Kilicho fanya uc muoe sinta ni cool james mtoto wa dandu alivo toka sweden ndio alikutana na sinta best bite mwandishi asie julikana alimpiga picha sinta akiwa ana mla denda james ndio ilikua chanzo ulivo imba ina niuma cn cool jamea uli muondoa ww juma kisa sinta ucngeweza kipindi kile upepo wa cool james ucnge muweza sinta tulia tumwachie mungu!!
sir kibla Juma kasimu kiroboto waungwana wasio na ngwasi wananikaribisha gym sababu mm ni mzawa wa mtoni kurasini nature mtu wa watu navyoishi kibantu msitu wa vina .unga sio machejo sitarehe yake kumoyo atakula hata kama kibogoyo siatamung'unya eti nipendwe mpaka Mavumba chap chap mm naona mali tu nizubae wakati sina kitu .KWA TANZANIA SIJAONA WA KUKUSHINDANISHA NAYE
Yani nature ndo msanii ambaye anamuheshimu produce wake aliemtoa mapaka leo,,,lkn kuna wasanii wengine mapaka leo hawataki kuamini kwa maproducer waliowatoa mfano mmoja yupo wasafi pale,,,
Mwanamziki pekee niliyenunua kila kazi yake. Album Ugali ilisababisha baba afunge safari kuja shule kupeleleza kama navuta ganja. Nakumbuka kuna mstari mmoja anamponda Sinta na rafiki zake kuwa "wanavuga hawali sana! Wanakula hao😂😂😂
Sauti flani hivi ya mmea, sir juma nature kiroboto,so humble
😂😂😂
Mtoto wako wakike au wakiume, Jamaa anakwambia demu dah Nature Chenga sanaa🇿🇦🇹🇿
Nature msanii asiye na dharau mkubwa rafiki Mdogo rafiki
Nakumbuka ulivo msaidia Hamorapa kwenye ngoma yake ile.
Dah nashindwa maneno ya kumsifia juma kwa ninavyomkubali 🔥🔥
Juma nature namtambua sanaaa kutoka +254 kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
hongera
Ee mwenyezi Mungu tunakuomba tuepushie vizazi vyetu na majanga ya DUNIA likiwemo la matumizi ya madawa ya kulevya
I luv the voice of this guy since 2005
Juma Nature ni balaa, Naikumbuka sana nyimbo ya Sonia
Endeleeni kuchangamka kweli na Mungu atazidi kuwabariki mda wowote 👌 👏🔥🙏🌞🇰🇪.
mkali wa mda ote sir nature
Najiisi furaha sana niki muona kaka mkubwa juma thanks guys.
Vijana wa sasa wanatakiwa wawaige sana...ninyi! Maana wamehama kuimba mapenzi wanaimba ngono...nyimbo zako zote nzuri!
Hakuna nature wawili... Nature ni mmoja tu... Hapoi haboi...
Juma Kasim Kiroboto
Mtu wa watu sana 🙏🏿🤲🏿
Juma nature ww ni kiboko umenifrahisha sanaa
Nature msanii mwenye nidham sana nyimbo zake elimu tosha
Mwambie salio la verse ni habari nyingine aise namwelewa sana tokea kahama
Mzee wa busara ni bonge la ngoma Yan nimekumis sana yan
Mi namsapoti sana huyu jamaa ninangoma zake km zote kutoka boom anajua sana
Juma Nature_ROHO NYEUPEEE_simple sana mtu wa watu mtu wa kujichanganya
Kilicho fanya uc muoe sinta ni cool james mtoto wa dandu alivo toka sweden ndio alikutana na sinta best bite mwandishi asie julikana alimpiga picha sinta akiwa ana mla denda james ndio ilikua chanzo ulivo imba ina niuma cn cool jamea uli muondoa ww juma kisa sinta ucngeweza kipindi kile upepo wa cool james ucnge muweza sinta tulia tumwachie mungu!!
Daaaaaa mwanangu unaonekana mkongwe kinoma bigup to you
Alimuondoa kvp
Ahsante. Juma Nature.
sir kibla Juma kasimu kiroboto waungwana wasio na ngwasi wananikaribisha gym sababu mm ni mzawa wa mtoni kurasini nature mtu wa watu navyoishi kibantu msitu wa vina .unga sio machejo sitarehe yake kumoyo atakula hata kama kibogoyo siatamung'unya eti nipendwe mpaka Mavumba chap chap mm naona mali tu nizubae wakati sina kitu .KWA TANZANIA SIJAONA WA KUKUSHINDANISHA NAYE
Kweli juma lazima upagawe. Yasinta yupo vizuli sana
Wakike wakiume?? Demu 😂😂😂😂😂
Ila Nature bana anaulizwa mtoto gani eti "Demu" 🤣🤣
🤣🤣🤣
Hahaha pesa alikua anabeba kwenye mfuko wa rambo hahaha eti mtoto wake demu
Tunafanya kaziiiiiii ah kibra
Sir nature saluti kwenye wingu sr8t outta from +256 much respect
Bongo fleva asili yake JUMA NATURE
Mimi hakuna nyimbo ya juma nature naipenda kama "mtoto iddi" 🤣🤣
Iko xawa si uwongo na ile kaimba na Squier NAJA. .
