| UKUMBI | Mikakati ya Rais Ruto baada ya maandamano ya Gen Z [Part 4]

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 09. 2024
  • Rais Ruto ameahidi kufanya mabadiliko serikalini
    Bajeti za ofisi za mkewe rais na wa naibu rais zaondolewa
    Serikali ilitangaza hatua za kupunguza matumizi
    Rais amevunja mashirika 47 yenye kazi zinazofanana
    Rais aahidi kupunguza washauri wake kwa 50%
    Deni la taifa lilikuwa ksh.10.398t kufikia mwezi machi
    Rais ameteua jopo la kutathmini madeni ya taifa
    LSK yasema ni kazi ya ofisi ya mhasibu mkuu

Komentáře • 3