Kinata Mc x Ibraah - Do Lemi Go (Official Music Video)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 05. 2021
  • Download and Stream on all Digital Platforms Link
    Subscribe for more official content from Ibraah:
    / ibraah
    Follow Ibraah
    Instagram: / ibraah_tz
    Twitter: / ibraah_tz
    Facebook: / ibraah255
    Listen to Ibraah
    / ibraah
    Audiomack: audiomack.com/ibraah-tz
    Apple Music : / ibraah
    Spotify : bit.ly/3ybEn3Z
    Boomplay: www.boomplaymusic.com/share/a...
    The official CZcams channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: Ibraahmanagement3@gmail.com
    Call: +255 718 712 420
    #Kinatamc #DoLemiGo #Ibraah
  • Zábava

Komentáře • 3K

  • @edwardnelson335
    @edwardnelson335 Před 3 lety +97

    chinga mwenye melody zake 💣💣💣🔥🔥🔥like kwa king of new school 🐘🐘🐘🐘konde gang fc nipen like chama la wana🔥🔥⏱️

  • @clifordnyaosi9420
    @clifordnyaosi9420 Před 3 lety +76

    Chinga ni wa stima aki weka like tujuane💥💥💥💥💥

  • @bbycandy3979
    @bbycandy3979 Před 3 lety +7

    Wewe weeeh piga kelele kwa ibraha wake 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️Don lem go kiboko babu💃💃💃

  • @juliusnamale8861
    @juliusnamale8861 Před 3 lety +2

    Waaaah hii moto sana 💥💥💥💥

  • @Kenyanewsalertstv
    @Kenyanewsalertstv Před 3 lety +406

    Dogo Ibraah tutakuona mbali siku za usoni, hatarii🔥🔥

    • @herewego3137
      @herewego3137 Před 3 lety +1

      czcams.com/video/Qtc1rbYzbDs/video.html

    • @getyuth
      @getyuth Před 3 lety +1

      czcams.com/video/I7L-cxvrZPQ/video.html

    • @zou7470
      @zou7470 Před 3 lety +1

      Inshallah

    • @aysharahman3080
      @aysharahman3080 Před 3 lety +2

      🔥🔥🔥

    • @sumadashsumadash7342
      @sumadashsumadash7342 Před 3 lety +6

      Ibra unauwezo wakushiba sana,umeshika hii ngoma kama we ndio mwenye NAYO..nahii ndio maana halisi ya kushirikishwa unatakiwa unafanya kama yako ili kumuonesha upendo mwana

  • @musamatsaki79
    @musamatsaki79 Před 3 lety +306

    Kama Umeskua na kuelewa mustari wa Ibrah "mi sio kama dadavany kueka kucha bandia"🤣🤣🤣gonga like twende nalo hadi 1M views

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 Před 3 lety +170

    Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️❤️

  • @kalimually7103
    @kalimually7103 Před 3 lety

    Mitaan sas hiv konde boy shikamoo mambo yote pambeeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DogoCharlie
    @DogoCharlie Před 3 lety +667

    Haha Do Lemi Go Hatari Sana!!!

  • @ellymtz9687
    @ellymtz9687 Před 3 lety +18

    Wanaosikiliza hii ngoma huku wanasoma comments tutambuane apa 👍👍👍

  • @hawamokka3627
    @hawamokka3627 Před 3 lety +5

    Huyu mc kinata singeli anaiweza haswaa.😍dolemigo

  • @ezekieltimotheo9907
    @ezekieltimotheo9907 Před 3 lety

    nyimbo kali sana sema kinata Mc sauti haipangilie iko juu sana adi inaboa kuna sehemu anapanda sana adi inakua kama anapiga kelele ila kwa ibra nampa 100% amebalance unaweza sikiliza kipande kimoja zaidi ya mara 10 mziki hunao imba biti ni ya kukimbia na kufoka sasa ukishindana nayo unaharibu

