GULF SAGA! Witnessing RAP£ ON BOTH SIDES IN SAUDI ARABIA - The Lady WHO Saved Lives in Gulf

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 08. 2023
  • #nicholaskioko
  • Zábava

Komentáře • 534

  • @kipkorirjohnsigey4555
    @kipkorirjohnsigey4555 Před 9 měsíci +9

    Touching story. God bless you for saving many lives there. Lesson learned, but at many times desperate situations lead many to end up in these situations.

  • @alexkinyua3896
    @alexkinyua3896 Před 10 měsíci +18

    @ Nicholas Kioko good job lakini nunua mic 🎤 digital unakaa kuchoka mkono akh😮😢

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 Před 8 měsíci +4

    Thank you sister may Almighty GOD continue to use you to help so many 🙏

  • @alfredmbako-pp5cl
    @alfredmbako-pp5cl Před 7 měsíci +3

    Madam thank God you were God sent, continue praying for those who are still in Saudia

  • @delvinmoraa4883
    @delvinmoraa4883 Před 10 měsíci +12

    Hii Saudia kila nyumba iko na challenges zake 😢but God still with us🙏

  • @joannyokabi8106
    @joannyokabi8106 Před 10 měsíci +11

    I like the way the interviewer let the guest just speak without asking many questions...

  • @mzeemombasa.3456
    @mzeemombasa.3456 Před 9 měsíci +5

    You are a very bright woman full of insight and decernment

  • @marywaithera5284
    @marywaithera5284 Před 10 měsíci +8

    She has a clean heart 🥺☺️

  • @VenesaVenesa-li5qg
    @VenesaVenesa-li5qg Před 10 měsíci +12

    Kuna watu wanasema oooh gulf wanauwana ooh kuntingwa lakini ukienda upate pesa ndo hao tena nichangie🥴watu wafanye kazi kila kitu n kurisk alaaaaaah🤨team strong to the world🥳🥳

  • @edwardmulongo9828
    @edwardmulongo9828 Před 8 měsíci +1

    God bless you sister, God is final in worship and prayers

  • @masibophiona1999
    @masibophiona1999 Před 10 měsíci +19

    Alafu kuna sisi tuko kwa Boss na tunalipiwa hadi vacation na tuko na siku za kupumzika thank God bana sio rahisi

    • @ttrttt7198
      @ttrttt7198 Před 10 měsíci +1

      Ni hapo kwako tu😂😂😂shukuru God

    • @masibophiona1999
      @masibophiona1999 Před 10 měsíci

      @@ttrttt7198 😂😂😂Walai hapa me hushukuru juu vile Nasikia huku nje niku baad

    • @ttrttt7198
      @ttrttt7198 Před 10 měsíci

      Umekaa muda gani hapo

    • @masibophiona1999
      @masibophiona1999 Před 10 měsíci

      @@ttrttt7198 one half yrs

    • @editholoo6180
      @editholoo6180 Před 8 měsíci

      Ombea siku ya kurudi

  • @gracewambo1313
    @gracewambo1313 Před 10 měsíci +19

    Kioki I would like to share my story too life experience in Saudi a painful story

  • @user-de5ye8ge7u
    @user-de5ye8ge7u Před 9 měsíci +6

    Thank you pastor for your encouragement

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 Před 8 měsíci +1

    May God bless you abundantly you are not only beautiful you have a beautiful soul as well ❤❤❤

  • @jubilitesconsultants6903
    @jubilitesconsultants6903 Před 8 měsíci +1

    Wah......, God Bless You Pastor 🙏🙏🙏

  • @metrinemetuu5959
    @metrinemetuu5959 Před 10 měsíci +7

    Weeehhh team najran likes tukisonga may God guide us through this journey 🙏

  • @user-ei1oh2lz5q
    @user-ei1oh2lz5q Před 8 měsíci

    Its a mazing story PST,continue praying for us ,am in riath

  • @fridahmurithi3916
    @fridahmurithi3916 Před 10 měsíci +2

    Now that you have a beautiful studio...can you work on your introduction part?

  • @brodavidmusingi280
    @brodavidmusingi280 Před 10 měsíci +1

    Mary you are blessed

  • @elizachilla934
    @elizachilla934 Před 10 měsíci +7

    Thanks 🙏🙏🙏🙏 mum, may God bless you more.

