MZEE WA GIZA_EP04

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 08. 2023
  • #mzeelikoma #kpnazebuu #mzeewagiza

Komentáře • 341

  • @xvany_tz2837
    @xvany_tz2837  Před 10 měsíci +58

    KUMEIBUKA NA CHANNEL NYINGI ZA UONGO ZINAZOTUMIA TITLE,COVER NA MAUDHUI YA SERIES YA "MZEE WA GIZA"NAPENDA KUWATAHADHARISHA KUWA HIZO CHANNEL HATUZITAMBUI ,EPUKENI NA WALAGAI WA MTANDAONI ,SERIES YA MZEE WA GIZA INAPOSTIWA KATIKA CHANNEL HII PEKEE CHA KUFANYA SUBSCRIBE & UFUNGUE NOTIFICATION ILI UWE WA KWANZA KUITAZAMA NA KUEPUKA USUMBUFU WA AINA YEYOTE 🙏

    • @zuhura.suleimanmwamwari3083
      @zuhura.suleimanmwamwari3083 Před 10 měsíci +2

      It okey

    • @jthedjmusicngudukwimbatv7707
      @jthedjmusicngudukwimbatv7707 Před 10 měsíci +3

      Na wanakela mbwa hao Kama wanavipaji si watumie majina yao halali wanakela bhana nyooooooooo.

    • @nurusaid4698
      @nurusaid4698 Před 10 měsíci +2

      Usijali Kijana Mzee Wetu Tutakuwa Maakini Sana Juu Yenuuu Bila Yyi Nasi Cjui Tungetolea Wapi Sitirex Za Waarabu Nawapenda Sana Yote Pamoja Na Kikosi Chako

    • @GloriaNduku-mw2jk
      @GloriaNduku-mw2jk Před 10 měsíci +2

      Lakini hapo kwa hio cake ulijiweza mzee likoma 🤣 🤣 🤣

    • @siayako4836
      @siayako4836 Před 10 měsíci +1

      Hiyo kwaya uliyopiga hapo kusema kweli sijapenfa😅

  • @kosahingiibrahim7904
    @kosahingiibrahim7904 Před 10 měsíci +19

    wanaomkubali mzeeee LIKOMA likes zanguuuuu 3:23

  • @neemapatrick6481
    @neemapatrick6481 Před 10 měsíci +47

    Jamani like zangu wapi mzee likoma huku kimemkuta

  • @isaiebizimana8935
    @isaiebizimana8935 Před 10 měsíci +14

    Warundi tujuwane❤❤like ziwekwe apa.ongeleni sana team kp❤❤

    • @UwiManaRose-xb4go
      @UwiManaRose-xb4go Před 9 měsíci

      Tuko Hapa n'a mimi murundi nai❤sana team yot mungu awabalik sana wanatuchksh

  • @nzoyikoreraanitha6789
    @nzoyikoreraanitha6789 Před 10 měsíci +16

    Mzee likoma nakupenda bure mungu akuongezee nguvu zakuchekesha

  • @HildarAwinjar
    @HildarAwinjar Před 10 měsíci +10

    Wa kwanza from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 likes zikam Kenyans tukam uku

  • @user-li4hb1bd7l
    @user-li4hb1bd7l Před 10 měsíci +6

    Penda xana nyie naweka bando nifurah mzee likoma ananipa furaha xn❤❤😢😢😢😅😅😅 naenjoy zebuu chukua maua yko🎉 4 xure nawapongeza xn

  • @joycesamwely7896
    @joycesamwely7896 Před 10 měsíci +17

    Mzee likoma mungu anakuhukum anataka ujirudi uwe na moyo wa kibinadam

  • @user-ex7tm7nb7z
    @user-ex7tm7nb7z Před 10 měsíci +19

    😂😂😂😂 mzee likoma 😂😂wahenga walisema mchimba kisima huingia mwenyewe 😂😂😂

  • @chitabenson2897
    @chitabenson2897 Před 10 měsíci +14

    Kenya 🇰🇪 represented ❤❤❤❤❤much love

  • @sakinanekesa9060
    @sakinanekesa9060 Před 10 měsíci +9

    Mimi Leo Dio wakwanza naomba like Kwa KP nawapenda kutoka Kenya

  • @aullah257
    @aullah257 Před 10 měsíci +7

    Wakwanza nipen like from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @claudineuwizeye871
    @claudineuwizeye871 Před 10 měsíci +11

