba

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Před 27 dny

    Mwandishi ilitakiwa aache kuongea na mtu wa aina hiyo .angeachana nae tu. Amempa umaarufu ambao hastahili.

  • @user-dt5wf8rx4k
    @user-dt5wf8rx4k Před 28 dny

    Ng'ang'ania baba uliza viongozi walio jiuziru safari hii jezi watavaa wanao mangungu sitoi pesa yangu.

  • @MustaphaKabengwe
    @MustaphaKabengwe Před 22 dny

    Ww kuma tu magungu

  • @jacobmwalituke8981
    @jacobmwalituke8981 Před 26 dny

    Muulizeni mangungu maswali yenye hoja sio ya kimhemko,anajibu kwa kujiamini kwa sabab hata katiba yenu hamuijui

  • @ip_header
    @ip_header Před 27 dny

    Dah, kuna raia wana roho ngumu 😂

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 Před 27 dny

    Huyu Mzee tunamuonea,Pesa zinapotoka kwa Mo zinakwenda kwa Try Again hivyo yeye anakosa nguvu.

  • @drallan6879
    @drallan6879 Před 28 dny

    mangungu Una majibu ya hovyo

  • @user-ql2cf1to7f
    @user-ql2cf1to7f Před 28 dny

    Mangungu hatukutak hamna kaz zingine za kufanya we na mwenzio tuachien simba yetu

  • @GM-ix2hh
    @GM-ix2hh Před 28 dny

    Tangu mangungu aingie madarakani pamoja na Try again hawajawahi kushinda Ligi....timu imefanya vibaya wapi, atoke bwana

  • @zakaria924
    @zakaria924 Před 27 dny

    Shida zake ndizo zinazomfanya awe king'ang'anizi licha ya kukosa sifa na ubunifu wa kuitoa Simba kutoka chini na KUIPELEKA juu zaidi! Kwa miaka yake yote Simba inazidi kudidimia tu!

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Před 28 dny +1

    Sauti ua Umma ( wanachama wa Simba na mgomo wa mashabeki muondoeni Mangungu ana mkosi Hana bahati na uongozi asubiri Tena

  • @SeifSalim-ti5ce
    @SeifSalim-ti5ce Před 27 dny

    Sijawahi kuona mwkt mpumbapu kama huyu mjinga ndani ya mwaka mmoja anajifunza nakuelewa huyu miaka 3 aondoke

  • @user-sv3db2gq5p
    @user-sv3db2gq5p Před 27 dny

    Huyu Mzee hata majibu mazuri Hana,ondoka Mzee tangu umeingia wewe Simba makombe yamesepa.huna jipya

  • @jacksonmofulu9336
    @jacksonmofulu9336 Před 28 dny

    Murtaza Mangungu😀 mzigo wa seng'enge huu haubebeki lkn siku zinakuja ataelewa tu

  • @LetasKomba-br1xh
    @LetasKomba-br1xh Před 26 dny

    Msengetu we mangungu umetunyima flaha yetu wana simba mbwa mkubwa ww

  • @ErickyKatunzi-gx3mi
    @ErickyKatunzi-gx3mi Před 28 dny

    Mangungu nijeuri, nandiye anayeihujumu timu, kama wajumbe mnauwezo, wakuitisha kikao cha dharula mumtoe mangungu mtoeni anajeuli na anaihujumu timu, itishqni kikao mumtoe atawakosti, kama mnaipenda timu, kwa masrahi ya timu, timu inashuka kiwango, yeye anawaleteeni siasa, kama shida nibodi na hasemi, aondoke, mtafute watu wengine wa mpira. Simba sasahivi nisiasa hakuna watu wa mpira mtanambia.

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn Před 27 dny

    Achia timu baba

  • @user-ff1it9og8y
    @user-ff1it9og8y Před 27 dny

    Hao wanaojiita ni viongozi wameng'ang'ania tunawaombea mikosi ya magonjwa ili watoke wakauguzwe na washindwe na walegee kwa jina mwokozi

  • @kokolosaid7265
    @kokolosaid7265 Před 26 dny

    Mangungu ondoka na timu yako simba huwezi uongozi uking'ng'ania utaumia na utaaibika

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 27 dny

    Kwani lazima uwepo:: Mnaharibu timu wewe na wenzio

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Před 15 dny

    Wewe mzee ondokeni huna jipya wewe na tiageni mjiudhuru pamoja na Wajumbe wote hatuwa taki kwa masilahi ya kirabu pia timu hii siyo ya familia zenu Simba ni ya Wana Simba wote tokeni

  • @sonmjofficialtv9090
    @sonmjofficialtv9090 Před 17 dny

    Kwanza mangungu tokea kaanza uongozi timu imewahi kufanya vizur wapi?

