GEN Z: Pastor T Mwangi Talks About Gen Z Protests and the Finance Bill

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 06. 2024
  • Pastor T Mwangi Talks about The Gen Z, their stand and His thoughts about The current Protests #rejectfinancebill2024 #rejectfinancebill

Komentáře • 33

  • @benardchinua6746
    @benardchinua6746 Před 2 dny +2

    Nakupenda sana pastor. Unaongeaga points kibao ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @EDITHMALABII
    @EDITHMALABII Před dnem +1

    pastor T, EXACTLY. our parents have struggled a lot but have always been afraid of speaking out because of what they endured during the Moi era. so we are here to fight for them and for our children. because at the end of the day we will be the ones to bear the consequences of bad leadership.

  • @nicholuskiilu5519
    @nicholuskiilu5519 Před 6 dny +5

    Pastor t understands us more,i feel it

  • @Christine-ii8eh
    @Christine-ii8eh Před 2 dny +2

    True but let them also know that nothing can be compared to their lives. Let wisdom reign as we voice out our issues and keep safe.

  • @oguroforeman8506
    @oguroforeman8506 Před 10 dny +5

    On point PASI. 🎉🎉🎉gava wajuwe haitakuwa kama kawaida lazima wasikizwe to fullest

  • @bowattanga
    @bowattanga Před 6 dny +2

    the real truth .nothing but the truth!!!!~

  • @shaa1874
    @shaa1874 Před 7 dny +2

    Thank you Pastor T for speaking on this.

  • @georgewafula2975
    @georgewafula2975 Před 9 dny +2

    Hapo sawa Mchungaji. Umenena.

  • @janekogi6442
    @janekogi6442 Před 4 dny +2

    Our children has seen us opressed even from home mothers by their fathers ,fathers by yhr leader ship.inaudhi

  • @ednathangu7463
    @ednathangu7463 Před 7 dny +2

    Very on point pastor.

  • @dorisk.nyongesa7924
    @dorisk.nyongesa7924 Před 6 dny +2

    My sibling was given a loan at uni of about 250000 she got ecde job being given abt 13000 out of which helb is 6000 monthly payment. Total loan was 800000. I personally went to helb after she had paid for several years and found she had a loan of 600000 to clear. Last month I was in a hospital and was told nhif will soon be for operations only meaning surgery.The rest tujipange. So that is the situation.so many things are happening. The voice of the ppe is the only way. God is a God of justice. Nothing happens without the knowledge of God.

  • @degypsyking_
    @degypsyking_ Před 7 dny +2

    On point 👌

  • @krissk77
    @krissk77 Před 5 dny +1

    And another thing they have is time.... no jobs.. nothing to loose. the current political class don't have time... we support the gen z community..🎉

  • @aliwacool4236
    @aliwacool4236 Před 8 dny +2

    Much truth

  • @gladysmweti7053
    @gladysmweti7053 Před 9 dny +2

    Kabisa .