    Choo kimepata mgeni😂😂😂😂 love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💟

  • @user-su9hn7ke5c
    @user-su9hn7ke5c Před 10 měsíci +12

    😂😂😂Ila mzee likoma wewe Aya bwana,mwanakulitafuta mwnakulipata

  • @jfhdh7794
    @jfhdh7794 Před 10 měsíci +9

    Mzee likoma kimekuramba kweli 🤣🤣🤣🤣🤣 nawatazama kutoka kenya 🇰🇪

  • @lydiawaweru6391
    @lydiawaweru6391 Před 10 měsíci +2

    Kazi nzuri sna Mzee likoma utakoma

  • @sharifa.99omari-re4np
    @sharifa.99omari-re4np Před 9 měsíci +2

    😂😂😂😂😂 uwiiiih jamani mzee likoma huku🤣🤣🤣❤❤ from Oman Muscat

  • @AishaAisha-lh8vh
    @AishaAisha-lh8vh Před 10 měsíci +3

    Jamani muzee rikoma ananichekesha nibasi tou😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nipeni rike zangu😂❤❤

  • @gaf9874
    @gaf9874 Před 7 měsíci +2

    mzeee likoma😂😂😂😂jamani wahenga walisema mchimba kisima huingia mwenyewee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @stanleyosward3440
    @stanleyosward3440 Před 10 měsíci +11

    Much love zebuu you're good actor 🥳

  • @Marimu-if2zk
    @Marimu-if2zk Před 10 měsíci +38

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimecheka mpaka BC Mzee likoma kimekuramba mpka walala karibu na choo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 penda sana nyinyi like munipe

  • @agnessshole
    @agnessshole Před 10 měsíci +5

    Kumbe hadi wachawi wananawaga ndo wale Diboziiiiiiii.,,,,,,😊

  • @florencemalingu2076
    @florencemalingu2076 Před 10 měsíci +9

    Nikweli kabisa watu wa roho mbaya wanatakina hivo

  • @mgdleenknzo9297
    @mgdleenknzo9297 Před 8 měsíci +2

    Haki nyinyi munatuuwa na huyu mzee wenu kwani alikua wapi tangu hapo haki bro ❤❤ unajua kuigiza hii part ya uzee😂😂😂😂

  • @hawedama-ru3uw
    @hawedama-ru3uw Před 10 měsíci +2

    Mzee lipoma uu imekuwaje kwani?!.... wacha weee nakuona unapiga vinanda 😂😂😂😂😂😂😂

  • @MwanaidiRulimbiye-uf1mr
    @MwanaidiRulimbiye-uf1mr Před 10 měsíci +3

    Dibozi na likoma aise bila nyinyi hapanogi hahahahaha

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo Před 10 měsíci +2

    Heeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂😂,Yani mzee likoma unanichekesha mpaka mbavu zangu zipasuke!!nampenda sana Zebuu

  • @Evarlne-gz8ou
    @Evarlne-gz8ou Před 10 měsíci +6

    Mzee likoma umejichibiya kaburi mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg Před měsícem +1

    Yani Mzee Likoma umenifurahisha kwenye épisode hii hadi basi 😀😀kiufupi Kimekuramba Likoma😀,Pia usicho kipenda wew kwa mungine usimfanyie.

