🔴LIVE; AUBIN KRAMO "NIMEPONA" NIMEKUJA KUFANYA KAZI "AL AHLY" NAWATAMANI SANA NIWAFUNGE

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 03. 2024
  • AUBIN KRAMO "NIMEPONA" NIMEKUJA KUFANYA KAZI "AL AHLY" NAWATAMANI SANA NIWAFUNGE
    #simba
    #aubinkramo
    #usajilimpya
    #ahmedally
    #yanga
    #alikamwe
    #hajimanara
    #tetesizausajili
  • Sport

Komentáře • 11

  • @ivangeorge1578
    @ivangeorge1578 Před 2 měsíci

    Mimi ni mtanzania nipo nchini uingereza naipenda sana simba hii timu ni nzr sana

  • @jackson-ni7ie
    @jackson-ni7ie Před 2 měsíci +2

    Mimi ni mtanzania lakini niko kenya nikishabikia timu yangu simba

  • @user-vh6hh6ul2h
    @user-vh6hh6ul2h Před 2 měsíci

    Waon,go haw

  • @RajabuJuma-fy8nr
    @RajabuJuma-fy8nr Před 2 měsíci

    Kusema kweli natamani sana Aubin kramo acheze ili kutupa kile wanasimba tulichotaka kutoka kwake, benchika mpe nafasi mwamba huyu plz

  • @poulumbu3361
    @poulumbu3361 Před 2 měsíci

    Huna taarifa ya ukweli

  • @thomasdesta939
    @thomasdesta939 Před 2 měsíci

    Tuambieni ukweli kuhusu Kramo maana tuna hamu ya kumuona kwenye pitch

  • @henrykyula6958
    @henrykyula6958 Před 2 měsíci

    Yaani kama hamna taarifa nyingine tulieni tu maana kila kukicha Aubin

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 Před 2 měsíci

    Anapaswa kutafuta kiwango alichokuwa nacho akiwa Assec. Clabu itafute mechi nyingi za kirafiki ili kumsaidia kuonesha kiwango chake.

  • @khalidawadh6689
    @khalidawadh6689 Před 2 měsíci

    Hujui lutofautisha R naL

  • @user-yq7dm4gw6j
    @user-yq7dm4gw6j Před 2 měsíci

    Mnazingua nyie Kila xiku maneno mengi xana lakin hamna kitu

  • @costantinejohn-xn6lw
    @costantinejohn-xn6lw Před 2 měsíci

    Mpaka nimuone anacheza ndio niamini