Mt. Kizito Makuburi - Mbinguni Furaha (Official Music Video)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 09. 2023
  • Hatima ya Maisha ya Mkristo hapa Duniani ni Maisha mengine ya Umilele na Watakatifu huko Mbinguni.
    Huko Mbinguni kazi ni moja tu, kuimba pamoja na Malaika na watakatifu wote tukikizunguka kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu.
    Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi inakukaribisha kuutazama wimbo mzuri unaohusu maisha hayo ya umilele huko Mbinguni.
    WIMBO: MBINGUNI FURAHA
    WAIMBAJI : KMK MAKUBURI
    MTUNZI : BERNARD MUKASA
    ORGANIST : FRIDOLINUS MUSHOBOZI
    AUDIO BY : HOLY TRINITY STUDIOS
    VIDEO BY : IRIS EMPIRE & KMK DIGITAL PRO
    SCRIPT WRITER : HENDRY KIMARIO
    DIRECTED BY : HENDRY KIMARIO & IRIS EMPIRE
    SUBTITLES BY: DICKSON NYAMWIHULA
    Usisahau kusubscribe, like na kucomment.
    MUSIC SCORES : www.kmkmakuburi.co.tz/pdf/Mbi...
    You can support evangelism through
    Welcome to KMKMAKUBURI
    You can support evangelism through
    ⭐MPESA TILL NUMBER🇰🇪: 9948385
    NAME: EVELYN JEPKEMEI
    ⭐MPESA LIPA NAMBA 🇹🇿: 5425652
    Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
    ⭐MPESA 🇹🇿: +255742000089
    Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
    ⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
    A/C No: 3390899162
    Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
    Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
    Swift code: KCBLTZTZ
    #MbinguniFuraha
    #kmkmakuburi
    #35thKMKannivessary
    #miminaneema
  • Hudba

Komentáře • 210

  • @eugenekeragori6533
    @eugenekeragori6533 Před 11 dny +2

    Mbinguni raha..jameni wanamakuburi mko kiwango kingine..hakuna choir inawafikia tuseme tu ukweli..Niko Nairobi Kenya lakini sioni wa kufafanishwa nanyi..mola aendelee kuwazidishia 🙏🙏🙏

  • @kennethmuthini3250
    @kennethmuthini3250 Před 9 měsíci +12

    Tukubaliane MAKUBURI wataongoza makundi ya Mziki tukifika mbinguni... tukubaliane mapema tu..

  • @kendrick9339
    @kendrick9339 Před 9 měsíci +24

    Makuburi wana utofauti wao tukubaliane na hilo kwanza ❤🎉

  • @claudekalimbirirontabaza7467
    @claudekalimbirirontabaza7467 Před 9 měsíci +4

    Toka DRC, mji mkuu wa Kinshasa. Hakika nimebarikiwa mno. Mungu awazidishiye nguvu na vipaji télé. Aksanti sana kwa mtu zi bora barani Africa, Bernard MUKASA

  • @user-vn4rg9kg7v
    @user-vn4rg9kg7v Před 9 měsíci +4

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mnajua anajua mnajua saaaaana, talanta hii ufunikwe kwa Damu ya Yesu adui asiwasogelee muhubiri mpaka viziwi wasikie, I like what you do as your my fist choice in catholic church oooooh! God bless you all #bernardmukasakongolekaka🎉

  • @aloycendesimama
    @aloycendesimama Před 9 měsíci +17

    Leo ni wa kwanza kwenye comment, hatimaye official # mbinguni raha.

  • @godwinkashaga3433
    @godwinkashaga3433 Před 8 měsíci +4

    Mt.Kizito mpewe maua yenu. Hamjawahi kupoa. This song is on repeat. From Mimina,Apewe Sifa,Nusu kwa Nusu now this. You are blessed.

