SNAKE BOY | ep 23 | SEASON TWO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 06. 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    people/CLAM-...
    #Clamvevo #Vevowood #Nollywood #Bongomuvi
  • Zábava

Komentáře • 3,4K

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx Před 10 dny +165

    Wewe unaye soma comment #hii usisahawu kuwa ombea #wagonjwa wote na wazima wote kwa mwenyezi #mungu ili atutimizie malengo yetu #AMINA🙏👏👏👏

  • @Joshuafrank.
    @Joshuafrank. Před 11 dny +205

    Wanao miss kumuona clam vevo akiwa ametoka kwenye cupa gonga like 😂

  • @IbrahimAthumani-yh8jt
    @IbrahimAthumani-yh8jt Před 10 dny +69

    Nice sana clam movie nzuri ujumbe pia na dakika km zote like zangu jmn sijachelewa from 🇹🇿

  • @MATOPESAFI46
    @MATOPESAFI46 Před 10 dny +30

    Movie nzuri sana Kongole Kwa Director Kakoso🎉👏💯💥✅

  • @user-fr4lj7jw9g
    @user-fr4lj7jw9g Před 11 dny +472

    Woza woza wenye walikua wanaisubiria hii snake boy kama mm wekeni likes hapa❤

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 Před 11 dny +317

    Mbona amupongezi mda dakika 50 ❤nyinyi mwaomba like tuu

  • @BarakaShirima-wz3sp
    @BarakaShirima-wz3sp Před 10 dny +29

    Yan mmetisha kila mahali dk kila kitu siwadai vevo mmetisha sana kaka kubali kinoma

    • @Bvmstudio1988
      @Bvmstudio1988 Před 7 dny

      czcams.com/video/okpO48T4VJs/video.htmlsi=I2PXI675DW02cBvv

  • @SadamuChipotele
    @SadamuChipotele Před 10 dny +11

    Wajomba mnachelewesha Sana miendelezo na sisi mashabki tunakaa na uchu wa mda mrefu muturekebishie kwa hilo🙏🙏

  • @user-rl4cf6tc5n
    @user-rl4cf6tc5n Před 11 dny +161

    mim najiulza hawa wanaoshinda kutwa wanaomba like wamefnya kazi gani mpk wapewe like badala ya kuwapongeza kw kazi nzuri wanayoifnya mpk unaenjoy kiukweli clamu vevo na kundi lako mnastahili tuzo kwa kazi kubwa mnazofnya japo mnachelewesha sana lkn leo mmenifurahisha sana mmetuwekea muendelezo dakika nyngi pongezi kwenu

  • @JohnBwija-xg5pf
    @JohnBwija-xg5pf Před 10 dny +17

    Clam vevo ni kiboko anajuwa sana

  • @vjonlinetv5264
    @vjonlinetv5264 Před 10 dny +12

    Jmn tumengoja paka tumekata tamaa, 😢, usiwe mnatuweka hvi tunaumia wenzenu, nipate hata like mbili kwa walioumia kama mm ♥

  • @HopeShirima
    @HopeShirima Před 11 dny +176

    Leo zinga kajua kunichekesha waliochekeshwa na zinga wagonge like apa

  • @Zezeta-yr3hy
    @Zezeta-yr3hy Před 11 dny +308

    Kama unawatch ukisoma comments nipee likes hapa 😂😂😂

  • @godblexxgyunda6060
    @godblexxgyunda6060 Před 9 dny +8

    Zumba mshenzi sana amekula mke wa kakoso Bado anamtaka na kakoso 😀😀

  • @frankditrick3109
    @frankditrick3109 Před 10 dny +17

    Ndy naona saiz naombe like hata 5 tuu wakuu

  • @AyubuSamwel
    @AyubuSamwel Před 11 dny +98

    Jamani ndugu zangu Mimi tangu snake boy sijawahi pata like ata 1 wa mwisho Kila siku naombeni ata 9🙏🙏🙏

  • @SaynB_official
    @SaynB_official Před 11 dny +531

    Wakwanza leo team snake boy tunakiwasha like zangu 🎉😂😂

  • @FRANCISOTOMANBONIFACE
    @FRANCISOTOMANBONIFACE Před 10 dny +44

    Duuu sio poa zumba kavumilia kashindwa kaamua kuomba mzigo kwa kakoso😂😂😂😂😂

  • @SaidiIddy
    @SaidiIddy Před 10 dny +6

    Aiseee hii snake boY ya moto vibaya mno

  • @barakajoackim-xu3hi
    @barakajoackim-xu3hi Před 11 dny +121

    Director wetu jmn amesema hapendi et mm wa kwanza naomba like toeni maoni kwa waigizaji hizi like mnauza au mnazifanyeje kiukweli hata mm nawachukia hawa watu

