Alhamdulillah ndo maana akaitwa BABU hikma alokuwa nayo,Mwenyezi Mungu amlinde sheikh wetu jaman, hata kama mzito wa kuelewa kwa sheikh kombo utaelewa tu,Alhamdulillah.
katika masheikh ambao nawakubali na nawafuatilia basi nawewe sheikh nakukubali sana kwa mawaidha yako hata uwe mgum vip wakuelewa ila kwako mtu anaelewa unkila njia ya kumfanya mtu akuelewe Allah azidi kukupa afya nzuri na uhai mrefu ili tuendelee kupata faida mwisho natamani nipate elimu kutoka kwako yaani nataka niwe mwanafunzi wako na Inshaallah itatimia
Allah akuhifadhi sheikh,Leo 2020 uliyoyanena ndio hayo yanaendelea ,maana kama mwizi akiiba, au mtu anadhurumu tunaacha tu.Sasa tunahangamia na corona.Matendo ya kigaidi yamezid,wanawake kutembea uchi usiseme ..Daaaaah Dunia
Alhamdulillah ndo maana akaitwa BABU hikma alokuwa nayo,Mwenyezi Mungu amlinde sheikh wetu jaman, hata kama mzito wa kuelewa kwa sheikh kombo utaelewa tu,Alhamdulillah.
katika masheikh ambao nawakubali na nawafuatilia basi nawewe sheikh nakukubali sana kwa mawaidha yako hata uwe mgum vip wakuelewa ila kwako mtu anaelewa unkila njia ya kumfanya mtu akuelewe Allah azidi kukupa afya nzuri na uhai mrefu ili tuendelee kupata faida mwisho natamani nipate elimu kutoka kwako yaani nataka niwe mwanafunzi wako na Inshaallah itatimia
sheikh kombo ali nakupenda sana wallah mawaidha yako nayafahamu sana.
ahsante sana allha akuhifadhi
Allahumma aamiin
Allah akuhifadhi sheikh,Leo 2020 uliyoyanena ndio hayo yanaendelea ,maana kama mwizi akiiba, au mtu anadhurumu tunaacha tu.Sasa tunahangamia na corona.Matendo ya kigaidi yamezid,wanawake kutembea uchi usiseme ..Daaaaah Dunia
nam,sheikh kombo na sheikh mselemu nawaelewa vizuri mawaidha mnayotoa.Allah awafanyie wepesi
Naam
Namipinawaelewa sana hawa masheikh ndungu yangu tuko sare
Huwa nawaelewa sana hawa mashekh wawili, nawenginepia, ila hao mselem na kombo nafsi yangu inatulia
ALLAH atujalie mawaidha yaliyo ndani ya Qur'an ya badili matendo yetu yawe mema yaliyo ridhiwa na ALLAH.....
Amin yarabi
Ibrahim Hassan aamin
Mashah Allah napenda sana mawaidha ya Sheikh Kombo Ali Fundi. Mawaidha yako yana uwazi na muelekeo. Allah barik.
