POLEPOLE Awalipua CHADEMA Sakata la KUZUILIWA kutumia NDEGE kwenye KAMPENI...

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 09. 2020
  • POLEPOLE Awalipua CHADEMA Sakata la KUZUILIWA kutumia NDEGE kwenye KAMPENI...
    KATIBU wa Itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, leo Septemba 11, amezungumza na wanahabari kuhusiana na muendelezo wa kampeni zao nchi nzima...
    Akizungumza akiwa Chato, Polepole, amezungumza mambo machache kuhusu kampeni za vyama vyote zinazoendelea nchini ambapo amelaani kitendo cha Chadema kuwafukuza wanahabari wa TBC katika mkutano wao wa kampeni...
    Aidha Polepole amefafanua kuhusiana na tuhuma zilizotolewa na Chadema wakilalamikia kuzuiliwa kutumia anga kwa ajili ya kufanya kampeni zao...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 29

  • @justice607
    @justice607 Před 3 lety +6

    Niko ujerumani, uku wanamkubali sana rais aliyeko madarakani nchini Tanzania.

  • @denismassawe9255
    @denismassawe9255 Před 3 lety +4

    Ccm mm inanipa raha sana yaani mtu anaongea unamwelewa hana papara hana panic anaongea with a lot of confidence hii ndio maana ya kua kiongozi sio hawa wengine makelele tuu Na kashfa

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 Před 3 lety +5

    Hao wapinzani ni wahuni

  • @Mahugijæmma
    @Mahugijæmma Před 3 lety +4

    Tumeshamtambua wananchi kwamba tundu la choo NI mchochezi. Asituumize vichwa kura hatumpi. Watanzania NI watu wapole na wasiopenda visasi kura hatumpi huyo mshemzi tundu la choo. Kwanza Hana hoja anatoa kashfa tu. SINGIDA anaiabisha kwa kuropoka ropoka

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Před 3 lety +4

    Hawa watu wanaishi kwa uwongo. Kila kitu wanachosema ni cha uwongo. Uwongo unawapa fedha kutoka kwa wafadhiri. Wametoka bungeni wakidai kuna korona? Mala wakajitokeza bila hata ya kuvaa balakowa. Wanalewa na kuanguka wanasema wamepigwa. Hawa watu wanaishi kwa uwongo. Kila kitu wanachosema ni cha uwongo. Uwongo unawapa fedha kutoka kwa wafadhiri. Wamejaribu kutukana, kufanya fujo na kutukana mapolisi Serikali inawaangalia tu. Ngoja pigo watalipata tarehe 28/10. Tundu Lissu either atakimbia kama Membe arudi kwao Ubeligiji ama arudi kijijini kwao na uwongo wake

  • @hddhhddhdhhd7466
    @hddhhddhdhhd7466 Před 3 lety +1

    asante Dubaï tunakupa ccm iko juuu

  • @elishamwenga1474
    @elishamwenga1474 Před 3 lety +1

    Hawana cha kufanya lisu akalime alizet

  • @thabitalwiy1
    @thabitalwiy1 Před 3 lety +3

    Kweli watanzania wameamua kunadilika ile mipango ya kudanganywa na Siasa uchwara ili watu waingie bara barani wakavunjwe miguu wamestukia. Chameda kila wakija na mbinu za kudanga umma ili watu wawe na jazba watu wamedindisha wanawasikiliza kisha wanawapuuza🤣🤣🤣. Na naipongeza Serikali kwa Ujumla na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuweka utulivu wa nchi yetu na kuifanya amani itawale.

  • @dbwaxvevo5780
    @dbwaxvevo5780 Před 3 lety +1

    Polepole nikuambie tu ww tuachie huyu mwenye sera za risasi na vitisho haelezi nn atafanya we tuachie tu mtafune kisawasawa

  • @rehemasalimini5466
    @rehemasalimini5466 Před 3 lety +3

    Matangazo upande wa pili ya nini hayana faida kwa wenye akili hizo kashfa zao hatutaki kusikiliza sisi

    • @anithangao6564
      @anithangao6564 Před 3 lety

      Pole pole tunaomba utusaidiye cc wajane tunanyanyaswa sana na tunateswa sana na tra watendaji Mwenyekiti na makatibu khs kufunguwa bar au grocary saa kumi na kufunga saaa tano sasa hv hari cyo nzuri sana anakuja mtendaji akikukuta unamteja hata mmoja na umemfungiya ndani wanakukamata na wananyang'anya leseni wanadai tuwape kuanziya 300000 tunaanza kuwabembeleza hadi 50000 ndo anarudisha leseni bila listi tunateseka sana na vilevile unakuta sehemu zingine wanafunguwa asbh na hawakamatwi tunaomba hili mliangaliye upya mmewapa watu dilindani ya miaka mitano bila nyie kujuwa

  • @gallousgosbert4993
    @gallousgosbert4993 Před 3 lety +5

    Mhe polepole wala usijali hawa wapinzani tushawajuwa ajenda zao za siri, HATUDANGANYIKI N'GO.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 Před 3 lety +1