  • @NancyMuthoni-fb9ni
    @NancyMuthoni-fb9ni Před měsícem

    Waah be blsd pst Mary for the good job.

  • @janephermwikali9571
    @janephermwikali9571 Před 8 měsíci +1

    Jamani God bless you.

  • @Ashleykaudencia
    @Ashleykaudencia Před 10 měsíci +12

    Aky team strong kuishi na Hawa watu ni mungu tu pekee muweza yote

    • @sylviahkinyangi9892
      @sylviahkinyangi9892 Před 10 měsíci

      Maisha gani hii na Hawa watu,mbona Arabs wanafanyia wengine hivi?

  • @IreneWaithera-fp8pl
    @IreneWaithera-fp8pl Před 11 dny

    May God bless you pastor 🙏

  • @kasheri47
    @kasheri47 Před 10 měsíci +19

    may God bless this woman so much for helping these young girls.🙏

  • @Lynn_Makau
    @Lynn_Makau Před 10 měsíci +6

    Hello mr alot more
    Nimeona title nikakimbia huku since niko saudi

  • @yvonnemiya7247
    @yvonnemiya7247 Před 9 měsíci +19

    I was with Mary kwa training in Kiambu...she used to lead us in prayers Wow....

  • @faithwambua1666
    @faithwambua1666 Před 10 měsíci +16

    Ooooh saudi ni kubaya Saudi watu wana nyongwa🚮🚮🚮🚮🚮🚮saudi kuna mateso mi in Saudi eating khubus na laban na eating thelaja saudi is the best place to be ukiwa mhuble u will make it team strong hoyieeee tano tena💪💪💪💪💪

    • @Yuca878
      @Yuca878 Před 10 měsíci +1

      Acha tuchape we cook babies and eat baba

    • @celestinenekesa9706
      @celestinenekesa9706 Před 10 měsíci +6

      It's okay,kama ulipata pazuri,shukuru mungu,na wale hawakubaatika Wacha tuwasikilize basi

    • @annezmresh8116
      @annezmresh8116 Před 10 měsíci +1

      Oyaa❤❤❤

    • @faithwambua1666
      @faithwambua1666 Před 10 měsíci

      Cook my home cooking my husband where go sleep or get up😂😂😂😂😂😂engilizi mushkila wala

    • @puritynkatha5599
      @puritynkatha5599 Před 10 měsíci +1

      Say thank to God si kawaida, saa hii kuna dame amepelekwa kwa msichana na wakaleta mtu mwingine kwa nyumba after kumaliza contract, sema ni best ukirudi kwako

  • @user-lj2nv1ek1h
    @user-lj2nv1ek1h Před 8 měsíci +3

    Hii inakaa stori ya jaba

  • @luciamwikali3616
    @luciamwikali3616 Před 10 měsíci +3

    Message must reach kina Mutua na Rezo Ruto❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ukweli .

  • @linnetkibabu6659
    @linnetkibabu6659 Před 10 měsíci +10

    Pastor Mary to the world🔥

  • @gustav4458
    @gustav4458 Před 7 měsíci

    Just went to get my yellow fever vaccine at Wilson Airport and there were a group of 20 ladies who also were there we were just making small talk and they asked me if i was traveling abroad nikasema no nafika tu hapa Uganda....wakaniambie they are going to Saudi Arabia as houselps and honestly i really got extremely worried for them....they had this lady dressed very lavishly very very lavishly,those rich ladies you see on pinterest...that lavish
    She took their IDs and yellow fever vaccine and i remember next to me asking her
    "Cant they even carry their IDs they are grown women" i think our minds went the same direction

  • @user-lg8lw1gc5b
    @user-lg8lw1gc5b Před 8 měsíci +1

    I also worked there for 4yrs. Yale nilipitia na kupitia nasema hallelujah.madam I would like to meet you.

  • @TheBigFishAfrica_9
    @TheBigFishAfrica_9 Před 10 měsíci +10

    Our Sisters From Kenya who are seeking greener pastures in this countries see this story and get to understand what you are looking for by yourself.

