DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 08. 2017
  • Diamond Platnumz latest song "Hallelujah" ► bit.ly/2x02yYg
    Send 'Skiza 8540075' to 811 (Safaricom). The Song features all WCB WASAFI Artists including Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava , Queen Darleen and Rich Mavoko.
  • Hudba

Komentáře • 16K

  • @spartachize122
    @spartachize122 Před 3 měsíci +254

    Wale wa 2024 mko wapi? Gonga like🎉

  • @maboiller381
    @maboiller381 Před 3 měsíci +97

    This song will never lose taste❤ any Kenyan in the building 2024❤❤❤

    • @khamismussa3070
      @khamismussa3070 Před 2 měsíci +1

      😂😂😂❤

    • @StephenRonny
      @StephenRonny Před měsícem +1

      @@khamismussa3070 still in 2024❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥

  • @josephndirangu5953
    @josephndirangu5953 Před měsícem +57

    Wah aki hii wimbo is always great. Kama uko huku April 2024 piga like. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @concude
    @concude Před rokem +1293

    2023 any Kenyan in the house?

  • @janetkaranja8194
    @janetkaranja8194 Před 6 lety +78

    mimi kwanza nitacomment ata kabla sijaiwatch kwasababu nina uhakika wcb are the best... #zilipendwa...let me watch now in a repeat mode.

  • @255kl
    @255kl Před rokem +77

    I'm here once again 2023✔️, A lot has happened and changing but honestly I really miss the vibes of old wasafi ,ooh maa men konde boy😭,mavoko😭,vanny boe 😭, quuen 😭 .. the era is coming to an end ❗,, thank you platinumz for the gifts of vanny boe and konde boy always make people enjoying,, really the street will never forget your beautiful heart for the music industry of Tanzania and Africa thank you again again and again,for those who watching this bung in 2050 this guys was phenomenal genius on their Prime's🔥🔥🙌 and now is our legends 🔥💪

    • @najmaallysaid-mz2wc
      @najmaallysaid-mz2wc Před rokem

      This iz de meaning of love

    • @nyegesssimon6953
      @nyegesssimon6953 Před rokem

      H see BCGy? The deer switch getting1a gym into ⁹f

    • @estherkamoko7254
      @estherkamoko7254 Před 10 měsíci

      I miss them too,I wish they can forgive each other and continue giving us hits, life is too short not to forgive each other

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo Před měsícem +16

    Nipo hapa 2024. Jamani mbona nyie mnapata likes, mi sipati. Angali wote tunampenda muziki mizuri "zama za zamani" 🎶🎵🎵🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @HIPHILRDC
    @HIPHILRDC Před 8 dny +1

    Wa Congo muko wapiiii. Izo nii zaa zamani saa ya wa Pépé Kalé❤

  • @hellenmpapale8019
    @hellenmpapale8019 Před 3 lety +85

    Kenya na Tanzania bado marafiki na mashemeji I'm from Kenya 🇰🇪🇰🇪 njoo mtubebe tena tunawapenda sana

  • @nyemogolden2815
    @nyemogolden2815 Před 6 lety +46

    Nothing to say walah! you guys mmelaaniwaa Na music mamaqe.... Mond punguza speed utatuua

  • @ellynassari608
    @ellynassari608 Před měsícem +6

    mimi sio shabiki wa izi nyimbo ila nlipenda sana wasani wetu kukaa pamoja na kufanya kazi pamoja huuu wimbo naupenda

  • @badboi-ou5cs
    @badboi-ou5cs Před 16 dny +9

    Nani anaisikiliza wimbo hui 2024?

  • @ngoshamaguzu6667
    @ngoshamaguzu6667 Před 6 lety +24

    Mamaeeeee hapa ni zaid ya #freshremix #wcb mmeumizaaaaaaaa hatarree sana pigeni kazi mazeeee 😆😆😆😆😆😆😆💪💪💪💪💪💪💪💪🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @edwinsemwenda6637
    @edwinsemwenda6637 Před 6 lety +33

    Ebwanaaa eee nimekuelewa mzee baba
    Bonge la song mmelitendea haki
    #Zilipendwa_wakuache_watu_na_mziki_wao

  • @devicfediriko9975
    @devicfediriko9975 Před rokem +105

    5years still can't get enough of this song, who agree💯💥

  • @DoctorEvarist
    @DoctorEvarist Před rokem +36

    My favorite song Until now 2023🔥
    I wish mngerudi tena na kuungana kama ivi mfanye makuu zaidi 🔥🔥🔥

