Kwa hili Nina mengi ya kusema na kumshukuru mungu, na Kwa jinsi guide alivyo smart Nina mengi ya kusema lakini kulingana na muda Wacha niseme Sina la kusema 😂😂😂😂😂❤❤❤ proudly Tanzanian
Sio hivyo sio mwepesi huyo, hiyo sehemu inatisha mno kama unaogopa kufa na imani yako ni ndogo sio sehemu ya kutembelea hapo, nilianza kwenda hapo safari ya kwanza ilikuwa kishule mwaka 1997 mabasi mawili kwa bahati mbaya tuligundua kama mmoja alibaki hapo baada ya kuhesabiwa wakati wa kuondoka maana kila mmoja alikuwa na namba yake namba moja ilikosekana, ilikuwa huzuni sana sana kuondoka bila mwenzetu. Lakini sikuacha kwenda na idadi ya kwenda haihesabiki ni pazuri sana kwa kupumzika kufurahi na familia ila ni pabaya sana kwa mambo ya anasa na aina yoyote ya ushenzi, hili ni pango na 3 na namba mbili ndio watu wanaingia na kufanya matambiko japo namba 3 ndio sana ila namba saba hakuna anaeweza kufika huko panatisha mbo mno na inasemekana pananyoka wasio na macho
This reminds me the eraly 60's when my family used to visit Kiomoni and Amboni on a weekly basis from Tanga. I used to be terrified of the concrete/gravel crushers of Kiomoni. Once we startled something or someone in the cave and in our desperate attempt to get out the only flame torch we had went out we were in total darkness. It is said that these caves have subterrainian highways that go all the way to places in Kenya and Uganda as there is a story that a pet dog was lost in the caves which later surfaced in Uganda.
Kwa ajili ya usalama ni bora zingeliekwa alama za kuongoza yeyote alie ndani ya pango kuonyesha njia ya nje ya pango. Alama hizo ni bora zingelikuwa zile ambazo zaonekana hata bila ya taa kumsaidia yeyote ambae amepoteya kumuonyesha njiya ya kutokeya..
Ndio tulipokwamia hapo,Mapango Makaburi na Mambo mengi ya Historia tunayageuza ndio sehemu ya kumuomba Mungu na Mungu kwa hekima yake anajibu baadhi ya Dua za watu hao wasiokuwa na Akili
Nimependa kazi ya mwelekezi. Mungu amjalie
Mashaallah nyumban tumebarikwa sana
The guider is 100% educated and is a pure geologist.
I like him
Huyu kaka anaelezea vzr sana
Nice clip .I was born in T,A.but I never visit. But I know the place.
Big up. My home Boyz. I hop to visit one day . In shaAllah.
Kwa hili Nina mengi ya kusema na kumshukuru mungu, na Kwa jinsi guide alivyo smart Nina mengi ya kusema lakini kulingana na muda Wacha niseme Sina la kusema 😂😂😂😂😂❤❤❤ proudly Tanzanian
Hapana Chezea Tanga Yetu...Tanga Ndio Home 🏡💖 I miss you Home
Nine injoi sana mtafsiri yuko vizuri mno
Mpe hongera huyo tour gaide hakika yuko vizuri naona Chemistry na Biology iko kichwani.
Na history, kweli kijana kaiva
So proud of him kwa kweli
History
Na jiografia pia anaijua👍
Hakika tunajivunia vivutio vya kwetu nimeshawahi fika kwenye haya mapango tukiwa form 4 hakika tulifurahia sana japo kunatisha 🇹🇿🇹🇿💃💃
Asante ndugu mtangazaji na ndugu muongozaji katika mapango haya ya Amboni!!!