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p Před 27 dny

    Waandishi ombeni CV ya huyo jamaa tumfanyie tathmini.

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 Před 28 dny +1

    Ngungus kamata hapohapo, timu wamemkabidhi wenyewe Mwamedi tena kwenye mkutano sasa wanatoa milio, pummmbaf kabisa

    • @shidaedimond
      @shidaedimond Před 27 dny

      acha ujinga mkuu timu hiyo kaka siyo yako achana nayo kabisa waachie wenye timu gani wansmsimbazi funga hilo bakuli lako unatuchokoza wenye maumivu

  • @drallan6879
    @drallan6879 Před 28 dny +1

    mangungu umeoza

  • @user-sv3db2gq5p
    @user-sv3db2gq5p Před 27 dny

    Mzee hatukutaki Simba mbona unang'ang'ania? Umeshatufelisha bado unataka kuendelea kutufelisha?

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn Před 27 dny

    Na huyo try again

  • @RamadhaniJawabu
    @RamadhaniJawabu Před 23 dny

    Haamna kiongozi humu anatuzinguwatuu aondoke

  • @AishaMshaka
    @AishaMshaka Před 24 dny

    Ww mangu ondokatu huwezikazi

  • @jumachum8647
    @jumachum8647 Před 27 dny

    siuondoke

  • @ambakisyemwanjemba5787

    Hilo zee ndio chawi letu halitakiwi

  • @user-jn3nf7uw1w
    @user-jn3nf7uw1w Před 27 dny

    Mzee komaa nao...sambusa kutamu..
    Mihela bwerere mpura o

  • @ahmedmukolwe43
    @ahmedmukolwe43 Před 28 dny

    Mangungu kumi tena

  • @AfrikannAir
    @AfrikannAir Před 28 dny

    Hivi anaposema anasubiri ripoti ya kamati ya ufundi kujua udhaifu wa klabu hivi yeye akikuwa kipofu hivi ripoti asipopata ina maana yeye hana uelewa wa kufuatilia maendeleo ya klabu

  • @sijaonamjungufinias481

    Yani siku zote hizo Simba inafanya vibaya hamjafanya tathimini tu, uondoke hutufai

  • @paschalmatondo4844
    @paschalmatondo4844 Před 28 dny

    Mwenyekiti kubali kuwajibika na siyo kung'ng'ania visingizio. Tathmini ya sasa ni majumuiisho ya mdogo mdogo zilizokuwa zinafanyika wkt ligi inaendelea.

  • @mohammedgao6505
    @mohammedgao6505 Před 28 dny

    Daw nikumchomea Nyumba muache anganganie timu , huyu mzee Hana kaz nyingine zakufanya anategemea timu saw yake moja

  • @user-xl5sv7lz4g
    @user-xl5sv7lz4g Před 28 dny

    Tuna taka ubingwa

  • @burnmotto1876
    @burnmotto1876 Před 27 dny

    Huyu mkundu anaongea nn, kweli aliesema mshamba hawezi kuelewa

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA Před 27 dny

    UONGOZI UNA WAKATI NA MAJIRA YAKE.Kukubali kushindwa na kukabidhi wangine waendelee PIA NI UONGOZI MZURI.Uking'ang'ania WAKATI WANYE TIMU HAWATAKI halafu unasema tumejitahidi WAKATI WANAOUJUA MPIRA WANAKUONA UMEFELI. Wakati wa uchaguzi ULIMLETA MANZOKI KWA AJILI YA NINI? DOA LA kujipatia uongozi kwa kuwalaghai huwa HALIFUTIKI KIRAHISI.Mapendekezo yangu KIONGOZI JITATHIMINI KISHA FANYA MAAMUZI MAGUMU KWA MASLAHI YA TIMU

  • @BoniphasLukas
    @BoniphasLukas Před 14 dny

    Ili kuma lamamaake liachie tim kwan vp anataka kufa au vp

  • @user-tu8tl2lg4b
    @user-tu8tl2lg4b Před 26 dny

    Kwani unagangania kwako

  • @akilizawadieli3610
    @akilizawadieli3610 Před 27 dny

    Wewe na wezako katika bodi hamwoni mumefeli na Toka mwanzo wa Uchagunzi kulikuwa na Magumashi wewe mzee was yanga tua hie timu yetu nawenzio ,washabiki tunauwezo was kuleta mchezaji tunaotaka NINYI MNASAJILI MAGARASHA YENU MNAOJUANA

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Před 28 dny

    Wewe ni dalali wa viwanja hujui lolote kuhusu mpira jiuzulu. Miaka yote utaboresha nini.