  • @kizitokasulamo9167
    @kizitokasulamo9167 Před 6 lety +116

    yan hii imewashika watu pabaya yan Hadi wanasiasa walijipanga kuiuwa Lakin wap kilicho pangwa na Mungu binadam hata mfanyaje mtafeli to WCB is my team congrats to you broo Diamond

    • @zachariadidas9387
      @zachariadidas9387 Před 6 lety +1

      Ngoma kari saana

    • @kadzomulewa3838
      @kadzomulewa3838 Před 6 lety

      Kizito Kasulamo ndaniiiiiiiiiiii

    • @ebidonychanga2975
      @ebidonychanga2975 Před 6 lety

      inabd yule jamaa akapmwe mkojo..

    • @ishimweaisha4032
      @ishimweaisha4032 Před 6 lety +1

      Kirico pangwa namungu hakuna naye weza gupanguwa Maduro mupo mume yiwona hiyo ZIRIPENDWA

    • @ishimweaisha4032
      @ishimweaisha4032 Před 6 lety +1

      Silva Platnumz umesema nirudiye guhangaria nazidi kuyiwona zuri zayidi paka nimeyiceza inagoma zurisana

  • @yakubsaid7856
    @yakubsaid7856 Před 6 lety +50

    Nkikuita Plutnumz nahs kma nkushusha thamani acha nkuit SIMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.. nothing like u brther....

  • @lowasasabaya3606
    @lowasasabaya3606 Před rokem +4

    Hawa wote walikua wasanii wa diamond

  • @AliceBellanie
    @AliceBellanie Před 2 měsíci +9

    We miss the old wasafi days😭

  • @assshakersshow9360
    @assshakersshow9360 Před 6 lety +42

    Aisee mimi ni mjapani na huku kwetyu neti haishiki ila hawa jamaa ni creative Ile mbaya. .Lazima nijifunze kiswahili Saivi ....pamoja sana WCB.

    • @mariamlugoye1926
      @mariamlugoye1926 Před 6 lety +7

      +Binacr Makeja eti timu Tembo juu nyie mbona mnapenda kumpa kiba sifa zakijinga wakati hakuna cha maana alicho kiimba yaan hata huyo kiba aimbe vipi hawezi kumfikia Diamond kwa sasa mondi yuko juu nyie endeleeni kumpa sifa zakijinga kiba sisi huku tunasema ZILIPENDWA safi sanaaaaa team wasafi

    • @sammabula7359
      @sammabula7359 Před 6 lety +1

      hahaha umetisha kinoma

    • @mpamilamihayoo3256
      @mpamilamihayoo3256 Před 6 lety +1

      +Mariam Lugoye Nyimbo ni mbovu kazi kutaja majina ya watu

    • @magrethzabrone9225
      @magrethzabrone9225 Před 6 lety

      👏

  • @angeldinammary516
    @angeldinammary516 Před 6 lety +29

    Zilipendwa😘😘😘
    Zuwena natmpata wap
    Zuwena wa zile nyakati❤❤

  • @nicky1x250
    @nicky1x250 Před rokem +8

    Mpira na Pele..... emotional 😭😭😭😭😭😭

  • @BILLIONAIREOKIDDO
    @BILLIONAIREOKIDDO Před rokem +52

    Nimerudi kusikiliza hii nyimbo siku ya valentine 🤣🤣🤣 leo 2023 piga like ukiingia kuwatch picha

  • @charlesndungu4849
    @charlesndungu4849 Před 6 lety +36

    1. Million viewers Nigerians you already know East Africa is the big thing

    • @HassanMohamed-iu8hf
      @HassanMohamed-iu8hf Před 6 lety +5

      Wcb ndio kiboko yao kiba ww una safiria nyota ya simba kama c mondi ww ugekua ushapotea kitambo san mshkuru san mondi ww

    • @moham.279
      @moham.279 Před 6 lety +5

      Charles Ndungu, Stop being childish. Why bringing Nigeria into this?