  • @annaki318
    @annaki318 Před 11 dny +28

    Tuliokua tumeimis snake boy jamani tujuaneee kwa vifijo na ndelemooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @Deadskytz
    @Deadskytz Před 9 dny +4

    Mwisho wa yote Zumba man of the match 😂😂

  • @user-xf4qs5ti5m
    @user-xf4qs5ti5m Před 10 dny +12

    Mnachelewesha kinoma shusha vichupa kwa haraka master clam vevo

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk Před 11 dny +86

    Wanao amini kua zinga taira naombeni like zangu 😂😂😂😂😂😂

  • @Phanny-Nyonge
    @Phanny-Nyonge Před 11 dny +79

    Wanaume hua hawaombi like jamani😊😊 Haiya nipeni zangu my good people

  • @brnmazua4399
    @brnmazua4399 Před 10 dny +6

    😂😂😂😂 Kakoso Kaombwa Mzigo . Kweli maisha yanaenda kasi 😅

  • @user-xl2fc4fu6e
    @user-xl2fc4fu6e Před 10 dny +6

    Big up clam Vevo muda wa kutosha sana jamaa nibongela kiongozi .kakoso we ni mwamba big up mkuu kazi nzuri sana.

  • @nurdinmvellah4032
    @nurdinmvellah4032 Před 11 dny +12

    Nimependa kwa kfidia siku nyingi mnazo chlewa kutoa, iwe hivo kila cku. Nimewapenda bureeee

  • @nzizajovinpaul4955
    @nzizajovinpaul4955 Před 11 dny +13

    Kakoso mwana Mke ana igiza vizuri ❤❤❤

  • @frankJonas-du5he
    @frankJonas-du5he Před 10 dny +4

    Leo ndo nimeikubali movie mojakwamoja clam we atali Leo shabik Ako namba one❤🎉🎉

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Před 10 dny +6

    Kwa sasa Tanzania kwenye tasnia ya sanaa ya maigizo hakuna kama Clam

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 Před 11 dny +35

    Watching from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
    🇲🇿❤️🇹🇿
    Kama umefurahi baada ya kuona notification gonga like hapa

  • @msouthdablack
    @msouthdablack Před 11 dny +17

    Hiv ndio move inatakiwa ,, sio dk 15 imeishaaa ,,, km umefrahia dk 50 gonga like hapa km mim ,, twende sawa ,, all the way from Czech Republic

  • @AsiaOmar-mr7bk
    @AsiaOmar-mr7bk Před 11 dny +13

    Kz mzr mashallah mungu awajaalie maisha marefu muzidi kutufurahisha mwatutoa mawazo

  • @AdamClassic-uj9ed
    @AdamClassic-uj9ed Před 10 dny +5

    Duu😂😂😂Mwamba Anataka Kumpelekea Moto Hadi Kakoso😂😂😂😂

  • @WitneyEdward
    @WitneyEdward Před 9 dny +2

    Jaman mkiendelea hivi mtafika mbali aisee move ipo serious kiukwel natamani iwe inatoka kila siku ongereni sana aiseeere❤❤

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc Před 11 dny +29

    Sasa hivi mpo vizul sana mnachelewa lakin vipande vilefu

  • @ladyjoomahegga9407
    @ladyjoomahegga9407 Před 11 dny +49

    Nimependa sana clam sio mbinafsi yani km watu wengine apo wangejichezesha wao mwanzo mpaka mwisho ila kijana wa watu kajipa nafasi chache na kutoa mwanga kwa wengine saf sana

  • @MichelfmiMichael
    @MichelfmiMichael Před 10 dny +2

    Kazi nzuri Vevo iyi tumekuwa n'a muda Mazuri yakuifyata... Fanya kazi tena kama iyiii

  • @saidishwali1652
    @saidishwali1652 Před 10 dny +5

    Daaaaah so good...but iwe chap maan had tunahic hakuna tena.. so beautiful
    Big up mwamb clam@😎