  • @24hrsmoneytv22
    @24hrsmoneytv22 Před 8 dny +2

    kabisa

  • @FlorenceMoraa-y3g
    @FlorenceMoraa-y3g Před 5 dny +1

    Kabisa

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 Před 7 dny +2

    Tukona wewe pasi🎉

  • @Caleb.218w
    @Caleb.218w Před 6 dny +2

    Truth

  • @TheNationalist-w9v
    @TheNationalist-w9v Před 6 dny +2

    Pasi anajaribu tu kuwa politically correct

  • @DixonAndati
    @DixonAndati Před 7 dny +2

    pasi umebonga ndipo

  • @TheNationalist-w9v
    @TheNationalist-w9v Před 6 dny +2

    Huko reserve tutarudisha tu. Usifikirie all MPs are unpopular at home

  • @Msemaukwelikweli
    @Msemaukwelikweli Před 9 dny +4

    Pastor T wacha tubonge hii story ki ubro, haya, niulize, Ruto kabìiisa in their minds wanaona ni msee a anajitakia mema by making lives ya wakenya ikuwa hard? that's one question, secondly tumempatia time ajipange na gava yake halafu vitu visivyo work tumfurushe? zi hatujampatia time. Haya twende mos mos na tujiulize haya maswali, hii bill inapania kudo nini haswa?
    1) inapania kupea more funds to CDF, Counties, Makarau walipwe fiti, waalimu, madaktari including kitty ya HELB na kadhalika, tukisema No, tunasemea life akae vile iko saa hii, roadi zakae mbaya na tusilalamike to mean maroadi zikaa mbaya na wasee wamathree wana repair madinga zao every time wataongeza nauli na ujuwe matatu industry ni private and therefore wakipandisha nauli koz ya hasara ya madinga zao juu ya roadi kuwa mbaya watakuwa justified and remember gava iwezi wauliza koz hao ni private. Makarau saa hii wana resign in big numbers wakienda majuu kujoin majeshi za majuu why? koz hawalipwi poa, haya kukikuwa na deficiency ya makarau guess nani wataumia zaidi, sisi koz MA Gen Z wezi watukuwa na sisi bumber kwa bumber wakihanda hata MA GenZ wenazao. Vile tungedu ni Kupatia Ruto time ajipange kusiko kaa fiti tumuulize maswali mbona umeongezewa chapaa na hatuoni umuhimu wowote?
    then tunaweza zusha tukiwa na sababu mufti. Mbunge, Governor na kadhalika wakiongezewa pesa na tusi feel change tumuulize mbona? so at that time tukiadamana tutakuwa na sababu na masababu. Mimi pangu na support wapitishe, then tusikie vile collection ambayo itakolektiwa vile itapangwa kama haitafanya life ikuwe poa then hata mimi nitazusha....
    Angalia hawa hawa MA GenZ embassies vile wanapanga line wakitaka kuenda majuu na huko majuu MA GeN Z wahuko hulipia ushuru kila kitu and when I mean kila kitu I mean kila kitu! MA GenZ wetu wakienda huko wanashangaa waaaa cheki vile nchi yao ni fiti, waaa checki vile kila kitu kinawork na wakiwa huko wakiambia walipe ushuru hawana shinda but wakikam kwao waambie walipe ushuru hawataki but wanataka Kenya ikuwe kama majuu unaona hiyo disconnect? So wacha tupatie Ruto time afanye job akishindwa tutamzushia tukiwa na masababu and at the same time tuzushie ma Governor....thats my take Pasi

    • @charlesziro6094
      @charlesziro6094 Před 7 dny +3

      Shida si kutoa tax shida ni doh kukulwa ....wewe unaona kenya inashida ya doh...ile upuzi na waste iko hii inch...hata tulips tax aje hawa watu nitumbo zao tu watalisha

    • @Msemaukwelikweli
      @Msemaukwelikweli Před 7 dny +1

      @@charlesziro6094 Cheki bro, maGen Z wa majuu ushaona wakizusha juu ya mataxes zi, wao hu-do hivi, kwa mfano Amero, watu huambia prezo wao, ni chapaa unataka? Haya chapa ndizo hizo, ni security unataka, haya wanampatie the biggest in the world halafu wanakaa chini wanamwambia tumekupatia kila kitu, usipo turn around lives zetu come 4 years tunakungoe mara that and at that time huwa wako justified 100% koz prezo hana excuse, swali mbona tusicopy hao? Tuambie Ruto, ni chapaa unataka? Ndio hiyo, haya ni security unataka? Ndio huyo then 5 years wakati waku renew term yake tumhandie hapo tukimuliza excuse yako ni gani na tulikupatie kila kitu? So that tukiweka msee mwengine tutakuwa justified na yeye asipo perform after 5 years nje but tukizusha na hata hatujampatia Ruto time what makes us think ule msee mwengine atakam atakuwa mpoa? Tupatie Ruto tike ajipange na gava yake aki feli tumtoe 2027 pap!

  • @titusmuyekho1438
    @titusmuyekho1438 Před 7 dny +2

    Stop your ignorance