    • @swalehedibwa6650
      @swalehedibwa6650 Před 6 lety

      Hassan Mohamed ndio abar ya mjin WCB

    • @ednahkudzaimatamba204
      @ednahkudzaimatamba204 Před 6 lety

      I despperately wat this song is all abt pliz

    • @charlesndungu4849
      @charlesndungu4849 Před 6 lety +1

      Ednah Kudzai Matamba they are recalling the early days.. They love that last days so they are praising early times how people used to love the Dem days.. Zilipendwa means they were loved

  • @simonngaira6655
    @simonngaira6655 Před 6 lety +22

    Mondi, Vani na Richi, Zilipendwa imeweza Nairobi vbaya wasee. Twaikubali shughli yenu alumu manguli. Waache wawaige tuu.

  • @maryonyango8102
    @maryonyango8102 Před 26 dny +3

    2024 gonga like jamani❤❤

  • @emmanuelbentil3825
    @emmanuelbentil3825 Před rokem +4

    Fovrite good song am in Ghana 🇬🇭🇬🇭 but am really love this song

  • @julietkatakanya5524
    @julietkatakanya5524 Před 6 lety +58

    From USA 🇺🇸 Uganda 🇺🇬 I love you guys your very talented and handsome, you make Africa proud

  • @priyankanoves431
    @priyankanoves431 Před 6 lety +23

    Yaaan naipenda WCB kuliko hata ninavyompenda bwana angu aisee mmeuwa WCB 4 life kipusaaaa ni zilipendwaa

  • @Schofieldwashington
    @Schofieldwashington Před 2 lety +1

    Nmefika Tanzania 🇹🇿 na nikakumbuka Kuna hii vaibu✌️harmonize🔥🔥🔥

  • @emmanuelalade9433
    @emmanuelalade9433 Před rokem +4

    I guess I'm Diamond's top fan from West Africa (Ghana, to be precise)

  • @fareedijuma7067
    @fareedijuma7067 Před 6 lety +33

    nimenyoosha mikono juu wcb ni fire Bonge LA ngoma salute

  • @olivermwangombe2337
    @olivermwangombe2337 Před 6 lety +41

    who is here for 3M views by the end of today....................WCB from day one...keep it lock...Team.kikiba bado ndogo sana he he he he +254

  • @francispaul5806
    @francispaul5806 Před 3 měsíci +38

    Tupo wangapi humu? kama sipo peke yangu hebu gonga like hapa

  • @loise4467
    @loise4467 Před rokem +95

    2023 still on fire

  • @crjfamily5991
    @crjfamily5991 Před 6 lety +35

    Nani Anakubali kama iyi Wimbo itafikisha 10M in one week ❤️❤️❤️💯💯💯💯💯💯 WCB for life

    • @shedi_m2413
      @shedi_m2413 Před 6 lety +2

      mmi

    • @nuruali2057
      @nuruali2057 Před 6 lety +2

      Mimi🙋

    • @athumanikitambulio5544
      @athumanikitambulio5544 Před 6 lety

      Grace Ngoyi kwel kabxa

    • @anjunurdin2763
      @anjunurdin2763 Před 6 lety

      Grace Ngoyi WCB.mmeharibu ngoma yenu imevuja.mngesubiri kwanza hii ya Ali asingepata viwers hao.nyie ndio mmempa ushindi.hii imetokea kukuangausha wewe.walikua wanatafuta jinsi ya kukuangasha.imeonekana kama wewe mgomvi.why kiba katoa nawe utoe.unajifanga mjuaji.ndio maana.sikwangoma hii ya Ali kupata viewrs hao.unapenda sifa.kujifanya unahuruuma.unajaza watu46.wanini.haikusaidii chochote.utasaidia wangapi.uliowasaidia wanatosha.sasa basi fanya maisha yako.mwisho.nikufirisika.unaonekana mista misifa.lkn kweli siumeyaona

  • @hasmondbinladen6217
    @hasmondbinladen6217 Před 6 lety +37

    Wcb mkoapiiii,,,mbn mmeregeza kamba sasa,,,thkkshee tnaipta iyo kipusa cjui kipasu,,,naikbl team wasafi najua ttfnkshaa

  • @mdharamuddie8514
    @mdharamuddie8514 Před 2 lety +8

    Harmonize's part is the best for me. Both in singing and act...😅🤣😂
    I love all the artists for sure, don't get me wrong.