    Leo hii dunia nzima wanashangaa jinsi China katika miaka 15 iliyopita wameweza kufika walipofika, na hii ni kwa sababu walijikita kwenye miundo mbinu na viwanda, wakati wamarekani wakiwacheka na kusema hao hawawezi kuwafikia. Leo hii wanalalamikia hao hao waliokuwa wanawabeza, mara wametuibia technolojia mara hakuna haki za binadamu. Je Marekani kweli kuna haki za binadamu? Angali walivyouwa watoto na akina mama kule uarabuni na leo hapa Marekani weusi wnegi wanauawa na hao wapinzani ambao wanawahusudia Wamarekani hawajasema lolote. Ili Tanzania iendelee itahitaji si kujikwamua tu kiuchumi bali kifikra, kuhakikisha kuwa hakuna wtu wenye fikra za ki-Lissu Lisu hivi za kuwakumbatia wakoloni mambo leo. Ndio, China walianza vizuri lakini nao wameamua kufanya yale yale wakoloni waliyafanya ndiyo maana nao sasa hivi wanalaumiwa. Ukweli ni kwamba huwezi kujikomboa bila ya kuwa na miundo mbinu, afya bora (mahoispitali), barabara nzuri, reli, ndege, meli, umeme na maji. Hakuna nchi inaweza kuendelea bila ya kuwa na hii miundo mbinu, hivyo tusijidanganye kabisa huyu bwana anaposema miundo mbinu haitampigia kura. Yeye mwenyewe anapopanda hiyo ndege hapandii mbugani anapandia kwenye uwanja wa ndege ambao unaajiri watu wa kumsaidia kurusha hiyo ndege na kuhakikisha usalama wake akiwa angani. Kweli waswahili hawakukosea kusema waliposema kuwa usitukane wakunga wanati uzazi bado upo.

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 Před 3 lety

    Mtu mmoja alifariki hafla, malaika (Tundu lissu) wakamchukua mpaka mbinguni kufika wakamwambia dhambi zako na Sawabu zako ziko sawa sasa una uwamuzi kwenda peponi au kwenda motoni na tumeruhusiwa tukuonyeshe pande zote mbili. Akapelekwa peponi kwanza, kufika kuzuri kila kitu kipo raha tupu lakini hamna pombe na nguruwe ,kinya na kuko doro sana. Akasema twende motoni sasa duuh!! Akenda motoni siku aloenda raha ulev, malaya wengi, mashoga , pombe diamond ali kiba na waimbaji wote ndani, wanawake usiseme na aliwaona jamaa zake wengi ndani. Jamaa akawekwa katikati akaulizwa uwamuzi wako wapi utaenda, Jamaa akasema Motoni ( ccm) akingizwa motoni duuh, alipo Ingia kulibadilika kabisa moto Mkali njaa maradhi, chakula kibovu , mateso, mengi sana , ndipo akumuliza Iblisi (Magu) Siku nilio kuja hapa kulikua na raha nyingi mbona sasa mateso tu na tabu Ibilisi (Magu) akajibu kua ile siku uliokuja tulikua katika kampeni , Sub hana llah,
    😅🤣🤣😇👹👹👺👍

  • @hamisikibula9694
    @hamisikibula9694 Před 3 lety

    Alafu global tv acheni
    Ubaguzi wa kizamani tumeni matangazo na upande W pili
    Daily tkiingia Ni ccm tu
    Badilikeni
    World is change
    Haturudi nyuma wekeni usaww wote niwa 🇹🇿

  • @winfridahcreitus705
    @winfridahcreitus705 Před 3 lety

    Hata mngetukanavipi ninyi watoa comment, Kuna mamlaka zinapashwa kuwajibika kwahili, Wala poleple Hana mamlaka ya kuisemea mamlaka, maswala yakitechnical ya fright schedule SI yakusemewa na polepole, na polepole watanzania tunakujua vizuri, hauaminiki Tena kwetu sisi watz, toka tume ya warioba, ulipoisaliti kwasababu yakiugali hicho ulichopewa, hukumbuki ulichokua unakihubiri na warioba, leo hii hata tukikuuliza juu ya katiba uliyozunguka nchi nzima, utaleta brabra, huaminiki bado unaleta brabra tu. Kwanini tunashindwa kufanya siasa zakistaarabu mpaka mtafute visababu vyakuharibu mchakato? Tumeona clip I au guka mtu was tume NI kada, hatujakusikia ukio gelea Hilo. Ili uheshimike ndani ya nchi usiwe biased, kemea uovu unaouona mbele yako.

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 Před 3 lety +1

      Hivi, mbona waingereza na wamarekani wana katiba kandamizi na leo hii huwasikii wakipiga makelele ya kubadili katiba zao na hao ndio unaowaangalia kama mfano wa demokrasia. Funguka macho ndugu yangu, katiba inaweza kuboreshwa na katiba mpya si majibu ya matatizo kwenye jamii.

  • @fredreckmwakalinga3475

    Polepole wewe ni mjinga huwezi kujilinganisha na Lissu wala usifikiri watz wanakusikiliza hii ujinga wako

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 Před 3 lety

      Usituseme sio watanzania woote jisemee mwenyewe

    • @kambamazig02024
      @kambamazig02024 Před 3 lety

      Sasa wewe umejuaje anachokisema kama ulikuwa humsikilizi? Ama wewe si mtanzania? Na kama ni hivyo kuwa wewe si mtanzania yamekukeraje tena haya? Basi ina maana kuwa kuna watanzania wanamsikiliza. Tafakari kabla ya kusema.

  • @lucymollel6509
    @lucymollel6509 Před 3 lety

    Chadema hata iweje inakubalika