Huyu kaka mwelekezaji ni shujaa kweli kweli, sehemu inatisha sana. Lakini yeye hana wasiwasi kabisa daaah pongezi sana kwake ❤🇹🇿🙏🙏
Sio hivyo sio mwepesi huyo, hiyo sehemu inatisha mno kama unaogopa kufa na imani yako ni ndogo sio sehemu ya kutembelea hapo, nilianza kwenda hapo safari ya kwanza ilikuwa kishule mwaka 1997 mabasi mawili kwa bahati mbaya tuligundua kama mmoja alibaki hapo baada ya kuhesabiwa wakati wa kuondoka maana kila mmoja alikuwa na namba yake namba moja ilikosekana, ilikuwa huzuni sana sana kuondoka bila mwenzetu. Lakini sikuacha kwenda na idadi ya kwenda haihesabiki ni pazuri sana kwa kupumzika kufurahi na familia ila ni pabaya sana kwa mambo ya anasa na aina yoyote ya ushenzi, hili ni pango na 3 na namba mbili ndio watu wanaingia na kufanya matambiko japo namba 3 ndio sana ila namba saba hakuna anaeweza kufika huko panatisha mbo mno na inasemekana pananyoka wasio na macho
Upo vizuri kwa maelezo nishafika huko giza kama lote Najivunia kuzaliwa TANGA❤️❤️❤️
Nimeshatembelea haya mapango na nikapita ndani yake kuna sehemu kuna giza la atari hata mkutake muwe close kabisa huwez kumuona mwenzako
Congratulations. Yaani imenifurahisha sana kuona mapango ya Amboni. Kwakweli nimejifunza mengi sana. Big up💪👏🙏
Jamaa ameelezea vizuri sana
Jamaa ana describe very good.
Yaan hayaaa ndo mambo ya kua mnatuonyeshaa jmn ❤️❤️❤️
Wow Mungu acha aitwe Mungu
Esco Ahsante sana, nimetalii kwa macho
This reminds me the eraly 60's when my family used to visit Kiomoni and Amboni on a weekly basis from Tanga. I used to be terrified of the concrete/gravel crushers of Kiomoni. Once we startled something or someone in the cave and in our desperate attempt to get out the only flame torch we had went out we were in total darkness. It is said that these caves have subterrainian highways that go all the way to places in Kenya and Uganda as there is a story that a pet dog was lost in the caves which later surfaced in Uganda.
Kwa ajili ya usalama ni bora zingeliekwa alama za kuongoza yeyote alie ndani ya pango kuonyesha njia ya nje ya pango. Alama hizo ni bora zingelikuwa zile ambazo zaonekana hata bila ya taa kumsaidia yeyote ambae amepoteya kumuonyesha njiya ya kutokeya..
Asante sana
muongozaji yuko pw hana uoga 😘😘💃💃
Kapazoea
Tanzania is nice, from kalema tz
Hizi ndio habari tunazozitaka sio kila kukicha kiki za wasanii zisokua na mpango
Umeona eeh
Bwana ee
wakwanza ku comment toka wengereza
Ahsante kwa maelezo mazuri
MashaAllah hongera sana Esco
Dhaaah pole sana Esko, mm siwezi ingia umo. Panaogopesha saaana.bro sky akupe pongezi nyingi sana kabisa.
Naipenda tanga yetu
Amazing
nimekukubali chali yangu
Subutu hata kwa pesa siingii humo ndani kwa nje tuu kunatisha ndan jee
Hakutishi my dear .kupo vizuri tu
@@mawdinhassan6853 bas one day nitafik hapo
Muongozaji yupo vizuri sana
Ni kweli mahan na mm nishawah kuigia umo unajua kule kwetu tanga mukiwa shulen kunasiku maalumu inapagwa kuenda ku enjoy
Mashaallah Tanzanian tuna vivutiwe vizuri cn Allah ametujaalia vitu vingi cna lkn hp kunatisha mie siingii kbsaa
😂😂😂eti mimi apa siingii
Mngu wa ajabu huyu .
@@ashwramashallah7242 wakat tu nasoma tulienda wengne walishindwa kuingia kipind icho kila shule inaenda mkifika mnatoka pesa mnaingizwa
Asante Tanzania, Africa
Tanga raha kweli tanga raha
Nendeni mkatembee lushoto soni pangani na kwenginepo karibuni sana
Kwataka moyo kuingia ndani ya mapango mm siwezi
hamna wala hakuishi umo ndani ila muakikishe nyie mloshikana mcjemkaachiana akiachia mmoja tu anapotea
Esco 💪💪🔥🔥
I like it
toka kenya,
i feel good to be afrikan,
much more luv,
gud work bro u explain inna humble way,GOD bless ya work bro
Nilienyoy sana nilipokuwa form6 tulifika apo pazur sana
Mwelekezi unajua broo sauti yako kama laiza producer wa wasafi recod
Nice
Mmh asanteni ila cjawaza kuingia huko ni hatari na nusu yatakamoyo
Very nice clip, je ipo ya lugha ya kigeni kingereza
Home sweet home
Mashallah, inshallah ipo cku nitaenda mapangoni.