  • @shangaziwataifa8675
    @shangaziwataifa8675 Před 3 lety +4

    Mm kama ambassador wa wasafi nakubaliiii..Npeni likes za wasafi

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 Před 3 lety +28

    Do Lemi Go 👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nyimbo nzuri sn.... hongera sn #kinata MC feat Ibraah

  • @dangzeshng550
    @dangzeshng550 Před 3 lety +1

    Daaaaaaa saf sana kitu imebamba

  • @mohammedikitambulio2621
    @mohammedikitambulio2621 Před 3 lety +6

    Kumamake Huyu Ibraah Wamoto Mno Hapoi Wala Haboi Dah Konde Gang For Everybody

  • @mtaani001tv
    @mtaani001tv Před 3 lety +61

    Ibraaah ni habari nyengine...huwezi mlinganisha na msanii yoyote bongo...wale tuko pamoja gonga like🙏

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 Před 3 lety +3

      Kila mmoja anaplay part yake msee tusuport good music zetu n burudani cjui fans tunafeli WAP...mm team konde damuu

    • @queenmalikia3827
      @queenmalikia3827 Před rokem

      🎉❤❤

  • @KrizSnazzy
    @KrizSnazzy Před 3 lety +31

    Ngoma Kali sana respect kutoka 🇸🇸🇸🇸wapi likes za Ibrah

    • @herewego3137
      @herewego3137 Před 3 lety

      czcams.com/video/Qtc1rbYzbDs/video.html

  • @nashahaji4355
    @nashahaji4355 Před 2 lety +1

    Nzuri sana🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @carenbalence2095
    @carenbalence2095 Před 3 lety +1

    Uwiiii chinga kam chingaaa😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍do lemi go

  • @baaliyanuun416
    @baaliyanuun416 Před 3 lety +45

    The King is back Ibtah ft kinata MC
    Gonga like kama ww ni mwana wa KONDE GANG FC @ harmonize##

  • @renohmill5468
    @renohmill5468 Před 3 lety +41

    OYAAAAAAH DUDEEEE ILOOOOO PIGA LIKE WANANGUH✌

    • @herewego3137
      @herewego3137 Před 3 lety

      czcams.com/video/Qtc1rbYzbDs/video.html

  • @eduwizzatheekingtheeking6169

    Ngoma Kali bwana ibraah 🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘

  • @sbboymkaliofficial9108
    @sbboymkaliofficial9108 Před 3 lety +4

    Kinata Aya mauno ulio mwaga umu kweli hii ni ya international singeli my blood ibraah more fire 🔥🔥🔥 tume kuelewa ibraah umetisha Sana mzee nakukubali

  • @muhammedymadati4042
    @muhammedymadati4042 Před 3 lety +8

    Pongezi za dhati kwa ibraah na timu nzima ya kondegang, siku zote mpo mbele kupush game la kisingeli 🙏. Jahbless 👊👊👊.
    #singelitothetop #kondegang4everybody
    #kondegang4life

    • @sumadashsumadash7342
      @sumadashsumadash7342 Před 3 lety +1

      Hawana kujivuna wakiamua kusapot wanasapot kwakuinesha umahir wanaposhirkishwa

  • @amanimichael4533
    @amanimichael4533 Před 3 lety +52

    Ibrah safiiiiii naomba like za dolemigo

  • @manyaramanyara8872
    @manyaramanyara8872 Před 2 lety

    Ibraah hakamatiki Konde boy For Everybody.🇰🇪🇰🇪

  • @ibraahmfw1147
    @ibraahmfw1147 Před 3 lety +1

    woyooooo.....Goma la moto kitaa halipoi vibanda umiza ndo 🔥🔥✨✨🌟🌟🌟💥

  • @mariamumariamu1003
    @mariamumariamu1003 Před 3 lety +82

    Utamu utamu 😯Jamn Ata like 50 tu zinani tosha mana sija wy pata nioneeni uruma natia uruma masikin from +968