  • @dhahabukalama2635
    @dhahabukalama2635 Před 10 měsíci +3

    😂😂😂😂😂😂😂nimecheka paka basi ❤❤❤❤❤❤❤❤mzeee likoma wewe utatuuwa kwa kicheko

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Před 10 měsíci +4

    Mpewa Sumu Akufa Mpishi Yukaburini Ndio Wwe Ssa Mzee Likoma Aya Kusanya Virago Na Mapema😂😂😂😂😂😂

  • @Lunesavage-vu8yv
    @Lunesavage-vu8yv Před 9 měsíci +1

    😄nimeipenda iyo😍baba kulaaa😆

  • @YoshuaNdaje-lc9hg
    @YoshuaNdaje-lc9hg Před 10 měsíci +2

    Umetisha sana mzelikoma nimekuku bali

  • @monyaichimakuri537
    @monyaichimakuri537 Před 5 měsíci +1

    Mzee likoma umejuloga mwenyewe unataka kuloga mke wamtoto kajikota jiloga

  • @user-lb2en5zt1c
    @user-lb2en5zt1c Před 10 měsíci +1

    Jamani nimeisubiaa kwa hamuuuuuu mzee likomaa😅😅😅😅😅😅

  • @Amal-iq1wg
    @Amal-iq1wg Před 10 měsíci +3

    Nimechekaa mpkaa nikajikojoleaa juu ya mzee likomaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @monyaichimakuri537
    @monyaichimakuri537 Před 5 měsíci +1

    Utajinyia mzee likoma

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 Před 10 měsíci +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂waaah mtaniuwa na kicheko,mzee ligoma welcome kwa unyambo 😂😂😂😂😂😂,kimekuramba ww mwenyewe 😂😂😂😂😂😂

  • @user-ce8vg6iz3i
    @user-ce8vg6iz3i Před 10 měsíci +3

    Mzee likoma kaz unayoo❤❤😂😂😂

  • @FezaHamissi
    @FezaHamissi Před 10 měsíci +2

    Nakukubali san mzee likoma 🥰🤣🤣🤣🤣🤣

  • @juliahmwaka7184
    @juliahmwaka7184 Před 10 měsíci +2

    ❤❤❤mzee likoma kimekuramba 😅😂😂😂

  • @JuristeBradock
    @JuristeBradock Před 2 měsíci +1

    vizuri sana likoma

  • @estaphone
    @estaphone Před 10 měsíci +2

    Nipe like za likoma 😂😂😂 Hadi nasikia harufu ya mshuto

  • @MwanaaMmbanga-ks9qj
    @MwanaaMmbanga-ks9qj Před 10 měsíci +1

    Mzeee ligoma zambi zakuuuwa wew

  • @user-bm5ns9qq4f
    @user-bm5ns9qq4f Před 10 měsíci +1

    😂😂😂nyie jamaa mnaweza weza sana big up

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 Před 10 měsíci +4

    Mzeeee likoma umeupoza😂😂😂😂😂😂😂😂😂 imeisha hio

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Před 10 měsíci +2

    😂😂😂😂😂 nimecheka leo 😂😂😂😂

  • @Mariammashaury-cl5uz
    @Mariammashaury-cl5uz Před 9 měsíci

    Mzee likona nakukubali Sana kakaangu usikate tamaa hata akina kanumba walianza hv kaza Buti kaka

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 Před 10 měsíci +3

    😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤ happy birthday to mzee likomwe

  • @user-fj1gm2ik6n
    @user-fj1gm2ik6n Před 10 měsíci +1

    Mzee likoma nona unahama na maandazi.

