AFU MKIWA MNAONGIZA HELA KUPITIA WATU AMBAO HAMJAWAPANGA NATOA TAMKO KUANZIA LEO MUWE MNAWALIPA FIDIA KWA KUWAPOTEZEA MUDA WAO. KUWAPA SHORT DEPRESSION YA NUSU SAA KWA KUWATENGENEZEA PESA ZENU😢😮
Hivi mkimaliza kuwazingua hivi mnawalipa au mkiwaambia mna record ndo basi🥺🥺 maana nimejikuta roho inaniuma sana na watu wapo kazi afu kazi ya kuzunguka mtaani 😢😢
Kuna mtu atakuja kupigwa wazeee 😂😂😂 maisha magumu kitaa..michezo hiyo
Wanaho mkubali #Tx_Dullah_subaru ngonga like 💪
Sema hiii ya kucheza na watu wakiwa kwenye kazi zaooo siyo mzuriii dar jua kaliii afuu anatembeaaa mtu mzma anafamiliaaaa afu mnamchoreshaaaaa siyo pw
😅😅😅Amna bwana wakitoka hapo huwa wanawapooza kdg
Nawenyew wapo kazin ety
Point kubwa sana
AFU MKIWA MNAONGIZA HELA KUPITIA WATU AMBAO HAMJAWAPANGA NATOA TAMKO KUANZIA LEO MUWE MNAWALIPA FIDIA KWA KUWAPOTEZEA MUDA WAO. KUWAPA SHORT DEPRESSION YA NUSU SAA KWA KUWATENGENEZEA PESA ZENU😢😮
Lzm wanapewa kitu mwishoni bhana
Huwa wanapewa mwishoni wanaelekezwa kuwa yalikua masiala ila kwenye content hizi clip Huwa wanakata
@@aghamedia ELFU2 NDO KITU KAKA KWEL UMEPOTEZEWA MUDA NUSU SAA AU LISAA KABISA MR.
KUUSU KUPEWA PESA UONGO ZONGINE HAWAKATU TUNAONA WANAPEWA ELF 2 WANAJICHENGA
Punguzeni makasiriko,ujuaji na Roho mbaya wakifanya wazungu sawa tukifanya sisi Kelele
We back like we never left........hivi ni kweli...watching from Dubai💯💯💯
sema dulla anapenda sana hivyo viatu
Nimejaribu kuchukua nafasi ya yule machinga plus mawazo ya jua la dar la mchana sijajua hata hali ambayo ningekua nayo wakati wa mabishano duuh😄😀😃
anazingatiwa ya maji mzee
Anayeonekana mjanja kumbe hamna kitu😅😅😅😅
Yaani kumbe mnamsumbua mtu alafu ampi chochote sio sawa iyo mtu kachoka najua lote. Sio sawa sijapenda
Yess, mi pia sijapenda 😢
Si amenunua taulo hapo au simu yangu haionyeshi vizuri
czcams.com/video/IKQP-_ma_dU/video.htmlsi=_aRiNdBla6li77DJ
Hiviiii hawa wanaoimb wanawachumba 😅😅😅
WE SANYA WEWE UNALIPA HAO UNAOWASUMBUA AU UNAWALIPA PRESHA2
Jamaa anaongea mwenyewe 😂😂😂😂😂
Km ni mm huyu mwenye biashara na jua km hili baadae mtu atoke zake aje anichoroshe kwa naslahi yake haki ya mungu nakufa nae
Jamaa wa vitabu mic ime zimwa yeye anaendelea kuongea🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Mmh at Alikipa aendelee na melody hiyohiyo😂😂😂😂
muwe mnawapa pesa sio vzr kabisa ayamambo yakizamani sana uko watu wamesha vuka
Nakupendanaaaaaa uku kuimba 😂😂😂😂😂 uyu nae anabana pua minaweeeeeeee minaaaaaaa
Ifike mahali sasa txdullah uamue kubadili ivo viatu kak 😅😅😅
Hivi ni kweli
Hiki kipindi nilikua nimekimiss kweli jamani ❤❤❤❤😂😂😂
Mnacheza na kaz za watu..