  • @yasheha9412
    @yasheha9412 Před 3 lety +26

    Kiboko ya dada vany🔥🔥🔥

  • @kowelakenya8320
    @kowelakenya8320 Před 3 lety +7

    Ibraah kwa kweli tunakupenda huku Kenya, yaani umebarikiwa kipaji kikubwa sana katika sanaa ya uimbaji

  • @gabriellahpascal4052
    @gabriellahpascal4052 Před rokem

    Kinata unaimba mpaka Raha jmn na hivi sauti zetu zinafanana maana sio kukwaruza huku much love

  • @rayvannykiki8239
    @rayvannykiki8239 Před 3 lety +18

    Jamani ukweli usemwe apa dogo apatia saaaaaaaaana ebukama umeukubali nipeni huko like zangu Tanzania 👉🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is in fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💢💯💯💯💯💯💯💯

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 Před 3 lety +25

    Dogo lbrah Sai umechanuka ile mbaya ivyo ndo tunataka 🔥🔥🔥🔥

  • @wizzardscrewkenya
    @wizzardscrewkenya Před 3 lety +3

    Konde gang forever #Jeshi..... Ibrah anawatesa kweli💯💯💯🔥🔥

  • @andrexandrew2506
    @andrexandrew2506 Před 3 lety +2

    Aaaah! Kinataaaa🤗🤗 mmmmh!!

  • @asaa3219
    @asaa3219 Před 3 lety +14

    Waaaawaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍tunaingoja

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 Před 3 lety +58

    Mweny alikuwa anaisubir na atairudia Hadi iende trend tjuane kwa likes wanang wa Kondegang

  • @hemedmella5999
    @hemedmella5999 Před 3 lety

    Kwa mbaaaali kama naliona dalaja la Ahsante #zembwela

  • @sabryseksena9045
    @sabryseksena9045 Před 2 lety +1

    Duuuuuuh umeuwa ibraah jitahid

  • @shadhililipamba5661
    @shadhililipamba5661 Před 3 lety +23

    naomba like za ibraaah apa ata 50

  • @moahamoh9959
    @moahamoh9959 Před 3 lety +2

    Konde tisho uyu Ni mwana tu! Bado baba noma**

  • @0uts1de98
    @0uts1de98 Před 3 lety +1

    iyo nayo motoo🇰🇪🇰🇪

  • @shangaziwataifa8675
    @shangaziwataifa8675 Před 3 lety +8

    Wasafi wanasema irudiweeeeeee

  • @salimdogorasta6808
    @salimdogorasta6808 Před 3 lety +60

    Cjawahi Pata like ya Konde Gang Leo Nawaombeni Jamani

  • @impactoelectrical5814
    @impactoelectrical5814 Před 3 lety

    Do lemigo oooooo 🔥 Moto umewaka mbaya sana

  • @impactoelectrical5814
    @impactoelectrical5814 Před 3 lety

    Do lemigo oooooo 🔥 Moto umewaka mbaya

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 Před 3 lety +72

    Don't let me go if my baby you love me forever, if you wanna go my heart break me down.Singeli to the World🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @kimsal5506
    @kimsal5506 Před 3 lety +20

    Gongeni like za Kenya hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Shaa-bb9vc
      @Shaa-bb9vc Před 4 měsíci

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hezynizedekingkong7303
    @hezynizedekingkong7303 Před 3 lety +1

    ibraah hapo ndipo
    👊
    ... Do lemi go

  • @sammymuiteomwami2246
    @sammymuiteomwami2246 Před 3 lety +95

    Eti dada vanny kaweka kucha bandia😂😂
    Jamani nipewe zangu kumi nihisi vizuri😀😍😍
    Chingaa💪🏻👌🏻🔥🔥