  • @jeanprinvil7449
    @jeanprinvil7449 Před rokem +6

    I'm from Haïti but I love this music

  • @preferencefeza9348
    @preferencefeza9348 Před 6 lety +61

    This man is new Michael Jackson from Africa I love this song into my bones congratulations guys we welcome you in United States of America.$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$

  • @enockgeraldgerald9490
    @enockgeraldgerald9490 Před 6 lety +29

    diamond kk una maaadui wengi had wanasiasa hvyo kuwa makin bhna .......wanaokuonea wivu n wengi sana we n mti wenye matunda hvy kila mtyu hukuchukia ww hata yesu alisalitiwa na walewale marafiki hvy kuwa makin

  • @klinsmannosei8378
    @klinsmannosei8378 Před 11 měsíci +6

    I don’t even understand the language but I always listen to it ….pls next time add subtitle in English ❤️🇬🇭🇬🇭🇬🇭

  • @nazymarthamusah5354
    @nazymarthamusah5354 Před rokem +1

    Enzi hizo zilipenda mond na wanewe this days 🤸God pananisha hawa watu

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 Před 6 lety +18

    Mmeua baba daaaah, jaman kuwa wasaf raaah bhna Tupeni rah bhnA, congratulation Team Mzima ya WCB am respct you.

  • @ndeyaa_
    @ndeyaa_ Před 6 lety +65

    I don't understand what they are saying but am a big fan of diamond.. nice song

  • @JAMORANT1207
    @JAMORANT1207 Před rokem +7

    Quelle sons!!!!!❤ Depuis la côte d'ivoire 🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮

  • @josephndogoto5896
    @josephndogoto5896 Před 2 lety +3

    Zilipendwa. I still watching for it from DRC 2022 🦁🐅🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇬❤

  • @toshafidele5881
    @toshafidele5881 Před 6 lety +40

    Mpe tano Mr diamond wasafi record ngoma mpya Hiyo zilipendwa 👍👍👍👍👍💛💛💛💛💃💃💃🙋🙋kata mwili dah! Mpe subscribe zake

  • @jammrungu561
    @jammrungu561 Před 6 lety +83

    Ukitoka Tanzania nchi nyingine ya Aman ni WCB,sijut kuish ndan WCB

  • @festusmugambi7317
    @festusmugambi7317 Před 8 měsíci +3

    Enjoying from planet Pluto👏👏👏

  • @MaryAdubea-ui8zu
    @MaryAdubea-ui8zu Před rokem +3

    my husband is Ghanaian but hardly listens to songs from Ghana. He loves Diamond, Rayvanny and nigerian artists more. Give a thumb up if you love this tune!!!!!

  • @princenaahjumalsina2687
    @princenaahjumalsina2687 Před 6 lety +136

    Ukizungumzia ushindani ktk mziki na mziki ni biashara hapa ndo jibu huja.. Napenda ushindani huu.. Yaani jiwe baada ya jiwe kubwa ni kuwa mashabiki wanapata kitu wanapenda.. I like it.. Seduce me ya Ally kiba ni kali kwa level zake na Zilipendwa ya WCB ni kali kwa level zake.. Sema naona vitu vya msingi sana katika biashara hii ya muziki.. Ni kuwa biashara inataka ubunifu wa hali ya juu sana.. Ndo kitu naona kinafanywa na hawa WCB.. Hakuna hata shabiki aliyetegemea kama watatoa nyimbo ya dizaini hii...#NAPENDA NINACHOKIONA#USHINDANI UWE WA KULETA MAFANIKIO NA POSITIVE IMPACTS NA SI MATUSI NA KUKUZA MATABAKA.. #WATU WAKESHE STUDIO USIKU KUCHA SISI TUBURUDIKE NA WAO WAINGIZE PESA... NA SI MATUSI..
    Shout out ot you Ali Kiba and WCB crew Keep grindin and keep moving guys....
    M OUT.......! +255762759........7

  • @mohamedsaid1187
    @mohamedsaid1187 Před 6 lety +42

    Mamamamayanguuuuu bonge moja yangoma Mimi team kiba ila kwahiii umeuwaaaaaaa kariiiisanaa

    • @issahassan4146
      @issahassan4146 Před 6 lety +1

      Mohamed Said ukweli ndo huo tuamie huku huku

  • @DianaNasimiyu-df2ht
    @DianaNasimiyu-df2ht Před měsícem +5

    You are a Kenyan and still watching the song in this year 2024
    Please don't pass without a like ❤❤

  • @Kgb6045
    @Kgb6045 Před rokem +17

    As diamond fans we need to see him with his boy harmonize again cause their collaboration is 🔥🔥ever and ever