  • @winnieofutare5324
    @winnieofutare5324 Před 7 měsíci +1

    Enyewe hizi nyumba kila nyumba na mambo yake,i wish hii you tube ingekuwa inatuma picha ama video,mm kijana wa hii nyumba ananyonganga mbele yangu anakuja akiwa amevaa short ametoa kitu yake inche anakuitisha ukikataa anakaa hapo ananyonga hadi amalize ya ni God tu,yani baba anakuitisha kijana wah!anyway pia mimi niko hio TAIF

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 Před 9 měsíci +1

    Huyo Dada story yake ya huzunisha saana, lakini maombi kwa Mungu yamemsaidia, huwamini Waisilamu waeza fanya vitendo hivyo vya kuua.
    Congratulations kwa kuwashinda, wanaharibu Heshima ya Uisikamu.

  • @judykamaru5929
    @judykamaru5929 Před 15 dny

    This lady Mary is truly blessed. This is true Isaiah 58 walking, TRUE FASTING! All blessings in Isaiah 58 are yours, amazing lady. God has truly granted you both inner and outer beauty.

  • @aminamahamud9333
    @aminamahamud9333 Před 10 měsíci +2

    I can see Kioki is bored and not listening to this urongo na unafiki

  • @sylviahkinyangi9892
    @sylviahkinyangi9892 Před 10 měsíci +14

    It breaks my heart into pieces that people still treats other human being like trash,Kenyans Gvnt need to do something....

  • @nancynzinah8290
    @nancynzinah8290 Před 3 měsíci

    Thank you so much pasy Mary ubarikiwe sana kwa kuitikia wito wa MUNGU 🙏🙏

  • @emmanuelmutisya923
    @emmanuelmutisya923 Před 10 měsíci +2

    Ready

  • @alvinreborn9548
    @alvinreborn9548 Před 10 měsíci +4

    Sijawahikuwa Saudi but am wondering from the comments. Wale mnasema ni uongo? mlikuwepo? Mnadhani kila mtu ako hapo pazuri mko? Sisi tumeona hata watu wakiletwa na majeneza. Mnataka kusema hawakuwagi wamekufa? Tumeona hata bunge likiingilia na kuokoa wasichana wanyonge. Huo ni uwongo? Ama mnataka wengine waje watesekee huko ju labda hamna njia ya kutoka? Mtu anieleze tafadhali.

    • @user-ub7fe9zv1p
      @user-ub7fe9zv1p Před 9 měsíci

      Unataka tukueleze mimi niko huku seven years now na tumenyamaza tu juu ni ukweli watu huteswa na wengine hukimbia juu ya tamaa ya pesa mingi na wenyewe kwa wenyewe wanauwana Kwa ground mambo ni tofauti saaana na yeye huletwa kwa screen

  • @sierranjoki6183
    @sierranjoki6183 Před 10 měsíci +10

    Saudi tano Tena ,hawa ndo wanauza kemboi kwa wanaume 😢

  • @gudtimer8475
    @gudtimer8475 Před 10 měsíci +6

    Mr alot more you doing so well...have bn your silent follower but this one made me to engage
    First I congratulate you on the next level of your life that place looks beautiful
    I was hoping that I can share my story with you hope u consider me please

  • @josephkahoi1196
    @josephkahoi1196 Před 10 měsíci

    Uongo saund hutembei na ducument
    ad ukitaka kuenda hos unaenda
    Yesterday nilikua hosi King Abdullah hospital exit 10

  • @felixomondi9091
    @felixomondi9091 Před 8 měsíci +1

    Ati mungu hukuongelesha??😅😅😅😅 nkt mapastor nyinyi na uwongoo, uongeleshwe na mungu kwani we ni nani??

  • @vee-nillah..
    @vee-nillah.. Před 9 měsíci +2

    Sit down in NK studios and start lying to kioko...tumepita hiyo stage Mary....anyway asanti kwa kutufunza kiarabu 😏😏😏

  • @charlesnyaberi5059
    @charlesnyaberi5059 Před 9 měsíci +2

    It’s risky what is Kenya government doing about slavery of pride Kenya citizens?

