Rais MAGUFULI Alivyompokea Rais TSHISEKEDI Leo AIRPORT

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 12. 06. 2019
  • Rais MAGUFULI Alivyompokea Rais TSHISEKEDI Leo AIRPORT
    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Antoine Tshisekedi amewasili hapa nchini kwa Ziara ya Kitaifa ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
    Rais Tshisekedi ambaye leo ametimiza umri wa miaka 56, amehudhuria Dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Magufuli kwa heshima yake, Ikulu jijini Dar es Salaam.
    #JPM #TSHISEKEDI
    Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Globa

Komentáře • 50

  • @tchumge8766
    @tchumge8766 Před 5 lety +13

    Muheshimiwa raisi wetu Felix Tschisekedi oyeee !

  • @malibuandmalakithefunnysis1812

    much appreciated. thank you brothers and sisters of tanzania for giving a warm welcome to my president felix Antoine tshilombo tshisekedi

  • @clairembuyi4628
    @clairembuyi4628 Před 5 lety +4

    FATSHI✌✌✌ Engambe Mobali👍👍👍

  • @johnmuamba883
    @johnmuamba883 Před 5 lety +3

    Swahili ya Tanzania ikwo nguvu sana!

  • @bilixbinkatembo8399
    @bilixbinkatembo8399 Před 5 lety +4

    Ziara yako hiwe ya mafanikio Raisi wetu

  • @papykalombotheodoryuma1536

    tokoss fatshi beton deboulonner

  • @warrentanquest1057
    @warrentanquest1057 Před 5 lety +2

    DRC yawasilisha maombi ya kujumuika na jumuhia ya Africa mashariki, hatua nzuri kabisa.

  • @fortantkalonji7217
    @fortantkalonji7217 Před 5 lety +2

    President Felix we love you. Amen

  • @King_186
    @King_186 Před 5 lety +2

    Ndugu yangu Aston mawiving na Patcho Mwamba nawaonaaa

  • @veronicamwanalinze9532
    @veronicamwanalinze9532 Před 5 lety +4

    Mmenifurahisha watanzania wenzangu. Mmeonyesha karama zenu ya ukaribisho na tamaduni za kinyumbani.

  • @maryann2463
    @maryann2463 Před 5 lety +1

    Shukrani kwa Mungu Felix kiongozi was amani

  • @Jflesagehomme
    @Jflesagehomme Před 5 lety +2

    béton nde makambo

  • @famitoissanawanda7011
    @famitoissanawanda7011 Před 5 lety +3

    Miuno ya red carpeti kutoka wcb

  • @joempoyo1500
    @joempoyo1500 Před 5 lety +1

    Aksanti sana kua Tanzania

  • @authorepiscopereemmanuel964

    TZ pia ata siku moja itembeleye congo

  • @stellamasero2580
    @stellamasero2580 Před 5 lety +4

    nice

  • @makungaone147
    @makungaone147 Před 5 lety +1

    Tucheki CZcams channel kupitia Makunga one1 kwa taarifa mbali mbali kuhusu mambo ya anga pia utajionea jinsi watu wanavyoishi angani

  • @armandbaka465
    @armandbaka465 Před 5 lety +1

    BOKOBOMA FAYULU

  • @blessings2478
    @blessings2478 Před 5 lety +1

    Élu de Dieu président Fatshi

  • @matthieukabanga1968
    @matthieukabanga1968 Před 5 lety

    ba nduku ya Tanzania mubarikiwe

  • @ramadhaninyoka2098
    @ramadhaninyoka2098 Před 5 lety

    Mechi ya taifa stadhi na misili

  • @siwemamelchior1686
    @siwemamelchior1686 Před 5 lety

    Basi mabadiliko yanawezekana . Mi sisemi mengi.

  • @kongonabisotelema4435
    @kongonabisotelema4435 Před 5 lety

    Fayulu ko kufa nanu te omona Fatshi béton nde makambu engambe mobali a la taille du grand Kongo il est digne de le dirigé avec souveraineté vive Fatshi

    • @cedricbahole6042
      @cedricbahole6042 Před 5 lety

      Il a aucun diplôme, livrer des pizzas ça il sait le faire

  • @chrisa3181
    @chrisa3181 Před 5 lety +3

    Fatshi

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 Před 5 lety +2

    Huyu mbona mapema sana ameanza safari hats mwaka bado

    • @King_186
      @King_186 Před 5 lety +1

      Wamagufulishe Nyinyigwa ,amekuja kufundishwa jinsi ya kuongoza hapa tz ndio nyumbani

    • @nipolive..2745
      @nipolive..2745 Před 5 lety +1

      @@King_186 kinacho nishangaza kiswahili hajui hata kidogo.

    • @easyk9433
      @easyk9433 Před 5 lety

      @@nipolive..2745 kwani kiswahili jon nini. Can you speak French or English. You are so stupid

    • @eliasnestor9482
      @eliasnestor9482 Před 5 lety +2

      @@nipolive..2745 asa wewe mwanangu mbona hautumiye akili? Uliambiwa na nani kama kiswahili kina ongelewa dunia mzima ama ni watu wote wanaongeya kiswahili? Yani wewe ni kiswahili tu unajuwa?

    • @nipolive..2745
      @nipolive..2745 Před 5 lety

      @@easyk9433 sms yako kidogo sijaielewa hata kidogo?

  • @yashjuma9168
    @yashjuma9168 Před 5 lety +2

    Tanzania 😄❤

  • @sergekifani4760
    @sergekifani4760 Před 5 lety +1

    Cette bêtise ne durera pas longtemps

    • @armandbaka465
      @armandbaka465 Před 5 lety

      BOKOMESANA .ATTENDEZ 2025 .ARRÊTEZ DE RÊVER

    • @cedricbahole6042
      @cedricbahole6042 Před 5 lety +1

      @@armandbaka465 fcc majoritaire n'a parlement n'a sénat provincial wana kutu ko Loba tsé. Bino ndé bo ko messana kieeee kieeeee kieee

    • @armandbaka465
      @armandbaka465 Před 5 lety

      @@cedricbahole6042 Kiekiekie ozo yeba politique ya Congo te ndeko .FCC baza ya ko dinda papa. Tolinga CongoFayulu voulait la dislocation du Congo.Katumbi ,Mbusa et tant d'autres ont quitté déjà le frère Martin. Quelle sera sa suite?

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 Před 5 lety +2

    Huyu mbona mapema sana ameanza safari hats mwaka bado