  • @Yummycuisine269_230
    @Yummycuisine269_230 Před 2 lety +77

    I miss the Diamond Platnumz & Harmonize duo
    That was a strong duo😪

  • @nelsonalfayo2221
    @nelsonalfayo2221 Před 6 lety +50

    diamond don't loose hope watanzania wenu wanakuonea wivu. kina wema ni wivu hii song ni kali. huweziicompare na seduce me. uko juu . wale wenzako wanakuonea wivu lakini watu hapo chini wanakufeel zaidi. wakitaka waweke kura east africa uone vile utamwacha na gap. uko juu bwana

    • @kadimareuben3826
      @kadimareuben3826 Před 6 lety

      Waambie kaka

    • @ishimweaisha4032
      @ishimweaisha4032 Před 6 lety

      Nikkei😘😘😘😘😘

    • @ishimweaisha4032
      @ishimweaisha4032 Před 6 lety +1

      Nikweri wampiye huwo niwivu wadakupfa nawivu wajitibishe mapema mana hata wakiongeya nini hatokata tama kaka diamond songa bere were ni wasahhhhhaaaaaaffffiii ilket you music🎤🎼🎹🎶 so muche

    • @stellasangawe944
      @stellasangawe944 Před 6 lety +1

      True kabisa, nyimbo haichoshi hii

    • @boramimi5389
      @boramimi5389 Před 6 lety

      Nelbizzy music kweli wanamuonea wivu. Wanakumbuka walivyomnanga kumuita mswahili hajasoma, sasa katusua yamewashuka

  • @dahnkhanke3763
    @dahnkhanke3763 Před rokem +3

    Harmonize killed it💯🏹

  • @hutheinplat5881
    @hutheinplat5881 Před rokem +1

    Jamani wangapi tumemmis Rich mavoco wa WCB

  • @bongovibe1427
    @bongovibe1427 Před 6 lety +32

    WCB LABEL BIG UP 👊👊👊👊

  • @violetmaganda7164
    @violetmaganda7164 Před 3 lety +1382

    2021 any kenyan in the house

  • @shanganjenda8556
    @shanganjenda8556 Před rokem +1

    Im here for that shangani bag and shangani trouse😂😂😂😂😂😂😂
    ❤❤❤❤❤ Zimbabwe 🇿🇼

  • @kardon4996
    @kardon4996 Před 2 lety

    Na na east Africa knokin.......all Africa come Join join and enjoy !!!!!!!!!!
    # Africa is melody !!!!!💖💖💖

  • @cynthiakochie8020
    @cynthiakochie8020 Před 6 lety +36

    Simbaaaaa,dont understand what you saying but I love you guys#myeastafricanboys😍😘😅

    • @mussamasanja3406
      @mussamasanja3406 Před 6 lety +2

      simba mfalme tembo kubwa jinga

    • @noordinmussa3371
      @noordinmussa3371 Před 6 lety +5

      u dont understand what he sing...!!!!?..., i want to teach you swahili language

  • @AryanKhan-hx2ei
    @AryanKhan-hx2ei Před 6 lety +37

    ni kitu Paaap!
    nimewasomaaaa WCB mwaka huuu vipusa wafungasheeeee

    • @maggiepeter9254
      @maggiepeter9254 Před 6 lety +11

      😘😘😘 nimesom WCB vipusa endeleeni na tuvijimbo vyen vya sinderel freshiiii tuuuuu

    • @hazjay4671
      @hazjay4671 Před 6 lety +7

      Aryan Khan 4sure Vpusa Wajpange #RipSeduceMe!!

    • @hemedihamisi7170
      @hemedihamisi7170 Před 6 lety +3

      nimependa ubunifu

  • @user-ry2th6rf9d
    @user-ry2th6rf9d Před 2 měsíci +1

    Mavoko who took your stars⭐ we miss your song please but i love you❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 Před rokem +3

    I love this song sana.🇰🇪🇰🇪

  • @AHMEDALI-rm3oh
    @AHMEDALI-rm3oh Před 6 lety +99

    I love Tanzanian music & diamond platnumz from DJIBOUTI 🇩🇯

  • @rdcongoproduction8796
    @rdcongoproduction8796 Před 6 lety +33

    Diamond platnumz ulituwaidi utatowa ngoma ft wcb nzima naleo umetowa ahsante sana towa ngoma na wewe ngoma zako zote huaga zinapendwa nakukubali
    Sana tu**Diamond Diamond simba**

