MUNGU HUWAINUA WANYONGE MAVUMBINI// IBADA TAKATIFU YA JUMAPILI TR 30.06.2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 06. 2024
  • IBADA TAKATIFU YA JUMAPILI YA TR 30.06.2024
    SOMO:- MUNGU HUWAINUA WANYONGE MAVUMBINI
    NENO:- Zaburi 113:5-7
    [5]Ni nani aliye mfano wa BWANA,
    Mungu wetu aketiye juu;
    [6]Anyenyekeaye kutazama,
    Mbinguni na duniani?
    [7]Humwinua mnyonge kutoka mavumbini,
    Na kumpandisha maskini kutoka jaani.
    Wahubili
    Kuhani Harrison Humphrey
    Kuhani Jastone Emmanuel
    Kuhani Milembe Bakalemwa
    Ibada imefanyika kusanyiko la Kayanga lililopo wilaya ya Karagwe Mkoa wa Kagera
    ©30.06.2024

Komentáře • 1