  • @mathungibandofficial2185
    @mathungibandofficial2185 Před 10 měsíci +1

    Kioko nunua microphone ya watu wenye unahoji hii already ni tv kubwa bana

  • @estherwafula9779
    @estherwafula9779 Před 10 měsíci +3

    Kioko kwani leo story imekuingia hadi utingiki n macho tu,, team strong we are hear Antill zakayo atoke kwa kiti 5 tena

  • @polynenkirote6007
    @polynenkirote6007 Před 8 měsíci +1

    For the 2 years is stayed in Saudi have never eaten anything special given na mwarabu ama na mtoi wake ,I always eat what have cooked since am the one who was cooking 🔪, anyone working in Saudi avoid eating anything given na mwarabu no matter how loving those ppl they might be always be careful

  • @silvanawambui4854
    @silvanawambui4854 Před 10 měsíci +17

    Saudi ni bahati yako,ikikukataa hutapenda😭😭

  • @edithonyango5021
    @edithonyango5021 Před 9 měsíci +3

    Lakini unatuchocha aky aty uliambia uyo shosho akulift juu how?😂😂😂mwarabu tena shosho akulift?Oliskia wapi😂😂

  • @user-ot4lq6fm2x
    @user-ot4lq6fm2x Před 8 měsíci +4

    Kwani mikono ya mtu na nugu zinafanana hapa Kuna vile hii story ina mistari bonoko 😢

    • @nimoofficial8747
      @nimoofficial8747 Před 8 měsíci +1

      Amesema ilikua mtu but aliwaambia ati maybe ni nugu zimemleta hapo ndio wasione ameradanisha

    • @legacymsanii2003
      @legacymsanii2003 Před 7 měsíci

      Kabisa na nyani zitaleta mikono kwa nyumba aje

  • @marykyley836
    @marykyley836 Před 10 měsíci +2

    Kwani watumish wa mungu ukaaje surely that is demeaning...😅

  • @victoriamima2547
    @victoriamima2547 Před 10 měsíci +2

    Team strong tuko locked🎉🎉
    NIPITIENI PLZ

  • @phelistaaketch4561
    @phelistaaketch4561 Před 10 měsíci +4

    Story za jaba. Tupewe options za kutuma voice notes tuwaambie ukweli 😂😂

  • @africangirl189
    @africangirl189 Před 10 měsíci +6

    Huyu na yeye kiherehere ndio anaita wisdom 🤣🤣 yaani unapata mwili unawapelekea weeuh!! Aki ndio maana munauliwa ni kiherehere si ya kawaida si ukiona kitu kama unanyamaza buana and pretend hukuona kitu na ujipange utoke heee!! Hio si wisdom nanii ni ujinga 🙆🏿‍♀️ the name wisdom is " overused" 😂 ...lakini ata anakaa kiherehere na udaku huyu 😅

    • @blessingmusengya635
      @blessingmusengya635 Před 10 měsíci +2

      Amekuja kutufunza kiarabu uskii😂😂😂

    • @jackywambua917
      @jackywambua917 Před 10 měsíci +1

      Exactly 💯

    • @muturivee8470
      @muturivee8470 Před 9 měsíci

      😂😂😂😂 wanafaa kumind their own business bt kiherehere Yao haiezi waruhusu... alikua kemboi na juu alitoboa anajifanya vile alikua na wisdom... ni God's favor huko tunajua ni God tu

  • @lydianduku9679
    @lydianduku9679 Před 6 měsíci

    Aki im going through the same thing,nagive up aki its not easy 😢😢😢😢💔💔

  • @Marymariah123
    @Marymariah123 Před 10 měsíci +6

    Following kwanza ndo ni comments 😂😂😂😂team saudi harooooo

  • @naimanimo4925
    @naimanimo4925 Před 9 měsíci +3

    😂😂😂😂😂pastor is your lying, am out of here let me save my data

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 Před 9 měsíci

    Kioko yule KRG, ameipa Contet saana hino channel yako, hata kama mulikua mwafanya Kiky.

  • @catherinembinya2929
    @catherinembinya2929 Před 9 měsíci +3

    Kioko nikirudi kenya nitakutafuta sasa niongee uzuri wa saudi coz watu wengi wameongea negative part of Saudi sana, wamesahau kauzuri kadogo hta kamoja na unakaa kwa mtu 2yrs ,how can somebody stay 2yrs bila advantage?

  • @ZaphaniaBota
    @ZaphaniaBota Před 8 měsíci

    Congratulations, knowledge from Almighty God of Heaven.