  • @user-tw3ck6mm8i
    @user-tw3ck6mm8i Před 28 dny

    😅😅😅😅😅 kiti bwanaa

  • @MachondaMtoto
    @MachondaMtoto Před 28 dny +1

    Naomb like za mjomba ngungu apa 😂

    • @jacobmwalituke8981
      @jacobmwalituke8981 Před 26 dny

      Utafirwa we penda kuomba omba like

    • @MachondaMtoto
      @MachondaMtoto Před 26 dny

      @@jacobmwalituke8981 vp mkund unakuwasha ngoj nachukua kY niji ni kushone

  • @kiwakhalid4981
    @kiwakhalid4981 Před 28 dny

    Komaa mzee magungu,usiache hiyo nafasi ili yanga wapate fulaha,wewe ni yanga dam dam,wakomoe simba ili wanyoke, walikuwa wanaisumbua sana yanga

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje Před 28 dny

    Tim ilifanya vizzur kipind gan ushawai kuchukua kombe laligi

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Před 27 dny

    Anatakiwa kuondoka kwa viboko

  • @user-jx3yi9ci7g
    @user-jx3yi9ci7g Před 28 dny

    Anastahili kumi tena

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn6201 Před 26 dny

    Ondoka hatukutaki unangangania nini mshachumia matumbo yenu mtuachie timu yetu

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 Před 28 dny

    Msipendelee kuajiri ajiri makocha wazungu ifike wakati haha Akina Mgunda waaminiwe.
    Mbona wakina Ibengwe waliaminiwa kwao?
    Namba 2 Matola atoke benchi la ufundi ligi kuu mpeleke ligi ya U20

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 Před 27 dny

    Kama mpaka dakika hii huna majibu ya yale yanayoonekana na kila mtu basi wewe hufai kuwa kiongoxi wao. Huu ni muda wa usajili na lazima malengo yenu yawe waxi kumbe ninyi bado hamna mlichokifanyiakazi mpaka muda huu. Heeeeeeee.😮

  • @jumaMohammedi-rt2ys
    @jumaMohammedi-rt2ys Před 28 dny

    Jaman aondoke2 ha2mtakiiii

  • @ambakisyemwanjemba5787

    hayo mawazo ya tumetolewa na klabu bingwa huo ndio upumbavu wako wewe mzee angalia aina ya wachezaji ulio nao akina jobe

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d Před 27 dny

    Simba hawaendi shirikisho watacheza na yanga madhindano aina moja caf hawaangalii mshindi wa pili wanaangalia nani mwenye point nyingi klabu bingwa

    • @josephgamba8389
      @josephgamba8389 Před 27 dny

      Klabu Bingwa wanachukua timu Bingwa na mahind wa pili kwenye ligi zao ila African football league ndo wanaangalia point elewa vzr hapo mdau wa mpr

  • @AironKanduru-oi7ky
    @AironKanduru-oi7ky Před 28 dny +1

    MANGUNGU HATA SAUTI YAKO HATUTAKI KUISIKIA HALAFU PICHA YAKO MTANDAONI INAZIMA DATA KARIBU SHAMBA TUACHIE SIMBA YETU

    • @christopherkiswaga9270
      @christopherkiswaga9270 Před 27 dny

      Kama unaipenda Simba ujitathimini wewe, si kwamba wewe una uelewa kuliko watu wanaoipenda timu yao.

  • @mbogedevis1518
    @mbogedevis1518 Před 28 dny

    Mbona amekazania bodi, kwani yeye anapelekwa pelekwa na bodi. Hyu nyauuuuuu, kwel hapa hamn kitu

  • @user-wq8kw7wb1n
    @user-wq8kw7wb1n Před 28 dny

    unakipara bila busara

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Před 28 dny

    Huyu jamaa hamnazo yeye ni tatizo lakini hajijui eti mpaka afanye tathmini.

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Před 27 dny

    Mangungu ana kiburi gani kwa mano yake yakukataa kuondoka ?

  • @nshaijatedy5512
    @nshaijatedy5512 Před 28 dny

    Ana gangana nn

  • @user-ql2cf1to7f
    @user-ql2cf1to7f Před 28 dny

    We Mzee nini sababu inayofanya ung'ang'anie imekosa pa kufia tuachie simba yetu au we ni jini

  • @AmePandu
    @AmePandu Před 28 dny

    Wewe kobe hatukutaki ondoka