Masha Allah. Tanga one day ys
Dah
Mmetisha 💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Unavofahamisha ni vizuri na hodari
Doh kwatisha kuingia ndani
Hapo huoo ni uongo kama ukiomba unachotaka unapata basi hapo amboni mabokweni maramba kusingekuwa na masikini
Ndio tulipokwamia hapo,Mapango Makaburi na Mambo mengi ya Historia tunayageuza ndio sehemu ya kumuomba Mungu na Mungu kwa hekima yake anajibu baadhi ya Dua za watu hao wasiokuwa na Akili
Mzee esco huko pia kuna mabaharia hebu watafute babuu
Daah. hatari. Naogopa. Sijui kamantaingia
Esco kapiga kelele kwa kiza kinene🤣🤣🤣🤣
Nishaingia hapo patam saana
Nimemis Tanga home sweet😘😘😘😘
Vip humo hawaishi nyoka usije ukaingiza kichwa ukaumwa kichwa
🤣🤣🤣nime ogopo Esko ivi linge waangukia !
Mungu muweza wa kila jambo
UYU TOUR GUIDE YUKO NJEMA MNO
Niliingiaga kpind nipo 4m4 hyo cku ucku ckulala niliota ndoto za ajabu 😁😁😁😁😁kinatish jmn
Napenda utafiti na utalii ila uku siingii
Humo ndani oksijeni nivipi?
Mm nilihishia inje apo noma kunatisha sana aisee
Huyu jamaa nmwamba sana
DAAAAAAAH...WAJIWEZAA HUOGOPII..HUMO NDANI WW...UNA MOYO..NAKUPA HONGERA ZAKO.SKY MUONGEZE MSHAHARA KWA KAZI NZURI
🇰🇪from+254
Amezindikwa
😄😄😄hapo siwezi kuingia naogopa
Wapili leo
apewe tuzo huyo mwandishi wa habari wa sns .katisha sana bwana esco
Vitu hivi ndiyo tunapswa kufundishwa shule na sio hadithi zao za magharibi.
Faida ya shule hiyo, tuliyo shindwa sasa tunashangaa
Mhh hayo mengine nahisi kama mmeyachonga hayo ya nje
WA Tatu
Hhhhh
Muongozaji wa Mapangoni ameshindwa kumtukuza Muumba,alitakiwa kusema haya Mapango yameumbwa na Mungu
Esco si bure ndani ya pango umeomba upunguziwe mahari mn si bure km safari haijazaa matunda😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ahsante ipo siku tutafika much love from Italy 🇮🇹
Hiyo ni kazi ya mungu , kayatengeneza mwenyewe الله.
Tupo huku 🇮🇹 wote bro. Upo maeneo gani?
@@Fm-MornStar2014 nipo Milan
@@medicalphysicsbiomedicalen1707 sawa, mie nipo Roma. Ukija huku unishtue tukutane Termini.
@@Fm-MornStar2014 powa
Ww hujui ht kutangaza
Tangaaaa what's good ?
Amboni home kabisa
Dah!
Nimetembea bila kuchoka ndio nahisi uchovu sasa hivi.
Tuliotembea wote tujuane kwenye LIKES
Kwa ushauri wangu muwe mnawavalisha elenti
Nakumbuka ile operation ya majambazi waliyokwenda kujificha ktk mapango hayo,ili make headline sana
wa5 kwenye kumi boar ctoki👍
P
6
Kiusalama zaid wangevaa mahelment
Tuliingia humo group la watu mwezetu mmoja alipandisha mashetani akatoka nje kuna joto balaa lazima utoke kijasho
Nishaingia mote umo nilienda fanya project na wenzenu tuliinyoy Ila nda tulishikana tukawa msururu ili tusipotezane
Kuna stima pia
Siezi enda pango hilo waaa😳
😅😅😅😅Unaogop nn sasa
Mungu. Ni mkubwa
Nenda na mbeya kuna ziwa ngosi
Kwatisha
Sana tu
Dah mim ni mtu wa tanga lkn sijawahi kwenda apo yaan naogopa
😂😂😂😂😂
Saf
NYIEE HAMUOGOPII JAMANII