  • @amissemkanapate8249
    @amissemkanapate8249 Před 11 dny +31

    Hongeren sana Leo dakika za kutosha mungu awatilieni wepes kwa kila jambo lá kher mlifanyalo

  • @UmmyHussein
    @UmmyHussein Před 11 dny +41

    Asante mungu kwa kumpa kipaji kijan uyu

  • @meresianaunami8337
    @meresianaunami8337 Před 10 dny +13

    😂😂swali la zumba huku mwishon limenifanya ni comment hongera snaa vevo👌🤸‍♂️

    • @luluelia-yo2rg
      @luluelia-yo2rg Před 10 dny +2

      Yani zumba akili haipo Sawa kabisa 😂😂😂

  • @KapoloAsed
    @KapoloAsed Před 3 dny +1

    Kwn ajenda kuu kuomba like au kumpongeza clam na kund lake

  • @EliasSirocha
    @EliasSirocha Před 11 dny +14

    Ngoma tamu sana sema tu wanaichelewesha haswa mapaka mudu inakataaa hakikaaa

  • @MwanamisiBakari-xh3jo
    @MwanamisiBakari-xh3jo Před 11 dny +17

    Mnakawia sana kupost mpaka tunasahau ilipoishia ila sio mbaya hongera kwa kazi nzuri

  • @MusaJohn-cz4id
    @MusaJohn-cz4id Před 10 dny +3

    Mnaichelewesha sana, ⁰movie kali zingatieni muda wa kuitoa

  • @BobNahimana-bn7qp
    @BobNahimana-bn7qp Před 11 dny +16

    Ulikuwa umeshatusau kijana wetu il honger sana kaka🎉upewe maua yako kaka

  • @frowinmgimba8513
    @frowinmgimba8513 Před 11 dny +10

    Zinga nyii mapimbi ingien ndani choma ndani we huogopi mamaaaah😂😂

  • @lukasmaro4280
    @lukasmaro4280 Před 10 dny +2

    Kilaa mara nilikuwa naingia kunitafuta boy snek nimeipata dk50 kipindi cha kwanza mpira unachezea na nyongeza yake🎉🎉🎉🎉

  • @ShukurubalumeShug-jx7fp
    @ShukurubalumeShug-jx7fp Před 2 dny +1

    Clam sijuwi niseme kama mungu akupe Nini tena,

  • @nasraemmanuel
    @nasraemmanuel Před 11 dny +14

    Nimeangalia hadi mwisho kazi nzuri sana vevo na team yote kila siku inazidi kuwa nzuri sana tunashukru kwa kutuongezea mda ila msitucheleweshee ep 24 plz

  • @user-bl5pl1xg1m
    @user-bl5pl1xg1m Před 11 dny +18

    Ninakubali clam vevo sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @sabrinahWilliam
    @sabrinahWilliam Před 5 dny +1

    🤣🤣🤣🙌Farasi Farasi nimecheka kwa sauti kim.kuona naona kabisa Utamu wa snake boy unazidi🥰💯

  • @NancyNomantiah
    @NancyNomantiah Před 10 dny +2

    Zinga wameshindwa kutoroko iyo ndo maana ya ,u will see the promised land but u will not enter😂

  • @Chudo_boy_Zombie
    @Chudo_boy_Zombie Před 11 dny +73

    Wakwanz mimi leo nawaomba like za clam vevo zote ziwekwe hapa. kwa niaba ya vevo 💪💪💪

  • @kombosefu8726
    @kombosefu8726 Před 11 dny +123

    Yaani mnashindwa kusema nini kiongezeke ama nini watoe m adai like like like kila mtu like kheee SIJAPENDA

    • @LightMinja
      @LightMinja Před 11 dny +5

      Shangaaa n ww km watoto kuomba likes

    • @EmmyMo
      @EmmyMo Před 11 dny +4

      Yanakela sana😂😂😂

    • @bobelichi7721
      @bobelichi7721 Před 11 dny +4

      Tell Dem.... everyone like like like 😂😂😂😂😂 deeeeem

    • @mapenzi4813
      @mapenzi4813 Před 11 dny +3

      😂😂😂😂twaijua hiyo

    • @zenapius3796
      @zenapius3796 Před 11 dny +1

      Yan ata sijui inawasaidia nn izo like😅

  • @simooyusuf5729
    @simooyusuf5729 Před 10 dny +3

    Safi sana bt inakaa mnapitia changamoto sana ju ilikaa sana hii 23

  • @Flixmediatz
    @Flixmediatz Před 10 dny +13

    Hii ndio kazi ya muandishi na sanaa "AMEUMBA DUNIA AMBAYO HAKIKA HAIHITAJI UOVU HASA WA KUTOA MIMBA"