  • @MoreennanjalaNanjala
    @MoreennanjalaNanjala Před 8 měsíci +1

    Kioko mimi naosha mwanaume naukiwaambia ni vibaya unateswa so mm nimevumilia tuu nimalize contract nikirudi pia mm niko na story but Saudi 🇸🇦 bila maombi hakuna kufaulu

  • @graceneema9934
    @graceneema9934 Před 3 dny

    Mungu akubaliki kwa kutangaza injuli ya mungu mungu akubaliki sana

  • @user-ub7fe9zv1p
    @user-ub7fe9zv1p Před 10 měsíci +58

    Pastor mary talk the truth ashame the devil 😂😂😂😂😂😂 how did you rent your own house without iqama nor passport who is that man who helped you rent your house,,, kioko kwa ground mambo ni different😂😂😂

  • @perismburu6428
    @perismburu6428 Před 10 měsíci +9

    Mimi niko Saudi lakini thank s niko kwa family poa

    • @demoh2542
      @demoh2542 Před 10 měsíci

      Wanaume hutreatiwa ajee huko??

  • @logonjiedith6629
    @logonjiedith6629 Před 2 měsíci

    Its good listen just listen

  • @NellieWaaudrey-ev5iu
    @NellieWaaudrey-ev5iu Před 9 měsíci +6

    Was looking for this 😂😂😂😂😂Uyu na ni muhujia na anadanganya 😂😂😂😂😂mama wa fitina Al never forgive you ulinifanyia fitina kwa madam nurah 😂😂😂thie ukamie 😂😂😂😊

    • @jacquelinenjambi
      @jacquelinenjambi Před 9 měsíci +1

      Tell us more..hata mi naona ni story za jaba

    • @Bodyclean544
      @Bodyclean544 Před 9 měsíci

      So n story za jaba 😂😂😂😂😂

    • @papahdeh5739
      @papahdeh5739 Před 8 měsíci

      Nellie tulipulie jaba 😂😂😂

    • @NellieWaaudrey-ev5iu
      @NellieWaaudrey-ev5iu Před 8 měsíci

      @@papahdeh5739 iki kimama kinapenda sympathy sana kinapenda sifa the first time I entered Saudi imet her uyo boss wake wa Kwanza alikua son ya madam 😂😂kujipendekeza nayo aki alifanya mimi nionekane mbaya na ujue alitoroka ni tamaaa gasia akuna kuuliwa alikua auliwe

    • @NellieWaaudrey-ev5iu
      @NellieWaaudrey-ev5iu Před 8 měsíci

      @@Bodyclean544 uongo mtupu aende akakumie nauko wangu

  • @captain_shammer
    @captain_shammer Před 9 měsíci

    Juu ni pastor Kioko akamletea Coffee

  • @fredrickmuguna5014
    @fredrickmuguna5014 Před 8 měsíci

    Be kind to others.

  • @natechovee
    @natechovee Před 10 měsíci +2

    Nipitie nikupitie who is ready🎉🎉

    • @kingt_ke
      @kingt_ke Před 10 měsíci +1

      Am here let's do it

    • @natechovee
      @natechovee Před 10 měsíci

      @@kingt_ke done ✅nipitie pia

    • @natechovee
      @natechovee Před 10 měsíci

      @@kingt_ke 🥳🥳

  • @puritymwongeli9748
    @puritymwongeli9748 Před 10 měsíci +6

    Hizi comments zinaeza fanya mtu asiwatch walai😂

  • @tomthomas6908
    @tomthomas6908 Před 10 měsíci +8

    Story za Jaba😂😂😂

    • @shukranhassan7879
      @shukranhassan7879 Před 9 měsíci

      😂😂😂😂hata nakula nikiskia inakataa kupanda

  • @DamarisMuthoni-xr2xm
    @DamarisMuthoni-xr2xm Před 2 měsíci

    Waa i think mi nko anther cauntyry coz me nko powa kabsa hadi nachoka kukaa chini...everything good .