  • @ocenricky4860
    @ocenricky4860 Před rokem +8

    I really can't get enough of this song ❤️❤️❤️❤️❤️😭😭😭😭
    Too much love from your neighbor Uganda ❤️

  • @EricDudu-mt1xc
    @EricDudu-mt1xc Před 5 měsíci +1

    Diamond Platnumz's Empire...👌🦁🇹🇿

  • @washingtonleckiemilongo5501

    FROM 254 PLUS angusheni likes zenu humu ndani kama tupo pamoja na WCB FIGURES ,,,,mbossho kudadeki unayo vina mwana

    • @andrewnyambega5590
      @andrewnyambega5590 Před 6 lety +3

      pamoja sana. ....watoto wa simbA

    • @asiarage302
      @asiarage302 Před 6 lety +5

      simba hapo ulikaa chini ukabuni nyimbo huo ndio ubunifu saluti🤣 kweli zilipendwa duuuu!!

  • @georgekatwiga733
    @georgekatwiga733 Před 6 lety +27

    Nyimbooo Ya Mwaka Daaaaaadeq

  • @meddy-wi8qb
    @meddy-wi8qb Před rokem +1

    Now #61 on trending OMG after 4yr imagine hug my comment I will come back again 🔔🔔🔔

  • @beenhambe8474
    @beenhambe8474 Před 7 měsíci +11

    its october 2023 and the song still hits different❤❤❤❤the beats,the outfit,the lyrics❤❤soo amazing

  • @raychalkamunyu8958
    @raychalkamunyu8958 Před 5 lety +643

    Tanzania
    Kenya
    Uganda
    Rwanda
    Burundi
    Proudly east African....

    • @philipotuachientusikilizes5459
      @philipotuachientusikilizes5459 Před 5 lety +3

      wcb song

    • @geraldetta9002
      @geraldetta9002 Před 5 lety +4

      Love the beautiful rythm as far central africa

    • @fatumangoni317
      @fatumangoni317 Před 5 lety +11

      I am from Uganda but my accents with Kenyan is 💯% the same there’s no difference. But I do missed home so much looking forward in 2020 I’m so excited I just can’t wait 😊❤️🇺🇬🇰🇪

    • @xxxxbabe1424
      @xxxxbabe1424 Před 5 lety +8

      You forgot somalia hun

    • @heshima9
      @heshima9 Před 5 lety +8

      East Africa has pretty women na haturingi :-)

  • @revocatusrwakagera3742
    @revocatusrwakagera3742 Před 6 lety +22

    Sina cha kusema zaidi ya kusema WCB nawaelewa sana

  • @user-vd4cv9dy1m
    @user-vd4cv9dy1m Před 16 dny +11

    2024 mko wapi 🥰🥰

  • @rissaliz3417
    @rissaliz3417 Před rokem +2

    Pia uku zuwena yuko😂🥰🥰 naikubali namiss the old wasafi 🥺 ama zilipendwa😂😂😂🌹💗

  • @mtawatawatvonline8393
    @mtawatawatvonline8393 Před 6 lety +23

    niujinga sana kuona watu wanaichukia wcb hawa wanaume wanatafuta pesa

    • @pendohamisi5509
      @pendohamisi5509 Před 6 lety +6

      Ally Rajab ndio ni ujinga na watakuja kufa na ujinga wao tatizo Tz tupo hivi mtu akiwa chini wote wanampenda na kumpandisha ila akiwa juu wanatamani kumshusha ila hapa wamefeli

    • @faudhiasaid93
      @faudhiasaid93 Před 6 lety

      umeonaeeeeeeeee

    • @faudhiasaid93
      @faudhiasaid93 Před 6 lety +1

      umeonaeeeeeeeee

    • @paulpatrick1964
      @paulpatrick1964 Před 6 lety +3

      Jamani tuache utimu Zilipendwa ni nomaaaaaaaaa!! michezo ya kibabababa duuuu!! inaniuwa sana mwenzenu

    • @titussadick6393
      @titussadick6393 Před 6 lety

      Ally Rajab nomaaaaaa

  • @silverestor
    @silverestor Před 2 lety +179

    It's November 23. I just found this music video. I'm 64 year old white American who thinks Diamond is one of the greatest entertainers in the world today. I have no idea what they are singing, but I had a smile on my face from beginning to end.