  • @wesleyrogito8326
    @wesleyrogito8326 Před 6 měsíci +2

    any catholic song i click its so nice may the composers of the song be blessed and may you never lack what asked from the lord its you who make the catholic church so lively and fully honoured by many

  • @josephineluzango1463
    @josephineluzango1463 Před 9 měsíci +4

    Naupenda huu wimbo ngoja niendelee kuukariri ili niwe naimba na nyie Kanisani🙌😅Hongereni Sana Kwa kazi nzuri👏👏👏

  • @thomasnduva9662
    @thomasnduva9662 Před 9 měsíci +3

    First kenyan frm mks.wapi likes

  • @cephineajwang8711
    @cephineajwang8711 Před 9 měsíci +18

    You guys produce like the best catholic songs I have ever heard in my whole life God bless you guys Mungu awabarili❤❤❤

  • @joshuasarutwe4354
    @joshuasarutwe4354 Před 8 měsíci +2

    MT.KIZITO
    MKO VZR MNOOOO ,NATAMANI MJE KIGOMA KUTANGAZA INJILI

  • @macalphael8789
    @macalphael8789 Před 9 měsíci +4

    Kazi safii,,,,Thanks for the honor to launch the album in Holy Trinity millimani parish Nakuru diocese

  • @paulmarco5994
    @paulmarco5994 Před 9 měsíci +3

    Mungu awe nanyi kwa nyakati zote hakika kizito mwatupa furaha maishani mwetu 👏

  • @davidnchoji
    @davidnchoji Před 9 měsíci +3

    Mapenzi yangu kwenu niyakiwango cha juu zaidi. Mungu aendelee kuwadumisha...🙏🏾

  • @theresiajoseph1943
    @theresiajoseph1943 Před 9 měsíci +7

    Jomon ❤️🥰❤️ Hatimaye wimbo niupendaoo... congratulations 🎉🎉

  • @edwinndalila4477
    @edwinndalila4477 Před 8 měsíci +1

    Dah,nyie wanamakuburi,kill kujao ni kibao cha nguvu,Wimbo huu ni wa baraka kweli,mkabarikiwe sana Kwak kuwabariki kanisa la mungu!!!

  • @robertmburu204
    @robertmburu204 Před 9 měsíci +2

    Sauti kama kinanda. Penda nyinyi sana.

  • @josephmathendu3830
    @josephmathendu3830 Před 9 měsíci +2

    Tr Zack nakucheki....much support from St Bakhita choir st Peter Claver....kwa kweli kusifu raha

  • @emilygatabi4425
    @emilygatabi4425 Před 9 měsíci +9

    Beats check, Voices check, dances check, cladding check ❤❤❤ my people doing it again. Kweli Kuna Raha ata kuskia tu Sauti zenu Wana KMK ❤❤❤ I love you guys Mungu awabarike ❤❤❤❤it never a boring day when I here your voicesss ❤❤❤❤🔥🔥🔥💯😘😘😘

  • @martinpaul8680
    @martinpaul8680 Před 9 měsíci +2

    Hongeren sana Wana kmkm Mungu azid kuwaongoza katika utume wenu HAKIKA tunapata yaliyo mazuri kutoka kwenu

  • @robertombogo8927
    @robertombogo8927 Před 9 měsíci +3

    Hongera kwa wimbo bora zaidi.Ninatamani kufika mbinguni.

  • @neemavawa17
    @neemavawa17 Před 8 měsíci

    ❤❤ napenda bure MUNGU azidi kuwalinda muendelee kumwimbia milele

  • @RaphKE001
    @RaphKE001 Před 9 měsíci +3

    Hakika mbinguni Raha Congratulations KMK, congratulations BM, Congratulations iris empire, Congratulations KMK digital kwa pamoja tuendelee kusunguka sunguka Na bwana Yesu🙏

  • @fabianjuma6715
    @fabianjuma6715 Před 9 měsíci

    Wimbo safi nmefurah kila kona dairekta katsha sana piah heko na kongole kwa mushoboz so kwa mipedo hyo kaka ametsha organist mkubwa Africa mwamba hy mipedo imekoma

  • @AnnaKauki
    @AnnaKauki Před 2 měsíci

    Amina naitaka nyimbo ya pasaka mkiwa mmevaa sale zenu.