  • @user-ez4hj2oj4c
    @user-ez4hj2oj4c Před 3 dny

    Ebu wabie tena n tena ukiteshwa jiokoe kemboi is the best way ukiwa saudi wengi kenya wanasema ati mtu akikemboi ni kazi ya umalaya kenya people kujieni hii

  • @Marymariah123
    @Marymariah123 Před 10 měsíci +11

    Hello mr alot AKA DAD ROM AND ROMIE😍izi ni kama stori za jaba😂😂😂😂uko 2 months unapata wapi nguvu ya kupigana na mwarabu😂😂💔💔aki mnastori zingine mnanibamba sana😂😂😂hii yote ni uongoo the other interview ya kururi tv hukusema dates😂😂😂😂mm nko 3 yrs na sjai ona hio panga😂😂 weh aki wamama wa saudi mtanimaliza mm😅😅kwanza apo juu alipandishwa ni wapi ambapo monkey inapita na hupandi na stairs😂😂😂💔💔💔💔acha nikondeshwe na yangu 😅😅mtu akitaka kukuuwa hasemagi😅😅😅

    • @RonikaAgo
      @RonikaAgo Před 10 měsíci +2

      Alisema bunduki huku Saudia ni kama vile Kenyan wamezoea panga 🤣🤣🤣

    • @Marymariah123
      @Marymariah123 Před 10 měsíci +1

      @@RonikaAgo 😅😅😅kalii waliiii

    • @piusbosire3420
      @piusbosire3420 Před 10 měsíci +1

      😂😂😂😂

    • @puritynkatha5599
      @puritynkatha5599 Před 10 měsíci +2

      Panga ziko na bunduki, si jaba some men here ni mungu to

    • @Mjlyne-pq9if
      @Mjlyne-pq9if Před 10 měsíci

      Tena alifika akiongEA kiarabu.....tena hio job yooote na fasting ya 7days...na nani anamaswali mob hivo kwa mwarabu....zii haimek 😂😂

  • @zeshnyagah4199
    @zeshnyagah4199 Před 10 měsíci +10

    Its always good to listen juu kuna wale uenda Saudia wanakufia huko,wanateseka,but others make it.
    Msikimbilie kusema ni story za jaba.watu wamejionea Saudia

  • @marywangare8290
    @marywangare8290 Před 10 měsíci +3

    Haya basi, kuna another lady anatrend sana from malindi, she has been raped and the scenario still inaendelea, help her.

    • @RonikaAgo
      @RonikaAgo Před 10 měsíci

      Huyo lady si mkenya wametoa part 3 enda tiktok kwa metrulda Kuna information there please

    • @marywangare8290
      @marywangare8290 Před 10 měsíci

      ​@@RonikaAgo. Well , but let's keep praying for her.

    • @elizabethmwende9353
      @elizabethmwende9353 Před 10 měsíci

      Huyo dem hata c mkenya kama uko na video sikiliza vile wanaongea na huyo jamaa

  • @ivywanjiru5266
    @ivywanjiru5266 Před 10 měsíci

    Kioko tupee discount kwa techglobe juu weeh

  • @faithwambua1746
    @faithwambua1746 Před 8 měsíci

    ♥️♥️

  • @gracenthia5838
    @gracenthia5838 Před 10 měsíci

    Mbona hizi story huwa tu na wakikuyu?!

  • @janetwakio6074
    @janetwakio6074 Před 10 měsíci +1

    Miaka ni mia sita hamsini hiyo phrase hunibamba yawa😂😂😂😂😂

  • @wesleyaika1409
    @wesleyaika1409 Před 9 měsíci

    😂😂😂😂Danganya mwenye hajui story za huko

  • @freegirl132
    @freegirl132 Před 10 měsíci +1

    Kioko am u fan wko❤❤❤nko hapo saudi Arabia

  • @harrisondaniel6335
    @harrisondaniel6335 Před 10 měsíci +1

    Why don't you have two mics to minimize movement

    • @fofo_Amigo254
      @fofo_Amigo254 Před 10 měsíci

      I hope he's working on it cz pia yeye get tired holding 1hr. Big up kioko

  • @AlvinWaweru-qy4go
    @AlvinWaweru-qy4go Před 9 měsíci +3

    She conned us alot in Kenya

  • @puritynkatha5599
    @puritynkatha5599 Před 10 měsíci +9

    Huyu story zake ni.......... Ati alichukua nyumba yake kwanii alirent wapi juu lazima mwanaume 😳😳😳tolk the truth 😂 😂 😂

    • @nickbellah927
      @nickbellah927 Před 10 měsíci +2

      I know her acha nijinyamazie

    • @georgemulinke
      @georgemulinke Před 10 měsíci

      Its not adding up but acha tuskize story za jaba😂😂😂😂

    • @Gift_bee
      @Gift_bee Před 9 měsíci

      Kurent nyumba it's very simple Kwa makemboi, almost all have their own house,

    • @georgemulinke
      @georgemulinke Před 9 měsíci

      @@Gift_bee bila ID utarent aje,unatubeba aje kwani?