    • @zaitunjumakeji4120
      @zaitunjumakeji4120 Před 2 lety +3

      Good on 👍👍

    • @theatd1052
      @theatd1052 Před 2 lety +1

      He is

    • @chepkoechkatam3664
      @chepkoechkatam3664 Před 2 lety +5

      Yeah he is, it's just a song listing lots of behaviors and acts that aren't admirable should be left in the past

    • @marykaheti5522
      @marykaheti5522 Před 2 lety +2

      Hi,i can do the translation if you dont mind.im from kenya

    • @marykaheti5522
      @marykaheti5522 Před 2 lety +2

      My husband is also Timothy but died on November7 last year

  • @masaimelody3792
    @masaimelody3792 Před 2 lety +1

    Aiseee atar sana jamani ila mbosso kaua na mwenzake harmonize 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dokaweisounkado2975
    @dokaweisounkado2975 Před rokem +1

    Na sasa nahisi nishie hapa kaka pole kwa majukumu na kazi nzito ulizo zifanya pia hongera kwakz nzuri

  • @pauliddi9317
    @pauliddi9317 Před 6 lety +75

    Sijawah kua team mondi ila this song z really nice .....naurudia rudia xaana

  • @kizzyngavatula9656
    @kizzyngavatula9656 Před 6 lety +47

    Mungu wangu mara ya kumi hoi naitazama

  • @cosmassimwa4750
    @cosmassimwa4750 Před rokem

    Every February 14th ,when they request for a flower,the answer should be simple,,,,ZILIPENDWA

  • @arseniolaissone241
    @arseniolaissone241 Před měsícem +1

    2024 music 🎵 ya wakubwa
    Congratulations

  • @reubenogonda6033
    @reubenogonda6033 Před 6 lety +23

    Greetings from 254, hii ngoma ni moto sana.. Ni kama finali ya Kombe la Dunia. I can't get enough of it.

  • @blessingsfredi4666
    @blessingsfredi4666 Před 3 lety +289

    Kama bado unaangalia hii ngoma 2021 ngonga like hapa tujuane

  • @babujuma
    @babujuma Před měsícem

    Always on my playlist. 2024 strong. Mpira Na Pele

  • @mosesm.s389
    @mosesm.s389 Před 4 měsíci +1

    I came to register my love for rhis song even thos year 2024....much love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @yusufhussein6990
    @yusufhussein6990 Před 6 lety +56

    uwa sijutii kuwa team WCB

  • @kubumaizer4411
    @kubumaizer4411 Před 6 lety +19

    Nna imani mungu atazidi kuwapa ubunifu zaidi Ili sisi mashabiki tuzidi kuongeza nguvu ya kunyanyua Chama letu WCB kwa mikono miwili Bila kinyongo hii iko moto

  • @justinesdicaprioh4312
    @justinesdicaprioh4312 Před 2 měsíci +1

    All the way from Zambia 🇿🇲 and I'm still vibing to this jam in 2024

  • @Wand_yaDee
    @Wand_yaDee Před rokem +2

    Rich Mavok nailed it🔥🔥

  • @antonfrumens1230
    @antonfrumens1230 Před 6 lety +50

    Aisee, WCB tupeni pozi pande ya pili jmn, mbona tumekubali kuwa nyie ni madoni wa Magu land, sema waandishi tu wanakuza, tunaomba poo Mondi. Penda sana WCB, ngoma kali mno

  • @rashidimkunjila8096
    @rashidimkunjila8096 Před 3 lety +233

    Kama umeiangalia hii 2021 gonga like basi👍

  • @bass-binsound9627
    @bass-binsound9627 Před 9 měsíci +3

    The very last artist understood the assignment 🙌🏻🔥💥

  • @ephraimofficialytb8833
    @ephraimofficialytb8833 Před 2 lety +97

    I just realized how much our music (Congolese music) has impacted everywhere in Africa 🥺❤🇨🇩🇹🇿

    • @jewajua-tv
      @jewajua-tv Před rokem +5

      Haa haa, Congolese music are also zilipendwa

    • @allenmaa7064
      @allenmaa7064 Před 7 měsíci +1

      We are the same people. You are saying how your music made your cousin happy, yet in the same home we were raised and we have have had the same joys, tears and happiness.

    • @AmonJoe
      @AmonJoe Před 6 měsíci

      ​​@@jewajua-tv😂the irony in ur comment. Only few will understand