Dr. Aleya - Sababu za Mtoto kuchelewa kuongea na kutembea

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 10. 2023

Komentáře • 6

  • @AbedyAhungu
    @AbedyAhungu Před 11 dny +1

    Elimu ni nzuri ila lugha

  • @JacklineMayumba
    @JacklineMayumba Před 2 měsíci +2

    NINA MTOTO WA MIAKA 2 BADO HAJAANZA KUONGEA ILA KUSIKIA ANASIKIA, JE TIBA NI NINI

  • @JacklineMayumba
    @JacklineMayumba Před 2 měsíci +1

    NAOMBA KUULIZA, KWANI UMRI WA MTOTO KUANZA KUONGEA NI UPI

    • @jiongezepodcast
      @jiongezepodcast  Před 2 měsíci

      Swali zuri. Kila mtoto huwa tofauti. Mara nyingi kama ni mtoto wa kwanza kawaida huchelewa kuongea ijapokuwa atakuwa ana sikia lakini kutokuongea kwake mapema inaweza kusababishwa na watu walio mzunguka. Mfano: kama yupo around watu wazima mda mwingi badi hiyo inaweza kuwa pia ina changia.
      Kumbuka watu wazima wanaongea haraka lakini watoto wakiwa around watoto wenzao kuna jinsi wanaongea.
      Ila pia kuna mambo mengine ya kiafya yanaweza pia kuchangia kama mtoto ana tatizo la kitu kinaitwa "speech delay" ambayo inaweza kusababishwa na vitu vingi ikiwa ulimi, mdomo ulivyo jengeka, na uharaka wa ubongo wamtoto unavyo weza kupokea sauti za maneno yanayo zungumzwa halafu na uharaka wa kuya process (yani kuya unga na ku-fom, idea ambayo ina geuka kuwa hili neno lina maanisha hichi, then uharaka pia wa ubongo kutuma meseji kwamba jibu hivi ama ongea neno hili).
      Hii yote ni process ya sekunde lakini ndo hivyo mambo huwa.
      Ili kukutoa woga, mtoto wangu mimi wa kwanza alianza kuongea na miaka mtatu/nne baada ya lumpeleka shule ya watoto (day care). Yaani nili shangaa gafla kwamaana aliongea ndani ya siku mbili. Lakini hatukumpeleka day care ili alaongee bali ili apate marafiki wa kucheza nae kwasababu mda wote alikuwa around watu wazima.
      Ushauri wangu ni jaribu kumweka around watoto wengine wa umri wake ama wakubwa kidogo. Halafu mwangalie. Mtoto mwenye matatizo utamgundua.
      Na kama huoni maendeleo yoyote basi nenda kamwone docta wa watoto ili wamcheki kama kuna tatizo lolote.

  • @vijulikarsan
    @vijulikarsan Před měsícem +1

    Naomba kujua Kama mtoto mwenye
    ADHD kuna dawa anaweza kupewa dawa gani atulie

    • @jiongezepodcast
      @jiongezepodcast  Před měsícem

      Zipo dawa ambazo anaweza kunywa ili kumsaidia kutulia lakini ni lazima kwanza umuone dactari ili amuchunguze kwanza mtoto ndo akuandikie hizo dawa. Si, dawa zinazo uzwa tu Pharmacy kwamaana hizo dawa zinatambulika kama "vilevi" na zina madhara makubwa kama hauja ongea na docta kwanza na kupata ushauri wa jinsi za kuzitumia haswa kwa watoto na hata watu wazima pia.