nimefurahi sana kuona dogo nkane bado anaendelea kua mwanafamilia wa timu ya wananchi
Nkane Mungu amempeleka Yanga akasukume maisha yake. Ila amini kwamba pale hakuna mchezaji wa kiwango cha kukaa yanga.
Wow nkane believing God
Very happy to see Nkane! Maana nilikua na wasiwasi sana
Acha kabisaa ,alafu hakati tamaa hata kama hachezi mechi nyingi.Mungu azidi kumpa moyo wa uvumilivu tu.
Mungu awachunge nyote vijana wetu, hii ndio Dua yangu, awape siha njema na asiwapungukie muda wote.❤❤❤❤❤❤
Nawaombea kwa mungu wachezaji wite wawe na afya njema
Nimefurahi kumuona babu kaju maana wachambuzi waliweka anarudi Azam niliumia
Watu wa kazi🙏🙏🙏💪🏻💪🏻
Wanajeshi wetu tuko nanyi kwa maombi. Namuona Ali Kamwe anachochea vita ya namba kati ya Kibabage na mwenzie Boca.
Boka mwaga maji zaid ya Lomalisa alifanya kazi xana
BBD nimemuona smiling player kubali sana mwamba huyu
Kazi kaziniiiiiii
Im happy to see BBD the shark himself na kiungo bamia sure boy ishi sana mwamba 🎉
Kama unaamini nkane ndio kiti wa yanga weka likes 😂
Hii Yanga haikosi kuna club itaweka impira kwapani,au ikubali 10😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Yanga ijayo 🔥🔥🔥
Nawatakia maandalizi mema wachezaji wote na benchi la ufundi kuelekea msimu ujao wa mashindano yote, maandalizi bora ndio ufunguo wa mafanikio.
Yanga Bwana mmemtoa Lomalisa mmeleta lomalisa😢😢😢, wanafanaa jamani
Mungu awabaliki wachezaji wote na benchi la ufundi
Kazi njema mkapambane
Chama la wana 🔰💪
Kibabage usichore matatoo mengine utakua vibaya kaa hivo hivo
Mwenyezi mungu awatangulie kaktika safari yenu hii iwe ya yamafanikio🙏🙏🙏🙏💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛
Babu kaju ndani ya nyumba
A wana mapinduzi haooo yang afirickas❤
Denis Nkane 🙏
Woyooo babu kaju bado tunae
My team 💪💪💪
Mungu akupeni afya njema
Kuna waandishi wa hovyo hovyo kabisa kwenye hii nchi kazi yao ni kudanganya tu na kutunga habari za uongo.
Mashaallh Alhamndulilah nawapendasana Allah akuzidishieni upendo Inshaallah
Vp kuhusu master kiiiiiiiiiiiiii
Nkane mwamba 🔰🔰🔰💛💛💛💚💚💚
Furaha yangu kumuona denis nkane babu kaju na shehani ila sijamuona mkude mudathir na kibwana
nimependa sana aina yawa chezaji waliosajiliw yanga msimu huu 💚💚💛💛
Sasa babu kaju akacheze no ngp Azam
Lomalisa wa pili
Kibabage mbona kama hana raha hivi Boka anamuogopa nn🤣🤣🤣
Yanga Africa the club above all
Watu muhim sana nyie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nkane anapenda kucheka
Semajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii❤❤❤❤
Wengine wanadhani kwenda kwenye nchi za watu ndo ujanja. Kweli yanga ni timu ya wananchi kweli mambo yote hapahapa nyumbani. Safi sana tupende vya nyumbani
Waoooooooooo tum iendelee kwa sana
Congratulations young Africans
Kibabage Totoo imekaa mahala pake😂😂😂
Waoo🙏🙏🙏
𝙒𝙖𝙤𝙤𝙤𝙤𝙤𝙤𝙤𝙤 𝙙𝙚𝙣𝙞𝙨
My team🎉🎉
Tumetisha sana
Kazini kwa kibabage kuna kazi. Jamaa hata halicheki
hivi alikamwe anapumzika jamani😅
Mwenye kazu golikipper mpya
Watasema tu mwaka uu😅😅😅
Allaah Akbar
❤️🧡💚💛👍🔥
❤
yani yanga bwana upendo mbaka umepitiliza unaweza sema ni watoto wa mama na baba mmoja
Chama langu la ukweli hakuna kufeli ni juu
Muda wetu
Safiiiii
No mistakes
Safari hii watasema sana
Timu la wazee
Navyoona asilimoa lubwa ya mashabiki tunampenda Nkane maana kila comment naona watu wamefurahi walivomuona, ni kijana mmoja mpambanaji sana MUNGU amlinde🙏
AZIZI KI NA PACOME WAKO WAPI CHAMA HATUMUULIZI TUNAJUA ATAKUJA TUU, WAONESHENI MAKAMANDA WETU PACOME NA AZIZI KI
Miee azizi ki tuu jamaniii nimuone 😊😊😊
Nakubali Mr Privaldinho😂
Kane pambana kijana nakufanananisha na ngasa
🔥🔥
Mungu awalinde
Mabingwa wa muda wote
Jesh la kijani na njano
💛💚💛💚100%
Naomba muwe mnaandika na majina ya kila mchezaji anaepita kwenye kamera
Nmefrah kumuona nkane🎉🎉🎉
Yanga wakimuacha Joseph Guede watakosea xana ile ndo cf ya msimu ujao angefunga sana
Kibabage jeshi huende
Najikuta tu natabasam
Andunje kibabage mambo😅
Nice
😢
Wana Yanga
Good play
❤❤❤❤
Timu ya wakubwa ina ludi kikubwa
Unyama 🎉🎉🎉❤
Yanga chama lang la ukwer
Oh Kibabage ushaanza kuwa mkongo sasa na mitatuu km yotee 😅😅😅
NAIPENDA YANGA TAMU
Kutibiwa au kambini?
Wachezaji au Kibabage?
Boka unafanana na Lomalisa
Nita miss skudu sana kama hayupo😢
Wakitembea kama wamechoka, nwakiwa kazini weeeeeeeeeeeeee..........
Hahaa boka alikuwa ana muogopa ally kamwe Lijua niwale jamaa wa kuiba wachezaji airport
Happy to see Nkaneeeeeee❤❤❤❤