Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Jaman hizi ndo spirital songs yaani mnajua kunifurahisha namwona subi ,Flomena,Daud mwangomba dah long sana
Pasina, shaka ninyimbo zakumwongoza mwanadamu Mbinguni Kwa Baba Mungu
Sina MENGI na MUNGU awapiganie KWA yote hizi nyimbo aaaaaa
Jamani New Jerusalem mbarikiwe sana Kwa utume mwema,ninafuatilia zaidi nyimbo zenu toka mwaka 2002 hadi Sasa mwavutia sana,
Ameeen kubwa 🙏🙏🙏❤🧏 nyimbo zamaneno makubwa ndo nyimbo izo zina tuponya roho namwili, apana za kileo zinatupeleka motoni directed
haleluyaa nimebarikiwa sana nmekumbuka zamani sanaaaa
Wow my uwata be blessed at all the time
Woow what a favorite song, I realy really love those songs , remains blessed
Toka Nipo darasa la tatu 1996 naimba hizi nyimbo baba yangu alinunua kanda na mpaka Leo zipo kyela. R.I.P mzee wangu
2022 ila bado upako mbichiii
Proudly African Mungu awabariki sana
asantee sana nyimbo za rohoni inanikumbusha mbali sana nasikia kubarikiwa nawaona ndugu wa zamani sana
I feel nostalgic when listening to this…..I used to listen to them nikiwa mdogo
Nimekumbuka mbali
Arrowed to heaven!
New yelusalemu uwata
Nyimbo zenu ni baraka tupu
Naipenda sana hii kwaya Mungu awabariki
Uwata mbeya
Poleni sana kwanyimbo zenu kwakweli ninzuri sana mungu awapokeye salama
Asante ndugu zangu mungu awabariki saana wapendwa. Toka Canada.
Mbalizi uwata
Bwana awabariki sana
Waoo very nice
Thomas Lokofe And Kalux KalongiAlbum: Nzambe Na Eliya Version CD Production: Glenn Music(Blacks Stars)Paris France 1994/95
Amen
mimi naitafuta album ya video yao ya kwanza iitwayo Pesa. mwenye nayo jamani msaada pls
Mimi ninawimbo mmoja wa alubam ya kwanza unaitwa Kamamaua
Uwata idumu milele
Amina
wakati huo una double decker auto reverse inapiga mpaka aaubuhi chezea ww
Ongera Sana uwata
mungu awbrk
Mungu awabarik
hizi ndio kwaya za injili,it is biblical,sio kwaya za leo
ukweli kabisa.
hongereni mlio simama nas tulio teleza mtuombee
Bwana awabaliki pale mulipo
Mungu awabariki nyote waimbaji ukifa hauna muda tena wakutubu kweli.

Thomas Lokofe And Kalux Kalongi
Album: Nzambe Na Eliya Version CD Production: Glenn Music(Blacks Stars)Paris France 1994/95