  • @otuke56
    @otuke56 Před 9 měsíci +2

    Nyimbo zao zinawaka na zinachoma kama moto hapa kwetu kenya 🔥🔥🔥

  • @mercykhahukani5203
    @mercykhahukani5203 Před 5 měsíci +1

    Wimbo mzuri sana... Mungu awabariki

  • @titusmaruti2555
    @titusmaruti2555 Před 8 měsíci

    Mtindo wa kipekee Dunia nzima, very talented people.Brain work gospels

  • @georgeowiti
    @georgeowiti Před měsícem

    Salamu kwa the talented Benard Mukasa, Mungu azidi kuwabariki KMK

  • @janemumbua4683
    @janemumbua4683 Před 9 měsíci +3

    Lovely song 💖🎉makuburi never disappoint 👏👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥

  • @user-pi7vk3mp9f
    @user-pi7vk3mp9f Před 9 měsíci +1

    Nafurabishwa sana jinsi mnavyopanga miziki vipao ni baraka katika kila kiumbe .......Nakuru imezizimka kabisa

  • @emmanuelshaibu6403
    @emmanuelshaibu6403 Před 8 měsíci +1

    MAKAUBURI kwenye UBORA wao Since day One... Appreciate You

  • @user-xx6sy6tt8c
    @user-xx6sy6tt8c Před 8 měsíci +1

    Mbingun Raha kweli ,mungu awbariki viongoz

  • @mapendoglory16
    @mapendoglory16 Před 9 měsíci +3

    This man Mukasa!!!!!!! Ohhhh live long kaka. Wakristu wenzangu kuleni Chuma hichoooooo. Asanteni wanakwaya, Kwa kuutendea haki Huu wimbo. My heart is thrilling with joy!!¡!!!

  • @emmanuelsina8007
    @emmanuelsina8007 Před 9 měsíci +3

    Best RC choir

  • @diti4899
    @diti4899 Před 9 měsíci +2

    Amina wakatoliki tumeanza improve kwenye video. Video zetu zilikua poor sana. Bravo

  • @silyvya2408
    @silyvya2408 Před 8 měsíci +1

    Nyimbo zenu raha sana

  • @msatatv4264
    @msatatv4264 Před 8 měsíci

    Tumtumikie MUNGU ili tufike maana raha na furaha tutazipata

  • @ashantidesire8635
    @ashantidesire8635 Před 9 měsíci +4

    This song is very touching more and more until my last breath my Catholic followers.

  • @elizabethnada9062
    @elizabethnada9062 Před 2 měsíci

    Nmevutiwa sana na wimbo hongereni mungu awabariki sanaaa❤

  • @mwesigacredius9852
    @mwesigacredius9852 Před 9 měsíci +2

    Benard Mukasa at it once again central to the melody, lyrics and the composition, you have never disappointed me ever since O started following you, always unique!! Mbinguni kuna Raha🙏🙏👍

  • @joycetillya1988
    @joycetillya1988 Před 8 měsíci

    Sauti zilizobarikiwa... Asanten xana kwa nyimbo nzur

  • @dallydominick1673
    @dallydominick1673 Před 9 měsíci

    Mungu asiwapungukie kwakweli
    nimeona kitu kipya cha kuiga kwenye video zingine

  • @user-pi7vk3mp9f
    @user-pi7vk3mp9f Před 9 měsíci +3

    Very happy to see you live on your new launch Mbinguni Kuna raha at Holy Trinity Mlimani ❤❤❤

  • @calitosmulirosaiti6589
    @calitosmulirosaiti6589 Před 9 měsíci

    Hongereni kwaya Ya Makuburi.. Kweli mbinguni Raha na Furaha.

  • @joshuasarutwe4354
    @joshuasarutwe4354 Před 7 měsíci

    UZOEFUU PIA UNASAIDIA....HALAFU WATO WA JIJI KUUUU

  • @msokasgallery8323
    @msokasgallery8323 Před 9 měsíci +4

    Woow! Bravo KMK, and kongole also to the composer himself, mwamba Ben (the son of Mukasa) 🔥🔥🔥 Hakika Mbinguni ni furaha,, Gonna get there soon 😊

  • @emmanuelabel2265
    @emmanuelabel2265 Před 9 měsíci +8

    Undisputed 🎉🎉! Mungu ni mwema sana! Sifa ma utukufu ziende kwa Mungu kwa kuifanya hii kwaya iwe sehem ya burudani na vibe hatari! Mbalikiwe sana

