THOBIAS KIFARU ATOKWA NA MACHOZI KUFUNGWA NA YANGA/DIARRA ANADAKA KAMA NYANI/ENG HERSI YUPO VIZURI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 05. 2024
  • Leo Mei 13,2024 Mtibwa Sugar inashuka Dimba la Manungu Turiani kumenyana na Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC,Saa 10 jioni.
  • Sport

Komentáře • 26

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr Před 26 dny +6

    Pole sana mzee wetu Mungu awabariki mbaki kwenye ligi kwa kilicho tokea jana utusamehe bure tulikua na jambo letu

  • @khamisisima711
    @khamisisima711 Před 25 dny

    Msemaji wa mwanzo kabisa ngazi ya vilabu Tanzania big up sana mzee T K. Lugalambwike.

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 Před 26 dny +3

    Safi Sana Mzee Wetu Thobias Kifaru Duh,Hadi Nimejisikia Vibaya Jamani,Mungu Akulinde Mzee Wetu,🙏🙏🙏

  • @user-jj3tq1rh4p
    @user-jj3tq1rh4p Před 26 dny +1

    hekima za wazee saf sana mzee Tobias mungu akujarie

  • @benardbonephace4896
    @benardbonephace4896 Před 26 dny +1

    Nakukubali sana mzee wetu Kifaru,umekuwa msemaji kwa muda mrefu,tangu nikiwa mdogo nilikuwa nafurahi sn kukusikia ukiisemea na kuipamba mtibwa sugar,we ni mfano wa kuigwa kwa wasemaji wote wa nchi hii big up

  • @kapanikapani5280
    @kapanikapani5280 Před 26 dny +1

    Duuu! Mungu akupe Afya Mzee wetu umesema kizarendo Sana hakika unafaa Sana kuisemea yanga 🙏

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Před 26 dny +2

    Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana

  • @JosephMwanga-ew4lj
    @JosephMwanga-ew4lj Před 25 dny

    Tutakumisi Sana Mzee Wetu Thobiasi Kifaru ila Nawaaminia Hakika Nawajuwa Watarudi Tena. Mungu Awalinde. Mrudi Tena.

  • @HassanMpinda-sr5fu
    @HassanMpinda-sr5fu Před 25 dny +1

    Tusamehe t mzee wetu tunakupenda mana ww nmsemaji ambae nawakubali San pamoja n masaubwile ila shida ilikua ubigwa ndoman tukakupiga

  • @JamesEnock-vf8bl
    @JamesEnock-vf8bl Před 26 dny +2

    Pole kifaru hiyo ndo yanga hamna namuna

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 Před 26 dny +1

    Huna timu ya kushindana na yanga, pole kifaru.

  • @NasraMussa-kr7xu
    @NasraMussa-kr7xu Před 26 dny +1

    Poleee babu

  • @yaminijerome2054
    @yaminijerome2054 Před 25 dny +1

    😂😂😂 huyo alikua amemis kulia alikosa cha kumfanya alie.

  • @EvalistoGoliama
    @EvalistoGoliama Před 24 dny

    Mkuu umeongea ukweli sana

  • @user-fb8ju1nv2j
    @user-fb8ju1nv2j Před 26 dny +1

    Mtibwa tumeifunga lakini najikuta naumia sana

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj Před 26 dny

    Amna bahati mtibwa polen

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j Před 25 dny

    😂😂😂😂Walivyoshangilia goli lakwanza😂 kaona kama mnacheza na police tanzania

  • @JamesEnock-vf8bl
    @JamesEnock-vf8bl Před 26 dny

    Pole baba

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 Před 26 dny +1

    Walilazimishwa kufanya makosa, sio kwamba walitaka vijana wako

  • @ErickJeremiah-ry4pw
    @ErickJeremiah-ry4pw Před 26 dny

    Watu wetu si waje wajifunze usemaji apa jamani 😂😂
    Gigaa la Mbwikeer

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Před 26 dny

    umekuwa mwana siasa sasa kifaru

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 Před 26 dny +1

    😂😂🙏

  • @user-it3qb5uj8z
    @user-it3qb5uj8z Před 26 dny +1

    Ligi kuuu Tanzania ni ngumu mno inahitaji uwekezaji mzuri na kuandaliwa vzr vijana la sivyo Mtibwa tutaisikia tu ligi kuuu.

  • @samuelzachariah3984
    @samuelzachariah3984 Před 26 dny +1

    Gamondi kamtoa maxi kamuingiza pacome ili Mtibwa wamkabe Azizi ki na Pacome, wakamwacha Mudathir acheze free role, hiloo balaa ndani ya dakika 10 mtibwa hawaamini macho Yao!!