Uko sahihi
Sio pakome hapo umetereza kidogo MVP alikua ni Abin Cramo
Naomb uwaambie Simba SC imlete Petro atletico de Luanda... SIMBA day
Mungu ibariki simba❤❤❤
good Sana
Honger xna
Good explanation
Yangu ni Maombi kwa Mungu azidi kuwalinda wachezaji wetu awalinde na mabaya
Tunataka heshimaaaa this season 🎉
Leten tim ngumu simba day
Safi sana
Kwa hizo data naamin Ahoua atatupa kitu kimataifa na Nbc
Nimekuelewa kaka
Magoli 12 na Asist 9
We hatar sana nakubal kaz zako bro...
Umemsahau Aubin Cramo alikua MVP pia
2letee notes za player mwingine father
Acha. Waje
Simba nguvu moja
Kazi nzuri🫡
mbaduke hapo umeteleza kidogo umejichanganya, amefunga goli 12 assist 9
Uko sahihi. Shukrani kwa kutukumbusha. Ni kweli na ndiyo maana tumeomba radhi hapo juu kwenye descriptions. Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono.
Habar uchambuzi
Je ? Uchezaji wake ni kama mchezaji gani wa England na Spain pia ufaransa kwanzia miaka ya 2018 kuja mbele mpaka 2020
Unyama mwing mwaka huu yaan
Dah jamaa yuko vizur sana
Jean Charles NI mchezaji Bora kitakwimu ila tumuombee aweze kui ngia kwenye mfumo WA simba
Simba nguvu moja..
Kazi wanayoo mwaka huu atuna wapaka poda wachambulie vizur wamjue
atashangaza wengi Ahoua
Mo apewe maua yake
Hivi ukiwa una izungumzia simba au yanga ipi unapata watu wengi Miyangatu
Msimu ujao kaz wanao
😂😂😂😂😂 mbwaduke umechapia pacome na MvP wap na wap dah.
Ni mabao 12 na asisti 9
Yes. Uko sahihi na ndiyo maana tumeomba radhi hapo juu kwenye descriptions. Ahsante sana kwa kuendelea kutuunga mkono!
Fund wap mlimwona wap
Nakukubali sanaa mzee wa datasa👍
Kram hakuwahi kuwa mvp babu@