@@aminaissa9756 kabsa
Wwe ni mmi kabisa😂😂
Nature ndio msanii naemkubar bongo hii sky bundala saut kizaz san
Sky: ni mtoto gani
Juma Nature: Demu...!
yaani hatari sana, siyo wa kike, ila demu
Dem🤣🤣
Jumma nature 🔥🔥🇨🇩🇺🇸
MY FAVOURITE ARTIST IN TZ
Nataka nifunzwe namna ya kuuza nyimbo Zangu
Sir Nature👏👏👏🔥🔥🔥🔥
Juma kaka mi nakubali kabis ww ndo mfarume wa tmk
Juma cassim nature kipaji matata daaah mziki ulikuwa kipindi kile balaa
Juma kassim kiroboto missed him
kenya ...napeda nature sana
Baba nakubari san nature from gmc young boy hapa
kirobotooooooo💪💪💪💪💪
Safi sana sns tunahitaji full interview ya juma nature aka mugambo
Nina mtoto mmoja demu🤣🤣
Inaonyesha kiasi gani wanawake wachuo wapo kujiuza toka mwanzo na hiyo sifa inaendelea kupamba moto...
Miss you sana nature
Mwili wa Juma nature unamfanya aonekane bado yankiiiiii
Kaka juma
Yani nature ndo msanii ambaye anamuheshimu produce wake aliemtoa mapaka leo,,,lkn kuna wasanii wengine mapaka leo hawataki kuamini kwa maproducer waliowatoa mfano mmoja yupo wasafi pale,,,
Mpuuzi yule kaz dharau tu
Legend Sir Nature
Nature
Mm napenda Ile nyimbo inaitwa kisa demu##
Sir nature..
Nature namkubali sana
Nikuambie kitu Mimi kila siku nasikiliza nyimbo za Juma nature Boomplay
Ya kale dhahabu upo juu bado nature jitangaze
Eti mm nnamtoto dem....
Namkubali juma tupe jina la you tob
Huyo mfalme farao ni trionea namjuwa mwambie anitafute
From +974 ...nature nMkubali sana ...
Kaka vp naomba connection ya Juma Nature maana Nipo Radio na kila Jumapili nakua na kipindi cha nyimbo za zamani na interview za wasanii wa zamani
Mchek bro sky insta atakupa nmba za nature sky hana roho mbaya
Upo vizur bro❤❤🇪🇭🇪🇭
yess dubai at Deira city🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Itabidi nikae karibu na kaka juma😂
wacha niwaambie hakun cople ya kipnd hicho kam nature na sinta sio sasa
NATURE
Sir nature huyo sasa hivi hata kazi ya kuwa houseboy wake hakupi... Sir kachoka sana
Maisha ni yale yalee, usiwe mnyonge demu
Hii sauti naona ya bange kabixa!!
Duhh
juma kitambo utajiju qar
🤣🤣🤣 zamani sana
Mwanamziki pekee niliyenunua kila kazi yake. Album Ugali ilisababisha baba afunge safari kuja shule kupeleleza kama navuta ganja. Nakumbuka kuna mstari mmoja anamponda Sinta na rafiki zake kuwa "wanavuga hawali sana! Wanakula hao😂😂😂
Hahahahaha balaaa
Demu
Sir natureeeeeeee 🤣❤️🇹🇿
Watuwekee hizo album amazon HD kwa wale ma audiophile, nyimbo baazi zipo tayari
Kibra matata
Nature akiongea unapenda uendelee kumsikikiza tu,,ana rafudhi ya kimakonde hivi
Hana yakizaramo
Mwambaaà
Nature on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ugali
Juma nawadai mpaka kesho jina langu la wanaume alichukua kwangu na Alie lipeleka ni abdallah soga na jazari hao ndio mashaidi juma mnilipe
Sir necha
Qibla ana mengi ya kuongea bana na interview ni fupi sana
Sana kwanza achoshi kumsikiliza
Kiroboto
Hahaha safisana
Nature kanana na Paula wa kajala 😜
Hahahhahahaa daaah anamtoto demu sio
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
Hahahah nature anaongea kama dudubaya . Nani amesikia kama Mimi ?
Kibla
Sir cassim hahaha
2:33 😂😂😂
Sir nature😂😂😂😂😂
Hahaha bi mkubwa akasema hapana🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Sasa hilo mzula au nini?
Ww wa kiume au
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mapokopoko mabinzari
Sasa hiyo clown creep!nikuulize kwanza
🤣🤣🤣