  • @VeronicaMacario-bq4eb
    @VeronicaMacario-bq4eb Před 11 dny +10

    Wakwanza leo, naomba like zangu, toka mozambique 🇲🇿❤️

  • @johannesnyabara2527
    @johannesnyabara2527 Před 11 dny +8

    Bonge moja la series, Mungu awabariki kwa kazi nzuri jmn kwa kweli tunaburudika haswa

  • @fumoke3705
    @fumoke3705 Před 10 dny +2

    ila battle mbna sio kali ilifaa baba zinga na faume waonyeshane kwanza sio kirahisi vile mzee anaweza

  • @annaki318
    @annaki318 Před 11 dny +8

    Ni mwendo wa laana tuuuu
    kumbe zinga nae anaogopa radi duuuuuh hii imeenda😂😂😂😂

  • @user-td4le3xf7h
    @user-td4le3xf7h Před 11 dny +13

    Kwasasa bongo clam the namba 1 hata ubishe nando ukweri nazani sio bongo tu hadi huko nje ni namba 1

  • @Shakilasaid-zr7on
    @Shakilasaid-zr7on Před 10 dny +3

    npo apa nawaza hizo laana nd ingekuw kwel kun ambae angebak😀😀

  • @CareenNgowi-uc3vc
    @CareenNgowi-uc3vc Před 6 dny +1

    Najua kuigiza kakoso nipo jumba lakichawi nipo sehem nying nying tuu srma mme tisha mnajua pongez sana

  • @dominamabebe6691
    @dominamabebe6691 Před 11 dny +9

    Hongereni sana kwa kazi nzuri, mna haki ya kuchelewesha mzigo make maandalizi ni makubwa sana aisee kama uhalisia kabisa

  • @user-uq7xz3py5h
    @user-uq7xz3py5h Před 11 dny +8

    Team vevo gonga likeNime kuwa wa kwanza Leo naomba like zangu 🇺🇸❤️❤️❤️

    • @LatifaOkt
      @LatifaOkt Před 11 dny +1

      🇺🇲🇺🇲❤️❤️❤️

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu Před 8 dny +1

    Mwenye amefurahia kuskia Kim anaweza kuona alafu kwa kuongezewa dakika gonga like 👍👍👍

  • @cwrynyaba9125
    @cwrynyaba9125 Před 10 dny +1

    Kazi nzur sana clam na team yako…ila unachelewaaa sana kutoa mpaka nasahau nilipoishia usitufanyie hivyo tafadhali 🙏🙏🙏🙏 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿❤️TUNASHUKURU KWA KUTUONGEZEA DAKIKA 🎉👏👏

  • @paternesonofgod
    @paternesonofgod Před 11 dny +12

    Who's watching it on 45min fan of Clam VEVO❤🇧🇮❤🇧🇮

  • @Akili820
    @Akili820 Před 11 dny +70

    Kutoka congo timu clam nipeni like zangu 🇨🇩🇨🇩

  • @user-wg7hb8yr5n
    @user-wg7hb8yr5n Před 4 dny +1

    Wanao penda woha wa mwakatone wagonge like apa😂😂😂😂

  • @IsihakaKakombe
    @IsihakaKakombe Před 10 dny +1

    Nyie wasenge msituzingue kila wakwanza yy sasa anayetaka like akachukue kwa mama ake kumamae zenu wote mnaotaka like

  • @anner8120
    @anner8120 Před 11 dny +6

    Nilikua nakesha uku kuangalia kama imetoka ila Leo tumefurahi sanaa❤❤❤❤❤

  • @user-uw6gg4de9x
    @user-uw6gg4de9x Před 11 dny +7

    Wale ambao tuliweka mb Kila siku tukizubiria hii kitu makofi kwetu😂😂😂😂😂

  • @NakhamSalum
    @NakhamSalum Před 10 dny +3

    Kaz nzuri 💯

  • @user-pb2jx5zm3k.MBUZIII

    SNAKEBOY ya BONGO forexample in NEGERIA very nice Mwandishi CLAMU VEVO MAUA YAKO

  • @Yangadamu
    @Yangadamu Před 11 dny +11

    Mnachelewa sana ila sio mbaya mnatuwekea dk nyingi ,mbarikiwe sana kwa kazi nzuri