idea kali
😂😂😂😂😂 haea wanaoimba nipo hoiii
Ila juster master
😂😂😂 tx ametisha sana
JICHANGANYENI KWANGU MAPEMA SANA VICHWA 2 😂😂😂😂😂
Basi muwe mnawapoza kidogo maana nyie kwenu ni content na mnaingiza pesa
Eti.. si unajua mambo ya tasnia😅😅😅😅😅😅
Masha biki wakiba msiguse hii komenti😂😂
😂😂😂
Ila platnumz🎉
Hivi ni kweli is back 🔥🔥🔥
Wanatuzingulia baba mpaza wetu ak ndimbo😂
Iki kipindi kilafanya nimpende motown sany .nikitaman iki kipind lazima nicheke
nana ameona mbuzi za dar inakula machungwaaa hahahaha
SIO MACHUNGWA TU, MBUZI WA DAR WANAKULA MPAKA CHIPSI YAI......MBUZI ZA DAR ZINAKUVUSHA BARABARA KWENYE ZEBRA😊😊😊😊😊
Mwamba Kaachiwa Mic 🎤 Unangulumisha Tu Hana Habari
Mwaacha mzee wawatu anajiongelesha
😂😂😂😂
hhhhh dulaaaa mbwaaa kwel 😂
Mbona mnaaibisha watu jmniii
Ipo siku atapigwa mtu
Ila sanya mmeuwa sana tx Subaru 😂😂😂
Ila subaru 😅😅😅😅😅😂😂
Mo town vs subaru😂😂😂😂
MZEE WA SUBARU UMEIPAKI WAPI NKAIAMISHE😁😁😁
🔥🔥🔥
𝐀𝐜𝐡𝐚 𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨 𝐩𝐚𝐫𝐭 😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Atal❤❤
Umeweza dulla
,,eti maliza sasa niondoke 🤣🤣😅😅
Nimecheka et hamo bebe na saut kama beberu 😂
😂😂😂😂😂 Txdulla nimnomasana 😂😂😂😂
Kub......akeeeeeh 🤣
Hii michezo mtakutana na mwenye hasira mtakuja kupasuka
Ila tx😅😅😅
Ila tx
Subaru 😂😂
Uyu aliepewa maiki kavaa na kibegi alkua anaongea nn pekeyake au aljkuta mtangazaji 😂😂😂😂😂
Me naomben like zenu tu jamn 😢😢😢
LIKE WEWE MUUZA JEZI AU MABEGI AU WEWE NDO SANAYA😂😂
Mm ndo lile jiwe alilolishika dulla
We za nn
czcams.com/video/IKQP-_ma_dU/video.htmlsi=_aRiNdBla6li77DJ
Kuimba Unajuwa
😂😂🙌🙌🙌
Watakuja wabonde mtu asee sio powa
😂😂😂😂😂tx
😅😅😅😅
I have something to say but I don't trust my English
😭😭😭
😂😂😂😂
wasafi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wasafi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wasafi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
moyo tulia mjini Kuna vya watu
😂😂
Nitauwa mtu
Duu
Sijaangalia ila nakomnt
Mnachezea biashara za watu alafu hamnunui sio sawa
Sanya huwa anatoaga ya Maji Baada ya kumsanua mwana ni kipindi wanashoot
Mnazingua mazee hii content mbovu, mnaharibu wazee utu wa watu.
Peleka userious wako kwny vikao vya familia
Hivi mkimaliza kuwazingua hivi mnawalipa au mkiwaambia mna record ndo basi🥺🥺 maana nimejikuta roho inaniuma sana na watu wapo kazi afu kazi ya kuzunguka mtaani 😢😢
True
Magol Sana 🙏
Mwisho muwe mnawaingisha iyo biashara unampotezea mtu muda kachoka
Halima unaonanekana unaroho nzur sana hadi nimetamani kukuwowa😂❤
Dulaypvizuriiii😂😂
Tx subaru 👑🏆
Ila mlichofanya sio fea kuchezea biashara za watu so watu wanafamilia
Duu acha uongo😂😂
Mmetuigizia apo
Nimejaribu kuchukua nafasi ya yule machinga plus mawazo ya jua la dar la mchana sijajua hata hali ambayo ningekua nayo wakati wa mabishano duuh😄😀😃
😂😂😂😂😂