  • @sammykatana855
    @sammykatana855 Před 3 lety +7

    Love....Si kama Dada Vanny Mueka Picha Bandia👏👏👌😀

  • @ibraahfode6570
    @ibraahfode6570 Před 3 lety +84

    Ay kondegan farmily twend saw like kama wa ni team kondegan

    • @herewego3137
      @herewego3137 Před 3 lety

      czcams.com/video/Qtc1rbYzbDs/video.html

  • @hehegirl116
    @hehegirl116 Před 3 lety +4

    Atyaaaaaa atyaaaaaa ♥️♥️♥️♥️

  • @impactoelectrical5814
    @impactoelectrical5814 Před 3 lety +1

    Kinata MC 🔥 Moto umewaka

  • @yuleoymsumufu6704
    @yuleoymsumufu6704 Před 3 lety +7

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥ngoma la mwaka

  • @kaidrisa2711
    @kaidrisa2711 Před 3 lety +19

    Oyaaaa hatareee sana hiiii nani karudia Rudia kama mara zote ngonga like twenzetu on 1 trending 💥💥💥💥💥

  • @ahadidelachancekwibe994

    Kali,dhuuu bro ibraah tunajivuniya uwepo wako konde gang

  • @emmanuelmuthui3081
    @emmanuelmuthui3081 Před 3 lety

    Ibraah ameharibika mtoto huyu, moto kama pasi.

  • @isadivanny
    @isadivanny Před 3 lety +9

    Kama unamkubali ibrah na unamuona atafika mbali kweny muziki nipe like me babu yenu 😭

  • @parambili1382
    @parambili1382 Před 3 lety +13

    Uyu mtoto n fundi aiseee katishaaaa ni fireeeeeeeee kama umeona ilo ndondosha like yako apo kwajili ya kond gang family

  • @asaa3219
    @asaa3219 Před 2 lety

    Nani mwengine anarudia kama mm🔥🔥🔥🔥

  • @magentyngaliy2823
    @magentyngaliy2823 Před 2 lety +1

    Vizuri Sanaa ibraah

  • @abdullkadirali2748
    @abdullkadirali2748 Před 3 lety +14

    sio Kam dada van umewekaa kucha ya bandia daaah maraiiii ni 🔥 like zenu jpoo 10

  • @boscoboy573
    @boscoboy573 Před 3 lety +167

    Oyaaaaaa wanangu nimechelewa naombeni like kumi to kwa ibraah huuu ndo mwaka wa ibraah wanangu

  • @sarahdamas6724
    @sarahdamas6724 Před 3 lety +1

    Nawa ona mbali Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @estherwaigumo9929
    @estherwaigumo9929 Před 3 lety +2

    Nawakilisha Kenya 🔥🔥🔥💯💯

  • @chocolatedrop3968
    @chocolatedrop3968 Před 3 lety +37

    Aliyesikia moyo kudinga ndinga naomba like 😋

  • @impactoelectrical5814
    @impactoelectrical5814 Před 3 lety

    Do lemigo oooooo 🔥 Moto umewaka

  • @jumahnjawi6782
    @jumahnjawi6782 Před 3 lety +1

    Inaonekana anajua kama anajua vizur sana

  • @Mtumbaya09
    @Mtumbaya09 Před 3 lety +11

    Tayaaaar trend

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 Před 3 lety +31

    Kama unamkubali kinata mc achia like twende sawa

  • @josephmalulu7430
    @josephmalulu7430 Před 3 lety +2

    Hii singeli kalii sana wasee snaaa

  • @carlvinnah5988
    @carlvinnah5988 Před 3 lety +18

    Wapi likes za Ibra... Love from Kenya

  • @luckychris3986
    @luckychris3986 Před 3 lety +52

    Much love from +254🇰🇪🇰🇪 wapi love from kenya

  • @amiratitotoz2905
    @amiratitotoz2905 Před 3 lety +1

    Hataliii😍😍

  • @impactoelectrical5814
    @impactoelectrical5814 Před 3 lety

    Konde boy ni noma.....kusimamia hawa vijana

  • @josephishmael4798
    @josephishmael4798 Před 3 lety +24

    Nakubal fundi Wang Ibrah 🙏🏼🙏🏼🔥🔥 Kondegang4life 🤣🤣🤣 Kwan dada vanny mwenyw anasemaj . Daaah goma Kali kicha Wang 🔥🔥🔥🔥🔥💥💥