  • @CHIZIMWEMBAMBA
    @CHIZIMWEMBAMBA Před 11 dny +7

    Yes umefanya vzr kuachia ngoma thank you

  • @DezdeliusSongoro
    @DezdeliusSongoro Před 7 dny +1

    Dah kakoso imekuadje Tena Zumba anataka uwe mama wa watoto wake dah inauma sana

  • @ReineMtoka-oi5ub
    @ReineMtoka-oi5ub Před 9 dny +2

    Wakwaza Leo kulaiki zawadi zangu ❤

  • @AnnoyedCheese-qg6is
    @AnnoyedCheese-qg6is Před 11 dny +25

    Ooh tim clam gonga like hapa kazi nzuri sana

  • @user-ec4xg1mh2w
    @user-ec4xg1mh2w Před 11 dny +6

    Nakubali kazi ya clam vevo nime ipenda sana

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm Před 10 dny +7

    Kim will finally bring the bottle can't wait to watch episode 24

  • @user-es8tc9be7w
    @user-es8tc9be7w Před 10 dny +2

    Pole kakoso unakutana namengi sana hta swahiba wako wa dam dah... Afa anakwambia kbsa kakoso nakupenda jamaniiii😂

  • @user-xx7rr5dl9o
    @user-xx7rr5dl9o Před 11 dny +7

    Dah clam kakoso tunaganda sana hongereni Sana mda mzur sana

  • @furahakenga6619
    @furahakenga6619 Před 11 dny +67

    Kama ulikua waisubiria kwa hamu kama mm gonga like 👍

  • @Lucky_japhet
    @Lucky_japhet Před 9 dny +1

    Nimekua wa mia tatu kwaio naomb like at mia tatu bs

  • @gonnetheboss1708
    @gonnetheboss1708 Před 10 dny +1

    Clam na director naona mnavyo ipaisha tz sasa kaz ijayo tunaomba story isiokua na uchawi uku mtupumzishe kidogo alafu ata mm natamani kua muigizaji kwenye kampuni yenu❤

  • @liverobby8988
    @liverobby8988 Před 11 dny +12

    Hamna anayemjua wa kwanza zaidi ya clam watu 10 wote ndani ya sekunde mliplay 😅

  • @merumkali
    @merumkali Před 11 dny +44

    Clam we like Yr job but hiii imalize ilii tuendelee na BIG BOSS Seson2
    I'm merumkali from Burundi 🇧🇮
    Wanaotaka tuendelee na Big boss
    Nipeni like guys

  • @user-cv6uy5vr8d
    @user-cv6uy5vr8d Před 7 dny

    Muombe sana mungu akupe uzima na nguvu kila siku uweze kuisaidia family

  • @jonathanbrayson6946
    @jonathanbrayson6946 Před 11 dny +7

    Safi Sana Leo imetoka ndefu dk 50 chezea clam vevo wewe

  • @StyveIrunva
    @StyveIrunva Před 11 dny +23

    Wa kwanza kutoka congo naomba like zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MohamedBatisha-jk1lt
    @MohamedBatisha-jk1lt Před 10 dny +1

    Hongereni Sana muwe mnatupa dakika nyingi Kama hivi mkiwa mnafanya hivi tunapata hamu ya kuisubir Zaid na kuhamasika

  • @AbdulHella-v8b
    @AbdulHella-v8b Před dnem

    Movie n nzuri sana hongera sana clam vevo ila ningependa kushauri kitu ili kiwe bora zaid naomba muangalie upande wa mavazi ya viongoz na baina ya himaya na himaya na wananchi himaya na himaya pamoja na mazingira kiujumla hilo tu

  • @user-wp9ph9zs3w
    @user-wp9ph9zs3w Před 11 dny +5

    Jaman wa sumbawanga nipen like ❤ zangu👍

  • @fatumangumbao-or1ly
    @fatumangumbao-or1ly Před 11 dny +4

    Chaupele sasa ameianza kazi kem naye mambo mbaya khee kazi nzuri sana❤❤❤❤

  • @ddontz
    @ddontz Před 10 dny +1

    Io ya mwisho imekaa 😅😅ooohoooo ooooo