  • @ChristianRugenge-kd1xh
    @ChristianRugenge-kd1xh Před 10 měsíci +6

    Like kwa likoma kama una mukubali 👉👉👉👉

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Před 8 měsíci +1

    Happy birthday kwa mzee Likoma 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂 patamu hapo

  • @user-hd8by8vd1g
    @user-hd8by8vd1g Před měsícem

    Naenda sana move ya kp na zebu❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @terrymuriithi-vd8zt
    @terrymuriithi-vd8zt Před 10 měsíci +3

    Mwimba akujindinga huo mzee likoma😂😂😂😂

  • @Bahati-sx3cd
    @Bahati-sx3cd Před 9 měsíci +1

    Wallah mzee likoma 😂😂😂😂😂😂

  • @raphaelnkwabi9676
    @raphaelnkwabi9676 Před 5 měsíci

    Kp and Zebulon you are the best actors and mzee Kikomo and Dinozi and Sheila and suraj and kiasi your movies are so amazing wooooooooooooow kp and Zebulon Weldon’s 🎉🎉🎉🎉🎉 we love ❤️ you more and much❤❤❤❤❤❤❤❤😊

  • @estherwanjiku3305
    @estherwanjiku3305 Před 10 měsíci +1

    😂😂😅😅😅 mzee likoma

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 Před 10 měsíci +1

    Likoma😂😂😂hakuna ujanja

  • @kimoroxhdavies9938
    @kimoroxhdavies9938 Před 10 měsíci +2

    😂😂😂 penda wee Sana Best actor

  • @NyamaiSolomon-zu7wl
    @NyamaiSolomon-zu7wl Před 10 měsíci +1

    Mchimba kisima uingia mwenyewe,,,likoma umechimba ksima😢

  • @mohamedkulaga8131
    @mohamedkulaga8131 Před 2 měsíci

    We Mzee ni shida nacheka Hadi basi sio

  • @everlastingmiriam
    @everlastingmiriam Před 10 měsíci +1

    Kweli leo ndio nimeamini mujimba kisima huingia mwenyewe😂😂😂

  • @ruthnamalwa
    @ruthnamalwa Před 10 měsíci +3

    Mzee likoma kimekuramba🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-ex7tm7nb7z
    @user-ex7tm7nb7z Před 10 měsíci +3

    😂😂😂yarabi mbavu zangu mzee likoma pole ndio mambo 😂😂😂😂😂

  • @user-lj7pl1yx6q
    @user-lj7pl1yx6q Před 10 měsíci

    Muzee likoma umetisha kuenda na mandazi chooni

  • @faridahally6314
    @faridahally6314 Před 10 měsíci +1

    😂😂😂hhhhhh mbavu zngu mzee likoma umenaswa😂

  • @MichaelLusekelo
    @MichaelLusekelo Před 18 dny

    😂😂😂😂🤓🤓😂😂😂 kimekukuta mwenyewe mzee atali san unatega kumb umejitega

  • @user-vg9kf3ss3e
    @user-vg9kf3ss3e Před 8 měsíci +1

    😂😂😂😂😂😂. Likoma weee waniumiza mbavu mie😂😂😂😂,likoma Leo kimekuramba😂😂😂😂😂 pumbavu

  • @enosokwaro14
    @enosokwaro14 Před 10 měsíci +1

    Mchimba kaburi huingia mwenyewe

  • @RevinaDaud-fo6mo
    @RevinaDaud-fo6mo Před 10 měsíci +3

    Yaani safi sana kwa watu wenye roho kama hiyo

  • @user-mg5bd9vr9i
    @user-mg5bd9vr9i Před 10 měsíci

    Mzee likoma uku kimeuman duuh😮😮

  • @RashidRashid-wv9ud
    @RashidRashid-wv9ud Před 10 měsíci +2

    Likoma umeona unavyozalilika mwenyewe Sasa ndio ujuwe roho mbaya haifai usichokipenda wewe basi usimfamyie mwezio

  • @helinasubila987
    @helinasubila987 Před 10 měsíci

    😂😅😅😅😅 nikufe tuu mzee likoma koma

  • @user-fh8sv4wu6s
    @user-fh8sv4wu6s Před 10 měsíci +3

    Mzee likoma utakoma 😂😂😂😂😂😂😂

  • @marcelinabwakila7049
    @marcelinabwakila7049 Před 10 měsíci

    Likomaaaa unanivunja mbavu zangu khaaa! C kwa mishuzi hiyo.

