muache utapeli fanyeni kazi ilyohalali na MUNGU atakubariki usiwadanganye watu na uponyaji wenu, uponyaji na matengezo ya nn hv unaelewa unachokifundisha. walokole wa sasa mmechizika!!!!!!
Thobias vitalice kama kitu ukielewi acha ku comet na kutoa ukumu kua anakosea wewe ukawa mungu kuona Yuko sahii au sivyo, jifunze kunyamaza usijione kua mtakatifu ukadharau Neno la mungu
Natamani nifikie Imani isiyopungua hii
Amen Baba, Mungu akutunze sema kweli.
Balikiwa sana mtumishi wa Bwana Mungu aongeze viwango zaidi na zaidi
Amen amen amen amen and amen
Baba nahitaji maombi yako
Amina🙏🏼
thanks
Amen Hallelujah damu ya YESU KRISTO ikufunike Mtumishi wa Mungu
Amina
😂 😂 Pole Sana Baba kwa kukutoa machozi pepo mmoja Watu 30 hii hatari sana Wafunge na kuomba sana wasipende kula kula sana
Karibu mtumishi geita
Mungu akubariki mucungaji
Amen
Mungu akutunze
Tuvumilie wapendwa these material things are man made haviko 💯
Mungu aingilie kati Tu Tatizo la Sauti na picha kukatika kila wakati
Nawapenda toka Kenya
AMEN 🙏🙏
Amen amen amen ubarikiwe baba tuko pamoja baba amen
Namna gani ,Tuna weza fatiliya masomo kwa njia ya Kuwa mbali?
🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Tuna wafata tukiwa Bukavu ,Congo .Baba Mchungaji ana Weza ata kuwa Bukavu mwaka gani?
Mchg wangu hata wakikusanyika 2 hubiri maana njia ile ni nyembamba na waionayo ni wachache.
muache utapeli fanyeni kazi ilyohalali na MUNGU atakubariki usiwadanganye watu na uponyaji wenu, uponyaji na matengezo ya nn hv unaelewa unachokifundisha. walokole wa sasa mmechizika!!!!!!
Hizo ni habari njema
Sio utapeli
Thobias vitalice kama kitu ukielewi acha ku comet na kutoa ukumu kua anakosea wewe ukawa mungu kuona Yuko sahii au sivyo, jifunze kunyamaza usijione kua mtakatifu ukadharau Neno la mungu
Amina
Amen