  • @odba_jr371
    @odba_jr371 Před 3 lety +8

    Konde gang KINDAKI daki naomba 1k Kama wew pia Ni mwanachama gang for everybody

  • @bakarihassani960
    @bakarihassani960 Před 3 lety

    Dogo ibraa shoga ajui mziki dogo m2 gan ana imba kuria kila cku alafu ngoma azi iti masha biki wa konde gen ibra na anjera anjera anajua NEXT LEVEL FOR LIFE

  • @zainabuchanila4190
    @zainabuchanila4190 Před 3 lety +1

    weweeee uko bomba xn

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION Před 3 lety +173

    wow! Now this’s how you do singeli #swahilitotheworld 🔥🔥🔥

  • @eliasofficiel3465
    @eliasofficiel3465 Před 3 lety +13

    Kitoko sss ibraah de King🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿✌🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪💪💞💞

  • @aloyce.kalamu6307
    @aloyce.kalamu6307 Před 3 lety +1

    Nakukubar xna ibra daah saut nyololo hajawahii kutokea kwhapa bongo

  • @scholazakayo3593
    @scholazakayo3593 Před 3 lety

    Mungu mwemaaa nusu milion hyoooooooooo

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 Před 3 lety +6

    Nimewahi kinata mc weweeeeeee like kwa kinata and IBRA

  • @frenckmuhigi6694
    @frenckmuhigi6694 Před 3 lety +17

    Singeli kienglish yamoto sanaa 🤗

  • @karisa807
    @karisa807 Před 3 lety +14

    Koooonde Gaaaaang For Eeevrybaaady Huku Kenya Goma Tumelifanya Wimbo Wa Taiga😂💪💥💯

  • @hendryprosper9950
    @hendryprosper9950 Před 3 lety +1

    Nan anapendaa ibra anapo imbaaaa jomn

  • @actionmoviestv9643
    @actionmoviestv9643 Před 3 lety +47

    Jmn kwa goma hili naamin like 100 napata🙏🙏

  • @jacksonowaga3634
    @jacksonowaga3634 Před 3 lety +78

    Hiyo kitu ina nyanyua hadi maadui wanacheza do lemi go hatari😆😆😆😆

  • @shebyhassany911
    @shebyhassany911 Před 3 lety +1

    We sooooooooooo pw weweeeee3eeeee

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 Před 3 lety +2

    Dah ibra umenikosha 😍😍😍

  • @ELISSKGTV
    @ELISSKGTV Před 3 lety +121

    Kama wewe ni mwanajeshi naomba comments ziwe mbili mbili tuingie trending asubuhi na mapema...hakuna kulala..

  • @impactoelectrical5814
    @impactoelectrical5814 Před 3 lety +10

    Konde gang Kali sana.....tuendeni jamni

  • @jumahnjawi6782
    @jumahnjawi6782 Před 3 lety +1

    Makabila hana mwendo kwa ibrah

  • @sophiamwita434
    @sophiamwita434 Před 3 lety +1

    Asee mmeua kinyama 😘😘

  • @Michano254
    @Michano254 Před 3 lety +240

    I played this song in my room, I swear a lizard turned into a dinosaur. Ibraah hoiyee

  • @foxprince4912
    @foxprince4912 Před 3 lety +323

    Dada Vanny kueka kucha bandia😂😂😂who got this from 🇰🇪 agonge likes mbili🤣🤣gonga mbili bana

  • @leomkuulubala
    @leomkuulubala Před 3 lety

    Dogo noma sana mnatisha endelea na kazi nzuri.