    • @sarahnjeri7230
      @sarahnjeri7230 Před 9 měsíci

      Smartness, vigorous Dance, smile's kwa kila mtu

  • @daniellytonmphwanyeke3232
    @daniellytonmphwanyeke3232 Před 8 měsíci +2

    You never disappoint me always brings best and good sound, I love you all the way from south africa

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 Před 9 měsíci +1

    Mbinguni furaha 🙏🙏🙏

  • @patrickmndeme7754
    @patrickmndeme7754 Před 9 měsíci +2

    Haina kufeli Empire Boyz

  • @JuliusMalunde
    @JuliusMalunde Před 7 měsíci

    Pongezi kwenu Wana makuburi kizito

  • @jackleorpila864
    @jackleorpila864 Před 9 měsíci +3

    this one is super amezzing,l have seen live performances but original is finally with us

  • @zawadimkambilwa7399
    @zawadimkambilwa7399 Před 9 měsíci +1

    Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya Utume

  • @TheHolyFaceofJesus
    @TheHolyFaceofJesus Před 9 měsíci +5

    Never disappoints. Great release on this day of the Nativity of the Virgin Mary🎉

  • @user-uv6go5ej4l
    @user-uv6go5ej4l Před 9 měsíci +1

    tuna endelea kuxunguka na bwana yessu❤❤❤

  • @kennoscar8319
    @kennoscar8319 Před 9 měsíci +2

    ❤❤❤❤❤Tutazunguka kote koteeeeee

  • @emmanuelkiio592
    @emmanuelkiio592 Před 8 měsíci +1

    Nyimbo nzuri 💯💯

  • @user-wb5mv3cq5x
    @user-wb5mv3cq5x Před 7 měsíci

    nafalijika sana na nyimbo zenu kazi zuli sana mungu awabaliki

  • @LucyMKyalo
    @LucyMKyalo Před 9 měsíci +1

    At laaast. Been loving this song but it was nowhere to be found❤❤❤ si mnajua kuna zingine mob bado tunazihitaji.. Zitendeeni haki basii

  • @kiogoraduncan4
    @kiogoraduncan4 Před 8 měsíci +1

    Wimbo mtamu. Keep it up 💪❤

  • @user-pi7vk3mp9f
    @user-pi7vk3mp9f Před 9 měsíci +1

    Mwenyezi Mungu awabariki

  • @nicholasobuya2839
    @nicholasobuya2839 Před 9 měsíci +3

    Finally out😅❤. My all time best best song. Thank you so much KMK. Best voices.

  • @OwinsFreight_ke
    @OwinsFreight_ke Před 9 měsíci +2

    Great vocals 👏

  • @rosekipeleka
    @rosekipeleka Před 9 měsíci +3

    Hongereni sana KMK kwa kazi nzuri ya Uimbaji, nimefurahi zaidi kwa creativity za Studio Iris Pro. Mungu awatunze nyote.
    Tukutane Dodoma Mwezi wa 10 kwa Baraka zake Mungu ili tuendeleze kumuimbia kama tutakavyofanya huko Mbinguni kwenye Raha na Ngome ya Nguvu.

  • @georgengangambugua4821
    @georgengangambugua4821 Před 9 měsíci +2

    Watching you perform live in Nakuru was a dream come true... Karibuni tena

  • @ruthmulupi2846
    @ruthmulupi2846 Před 9 měsíci +1

    From Kenya,best Catholic music is from Tanzania.

  • @Simonmollel-tb6lc
    @Simonmollel-tb6lc Před 8 měsíci +1

    Safi sana

  • @jamesgichuhi8070
    @jamesgichuhi8070 Před 9 měsíci +3

    Well done can't stop listening again and again...Angelic voices🔥🔥🔥

  • @francismatsiri3437
    @francismatsiri3437 Před 9 měsíci +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤Tutaenda kwa yesu kweli binguni ni Raha kweli

  • @jepkemei
    @jepkemei Před 9 měsíci +3

    This is your best work yet! ❤❤❤❤ @kmk is the best yet

  • @user-zm5wq1gk8k
    @user-zm5wq1gk8k Před 9 měsíci +1

    Mbinguni ni raha 💯✅
    Hakuna kupinga.
    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephngambi9891
    @josephngambi9891 Před 9 měsíci

