Tunaombea watanzania wauone uzuri na utajiri ulioko Tanzania kuliko ulaya, Sisi tunauna kutoka Sweden. Tumekimbia uongozi usiojali wana nchi, njo tofauti na ulaya. Siku hizi habari ni kwamba hata wazungu watatamani kuja Tanzania na DRC kama tunavyo tamani kwenda ulaya. Kwa sababu ya baraka na maendeleo mazuri ya Afrika, hasa Tanzania na DRCongo. Amen.
Amen 🙏 Amen MAN of God be blessed
Napokea habari Njema Kwa jina la Yesu
Amen napokea habar njema Kwa jina la yesu kristo
Napokea habari njema kwenye maisha yangu nakupenda sana babayangu
Amen apostle napokea habari njema in the name of jesus
Tunaombea watanzania wauone uzuri na utajiri ulioko Tanzania kuliko ulaya, Sisi tunauna kutoka Sweden. Tumekimbia uongozi usiojali wana nchi, njo tofauti na ulaya. Siku hizi habari ni kwamba hata wazungu watatamani kuja Tanzania na DRC kama tunavyo tamani kwenda ulaya. Kwa sababu ya baraka na maendeleo mazuri ya Afrika, hasa Tanzania na DRCongo. Amen.
Amen 🙌
Na kutazama kwenye you tube nikiwa nchi ya kenya......
Napenda sana mahubiri yako ❤❤
Amen napokea habari njema kwa jina la Yesu
napokea habari njema ktk jina la YESU KRISTO aliye hai kwenye kila eneo la maisha yetu
Amen
Nakusikiza kutoka Sweden. Amen kwa habari hii njema.
Amen Apostle Napokea habari njema
HABARI NJEMA KWANGU LEO.💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Napokea habari njema ya majira kamili