  • @presleybest
    @presleybest Před 10 měsíci

    Interview me am coming next year, nitoboe Hao waongo najua wanataka ustaarabu na alikuja kazi. Or interview me online live hapa

  • @legacymsanii2003
    @legacymsanii2003 Před 7 měsíci +1

    I dont think its true ubebe pieces za mwili ya mtu ukiwa dem like nothing happened eti we ni muombi i dont know

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Před 10 měsíci +5

    Huyu pastor nikimskiza kwa muhia wa maingi but some parts wanaweka chumvi tuko huko 7yrs na is the Best ni luck ya mtu lakini kwingine hapana ati wanaabudu nyoka 😂😂😂 nashangaa kwani Kenya hakuna 😈 worshippers???

    • @baibeprecious9885
      @baibeprecious9885 Před 10 měsíci

      Kweli m Niko huku almost 3yrs but vitu mob usemwa ata ushangaa

    • @abigael1958
      @abigael1958 Před 10 měsíci

      ​@@baibeprecious9885things happen wewe kama ulipata kuzuri usijudge

  • @felixmuiamulinge1128
    @felixmuiamulinge1128 Před 10 měsíci

    Na ununue mic banae

  • @GladysMwangi-gi1sq
    @GladysMwangi-gi1sq Před 9 měsíci

    Nice madam

  • @benjaminmumo1492
    @benjaminmumo1492 Před 8 měsíci +2

    God bless you abundantly Pst Mary for going out of your way to save people in Saudi Arabia and beyond

  • @al4nex
    @al4nex Před 8 měsíci +2

    Many stories these ladies come with here are forgery stories. Huyu hapa hataki kuwaambia ukweli. Kazi ya Madalala ni kuiba/kukemboisha wasichana na sio free, wanawalipishanga pesa mingi tena kuwatoa kwa hizo nyumba. Na wao ndio wanadanganya wasichana wawatoe. Na sio wanaenda kukaa na wao free. Wanawalipisha kukaa kwa hiyo nyumba. Madalala nyinyi tunawajua sana.

    • @CaroNyaranga-wn7rb
      @CaroNyaranga-wn7rb Před 8 měsíci

      Then hapo kwa salary amedanganya akiwa macho makavu,, hapa kuna ukweli na uongo mingi,, sisi tko huko kwa ground 😮😮😮

    • @philismukura4293
      @philismukura4293 Před 7 měsíci

      😂😂😂😂nimecheka juu ata mm nlitaka kukemboi weeeh nliambiwa kama nko na Rosecoco ya wanaume kumi ni kemboi weeeeh wacha tu nitosheke na hii 1200 napata 🙌🙌🙌🙌

  • @reenreen4724
    @reenreen4724 Před 9 měsíci +1

    😂😂😂😂😂this lady is lying 😂adi kioko ashaboeka 😅 wacha nikule kubus na laban tuonane next yr😂😂

  • @lilianwangari1210
    @lilianwangari1210 Před 10 měsíci +1

    Mary umefanya poa kuna wale hawajui shit huwa zinahappen mwarafu wothe ni numi huhi matire itheru ladies lazima tuwange rada don't trust this people

  • @haretadan5472
    @haretadan5472 Před 8 měsíci +8

    There's danger in one sided story. This lady looks for authenticity for her story by saying that she heard the voice of God every time. She's the next pastor mckenzie🚮

    • @Dj_sanitizer
      @Dj_sanitizer Před 7 měsíci

      This is just a story

    • @jameskungu6223
      @jameskungu6223 Před 6 měsíci +1

      Ukweli ,mkora huyu 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬

  • @michaelnzyoka8702
    @michaelnzyoka8702 Před 2 měsíci

    Kioko nisawa kwa hizi story.