    Mbinguni kuna Raha na Furaha ❤💯

  • @user-dk9tl6yv7y
    @user-dk9tl6yv7y Před 9 měsíci

    Naunga mkono mbinguni raha❤

  • @jasminealmass6030
    @jasminealmass6030 Před 9 měsíci +1

    Can't get enough of this song aki am blessed good job❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @uncertgosbertuncertgosbert8362
    @uncertgosbertuncertgosbert8362 Před 9 měsíci +1

    Noma noma Sana ahsanteni Mungu azidi kuwapa sauti mfano wa sauti za amalaika wa Mbinguni!! Karibu Tabora nimewaandalia dumu la asali

  • @mutinda9155
    @mutinda9155 Před 9 měsíci +2

    That bass line😤🔥

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 Před 9 měsíci +1

    ♥️♥️♥️♥️🥰🥰🥰 nmechelewa wap leo tuuu
    Asanten kwa kuutendea moyo wangu haki 🙏🙏🙏Barikiwen tuu kila wakati, Nawapenda daima

  • @user-bm5xy9hl6x
    @user-bm5xy9hl6x Před 9 měsíci

    Touching song wanapa ngongore wana St kizito

  • @user-cm7tq8ee7u
    @user-cm7tq8ee7u Před 9 měsíci +1

    Hongereni sana kwa utume mwema, wimbo mzuri ❤❤

  • @AmosiDeogratius
    @AmosiDeogratius Před 9 měsíci +1

    Baba mukasa🙌🙌🙌🔥

  • @lilianscovia4819
    @lilianscovia4819 Před 9 měsíci +1

    Great job... keep it up 💪

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 Před 9 měsíci +3

    Enjoying more heavenly music from my favorite choir❤🎉. Blessings 🙏

  • @janephasuguri5327
    @janephasuguri5327 Před 9 měsíci +1

    KMK mnajua sanaa❤😊, Mungu azidi kuwatumia daima😊

  • @cakebailey
    @cakebailey Před 9 měsíci +2

    Waaaau fantastic ❤❤ God bless you all my favourite choir , continue with your motto.

  • @enriqueonsakia
    @enriqueonsakia Před 9 měsíci +1

    Tamuuu

    • @michaelswenya3973
      @michaelswenya3973 Před 9 měsíci

      Team vaibu mmevaibuka kweli a is eee fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥kitu konki

  • @mcmeso
    @mcmeso Před 9 měsíci +4

    Am here after seeing you guys performing today in Nakuru Kenya at Holy Trinity Mlimani - Nakuru.
    Beautiful voices and performance.... Mc Meso

  • @AsinthaGervase-nd7do
    @AsinthaGervase-nd7do Před 8 měsíci +1

    Asante sana mbarikiwe

  • @juliuswanganga5769
    @juliuswanganga5769 Před 9 měsíci +1

    Hongera Kwaya ya Mtakatifu Kizito ❤🙏

  • @valentinechepkorir1920
    @valentinechepkorir1920 Před 7 měsíci

    I just love this choir God bless you KMK

  • @marychrisant2308
    @marychrisant2308 Před 9 měsíci +1

    Proud of you

  • @user-pl2ef8gt4s
    @user-pl2ef8gt4s Před 9 měsíci

    Makuburi mpo vizuri sana

  • @victorodehe6160
    @victorodehe6160 Před 9 měsíci

    Mbinguni ni furaha🔥🔥🔥🔥🔥👌

  • @andrewdukho8795
    @andrewdukho8795 Před 9 měsíci +1

    Mesmerising 🎉

  • @neemavawa17
    @neemavawa17 Před 8 měsíci

    💃💃 kweli kabisa mbinguni raha

  • @richardkometa5939
    @richardkometa5939 Před 9 měsíci

    KMK 🎉🔥🔥🔥🙌🙌🙌🇰🇪

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 Před 9 měsíci

    Hongereni! Kwa kutuinjilisha

  • @conybebkadaz1339
    @conybebkadaz1339 Před 6 měsíci

    Amen 🙏🙏 pleasure and joy in heaven 🙏💕💕

  • @utukufukwamungu153
    @utukufukwamungu153 Před 9 měsíci

    Popote ulipo Sr Desy enjoy the music