  • @zuhura.suleimanmwamwari3083
    @zuhura.suleimanmwamwari3083 Před 10 měsíci

    Likoma flash basi huko chooni from kenya

  • @user-do1ko3od3v
    @user-do1ko3od3v Před 7 měsíci +1

    😂😂😂😂😂yamekuramba likoma

  • @user-ve2nd6yw1s
    @user-ve2nd6yw1s Před 10 měsíci +2

    Mzee limemkuta jamb jaman 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Jackie-cb1pk
    @Jackie-cb1pk Před 10 měsíci +1

    Hapo sasa mzee Likoma kimekuramba

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Před 10 měsíci

    😂😂😂😂😂 ghai mzee likoma na diboz aky nyie

  • @user-su5oi5wb6c
    @user-su5oi5wb6c Před 9 měsíci

    😂😂😂😂😂 kesho tena mzee likoma utakunya mpaka utumbo

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Před 9 měsíci

    Dibosi na likomawanafurhixha xna aky 😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mau kwenu

  • @user-yk4ov6yl1v
    @user-yk4ov6yl1v Před 8 měsíci +1

    😂😂😂😂❤ i love this

  • @rashidwekesa7896
    @rashidwekesa7896 Před 4 měsíci

    Dibozi,,,,,i like it

  • @khadija2113
    @khadija2113 Před 10 měsíci

    MZEE LIKOMA 😂😂😂UNALO HILOOOOOO HEBU NIWACHE MM MBAVU ZANGU HII NOMA SANA

  • @user-su5oi5wb6c
    @user-su5oi5wb6c Před 9 měsíci

    Utajua hujui mzee likoma 😂😂😂😂

  • @GaitanSales-zn9jc
    @GaitanSales-zn9jc Před 18 dny

    Mzee likoma anacheza ovyo ovyo kwel au nye mnaonaje😂😂😅😂😅

  • @EpimackChami
    @EpimackChami Před 10 měsíci

    Lala apo choon mzee likoma

  • @GloriaNduku-mw2jk
    @GloriaNduku-mw2jk Před 10 měsíci

    Mzee likoma mwiba wakujidunga hauambiwi pole for the ulitaka iwe ni zebuu sasa unaona hadi umelala karibu na chooni🤣🤣🤣🤣

  • @user-bu4du5kn2k
    @user-bu4du5kn2k Před 5 měsíci

    😂😂😂😂😂😂😂😂
    Kimeumana kwa mzee likoma

  • @purity134
    @purity134 Před 10 měsíci +6

    Likes za mzee Likoma,kijijini direct na mhalo 😂😂😂

  • @trydhatush
    @trydhatush Před 10 měsíci

    🤣🤣🤣🤣 Mzee liko na debosi naona kimewaraba ukishimba shimo unaingia mwenyewe

  • @RepdcObama
    @RepdcObama Před 3 měsíci

    Nzuri kabisa!!

  • @ashamohdhamis4136
    @ashamohdhamis4136 Před 10 měsíci

    Aisee muzee likoma jamani wewe ni balaa unanichekesha saaanaaa mpaka mbavuzangu zinauma hahahaaa

  • @SheridanWendy
    @SheridanWendy Před 21 dnem

    Nakufa n kicheko mwenzenu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aminaagnes2355
    @aminaagnes2355 Před 10 měsíci +1

    😂😂😂😂😂mzee kimemramba mwenyew

  • @HappyJustine-jk1zd
    @HappyJustine-jk1zd Před 8 měsíci

    Likoma vp yamekuludia mwenyewe pole

  • @Aisha-zz4xy
    @Aisha-zz4xy Před 10 měsíci

    Aaaweee chookitajaaicho bila ubishi😂😂😂😂😂😂😂

  • @mapenzikatanayongo524
    @mapenzikatanayongo524 Před 10 měsíci

    Kala yai viza 😂😢😂😅😅😅😂😂😂

  • @minahsamwel
    @minahsamwel Před 10 měsíci

    Utakoma mzee likoma umeyatak mwenyew