Saida Mohamed amin
ALLAH atujalie kheri kwa kuwaidhika na mawaidha ya shekh wetu kombo ally fundi
Mm safia alshidha napenda sana mawaidha ya shekh kombo ali fundi
A/Alaykum Warahmatullah Wabarakatuhuu,Ndugu Zangu Ktk Imani Mwenye Namba Za Shekhe Anipatie Vipenzi Vya Allah
Allah akupe umri mrefu uzidi kutunasih yaliyo bora
Jazakalah khaira Wa baada likhaira janatu naima
jamani uislam ndo dini ya kweli
Jazakalah khairy yaaa al akhy kombo ally fundi ALLAH akujaalie kila la kher in sha ALLAH
Zama hizi pepo imerahisishwa kuipata na hakuna kisingizio cha kupotea ila kusudi na tutavuna tunachopanda Alihamdurillah 🕋
Allah akulipe yarabi unanifunza kila nisikilizapo mawaidha
Allah Akuhifadhi shekhe WANGU
Shukran sheikh
Jaazakallahu khaiira unajua kufikisha ujumbe kwa swautu nzuriiiii nipo makini na mawaidha yako
Allah akurehemu
Aslm alkm ww... Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Allah atuongoze. Jazakallah kheir 🙏
shukran shekhe wetu
Mashaallah shekh kombo Allah akulipe
Mwenyezi mungu akujalie mwisho mwema mamshallah
Lishakuwa tayari , na hao wapiga debe Allah awaongowe maana wanalugha chafu sana na matusi kama unavyosema hakuna wakumkataza mwenzie, mtahaani shekhe
Yarabi tuongoze katika njia iliyo nyooka siyo yawale waliyo potea wala Yale uliyo wakasikia inshaallah
Allah akuhifadhi na kila shari
Jazaakallaahukhayr ewe shekh kombo
ManshaAllah nifuraha Allah adizikutuongoza.
Allah Akbar Allah awajalie KHERI mashekh wetu
Yaa Allah mlipe sheikh wetu kher apa duniani na ksho akhera
Shukran shekhewetu
Mwenyez mungu akulipe mema leo na kesho umur qiyama
ma sha Allah wallah nakuelewa uzur shekh.Allah akupe mema dunian na akher.namuomb Allah anikutanishe nawe ktk kher duniani au akher.
Allah Humma Amiin
Allah akujali uingie pepo
Mwenyezi Mungu akuzidishie
MashaAllah Allah akuhifadhi
Masha Allah Allah akuhifadhi
Allah akujaze kheri
Allahu Akbar! MwenyeziMungu akuhifadhi yaa sheikh
hadi nimeipenda hii dini kwa elimu yako shehe
Baraka Peter ☝️
Kama umeipenda ndugu nakuhusia ingia kabisa ujisalimishe kwa alie kuumba
Baraka Peter. mashallaah
Allah akujaalie kheri na umri mrefu Inshaallah
Asante shekh kombo
Allah tuepushe namaaswiya
mashaallah
SAMAHANI SHEKH,,HIVI SHEKH,MSELEM ALLY,NA YULE MAU FUNDI NI NDUGU ZAKO.
mashallah
Allah azid kukuhifadhi amyn
Mashallah
Ramadhan Mubaraq!!
Masha Allah
Masha Allah Allah akuhifadhi sheikh wetu
2022 naaangalia hapa
Mwenyezi mungu hakujalie maixha malefu sheikh
ماشاء الله
allah akbaru, asante kwa mawaidha mazuri
SubhanaAllah
sheikh tunakuomba uje arusha. utupe elimu ya ghaibu
assalam aleukum, sheikh tunaomba utuandalie mada kuhusu malezi bora kwa watoto inshallah
mashaAllah
Asant shekh
ma sha Allah jazakallah kher
Ya Allah,Ya Rahman Ya Rahim.Mpe mjawako huyu Yale uliowaahidi wajawakowema.Amin
mashaallah,Allah akulipe kheri sheikh wangu
Alla akuhifadhi na machafu
Maashallah
Mashalah tabarakalah
Mashaallah
Hishaahaala tuzidi kumuhabudu mung
thanks
Islamu dini
mashaallaah
SHKH aekwenda na akili za watu kwa mifano mpaka uelewe
Running
Marshaallah, shukran kwa kutupatia chakula cha nafsi
shukurani sana kwa mawaidha mazuri
Allah akuzidishie
Asalam alaykum wa rahmatulah wa barakatu , Sheikh please naomba number yenu ya simu ya whatspp , shukran .
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH
Allah akujaze kheri
mashallah
Allahu Akbar! MwenyeziMungu akuhifadhi yaa sheikh
WWW. CO. CHANELTEN
allah akupe uzima na maisha marefu uendelee kuisema hak
Mashallah
mashaallah
mashaallah